ELON MUSK: BINADAMU WA AJABU ANAYEISUMBUA DUNIA KUTOKANA NA UWEZO MKUBWA WA AKILI ALIONAO..

  Рет қаралды 43,924

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

ELON MUSK: BINADAMU WA AJABU ANAYEISUMBUA DUNIA KUTOKANA NA UWEZO MKUBWA WA AKILI ALIONAO..
Siku chache zilizopita, tajiri namba moja duniani, Elon Musk hatimaye alifanikisha dili lake la nguvu la kuununua mtandao wa kijamii wa Twitter kwa dau la dola za Kimarekani dola bilioni 44 pamoja na kununua kila hisa kwa dau la dola 54.20.
Dili hilo kubwa limeushangaza ulimwengu kutokana na jinsi Elon Musk alivyopigania mipango yake ya kuununua mtandao huo maarufu duniani na hatimaye kufanikisha katika muda ambao hakuna aliyekuwa anaamini kwamba anaweza kufanya hivyo.
Na katika kuyonesha jeuri ya fedha, Musk amejitapa kwamba amefanya malipo yote kwa fedha taslimu! Ama kwa hakika fedha imeongea.
Suala la Elon Musk kuununua mtandao huo, lilianza kama masihara, watu wengi wakawa wanambeza kwamba hana ubavu huo lakini baada ya kutangaza dau mezani, viongozi wa bodi ya menejimenti ya mtandao huo uliamua akulichukulia suala hilo kwa uzito wa kipekee.
Dau lililotangazwa lilikuwa kubwa mno kiasi kwamba kulikataa ingeonekana ni mawazo ya kijuha, Elon Musk akafanikiwa kupenyeza rupia kwenye uzia na hatimaye, Twitter sasa ni mali yake.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 81
@saxannjo6173
@saxannjo6173 2 жыл бұрын
AMEZALIWA AFRICA
@leob8450
@leob8450 2 жыл бұрын
south Africa
@elibarikikivuyo5946
@elibarikikivuyo5946 2 жыл бұрын
Uhuni tu ya waafrica Mbona mwanamalundi amefanya mengi lakini tunamwita mchawi mmm Lakini mzungu anaakili nyingi daaa😭😭😭
@finestford007
@finestford007 Жыл бұрын
Wewe ni mjinga
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 2 жыл бұрын
The average score on an IQ test is 100. These labels are often given for IQ scores: 1 to 24: Profound mental disability 25 to 39: Severe mental disability 40 to 54: Moderate mental disability 55 to 69: Mild mental disability 70 to 84: Borderline mental disability 85 to 114: Average intelligence 115 to 129: Above average or bright 130 to 144: Moderately gifted 145 to 159: Highly gifted 160 to 179: Exceptionally gifted 180 and up: Profoundly gifted So huyu mwamba IQ yake inacheza kwenye > 150, Einstein alikuwa anakadiriwa kuwa na IQ ya 160.. Newton 190 - 200
@wilsonmaduhu4921
@wilsonmaduhu4921 2 жыл бұрын
Safi sana
@abudoeugenio6903
@abudoeugenio6903 2 жыл бұрын
Mtangazaji hapo umemkufuru Mungu.Aitatokea hata siku moja binaadamu abadiri mwenendo wa jua.Eti litokee maharibi na lizame mashariki!!!
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Imeandikwa kweny biblia takatifu . Ila ni nyakati za mwisho wa dunia na sio kugeuzwa na mtu litajigeuza lenyew
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
Mungu uyouyo amewapa watu hao hao uwezo mkubwa sana ambao kwa mtu mweus ni ngumu
@uzungupoint
@uzungupoint 2 жыл бұрын
@@hallin9561 Tatizo waafrika mind zetu ni mfu, wazungu wanawaza vitu visivyowazika kirahisi.
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 2 жыл бұрын
@@stephanomoses7694 haliwezi kuwa jua, bali ni mzungumko wa dunia... kawaida dunia inazunguka from west to east. Hivyo ili jua lionekane linanda kinyume dunia inabidi ibadili mzunguko, kutoka east kwenda west
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
@@manish-fp1fb kweli👍
@nassirali7499
@nassirali7499 2 жыл бұрын
Uo utani wako umeharibu yote mazuri uliyoeleza awali, mbwembwe zikizidi huishia kuharibu
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 2 жыл бұрын
Kama kweli ana akili aje Zanzibar kucheza draft aone atakavo fungwa
@hillaljnrkisunzu7737
@hillaljnrkisunzu7737 2 жыл бұрын
Hahah
@dickslaa
@dickslaa 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
🤓
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 2 жыл бұрын
😂😂😂
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
😆😆
@harrishussein6992
@harrishussein6992 2 жыл бұрын
Hana akili kushinda wote asinge nunua mtandao wa twitter angeunda mtandao wake wakitofaut ili awapiku wote
@saxannjo6173
@saxannjo6173 2 жыл бұрын
Waafrika wakifanya maajabu mnasema wanatoka sayari nyingine,,, na waafrika wapumbavu wanakubali,,, pigen kelele,, HUYU NI MUAFRIKA ANAEISUMBUA DUNIA
@hugholinemmasi1671
@hugholinemmasi1671 2 жыл бұрын
I WISH HIM THE BEST.MAY GOD ALMIGHTY BE UPON EACH AND EVERY THING HE DO
@amm24media65
@amm24media65 2 жыл бұрын
Elon musk ni Business genius!
