ELON MUSK: ANA AKILI KUTOKA SAYARI Nyingine/ AWEKA REKODI MAREKANI KWA KUPELEKA CHOMBO ANGA ZA JUU

  Рет қаралды 109,465

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

ELON MUSK: ANA AKILI KUTOKA SAYARI Nyingine/ AWEKA REKODI MAREKANI KWA KUPELEKA CHOMBO ANGA ZA JUU
Alipozaliwa Juni 28, 1971 kutoka kwa baba yake, Errol Musk, mhandisi na tajiri mkubwa kwa wakati huo, raia wa Afrika Kusini na mama Maye Musk, mwanamitindo mwenye asili ya Canada, alipewa jina la Elon Reev Musk FSR.
Katika umri wake wa utoto, inaelezwa kwamba Musk alikuwa akipenda kucheza peke yake, akiwa kimya kabisa kiasi kwamba kuna wakati wazazi wake walihisi kwamba pengine alikuwa na matatizo ya kusikia, akapelekwa kwa daktari kufanyiwa uchunguzi lakini hakubainika kuwa na tatizo lolote.
Alipofikisha umri wa miaka 10, wazazi wake walipeana talaka, akachukuliwa na mama yake na kwenda nchini Canada, maisha yakaendelea.
Ni katika kipindi hicho, alianza kuonesha mapenzi makubwa kwenye elimu ya kompyuta, akawa anajifunza mwenyewe mambo mbalimbali ikiwemo programming na alipofikisha umri wa miaka 12, tayari alikuwa na uwezo wa kutengeneza program mbalimbali za kompyuta.
Baada ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Pennsylvania, alijiunga na Chuo Kikuu cha Stanford, nacho cha Marekani lakini baadaye aliamua kuachana na masomo ya chuo! Ndiyo, aliamua kukacha masomo ili atimize ndoto kubwa zaidi maishani mwake. Ameelezwa kuwa na akili za ajabu kama binadamu atokaye Sayari nyingine.....aweka rekodi Marekani ya kufanikisha Marekani mwaka huu kurusha roketi kwenda anga za juu kutokea ardhi ya Marekani...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 80
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 жыл бұрын
Kweli kaka yangu Elon musk sio binadamu wa kawaida mungu ambariki sana huyu jamaa 💜❤️👍🙏👏❤️♥️
@josephnkwamino6509
@josephnkwamino6509 2 жыл бұрын
Anazo kama zako tyu ila kazituliza akawa na utulivu
@edwinmandela5658
@edwinmandela5658 2 жыл бұрын
Ata mi nashangaa wabongo kaz kusifia hawajipambanii wenyewe
@eddykalinga7379
@eddykalinga7379 2 жыл бұрын
@@josephnkwamino6509 ll
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
@@josephnkwamino6509 Tuliza zako tuone impact
@edibilychaula.3753
@edibilychaula.3753 3 жыл бұрын
Huyu jamaaa ni noma mpka hapo,na mtangazaji upo vizuri nimekuelewa sana 👍
@SalmaHussein-pc9xo
@SalmaHussein-pc9xo Ай бұрын
Elon mask ❤ sio binadam wa kawaida mungu amempa kipawa kikubwa
@makoyenyerere6521
@makoyenyerere6521 2 жыл бұрын
Hongera sana 🙏 Mungu amekupa maarifa makubwa 🤝💯💯 🚣🏄
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 8 ай бұрын
Sawa nimekuelewa sana ila kwenye kubadili jua hapo... MUNGU hayuko hivo brow
@faythambeauty7725
@faythambeauty7725 2 жыл бұрын
Oohhhhh nampenda mpaka naumwaaa Lina miakili mingiiiiiiii oooohhhhh
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Hapo kwenye jua unakufuru ujuwe usimusirikishe Mungu kwenye shetani huuu
@BUSHASHASWITCH
@BUSHASHASWITCH 2 жыл бұрын
