S2KIZZY,- "Yeyote anaepingana na Mimi Aje na Fact sitaki Porojo zenu"
Пікірлер: 199
@jamilaathumani54817 ай бұрын
Icho ni kibri.njoo nikupe hit..ummpe hit wewe mungu...wewe unatembelea upepo wa wasanii huna lolote... Daimond ndo amekuambukiza upepo wake..mungu ndo Kila kitu..acha kibri wewe
@estonsmart9 ай бұрын
Anaepinga apinge kwa hoja zenye ushahidi wa namba sio maneno maneno, Tisha sana Zombie 🔥🔥
@ottiefx2559 ай бұрын
Hkn ubishi apo s2kizy yupo creative sana
@samiusiraj-media9 ай бұрын
Producer ndo mtu wa kwanza kwenye music tumpe heshima yake bwana
@BizeddOfficial8 ай бұрын
Na wewe fungua studio sasa
@edwardkongo4109 ай бұрын
Dogo S2kizy ni mkali sanaaa
@BigZhumbe9 ай бұрын
Tunasema We Zhombie Haujui ila tuna-maanisha anajua sana 🔥🔥🔥🔥🔥
@Jamestar0019 ай бұрын
S2kizzy RESPECT YOU HOMEBOY,unajua kaka, ndomaana unaongea kwa comfidence, ❤🎉
@EmanuelNjiu4 ай бұрын
Hakikaaa S2KIZZY NOW ISNWORLD WIDE PRODUCER
@Arrestgptucomedy9 ай бұрын
Heshima yeke tumpe...beat ndio ua inasukuma ngoma 🇺🇲
@dizzy_the_dax9 ай бұрын
S2kizzy gat his own unique beat and sound
@chibathebeats32503 ай бұрын
Namkubali s2kiz pamoja sana
@hatib89579 ай бұрын
Emu tuacheni majungu s2kizz anajua kwanini hatupendi kumpa mtu haki yake S2KIZZ ANAJUA
@seamlesshunt38699 ай бұрын
Zoooombie 🔥🔥🔥 Numbers don’t lie. imeisha iyo
@MaigeMitenenko7 ай бұрын
Nazierewa Sanaa Hit zako
@ErickstarGabriel8 ай бұрын
Noma sana mwenyewe nakubali nataman siku tukae chin tufanye kaz
@frankmichael19689 ай бұрын
Yogo on the beat 💓
@samchris19149 ай бұрын
Zombie ile ngoma ya Vanessa Mdee ft Joh makini na Cassper 🔥🔥
@gospelnetworktz54509 ай бұрын
Ila jamani acha aseme mtu kutafuta Jina anasugua sana acha aseme bwana anajua jamaa Sana na acha aongee kwa kujiamini ukiwa chini wanadamu hawakupi saport acha jamaa acheze jukwaa lake
@OgegeMasanga9 ай бұрын
nakubali sna ZOMBIEEEE💗💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@KarimuYusuph8 ай бұрын
Mbona umetoboa pua vip mwenzetu sio rijali nin muogope mungu dogo jua kunakufa
@sonitekog60417 ай бұрын
We mwenye hujatoboa,,hautakufa?
@Official-bataboy9 ай бұрын
Asa mnapinga nini @2kizzy yupo vizuri wakuu
@HerryHassan-sn1fh7 ай бұрын
Jaman mwenye sifa yake mpen t maana anapamban sn na kweli watamroga awe makin t mtu wetu
@BHALEEALI9 ай бұрын
anaongea fact 100%, ukiangalia kwa STATISTICS yupo sahihi na hio haina ubishi, kwa anaepinga alete DATA zake.. ZOMBIE ni genious 🔥
@ramseychobaliko10029 ай бұрын
Sasa anajua ndio lakin ajue anamalizia walipoanzia wengine hawez kuwa 🐐 GOAT wapo akina p-funk majani master j mika mwamba ndo wamefanya mziki upo hapa kwaiyo awe na adabu
@BHALEEALI9 ай бұрын
@@ramseychobaliko1002 unashindwa kuelewa, yeye anasema ndio Producer wa kwanza kuwa namba kubwa ya hits song zinazofanya vizuri nje, na ndio producer alie kwenye nominise kubwa na nyingi nje mfano wa Grammy, ndio producer mwenye na ngoma nyingi za wasanii wa nje ya bongo, na ndio mana anasema yy ni BEST, sasa kama yupo mwenye vigezo hivyo aje na FACT na STATISTICS, je yupo?? ukiangalia hayupo.. UMEELEWA??