@user-gv7sd4oi6q
@user-gv7sd4oi6q 9 күн бұрын
Hakuna kitu hawezi kumfikia Mungu huyo ndiyo mpinga kiristo
@dunstangeorge3263
@dunstangeorge3263 2 жыл бұрын
Utajiri hauna rangi, jinsia wala umri👌👌
@superangeltv4615
@superangeltv4615 2 жыл бұрын
ubilione sio rangi wala bara acha kujinyanyasa kila mtu anaweza kama atawekeza kujifunza
@professorimmah
@professorimmah 6 ай бұрын
Elon musk is incredible man
@jonasvisusa2719
@jonasvisusa2719 2 жыл бұрын
Munge tuambiya anajua kesho yake na ku kikimbia kifo
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 2 жыл бұрын
Jamaa ana akili sana, amesema kama kitakuwa na uwekezaji kiutafiti wa ki DNA/NRA Kuna uwezekana wa kuondoa kuzeeka au kumrudisha mtu aliyezeeka kwenye ujana. Imagine that. 😂😂😂
@thomashaaly1086
@thomashaaly1086 Жыл бұрын
Kila kitu kina pande mbili wengine hukubali wengine hukata always you will never pleaser everyone
@rashowshine7849
@rashowshine7849 2 жыл бұрын
Hilo la kusema ndoto zake zilikuwa nikisoma marekani ni propaganda za wamarekani ili wampe uraia
@mussalameck2166
@mussalameck2166 2 жыл бұрын
Ilo sio geni sababu hapa nilipo natumia internet ya Bure serious siko kwenye utani
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 Жыл бұрын
Khaa wejamaa
@nasrikhoja9664
@nasrikhoja9664 11 күн бұрын
Duuh
@ummatchannel4300
@ummatchannel4300 2 жыл бұрын
Kipanya pia katengeneza gari ya umeme. Hamumuoni?
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 2 жыл бұрын
Genius
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 2 жыл бұрын
Asaidie kuimaliza vita hii!
@clementselestine5308
@clementselestine5308 2 жыл бұрын
No 2
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Huo ubilionea wake angekuwa tz uncle magu angetaifisha bila kujali madhara yake na bila kujali uhalali wa pesa zake
@ramadhanimwaita2659
@ramadhanimwaita2659 2 жыл бұрын
unaongea ujinga sasa
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
@@ramadhanimwaita2659 tatizo watu wengine hamtaki ukweli,usijifanye hujui
@kassebo
@kassebo 2 жыл бұрын
Genus
@verceskaingu1372
@verceskaingu1372 11 ай бұрын
mtu mwerevu zaidi duniani
@maalimjaffar5563
@maalimjaffar5563 2 жыл бұрын
Mnnnnh,,,,sawa hivyo msemavyo,,,lkn pamoja na dunia kumtambua ndie mwenye akili kuliko sote,,,ila ajabu nikwamba,, mpaka sasa hajamfahamu Mungu wa kweli,nawala hajui kwamba mbwa na nguruwe ni najisi..."""INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN.
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 2 жыл бұрын
Asumbui chochote huyu ni binaadamu wa kawaida tu hana cha ajabu. Wapo walogundua vitu vingi kabla yake na watao gundua baada yake. Msitupandikize akili za kimagharibi kila siku fujo
@victormneney1475
@victormneney1475 2 жыл бұрын
Hajanifikia mm njoo mpime IQ yangu Tarixo fund
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Ni pepo huyo
@samwelpetro8819
@samwelpetro8819 5 ай бұрын
Was Dy😅
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
Mimi nnaza akili labda we mtangazaji zako zimeyumbo
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 жыл бұрын
Sema nin kama vp apeleke nguvu ukrein akaikomboe kama kweli yeye kidume
@jumannekatumba44
@jumannekatumba44 2 жыл бұрын
Watu wameenda mwezini kabla hajazaliwa
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 2 жыл бұрын
Angelina Tanzania angekuwa na kesi ya kuhujumu uchumi bila dhamana
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Жыл бұрын
True
@user-fx5gu6xs5o
@user-fx5gu6xs5o 10 ай бұрын
Hahaha😂😂😂😂
@jamessanga7120
@jamessanga7120 2 жыл бұрын
Uongo sio kweli kuwa anaakili kuliko watu wote, wako watu siyo huyo kikaragosi
@rashowshine7849
@rashowshine7849 2 жыл бұрын
Wamefanya nini hao watu wako wenye akili nyingi
@jamessanga7120
@jamessanga7120 2 жыл бұрын
@@rashowshine7849 kaangalie rekodi za dunia za wagunduzi anachofanya mask ni kuboresha vilivyopo hakuna kipya alichofanya aje na ugunduzi mpya cyo kuboresha mifumo iliopo upo?
