Ohoo, Kila nikisikiliza lazima niingie ibada katika Roho maana ipo nguvu katika huu wimbo. Asante Yesu🙏
@estermbaga1574 Жыл бұрын
Nikisikiliza huu wimbo najikuta nazidi kumsogelea MUNGU Zaid kwa ukaribj
@einhardndomba68382 жыл бұрын
Anastahili maaana ni Yeye aliyetkuka, Mwenyenzi ni Yeye,Mwenye nguvu zote ni Yeye aliyetuka ni Yeye!!! Hakika afananishi!!
@user-eg7cp5ic4v6 ай бұрын
❤❤❤
@robertmunyua1784 Жыл бұрын
Oooh Hallelujah,,,Mungu Haufananishwii
@lupianangwavi93272 жыл бұрын
Haufananishwi wewe🙌
@oliverkapama46832 жыл бұрын
Anna barikiwa Sana,Wimbo unanibariki Sana,unanipa Raha sanaaw
@martharaymond63102 жыл бұрын
Hiii nyimbo inanibariki mno aninafanya niabudu kwa roho na kweli...nawapenda mass choir
@SkolaMsuya-bk8hq11 ай бұрын
Mungu asante
@leilahmohamed22252 жыл бұрын
Barikiweni mass choir ...Nawapenda
@anndemasalan2428 Жыл бұрын
Am blessed through this worship
@richardallybenderabendera3452 жыл бұрын
Machozi hutirirka kila ninapo usikia wimbo huu. huu niwimbo waajabu sana kwangu.
@consolatanjesh18402 жыл бұрын
Cant get enough of this beautiful worship.
@MwashaHashimu-dt2vd8 ай бұрын
Barikiwa sana Anna kwa wimbo huo unauwepo sana
@doraellyshayo5666 Жыл бұрын
Amen wimbo umeniingiza kwenye ibada
@lilianshao48272 сағат бұрын
❤
@sarahathman75142 жыл бұрын
Mungu akutunze yaani ukiimba huwa ninashindwa kuuelezea uwezo maana huwa ninajiona niko dunia nyingine
@deborabakari3241 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana jaman, mbarikiwe sana waimbaji
@annemalesi5762 жыл бұрын
Spiritually connected..
@DeboraJackson-nv6vq6 ай бұрын
Hakika Mungu unapatikana ndani ya mwabuduo harisi
@janethhamza83162 жыл бұрын
Haleluya nimewamiss waimbaji
@nurunyarusi97662 жыл бұрын
Amen.hafananishwi Mungu wetu
@ElizabethShomari3 ай бұрын
❤❤❤❤
@FrankKombe-jt1ks Жыл бұрын
Mungu awabariki
@veilamoshi93022 жыл бұрын
Mungu na azidi kuwabariki
@filomenamashina59352 жыл бұрын
Nakuabudu Bwana katika anga la Uweza wako
@mis_blazers_outfit992 жыл бұрын
Thank you for this song
@protaskindauji9852 жыл бұрын
Glory glory to God
@deborajoseph3952 жыл бұрын
Barikiwa dear love
@rainardleonard8045 Жыл бұрын
Napenda Efatha
@sarahkimaro752 жыл бұрын
Haufananishwi,haulinginashwi BWANA
@LucyHaibhai-rg9hu Жыл бұрын
Amen Amen 💖🙏
@magidalenawiliam5698 Жыл бұрын
Thank you Jesus
@deborajoseph3952 жыл бұрын
Ooh God,haulinganishwi wewe!
@martherraymond67522 жыл бұрын
Hiiii nyimbo inanipa kuabudu katika roho hata ninapo imba najiona uwepo wa Mungu barikiwa sana dada anna na waimbaji wote
@angelakibassa8990 Жыл бұрын
Anna ana ibada ndan yake sana, she loves God. Nlipata tab sana alivyoondoka saiv nshazoea, SEMA n pengo Kwa kweli
@happyisaack5951 Жыл бұрын
@@angelakibassa8990kwani alienda wapi Anna jamani?
@paulinasamwel91122 жыл бұрын
Barikiwa
@upendowilbrod99962 жыл бұрын
HAKIKA ANASTAHILI KUABUDIWA
@ruthmpemba75982 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana dada anna wimbo mzur
@faithijegwa35922 жыл бұрын
Amen amen
@deborajoseph3952 жыл бұрын
Only you God
@lukhubeni8726 Жыл бұрын
Naloli, Ameen🙏
@veronicajaphet1622 Жыл бұрын
Ameni
@elizabethpetro4139 Жыл бұрын
Nikisikiza huku wimbo na jikuta na bubujikwa love you Anna kev
@njugunashadrack042 жыл бұрын
Hallelujah
@stellamarwa97572 жыл бұрын
Blessed ❣️❣️
@yasintaboniphace94752 жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@emmansabu93002 жыл бұрын
🔥🔥🔥🙌
@deborajoseph3952 жыл бұрын
Anna wangu wewe
@sarahmsiru6543 Жыл бұрын
Josefath mwingira
@imanimerci52352 жыл бұрын
L
@sarahmsiru6543 Жыл бұрын
Van VA kunyumba
@anthonymisana87502 жыл бұрын
Mavazi ya kuzimu kanisani wanakwaya wakivaa suluali ibaada za kuzimu katika ibada kanisani
@nurumwita9034 Жыл бұрын
Yaaah mavazi Sio mazuri ila hawajui na ata ukiwaambia hawakuelewi
@esthermelkiard386 Жыл бұрын
Vipi kama hamjapendezwa mkanyamaza
@siamaagripina Жыл бұрын
Mungu akusamehe maana hujui unachoongea.
@nurumwita9034 Жыл бұрын
@@siamaagripina acha kubisha kwani huoni hayo Sio mavazi ya kwenda nayo kanisani ata nyumbani tu mwanamke anatakiwa ajisitiri na Sio mpaka mchungaji aseme muda mwingine muulize ROHO MTAKATIFU wewe mwenyewe
@glorytoGod639 Жыл бұрын
Ndio efatha angalieni namna ya kuachana na suruali ,hivi like andiko la mavazi ya mwanaum asivae Mwanamke nyinyi hamlioni?