Thanks 💥 kbs yani mtangazaji yuko fresh kbs yani paka nikatamani kuwa kama elon Musk Tony Stark
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 8 ай бұрын
ila huyu jamaaaa moto unawaka kweli kweli.. cyo mchzo
@Ericklameck645
@Ericklameck645 4 жыл бұрын
Big up braza.......hakika umejaaliwa n Mungu
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
Hy my bro I miss to see you Sasa Kuna fantastic day inkuja
@40kstore
@40kstore 3 жыл бұрын
Inaweza ikawa bure kwa simu zake zitakazo uzwa ghali
@harmonize_tz774
@harmonize_tz774 3 жыл бұрын
Eee au akatengeneza kitu kitakachokuwa kinaunganishwa kwenye simu ambapo simu zake na sim za makampuni mengne zitawekewa huo uwezo wa internet Bure
@barakastive2447
@barakastive2447 2 жыл бұрын
Elon musk ni human kind
@johannesmaryvianney7870
@johannesmaryvianney7870 2 жыл бұрын
Africaaa oyeee south a bigup
@mustaphabakar1981
@mustaphabakar1981 3 жыл бұрын
Mtume kenda sehem iyofikiwa na kiumbee chochote kilee
@johnyagat973
@johnyagat973 Жыл бұрын
Sasa kama bilget alivumbua software tu akasumbua ivyo je huyu jamaa kumbe ndomana ni tajili namba moja duniani ninavyoskia ila anizidi mimi ninavyoisi
@shabandamas1759
@shabandamas1759 2 жыл бұрын
Ngoja namimi nivumbue kitu
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 2 ай бұрын
😂
@mustaphabakar1981
@mustaphabakar1981 3 жыл бұрын
Mtume muhammad kenda angani bila chombo chochote je uyoo aloenfa nachombo yy nimtototu
@abedinegoraphael4774
@abedinegoraphael4774 2 жыл бұрын
unayumba wewe
@katwigayona8041
@katwigayona8041 2 жыл бұрын
Kweli anayumba sasa hapo mohamad anakujaje tena
@fabianbenardngatunga2713
@fabianbenardngatunga2713 2 жыл бұрын
Waislamu wanapenda udini sana yanazungumzwa mambo ya sayansi unamtaja muhammad
@fabianbenardngatunga2713
@fabianbenardngatunga2713 2 жыл бұрын
Wapo kama ccm upande mwingne akisifiwa kama nikweli hawapongezi
@wilfredkuyonza675
@wilfredkuyonza675 3 жыл бұрын
Wewe pia inaonyesha umetoka sayari nyingine maana umeyajuaje haya
@binamourtraders4616
@binamourtraders4616 2 жыл бұрын
Kama soon musk tajiri kweliasa kila akauti ya MTU arushe pesa
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 жыл бұрын
Good Elon musk love you
@barakamajiji2388
@barakamajiji2388 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana bwana weeeee
@salumsaid5416
@salumsaid5416 2 жыл бұрын
Hiko chombo kina tumia Lita ngapi za mafuta naje Lita moja n kiasi gani ili tujue maana huku kwetu bei hazishikiki pale kwa mm!
@michaelmisana650
@michaelmisana650 2 жыл бұрын
Jamaa n nomaaa
@leylarashidi484
@leylarashidi484 3 жыл бұрын
big up
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
my big bro sey Hy to my vz president US American na pia msaliniye president
@elidaburton8737
@elidaburton8737 3 жыл бұрын
😄😄😄 ulijuaje io internet ya bure kwa wabongo.
@user-wr6lc3jz6g
@user-wr6lc3jz6g 3 жыл бұрын
Noma
@SpaceFactsWax
@SpaceFactsWax 4 жыл бұрын
Thanks so much for posting. I had the chance to see a rocket launch in 2018. Amazing experience. I uploaded a pretty solid video of the trip on my channel.