@jamessanga7120
@jamessanga7120 2 жыл бұрын
@@rashowshine7849 kasome multiple intelligence ndo utaelewa akili ni nini
@danielfesto489
@danielfesto489 2 жыл бұрын
sijaona u genius wake ni wa kawaida sema ni mfanyabiashara anayetumia pesa kufanikisha sayansi hasa naona anaboresha tu hebu fikiria mtu aliyegundua umeme kwenye moyo na ecg wewee
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 2 жыл бұрын
Sisi wenye akili ndogo tunauliza je izo rocket faida yake ni nini maana atuelewi uku
@EbondoSounds
@EbondoSounds 2 жыл бұрын
🤝 na anafaidikaje mana kuipahisha nima-milioni au bilioni!
@amm24media65
@amm24media65 2 жыл бұрын
@@EbondoSounds ata Mimi huwa najiuliza!!
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 2 жыл бұрын
Faida moja ya hizo rocket zinapeleka satellite angani ili wewe na mimi tuweze kuwasiliana katika huu mtandao na vile vile kuiona hii KZbin.Faida ziko nyingi sana.Simu yako inatumia Internet kutuma pesa na kupokea.
@EbondoSounds
@EbondoSounds 2 жыл бұрын
@@khaliphaabubakar9466 That's the point 🤝🤳
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 2 жыл бұрын
Roketi ni chombo kinachobeba vyombo vingine kuvipeleka anga za juu, alichofanikiwa huyu mwamba, huwa kawaida ya rocket ikishapeleka chombo anga za mbali ndio imemaliza misheni yake... alichofanya yeye ni roketi inapeka chombo angani na kurudi duniani, hivyo inaweza kutumika tena kupeleka vyombo vingine.
@malikijuma2759
@malikijuma2759 2 жыл бұрын
sio kuwa ana akili nyingi sana kuliko binadamu wote,sema ana hela nyingi yakuweka katika maeneo yanayotumia akili.kumbuka hata hivyo hizo kazi zenyewe hafanyi pekeake.
@amm24media65
@amm24media65 2 жыл бұрын
Swadakta yeye ni mwekezaji anatoa $ kazi wanfanya wengine!
@Tee-King
@Tee-King 2 жыл бұрын
Nazan mnaongea msicho kijua me siamini kama ana akili kulko wote ila sio muwekezaj tu ni chief engineer wa spaceX,hv kuitwa engineer mpaka uweje?
@elineokusiluka9683
@elineokusiluka9683 2 жыл бұрын
@@Tee-King wambie hao naona wanaropoka tu
@khadijajuma7873
@khadijajuma7873 2 жыл бұрын
Elon ni Engineer kazi anafanya yeye
@ericksagara1719
@ericksagara1719 2 жыл бұрын
Hilo ni kweli kabisa. Yeye ni mwekezaji wa mambo ya kisayansi na mwenye ela ya kutoshA. Hivyo ana uwezo wa kuwalipa chichote wanasayansi ili kutimiza alichokusuda.
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Unasema ana akili kuliko binadamu wote kwasasa,je lini mlinipima mimi uwezo wa akili zangu? Acha hizo
@samsonngwembele5479
@samsonngwembele5479 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 2 жыл бұрын
Uwezo wa akili yako utajulikana tu, kwasababu kama ina vielement vya upekee ungejulikana tu kutokana na innovation zako.... akili unaishia nayo kuvukia barabara ni ya kila mtu. Ila fanya jambo la upekee ndio IQ kubwa hiyo.
@maalimjaffar5563
@maalimjaffar5563 2 жыл бұрын
Kwa vigezo walivyotumia hakuna ulazima wakumpima kila mtu,,,,wewe iwapo unabisha pambana umshinde kwa mkwanja.
@ikeallaround794
@ikeallaround794 2 жыл бұрын
Acha kuiga sauti/ utangazaji wa mtu mwingine...
@pizzo1morestart840
@pizzo1morestart840 2 жыл бұрын
hana lolote wazungu wanapenda kupaishana tu
What was so scary about Tesla’s ideas? | Decoded
15:18
Al Jazeera English
Рет қаралды 5 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 21 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
The Story Book : Usiyoyajua Kuhusu Jua
26:54
Wasafi Media
Рет қаралды 918 М.
Ijue Vizuri STARLINK ya ELON MUSK  / Inakuja TANZANIA
5:03
Snashtz
Рет қаралды 19 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
0:57
SuperCrastan
Рет қаралды 7 МЛН
#samsung #retrophone #nostalgia #x100
0:14
mobijunk
Рет қаралды 9 МЛН
8 Товаров с Алиэкспресс, о которых ты мог и не знать!
49:47
РасПаковка ДваПаковка
Рет қаралды 116 М.
Телефон-електрошокер
0:43
RICARDO 2.0
Рет қаралды 1,3 МЛН
iPhone 15 Pro Max vs IPhone Xs Max  troll face speed test
0:33