Eddie dahhh!!! unaua maana hizi zilipendwa inaonyesha wazi jinsi watu walivyokuwa na uwezo kutunga na kupangilia vyombo. shukran saaana
@eddienassor4809 жыл бұрын
Kweli kabisa Yussuf
@ismailfundikira63579 жыл бұрын
Haya Mziki huo ume rekodiwa enzi za analogue sijui ingekuwaje kwa sasa digital. RTD walikuwa na maproducer wazuri sana!!!!
@ramadhanimadoweka64587 жыл бұрын
Eddie Sijakosoa chochote. keep Nimetumiwa usiku wangu ku bandia na kubandua Huu musiki. Tafadhali weka wimbo Tupendane MK beats
@AnthonyKisondella9 жыл бұрын
Eddie, thanks for the post Hawa ndugu walitikisa sana miaka ile ya 90 mpaka around 2000. Vocal line up ikijengwa na Aboubakar Kasongo Mpinda ‘Clayton’ Mbombo wa Mbomboka, Kalala Mbwebwe, Paul Vitangi, Green Simutowe, bila kumsahau mwana mama Rahma Shaali. Gita la solo Joseph Batholomew Mulenga akisaidiwa na Omary Makuka kwenye rithym, bass Andy Swebe
@eddienassor4809 жыл бұрын
Kaka huyu Kasongo jina lake ni Aboubakar? Na huyu Joseph Batholomew ndie Mulenga??
@AnthonyKisondella9 жыл бұрын
Eddie Nassor Haswa - Kasongo Mpinda yeye alisilimu (kubadili dini) kutoka ukristo kwenda uisilamu hiyo ikichagizwa na kufunga ndoa na bint wa kiisilam. Kuhusu Joseph Batholemew yah huyu ndiye Mulenga yule wa Dar International, DDC Mlimani Park na Bima lee kabla mauti hayajamkuta akiwa na MK Group
@eddienassor4809 жыл бұрын
Ahsante kaka.Na huyu Mulenga aliugua au ajali?
@AnthonyKisondella9 жыл бұрын
Eddie Nassor Aliugua tu
@rabiimmari5723 Жыл бұрын
Ngoma za magorofani duuuuuu kitambo sana
@totidatutadu19185 жыл бұрын
Nikiwa Madoto kilosa 1986-1988 wana ngulupa tupatupa MK group walitesa sana miaka hiyo
@allyahmed46579 жыл бұрын
ngoma za maghorofani hizo...new africa ...tumetoka mbali asanti sana kk Eddie..
@eddienassor4809 жыл бұрын
Burudika Ally
@owdenmwakisambwe68997 жыл бұрын
Hi Eddie,fanya hisani pandisha ule wimbo wa wa Kitendawili pia wa MK GROUP
@robertnkungwe29192 жыл бұрын
King spoiler acha kabisa
@deoblandes78337 жыл бұрын
Eddie weka wimbo wa the bantu group mkanda wa mapenzi
@flowila829 жыл бұрын
kitambo hiyo, eddie indeleza hili libeneke nice
@eddienassor4809 жыл бұрын
Naona Kisondella hakujibu hapa kaka
@twilamtumbi26477 жыл бұрын
kisondella ataki kujibu. kazi ilifanywa
@jacquelineidyanko43537 жыл бұрын
Duu Bonge La song
@allynayomo4856 жыл бұрын
drum Poul vitañgi, tumba saidi Morris, kinanda Asia daruweshi
@pacheliherman53654 жыл бұрын
Kuna wimbo wa Mk title sikumbuki kiitikio "Kitendawili nipe mji nichague nataka mwanza "