Sasa kanisa ikifanya ushetani kama huu,watoto wa mungu tutakimbilia wapi😭Yesu Kristo tufunike na damu yako.🙏
@GluGlu-u4m9 ай бұрын
Watching in Oman from Kenya kama kawa, doooh Dunia inamambo🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@getrudeliyayi80509 ай бұрын
Good job 👏, continue 🇰🇪 JESUS BLESS YOU, kwa hivo watu tuwe makini sana eti MUNGU AMENITUMA NIFUNGUE KANISA DAAAAA,si MUNGU ALIEUMBA MBINGU,waaah ni Dunia
@subirasimbeye53899 ай бұрын
Mungu akutunze Kijana endelea kumtumainia Mungu
@reisezone45749 ай бұрын
kichwa cha habari umesema alienda kufukua kaburi la mama yake sasa Mbona stori nzima haina wala hajaelezea jinsi alivyoenda kufukua kaburi la mama yake na alichokutana nacho
@ThomasEmmanuel-lm3uh9 ай бұрын
Leo wa Kwanza 😀😀😀😀😀
@Yusufu9409 ай бұрын
Alikuwa mcha Mungu tamaa shetani kamteka tuwemakimi tuchukuweni elimu apa shetani ahanaga uruma
@alimatambwe34029 ай бұрын
Dah Mungu akuchunge InshaAllah 🙏🙏🙏🙏
@Guavara8 ай бұрын
Davista, umerekodi hii episodes kwa siku ngapi? Ni kwanin episodes zingine hamzilleti? kama inaishia njiani kama zingine ambazo mmezikata, ni ukweli channel imewazidi? Au ndoa imekubadili maono? Sikuhiz mnaita ht wapunga pepo (sitataja ni nani) ambao hawajaokoka na mnawapa airtime hamjui mnafundisha watu?
@Irenes_Kitchen9 ай бұрын
Jamani hii dunia inamabo😢 na bado tunaemdelea kuona mengi😮😮
@sophiebanga95339 ай бұрын
Kweli ina mambo saana iyi dunia watu awaogope mungu na moto wa shetani thanks davista mata
@AzizaShaik-v8o6 күн бұрын
😢😢😢
@odatysharon82679 ай бұрын
leo hii story imekuwa na mda mrefu adi raha
@SaidMabeja9 ай бұрын
Wa 3
@AliMkumbukwa8 ай бұрын
Nakuomba endelea kumuombea mam
@berthadugange74703 ай бұрын
Mawasiliano na Eliya naomba tafadhali
@joycemuhoja47298 ай бұрын
Shelby muendelezo
@annkim26908 ай бұрын
Hii dunia ukisikia mambo mengine una choka
@edithaeugeni96959 ай бұрын
Uwiiiii jamanii nisaidie hapo kwenye Dakika leo naota ama nikweliii🤔🤔🤔🤔🤔
@Yourshaban9 ай бұрын
Mwenyew nimeshangaa😮😮
@patrickmaina54599 ай бұрын
Leo Kali😂😂😂😂
@edithaeugeni96959 ай бұрын
@@patrickmaina5459 😂😂😂😂😂😂tuombe Mungu tusije tukafidiwa kwenye episode nyingine Maana syo kwakutususia huku sheby🙌
@edithaeugeni96959 ай бұрын
@@Yourshaban 😅😅😅😅
@CharlesbenjaminiShedrack9 ай бұрын
sheby jitahd iishe hyo
@DavistarMataMediaDM9 ай бұрын
Iishe nini sasa... msapoti mtumishi huyo
@annkim26908 ай бұрын
Kwa ufupi wewe ulikua na nguvu yakuzuia kifo cha mama ko na ndio maana walikutoa hapo
@aziza90939 ай бұрын
Kaz zr
@tututz1009 ай бұрын
J.B.B.1999
@damarisnjerichege1009 ай бұрын
Following
@daudipartson54639 ай бұрын
Taja mahali alipo huyo babako na kanisa la freemason analotumikia lilipo
@danieljoseph16109 ай бұрын
Hivi davister aliendaga wapi? Tuambie sheby!
@DavistarMataMediaDM9 ай бұрын
Yupo
@ayshasaid15479 ай бұрын
Kaoa wifi anamzuwia😂
@MohamedAbdirahman-qs4pl9 ай бұрын
HA1990
@bintalmasi23939 ай бұрын
Kuhusu kufungua kanisa bado muda wako kijana, hata vifungu vya Biblia vinakushinda kutaja