Tamthilia inayofuatilia hadhithi ya bitnti Naomi katika kuanza na kupigania maisha yake kwa visa vya kila aina. Imtayarishiwa na Elizabeth Michael / elizabethmichaelofficial Director and DOP Staford kihore www.instagram....
Пікірлер: 154
@AngelineSidi3 ай бұрын
Me nahis mwiba ni ndugu na Brian huyu ni mtoto akiye telekezwa na mama brian😂❤🎉 nni anaona kama mmi tujuane
@RhodaSitti3 ай бұрын
Mama Steve Aki napenda emotion zake duu! Pokea mauwa yko momy🎉🎉
@stephanosilinu37673 ай бұрын
Mama steve bonge moja la mwigizaji❤
@SunnahAmry3 ай бұрын
Sana kabisa nampenda atali❤
@stephanosilinu37673 ай бұрын
@@SunnahAmry Umeona dada anaujua uigizaji
@Daniella2493 ай бұрын
Yuko vizuri sana nampenda bure
@mimihuyo82393 ай бұрын
Yan i love her mnooo
@Giftypmushi3 ай бұрын
Leo ni raha sana kuanzia16 mpk20 shukran sana 🙏
@GyBh-f7hАй бұрын
Niko safi ako safi kila kitu safi we good 😮alaah 😂😂
@SunnahAmry3 ай бұрын
Niki alikua ananikera apo mwanzo nilikua sijui chanzo ila kwa sasa wala hanikeri bali ananipa raha tu 😂 mnaokerwa na niki poleni sana 😂
@nelsonmataba14263 ай бұрын
Chanzo ni nini?
@HellenDeus3 ай бұрын
Yani uyo bonge anae muiga kucheka cheka nick anakela jamnii mwambie aache
@MaryTesha-le2ql3 ай бұрын
Ata mie bora nick tu ndio anaweza 😂😂😂
@sarahwaziri79403 ай бұрын
😂😂😂@@MaryTesha-le2ql
@SophiaChihogosa3 ай бұрын
Mi pia amenikela san
@ayshaahnad44723 ай бұрын
Familia ya Joseph yoote ishaingiliwa na kidudu mtu hadi uruma yaani😢 msomi wetu tuliekuwa tunamtegemea katoka na pinto usiku, huku naye mwiba na mama yao.
@fatmaameer53333 ай бұрын
Jaman tunashukuru tutumienyingine muendepezo nzuri san
@mwakaathuman56373 ай бұрын
Jamani brayani ananisikitisha
@RachelGerald-b5uАй бұрын
Mwiba ni ndugu wa brayn
@RuthNyongesa-me9cx3 ай бұрын
Nicki your laugh gives me strength walai unabamba bwan😂😂
@FarajampelompeloАй бұрын
Jaman iyo tamthiliya mbna hamtoi vingne
@rizikiMwafungo-ge7fh3 ай бұрын
Uyu mwiba ameanza kuutaka kwa mama stivu 😂😂❤
@mcdonaldmujuni96033 ай бұрын
Mama steve nakupenda jaman ur so cul Na plz lulu uskate tamaaa pambana endelea kutoa hii series ujui mbeln labda utapata matunda makubw sana ur so talented
@beatricemtambi60783 ай бұрын
Da Eliza Tunaomba vipande vingne basi tajirii tunataman muendelezo 🥹
@joycemichael40863 ай бұрын
😂😂😂Mimi na cheka nick anavyocheka, kama jinga vile😂😂
@tricialmercy31283 ай бұрын
umeona eeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@joycemichael40863 ай бұрын
@@tricialmercy3128 yaani 🤣
@violethaloice2123 ай бұрын
Jamani mbona Kama mmesahau kutuekea mwendelezo
@rilianwillium3 ай бұрын
Kwahio episode nyingine tena lin😂😂😂🤣
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Stevu jmn kampenda kweli Naomi
@Lj_mjanja3 ай бұрын
Uyo nick icho kicheko anafanya hadi mimi pia nacheka😂😂
@PraxedaJustinian2 ай бұрын
Naomi Kama naiona jua kari vile!! Unavyowachanganya 😂😂😂😂😂😂😂😂
@DommyAbasy-cn5nc3 ай бұрын