@BHALEEALI9 ай бұрын
@@ramseychobaliko1002 sasa wabongo kusikia au kuambiwa ukweli ndio shida, na wala sio kuwavunjia heshima ila ndio ukweli
@swaxinno_ngwa31569 ай бұрын
Nakubali Kaka 👏👏👏👏we zombie
@SaidiKiberity2 ай бұрын
ni noma sana
@Jonathanmakhubela-kb6lz9 ай бұрын
S2kizz is the best producer in his career zooming east africa at this era stop acting with hate and saying diamond is taking him at some levels, u tanzanians are supposed to give the guy his flowers
@ellietitus65289 ай бұрын
Wewe unaejua na hubebwi na wasanii uko wapiii?4
@Jonathanmakhubela-kb6lz9 ай бұрын
@@ellietitus6528 ♋♋😒
@Jonathanmakhubela-kb6lz9 ай бұрын
@@ellietitus6528 beleive what u beleive thats all
@DM_159 ай бұрын
Best producer kiukweli mdundo ndiounatambulisha mziki mkali huwezi sikiliza mziki kwa vijisauti sauti tuu
@hatib89579 ай бұрын
Mimi naamini kua wanamsema s2kizz kwa ubaya ni kwamba wanatamani kua kama yeye ila hawa uwezo maana hawajuwi na hawataki kujua
@SalumMsafiri208 ай бұрын
Respect you brother🏋️♂️
@Heiskmb9 ай бұрын
Unyama sana kaka mkubwa 🎉🎉🎉🎉🎉
@THEGAME_t9 ай бұрын
Msanii bila beat hamna kitu kwa huyu jamaa mkali
@kalmaarufuofficial749 ай бұрын
Wazokubwa 🔥💯 haujui
@RabunaHuseni9 ай бұрын
Nakukubari mzee zombie unajua sana mzee wala haukoseiii mzee mungu bress you mziki wako kaka mimi nipo South Africa 🇿🇦 solute Johannesburg
@BizeddOfficial8 ай бұрын
Sauth africa ya mashambani unalima.
@Chillah199 ай бұрын
Unajua sana kaka viba kaka
@mkadinali_ent.9 ай бұрын
You always deliver man ,you deserve it
@EshaKolokoto7 ай бұрын
Zombie unajua 🎉
@nancyg86649 ай бұрын
😂et ntakua jini jaman we kaka
@nikkimbishiunju24029 ай бұрын
Si upo na Diamond,ondoka Wasafi tuone!
@MikeFuraha-rw6dr9 ай бұрын
Hyupo Wasafi
@LizenMaker9 ай бұрын
Nooma
@Prod_dangerflyt8 ай бұрын
Huyo ana STUDIO YAKE MONDI NDIO ANAENDAGA
@tgwan9 ай бұрын
oya Traxx Haya Mambo Yataleta Shida 🥶📌🛠
@WeremaMwise7 ай бұрын
we n zombie kwel haipingwiiiiiiiiiii
@bmtbeatz9209 ай бұрын
Acheni ushamba wakujisifia sana,,Amapiano ishafulia sijui mtajitamba na nini sasa kuweni humble beats zenywe ni makelele na kuimba ujinga huo mzk huwa haudumu so be humble.,,Pride is the devil 😝
@BigZhumbe9 ай бұрын
Kwani kuna producer mwengine Tanzania anamzidi Zhombie kwa kutengeneza hit songs style yoyote.
@bmtbeatz9209 ай бұрын
@@BigZhumbe huyo ni kibaraka huwezi kuwa master wa style zote utakuwa ni ulimbuken trap yenyewe hajui anapiga 808 za mwaka wa 2000 alfu huku ndo mnasema hit songs 😅
@BigZhumbe9 ай бұрын
@@bmtbeatz920 Kumbe ni mtazamo wako kuwa mtu hawezi kuwa master wa style zote 🤣🤣🤣 Trap hio aliyopiga akaharibu ni ipi?
@EmmanuelKalist-o8b9 ай бұрын
Weee!!! Zombiiiii!!!
@yoramswagala67159 ай бұрын
Laizer ni baba Ako wa mziki
@kiatu9 ай бұрын
Ila nawaomba sana “producers” wajiingize katika biashara ya kuanzisha companies za label. Sababu ni kwamba kwanza wamefikia kiwango cha kuwa mtaji na pia wanaweza ku partner na investors wengine. Hapo naamini underground wengine wata break even. Hizi label za Wasanii zina conflict of interest. Music label ikiwa producer kama S2K ita make a lot of money kutoka kwa wasanii ambao ni wazuri sana lakini wapo wapo tu.
