Mziki wa dansi zilipendwa- Mk Group- Kibela

  Рет қаралды 40,768

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@edwinwaluye2161
@edwinwaluye2161 Жыл бұрын
Najisikia raha kusikia mziki huu. Nikiwa kiongozi Gogo Hotel niliwapa contract MK Group kupiga hapo. Ilikuwa raha sana. Bongo tambarare.
@FRANKMWOMBEKI
@FRANKMWOMBEKI 4 ай бұрын
Moroko pale makao makeup ya airtel. Kama Christmass zako ni ndogo hapa town huwezi ijua gogo hotel
@musakibwana4596
@musakibwana4596 Ай бұрын
Nilisikiza hii nyimbo mara ya kwanza 1989 kama saa tano usiku na ilinigusa sana. leo hii miaka imeenda sana na inanitambulisha mbali nilikotoka, jameni siku zinayoyoma kama barafu juani
@kajubimukajanga9646
@kajubimukajanga9646 11 ай бұрын
Asia Darwesh ni mmoja wa wale mashujaa ambao hawatajwi... Hongereni nyote mlio hai na mliotangulia...!
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 9 ай бұрын
Maneno ya kweli bila chenga! Mk group napenda sana nyimbo zenu!
@raskenneth1981
@raskenneth1981 6 ай бұрын
Mpende mwenzio kama unavyojipenda wewe,mwenye upendo hana hasira,mwenye upendo upenda wenzake,mwenye upendo ni mtulivu,upendo wa kweli sio wa maneno matupu mamaaa,Kibela acha chuki chuki yaleta ugomvi eh,Kibela acha chuki chuki yaleta migongano,oh Kibela Kibela acha oh Kibela.
@michaelchonde5784
@michaelchonde5784 9 жыл бұрын
kinanda kivuri cha asia darwesh
@klauskilamla1957
@klauskilamla1957 Жыл бұрын
Mulenga ktk solo ,swebe ktk bass,ridhim makunguru
@beatriceshadrack9995
@beatriceshadrack9995 7 жыл бұрын
Aaaaaayaaaa Kibela, daaaah machozi yananitoka
@ackenkubetta9541
@ackenkubetta9541 5 жыл бұрын
Kwanini utokwe machozi
@christophermpanji2961
@christophermpanji2961 2 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana,,Namkumbuka marehemu baba yangu mwl mpanji enzi za uhai wake pande za Newala
@wimbe2014
@wimbe2014 Жыл бұрын
Nimeusikia juzi tbc taifa, ila nimepata shida kuutafuta sababu sikuwa najua jina lake 😂.. ahsante sana kwa kutuwekea hapa
@allyahmed4657
@allyahmed4657 9 жыл бұрын
namsikia Kasongo Mpinda Clayton si mchezo..muziki una raha huu...shukrani bro Eddie kwa kutushushia vitu vya ukweli....mimi naacha chuki...
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Karibu tena Ally
@mbanosihaba5760
@mbanosihaba5760 4 ай бұрын
Kamanda Eddie unapatikaje?
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 Жыл бұрын
Upended ni uhai daaah great music
@swalehmdoe3473
@swalehmdoe3473 9 жыл бұрын
Poa sana Eddy.ngoma tamu kabisa
@cooljust988
@cooljust988 7 жыл бұрын
....mkataa pema pabaya panamwita ooh, leo njionea mwenyewe ulimwengu sio masihara mamaa.... Nilikua na mwenzangu kibulwa oh nikapitiwa na shetani mbaya,.. kamaa ndooto,..nikadanganywa yoyoooh mpaka nikaamua kumuacha mke wangu najijutia ooh kibulwa kutangulia sio kufika iyoyo........ Kibula sijiwezi tena tabu imenizidia...(kiitikio) ..unisamehee mama ulimwengu umenikumba... Sitorudia tena makubwa yamenikuta (kiitikio) jeni na..... nani atawalea...Kaka Eddie sijui jina la huo wimbo ila nimekumbuka baadhi ya mistari ya hiyo nyimbo nautafuta sana Kaka.
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 5 жыл бұрын
upendo ni utumishi utumishi ni upendo......imani na matendo.