Achana na Baba Tuondoke yan hii ni familia yangu. kabisa 😀😀😀
@FatemahFatemah-b3h3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉kwa team mimi leo imenoga mbaya
@MahaSaeed-hf3gs3 ай бұрын
Kaz nzuri sanaaa❤❤❤❤❤
@pendoinnocent96483 ай бұрын
🥰🥰🥰 mwendelezo
@cristaezekiel10363 ай бұрын
Ananiudhi anavyocheka nikki jmn 😢😢😢😢kama mwehu
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Yani ananiudhi pia
@marryofficial91433 ай бұрын
Nikajua ni mm tuu aisee
@vailethdickson66783 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Mercy-pq4ye3 ай бұрын
Yuabore haswa
@doctormkulima94743 ай бұрын
Anakera
@FaidhatAbdi3 ай бұрын
Mwiba ndo ndugu wa bray
@RehemaMwakisyala-k9u3 ай бұрын
Nick na naumia Mimi ndo vikwazo kwangu hii japo naumia ndo star wa mov
@daveskerah333 ай бұрын
Kali sana
@angelrichard8993 ай бұрын
Nje na mwanaume mpambaji anaejie mwenye hofu ya MUNGU.Anefanya kazi halali tunataka nn mnk Mimi najua wa awake hatuma taipu au uwongo.wenye wa taipu tukoment hapa na kulaiki Ili tujuwe.....
@estherkeba243 ай бұрын
tunashukuru naomi, umetukata kiu😘
@KingNamber3 ай бұрын
Mbon kama pakifik swala lanaomi baba stive anapaniki kulikoni jamanii🤣ao nayeye ndo maana Naomi nikiboko yawengi🎉🎉
@silvahalfred11792 ай бұрын
Ni nn knaendelea hapa
@irenejane42133 ай бұрын
Huyu mwaiba sini mshikaji wa naomi au
@HawaBeka-t4c2 ай бұрын
😂😂😂😂ila nyie tuache uongo tu kicheko Cha nicky kin nichekesha napend tu anavyo Cheka pale mwanzo ayiii apewe mauwa yake kucheka ni kipaji jamani🎉🎉
@BeatriceKalulu3 ай бұрын
Muendelezo plz jmn maaana mambo ni🔥
@Ester-d7f3 ай бұрын
Hii movie ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Daniella2493 ай бұрын
Huyu mwiba katumwa nae kuharibu nyumba ya Joseph jamani 😂😂khaa hichi kiherehere vp tena
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
😂😂😂😂balaaaa
@olicej78373 ай бұрын
Mwiba secretary wa Joseph ni ndugu yake brayani nahisi ndo yule mama brayani alimwambia mama Steve kuwa alizaaga mtoto uko kwao zaman akamtelekeza 😢
@eglesiaselombe6943 ай бұрын
Safi sana
@Mima-theboss3 ай бұрын
Ila hii series ina mambo mengi sana 😂😂 kama huna vikova na michezo ndo unaweza kuelewa
@danielaugustino7053 ай бұрын
Nomaaaa xnaaaaaaa❤❤😅❤😅😂😅😂😅❤😅😂😅❤😅😂
@SelinaNgumbao3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 yani hii movie yanifanya nauguza mboga aki😅
@UnrulyHope-e9j3 ай бұрын
Jamani msiniambie apa 20 ndio Mwisho
@RoselyneKhavere3 ай бұрын
Movie y watu kufa na kufufuka😂😂❤❤
@AliceMudandi3 ай бұрын
Alizimia tu
@cheiknamouna20583 ай бұрын
Kumbe Mwiba ni kaka yake Briani Naomi anataka kucheza kama yeye amwambie ukweli😂
@fmcgfood-fc1oh3 ай бұрын
Mwiba ndio mtt wa mama brayan
@Daniella2493 ай бұрын
Nyumba ya Joseph inakaribia kuanguka yani ni mtihani watoto wamewaka moto😅😅😅😅
@ChristineKesi-k9r3 ай бұрын
I thought Vivian is honest wife,kumbe si kweli,imgn anaishi kwa Brian,kweli..!