@OlafLondon-mb6cr9 ай бұрын
Sanaa zombiee we noma .wengine wivu tuu
@Ostica..Omie..junior9 ай бұрын
S2kzy ni beat maker sio music producer ambae ni full package..🤞
@DanielLaurent-pl4rg9 ай бұрын
+254 Kodi Namba CHORODO #Dan B Wansagen Moshi Kama Mbele 001 Mbalali
Ana Haki ya kujisifu sababu kazi anafanya kweli na inaleta matokeo mazuri kwake kama wasanii wanajisifia na hamjawai kuwaambia waache kujisifia kwann yeye mna crush mi nafikiri tutafute hela ili tupunguze makasiriko yasiyo na msingi broh
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k9 ай бұрын
@@ngadumbishi1405 elewa nilichomahanisha kama ni hela na mm ninazo mdog wngu ila kujisifu sn so vzr ujue hiv bhn
@ngadumbishi14059 ай бұрын
Ww hela huna nawe mjomba anajisifu mo 😂😂@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Brian_J179 ай бұрын
Ukiendelea hivi utakua mchawi
@Brian_J179 ай бұрын
Ukiendelea hivi utakua mchawi
@killervibehits8 ай бұрын
Mi sipingani na wewe ila im gonna beat you on music making just belive the process #FACT
@milley71859 ай бұрын
S2kizzy kipini je
@Nathanielmwangemi9 ай бұрын
Kama ni rahisi copy paste na ww tukuone,mtu kafanya vzur tumpongeze na ana kila haki ya kujisifu maana Afrika wivu mpaka ufe ndo wakusifie
@KaloxyCharles9 ай бұрын
Zombie shetan🎉
@BizeddOfficial8 ай бұрын
Hivi haka ka dogo kanajielewa kweli? Kezii ka bit za watu
@losekumelita9 ай бұрын
Apana kiukweli uyu jamaa Ako vzur
@sadayosiame87989 ай бұрын
Anaachaje kujisifia wakati uyu mnyakyusa ndoo walivo
@nyandichearts9 ай бұрын
Kiuje huyo setu chiziiiiiii
@haitapassion44289 ай бұрын
Atari sana kaka zombie
@WizKidkazola7 ай бұрын
Zombii
@nicholausmwinuka76409 ай бұрын
Ulivo mtaja country ndo umenikosha
@iampacifique73619 ай бұрын
Producer mwizi tuu. He should stop stealing from upcoming artist
@BenjaminEdgar-r2d9 ай бұрын
Fact
@spicechronicles779 ай бұрын
jamn jaman bongo raha sana
@doubletlacs13009 ай бұрын
Zoombieee......
@mtazycomedy9 ай бұрын
Songa kweli arud mjin
@dkensmopainvevo36839 ай бұрын
Kuna ukweli ndani yake😂
@lukasmnyethi59039 ай бұрын
Shida best zako nyingi ni mapiano tupu piga midundo ya asili yetu
@MERVABOYMUSIC8 ай бұрын
Mkali nawala musilete shobo
@BurnaBoe-lo7oq9 ай бұрын
Sikupingi s2kizzy
@ErickstarGabriel8 ай бұрын
Na ss mtupe mchongo jaman
@djhajiztz9 ай бұрын
haujui
@nancyg86649 ай бұрын
We zombi
@ChristianKitokocom-xv3lv5 ай бұрын
Melleur
@Suleiman999 ай бұрын
Abbah anakukalisha
@ReubenMichael-nr8ds9 ай бұрын
sema mwanetu unamcopy sana b12 vile una sound..rudi vile vile ulivyokuwa mwanzo mr presenter
@ravareyzpromesse26339 ай бұрын
We zombie
@HayoRashidi9 ай бұрын
Haun Bay zombie
@ChoroTesla9 ай бұрын
s2kizzzy zimakulipa au ndo ulipewa hennessy na mademu tu.. manake nasikia mnafanyaga kazi bure
@jajoherculesTV8 ай бұрын
WE ZOMBIE UNAJUA
@livinswai92919 ай бұрын
Kwanini mtu akifanya vizuri asipewe maua yake? Kila mtu ana wakati wake s2kiz ni tym yake no matter anafanya na wasanii wakubwa... kwanini hao wasanii wakubwa wamtafute s2kiz ni kwasababu wanamkubali,maproducer wengine wanafanya poa lkn is time for zombie
@SadamIsmail-vx2zc8 ай бұрын
Zombie ni gini we ubishe au useme ajuhi ninani kila msanii anataja zombie diamond zombie mario zombie whozuh zombie zuchu zombie kisa msanii zombie we upinge nani ata kuimba aujuh useme zombie ajuh acha ufala ww
@johnmwakyokile60569 ай бұрын
We zombie🧟♂️
@erickaman65839 ай бұрын
Kuwa naishima bro ila wakwanza niwakwanza tu uwezi gonga Kwa p