No video

Emmanuel Mbasha: Flora amethibitisha kuzaa nje ya ndoa

  Рет қаралды 147,968

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@emmanuelmihayo269
@emmanuelmihayo269 7 жыл бұрын
Frolaa, Mungu akukumbuke mama. Emmanuel Mungu akupe nguvu kwani yaliyotabiliwa na manabii yanatimia. Narudia frola utubu Mungu atakusamehe
@happythomas5026
@happythomas5026 7 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu akupe nguvu na moyo wa uvumilivu sana
@neemashalua2283
@neemashalua2283 4 жыл бұрын
Pole kaka tunajuwa Flora ndo mzigo mzito yaan Mungu amsamehe bure Dada anaimba tu ili apate pesa ila ukwel hajaokoka
@MartinsAgufana
@MartinsAgufana 7 жыл бұрын
Tuliza hakuna la ajabu.Kila jambo tunalolipitia ni somo na inatupasa kushukuru.Mungu atakupa wimbo mpya Bw.@Mbasha.Tusameheane.., tuendelee na maisha yetu..
@ramadhanibrahim7619
@ramadhanibrahim7619 7 жыл бұрын
Pole sn Mkuu Huyo ni Ibilisi msahau kabisa Mungu akusimamie nakupongeza sn Mbasha kwa ujasiri wako ni wachache wenye Moyo km wako, Ongera sn
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
mbasha we una moyo wa uvumilivu sana lile janamke ni shetani tena ni kiongozi wa shetani mungu atakulipia apa duniani
@fedelicasanga6174
@fedelicasanga6174 7 жыл бұрын
زهرا
@djpattyclassic6183
@djpattyclassic6183 7 жыл бұрын
Dah pole sana bhana najua inauma sana, Nimekuelewa vzr xn ww ndo jembe aisee cjui ingelikuwa n mm ningelichukuliaje hili kwa upande wangu sometimes nawaza xn nakufkria labda ningekuwepo jela kbx
@peterchullu3707
@peterchullu3707 7 жыл бұрын
duh pole sana mkuu Mungu yupo pamoja sana nawe yule sio mchungaji yule bali ni mnyama sana yaan mbwaa
@nikwelidadanapendasananyim6657
@nikwelidadanapendasananyim6657 7 жыл бұрын
Pole sana kaka Mbasha Mungu atakupa mke mwema
@dariadominick3032
@dariadominick3032 4 жыл бұрын
Hongera sana mbasha una moyo wa. uvumilivu achana nae utapata mwingine ambae ni chaguo lako
@xkingx8041
@xkingx8041 7 жыл бұрын
Pole saana mbasha, malipo yote ni hapa chini ya jua! Mungu akusaidiye
@florakaiza2352
@florakaiza2352 5 жыл бұрын
Pole hii ndo dunia hata wanaume WaPo Wenye moyo Kama wa flora
@rachelmwangoka3290
@rachelmwangoka3290 6 жыл бұрын
Pole sana brother mungu akutie nguvu
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
kwanza mbasha we ni mzr sana utamata tu mwenye mpz ya kweli
@jacquilinemahumbi5950
@jacquilinemahumbi5950 6 жыл бұрын
Kaka simama imara. Mungu akubariki Fanya kz y' Mungu.
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 7 жыл бұрын
pole sana kaka mungu akushindie huenda pia mungu kakuepushia jambo kwako inauma sana lakini yatapita tu hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho
@annasamwel2966
@annasamwel2966 6 жыл бұрын
pole kaka nikutie moyo mpango wa Mungu ni wa ajabu lazima mapenzi ya Mungu yatimie
@dinnahjonas1958
@dinnahjonas1958 7 жыл бұрын
mungu atakuomyesha alie wakwako hakika huwezi jua mungu amekuepusha na nn kutoka kwa flora usihuzunuke mungu yu pamoja nawe ameeen!
@mwanamutemi
@mwanamutemi 4 жыл бұрын
A very composed guy !!