@nancyg86643 ай бұрын
😂😂😂jaman mwiba kafanana na mapung'o wa kwenye magazeti ya sani
@danielaugustino7053 ай бұрын
Bdo tupooo xnaaaaaa😂😂😂😂😂
@GraceVicktory3 ай бұрын
Yani steve utakuja ku jutta,kumuowa. Naomi
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Uyu mwiba nae vip kwa mama stevu
@hawasaid71513 ай бұрын
Sasa huyo nae si team Naomi mpango wao ni mmoja kuvuruga familia nzima😅
@kwisa48993 ай бұрын
Lulu anajua
@julianamalanyingi3 ай бұрын
Jaman tunaomba mwendelezo wa ep21 tafadhali😢
@RehemaYakuti3 ай бұрын
Kumbe mwiba na brayan ndug mama yao uyo ndo alimtelekeza kwenye kituo cha ya tima😢
@MwanswidaSwida3 ай бұрын
Mbna kama nãisi mwiba ni mtoto wa mama Brian au wenzangu mwaonaje
@NeemaIssanga3 ай бұрын
Ep 21 tunaisubiri jamn
@KituRu3 ай бұрын
Nick anacheza character aliyopewa❤❤❤ hana shida
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂Huyu dadaake nina sjuh mdogoake ni malaya wa chinichini 😂😂😂😂😂😂
@AgaboLendalije3 ай бұрын
😆😆😆 nimecheka kwa sauti
@MaryTesha-le2ql3 ай бұрын
Ety tuachane na baba😅😅😅
@priscakimburi-sl9ml3 ай бұрын
😂😂😂😂😂Nakuambia huyo ndo hatari sana na anaeza shika mimba vibaya sana
@TinahMhafiwa3 ай бұрын
😀😀😀😀
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
@@priscakimburi-sl9ml😂😂😂😂
@gracemwansasu78273 ай бұрын
Vivian anakera kurudi kwa Nicky tena duuuh
@khadijahhussan1823 ай бұрын
😢😢Daah why usimwambie kama ww ni mwanae,, ungejua kama mama yako anakufikiria maskin ungemwambia tu jmn
@Mwanah-cg3ie3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🎉 Nicky jmn
@Ester-d7f3 ай бұрын
Nice movie❤❤❤❤❤❤
@AnithaNahimana3 ай бұрын
Ivi uyo naomi ninani haswa mim ana nitiya mashakani
@daveskerah333 ай бұрын
Tunasubiri mwendelezo plz tiwekee
@vivajerry87283 ай бұрын
Kumbe Mwiba ni mtoto wa mama Brian
@estherkeba243 ай бұрын
wakwanza
@KerrySenator3 ай бұрын
Ino mimi iko kwa Chanel gan
@sswaleh3 ай бұрын
Next episode plz
@hellenzahabu18733 ай бұрын
Mbona hamuonhezi episode nyingine jamani
@ChristineKesi-k9r3 ай бұрын
I guessed so too,brian not dead
@neykidoti1023 ай бұрын
Vivian punguani halafu anacheka yuko sawa kweli?
@saumujuma-qk7ql3 ай бұрын
Episode ya 21 bado jaman lulu
@winnieseba22573 ай бұрын
Ila huyu vivi nae anagombanisha wenzie
@FriminKimario-u7d3 ай бұрын
manka ni hatar
@rizikiMwafungo-ge7fh3 ай бұрын
Kwamba nini mamake
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
Ila mwiba handsome😂😂😂
@EwardSalema3 ай бұрын
Episode ya 21 lini kwani
@Waminala-id6kr3 ай бұрын
Napenda kicheko cha nick
@florajoseph653 ай бұрын
Kina kosha saaan
@AnetPetro3 ай бұрын
❤
@allybin083 ай бұрын
❤❤❤
@TheresiaRichard-eu5hb3 ай бұрын
21 mbona haiji hadi leo
@AngelaYala-t7z3 ай бұрын
Awatowi zingine mbona
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Uyu Viviane ni mjinga sana
@chidmo70483 ай бұрын
Mbn sijaona action ya ATM card ya niki kuchukuliw af kimya tu kama hakijatokea kitu