@raphaeldesmond4736
@raphaeldesmond4736 3 жыл бұрын
i know Im kinda off topic but does anyone know of a good website to watch new tv shows online?
@caspianfox6596
@caspianfox6596 3 жыл бұрын
@Raphael Desmond I use flixzone. Just google for it :)
@olembetonga7341
@olembetonga7341 2 жыл бұрын
Imeandikwa, hakuna jipya chini ya jua.
@mubarakarashidi4808
@mubarakarashidi4808 Жыл бұрын
Kalia ayo ayo kwan na ww ulikuwepo miaka ya nyuma
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Mwamba sana elon musk
@maryamferej8032
@maryamferej8032 3 жыл бұрын
Mwengine uyuu
@esaumahundi5647
@esaumahundi5647 2 жыл бұрын
Jua hawezi
@hosenimwelekwa5367
@hosenimwelekwa5367 2 жыл бұрын
Huyu mtu anajua kusimulia, huchoki kusikiliza
@loshipangoipa5810
@loshipangoipa5810 Жыл бұрын
Asee
@godfreymwacha5435
@godfreymwacha5435 4 жыл бұрын
Yes that is Elon musk C.E.O wa space X, Tesla, Neutrallink, na Boaring Campany Alizaliwa south Afrika Ni moja ya Innovators Wa Kizazi Chetu ni kama kina Newton wa Enzi hizo
@criedpoem7216
@criedpoem7216 2 жыл бұрын
People do think, more wise, as days vanish with their too speed.
@belitomanuel6240
@belitomanuel6240 2 жыл бұрын
Queria falar com ela via SAP.
@harmonize_tz774
@harmonize_tz774 3 жыл бұрын
Kudadeq watu wanaangalia mbaaali duuuuuuuu
@mustaphabakar1981
@mustaphabakar1981 3 жыл бұрын
Mwana sayanc bora ulimwenguni ni mtu muhammad s w wengine wote wanafoctu
@issahashimu2593
@issahashimu2593 2 жыл бұрын
True
@abdallasaleh2303
@abdallasaleh2303 2 жыл бұрын
Respect broo you are right
@andrewkazy3727
@andrewkazy3727 2 жыл бұрын
Alivumbua nn?
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 2 жыл бұрын
@@andrewkazy3727 ushabiki tu hao hamna kitu hapo.
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 2 жыл бұрын
Mnatuletea udini kwenye sayansi
@mustaphabakar1981
@mustaphabakar1981 3 жыл бұрын
Hawaz kua mfalme
@saningokivuyo2142
@saningokivuyo2142 2 жыл бұрын
Hamna internet ya bure
@johnyagat973
@johnyagat973 Жыл бұрын
Ni balaa balaa ila anizidi mimi naamini
@trascokivenule7975
@trascokivenule7975 2 жыл бұрын
Mwamba
@lookbabes8710
@lookbabes8710 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Hmmmm
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 жыл бұрын
the world is in danger
@costofamily4861
@costofamily4861 10 ай бұрын
Mbwa wewe syo ediga weww
@omarynassor6313
@omarynassor6313 3 жыл бұрын
Yajayo yanafurahisha kwa wazungu sio kwa yatanzania
@swaumukulachi8289
@swaumukulachi8289 3 жыл бұрын
@@lampadshigonko3006 waongoooo
@Keddyboom
@Keddyboom 2 жыл бұрын
😂😂😂
@johnsanga9528
@johnsanga9528 2 жыл бұрын
Huyu ndio nabii mteule wa Mungu sasa
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
putni oky sawa unajipanga kazi or unajisheee chehee
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 жыл бұрын
this guy is from hell
@masundelwa
@masundelwa 2 жыл бұрын
Mwamba ni noma huyo elon ni noma sanaaa
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 818 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 10 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 6 МЛН
TESLA ,Magari yasiyotumia Mafuta
6:02
Snashtz
Рет қаралды 42 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 10 МЛН