@anglehope8534
@anglehope8534 4 жыл бұрын
Kaka mbasha namujua vizuri sana haezi fanya jambo kama hilo
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Frola umetutia aibu kubwa Mungu zaidi umeaibisha Jina la Yesu
@barakamollel2109
@barakamollel2109 7 жыл бұрын
temana nae kwanza ana sura mbaya kaa roo yake
@upendorobert7298
@upendorobert7298 4 жыл бұрын
Mbasha nikushauri, uoe Mke mwingine. kwa jinsi ulivyo smart na hand some angalia usije ukaangukia mikononi mwa mijimama inayopenda kuchukua Vijana kama ww na kuwa chombo cha starehe, tena kuna mimama ambao ni watumishi wa Mungu wakubwa na wanatabia hizo. chunga sana
@gabrielwambura3397
@gabrielwambura3397 7 жыл бұрын
mimi niseme hivi wale waliohusika kuvunja ndoa ya mbasha wakiri hadharani, watanzania wameona, na dunia pia na Mungu ndo kabisa, na Mungu kakasirika, na Kwa bahati mbaya watanzania wamelaani na mungu ndo usiseme, namuomba mungu awanyoshe, ili washike washike adabu.
@esthermakelemo5923
@esthermakelemo5923 7 жыл бұрын
Emanuel Mbasha, you are a hero,super champion
@roselinahmathias5250
@roselinahmathias5250 7 жыл бұрын
Ndugu zangu, tuache tabia ya kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja, ni vema tungesikiliza pande zote coz kila mtu anasema yake! Apo kuna siri kubwa ambayo watu hawa wanaijua na Mungu wao! So me sina cha Kisema hapo.
@neemashalua2283
@neemashalua2283 4 жыл бұрын
Nahis wewe humjui vizur florah
@beatricemtewele1596
@beatricemtewele1596 7 жыл бұрын
Mbasha kweli wewe ni mwanaume wa shoka
@sarafinamakilkka5678
@sarafinamakilkka5678 5 жыл бұрын
Kiukweli mahusiano yanahitaji umakini sana,kuna wkt unapendwa sn Na unamwamini san mpenzi wako,unafika wkt akikusaliti inachukuwa muda sana kuamini Na kukubali,tukubali Mungu aingilie kati mahusiano yetu Na atupe uvumilivu,Mungu akutie moyo kaka,sisi wanawake huwa tunaamua kutokuolewa kabisaa baada ya kusalitiwa tunapoteza imani
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
Mungu akulindeni
@eddoryusuphu1019
@eddoryusuphu1019 7 жыл бұрын
Mbasha kwao singida wilaya ya mkalama kijiji cha isanzu kitongji cha matongo tarafa ya kirumi
@abineryantonykilulu954
@abineryantonykilulu954 7 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa busara kaka maana kuna mambo katika roho ya kawaida huwezi kusamehe hivihivi
@givenessernest6400
@givenessernest6400 7 жыл бұрын
mbasa njoo unioe Mimi binadam tunatofautiana jemen
@leoniakalimanzira5090
@leoniakalimanzira5090 7 жыл бұрын
saiv arus Tayar,,,Frola na Mme mwngne,,mbasha na life lake,,,,mtangazaj punguza kucheka
@modestaemanuel6355
@modestaemanuel6355 7 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu Kwa kila jambo! maana hakuna jipya chini ya jua! Kwa hiyo hakuna kitu kitakacho tutenga na upendo Wa Bwana!maana MTU akiipenda dunia kumpenda Mungu hakupo ndani yake!songa mbele brother!