@jumannemori1564
@jumannemori1564 6 ай бұрын
Daaaa Kweli 🎉
@FRANKMWOMBEKI
@FRANKMWOMBEKI 4 ай бұрын
Nta upload yenye ubora mzuri
@zainapinza3978
@zainapinza3978 4 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana 😢😢
@tomsticky3124
@tomsticky3124 Жыл бұрын
Kibela kibela 😂
@zonko0488
@zonko0488 5 жыл бұрын
Utunzi wa nani huu?? Nakumbuka mara ya mwisho nimewaona Nkrumah Hall UDSM....Mulenga na Kasongo Mpinda washatangulia RIP
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 7 жыл бұрын
upendo ni uhai upendo sio chuki mpende mwenzio km unavyojipenda ww, upendo ni utulivu
@rashidmapande4105
@rashidmapande4105 2 жыл бұрын
Wahenga ,walijua kutunga
@saidmohamed3132
@saidmohamed3132 4 жыл бұрын
Sweeeeeet....
@saidmohamed3132
@saidmohamed3132 4 жыл бұрын
Natafuta Zinduna wa Zahir Ally Zoro. Siupati. Msaada wako mkuu
@owdenmwakisambwe6899
@owdenmwakisambwe6899 7 жыл бұрын
Hiyo ni solo ya king spoiler MULENGA? ,hatar sana muziki wa ukweli.
@risukiart4615
@risukiart4615 3 жыл бұрын
hii ngoma noma
@selemanjulius2877
@selemanjulius2877 2 жыл бұрын
Good song
@eatvnews8617
@eatvnews8617 8 жыл бұрын
hizi zama zirudi jamani
@eddienassor480
@eddienassor480 8 жыл бұрын
Hahahaa,zimepita hizo kaka!
@ackenal4749
@ackenal4749 8 жыл бұрын
Naipataje hii ngoma kwa audio
@TamuzaKale
@TamuzaKale 7 жыл бұрын
tumia hii: www.onlinevideoconverter.com/mp3-converter
@musamandwa3210
@musamandwa3210 5 жыл бұрын
Nasoma rugaro enzi za mwarimu kabigi
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 5 жыл бұрын
Keyboard 🎹 inatandikwa na Lister Eliya ni hatari sana kwa kipindi hiki
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
Asia Daruwesh mrembo wa kizanzibar ndiyo hiko kinanda
@hansmwasyeba4599
@hansmwasyeba4599 3 жыл бұрын
Lister alikuwa bado hajajiunga. Lister kasikika zaidi kwenye MAUMIVU MAKALI
@tithongenzi1766
@tithongenzi1766 2 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana! Enzi hizo Radio Tanzania Dares salam,Kombora Jambo Hongera na vipindi bingi.
@keagleeagle821
@keagleeagle821 Жыл бұрын
Kinanda cha Asia Darwesh
@klauskilamla1957
@klauskilamla1957 Жыл бұрын
Key body ya super mama asia daruwesh
Mziki wa dansi zilipendwa - MK Group -Nipe ukweli
9:27
Eddie Nassor
Рет қаралды 32 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Bantu group- Vicky
8:29
Eddie Nassor
Рет қаралды 98 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,7 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 71 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Ngalula
6:30
Tshimanga Kalala Assosa - Topic
Рет қаралды 24 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- NDEKULE- Christina Moshi
7:22
Eddie Nassor
Рет қаралды 92 М.
Sikiru Ayinde Barrister - Reality
21:30
Majestic Africa TV
Рет қаралды 117 М.
Washirika Tanzania Stars(Kalala) - Yaliyopita Si Ndwele
7:29
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 79 М.
Chitekete
14:23
Leonard Dembo - Topic
Рет қаралды 2,7 МЛН
Mziki wa dansi zilipendwa-  MK Group- Nishike mkono
7:09
Eddie Nassor
Рет қаралды 21 М.
Bujumbura
6:44
Studio One
Рет қаралды 3,1 М.
Vijana Jazz Band - Maisha Ya Amba
8:37
Austine Malala
Рет қаралды 87 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,7 МЛН