@rachelfigure8351
@rachelfigure8351 7 жыл бұрын
once in life you go through something to learn a reason,don't give up brother the good ones are not yet born,your strong man of God keep your head on & move on with life
@AdonisMniko
@AdonisMniko 3 ай бұрын
Gwajiboy
@biyamungu1021
@biyamungu1021 7 жыл бұрын
mapito tu pole mbasha
@shagembemarco4298
@shagembemarco4298 7 жыл бұрын
ila kweli brother unamoyo,nafikiria ningelikuwa mimi sijui ingelikuaje,kama jela nitaenda
@emilymwabwalwa6052
@emilymwabwalwa6052 7 жыл бұрын
mungu akutie nguvu mbasha utapata Mke mwema kazana na maombi utajibiwa
@memehhhahshshdhdhd
@memehhhahshshdhdhd 7 жыл бұрын
pole.ila hata wanaume huwa mnazaa nje ya ndoa mnaleta watoto ndani na wanawake wanawapokea na kuwalea.huwa inaumaaaa.simtetei flora ila wanaume jinsi mnavoumia kusalitiwa ndivo wanawake wanaumia hvohvo..pole emma Mungu kakuepusha jambo.
@beatricemakokha2344
@beatricemakokha2344 7 жыл бұрын
pole sana kaka u are not alone n the mighty lord wil fight for u
@dadapaul2533
@dadapaul2533 6 жыл бұрын
Dah kaka mbasha kweli unamoyo pole sana ila mungu u upande wako yaliyokukuta si madogo ila endelea kuwa na moyo huo
@agnesmlingwa4910
@agnesmlingwa4910 7 жыл бұрын
inawezekana mungu amekuepusha namengi mumshukuru muumba kwakukuepusha nae
@clemmyamani7566
@clemmyamani7566 7 жыл бұрын
I really love you mbasha your a strong man big up,, support yangu unayo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
jaman huyukaka alivyomzuri lakini mwanamke wake hataki kumpenda kweli shetani niwaajabu pole kaka
@annamawala4405
@annamawala4405 7 жыл бұрын
Flora maamuzi yako ni mazuri ila angalia usije ukajutia zaidi ya awali. Mwombe sana mungu ktk ndoa yako
@gamninij.mayunga8473
@gamninij.mayunga8473 7 жыл бұрын
Brother nakupongeza xana kwa moyo wa ujasili, ww nijasili siyo mchezo, ni zaidi wa komando kwa uvumilivu.
@omondiobondo1063
@omondiobondo1063 7 жыл бұрын
you have made me to have a second thought concerning gwajima....you are very intelligent and I really doubt if you can malign the servant of God😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@josephmtemi5658
@josephmtemi5658 4 жыл бұрын
Alihusikajee
@magynzioka1122
@magynzioka1122 7 жыл бұрын
mungu atapingana nawe ngwajime mungu anakuona tuu kuwachanisha doa za watu mm msame bure adui yako ili ubarikiwa
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 7 жыл бұрын
Magy Nzioka Heee kumbe chanzo ni Ngwajima
@ramakaore5596
@ramakaore5596 7 жыл бұрын
pole sana
@jaspicykabobo3671
@jaspicykabobo3671 7 жыл бұрын
Kaka pole sana. Ila biblia haikuruhusu kuoa isipokuwa ikiwa mwenzio afariki hapo ndipo Unawezaje kuoa tena. Pole sana ila endelea kumwamini Mungu atakuonyesha njia iliyo sahihi ya kupata, huku ukikumbuka kuwa kuna maisha baada ya kifo.
@upendorobert7298
@upendorobert7298 4 жыл бұрын
Jaspicy Kabobo kumbe huijui biblia ww, dhambi ya uzinzi huvunja ndoa kabisa, na bible huruhusu kuoa tena, so ni suala la muda tuu, mpenzi muda atapata mwingine, ila kwa Frola ndo kachemsha huyo kakiuka maagizo ya bible na kamdhalilishs babu yake marehemu kulola
@mariammct6602
@mariammct6602 7 жыл бұрын
pole sana mbasha
@winieramadan9857
@winieramadan9857 7 жыл бұрын
pole aise kwaio mchungaji ngwajima n katili kias icho anatakiwa atubu tena aje akuombe msamaha kwa alicho kutendea
@mebolinsnjowoka8628
@mebolinsnjowoka8628 7 жыл бұрын
pole mbasha
@johnmhoja6878
@johnmhoja6878 7 жыл бұрын
mbasha we we ni jembe kweli achana na ujinga huo
@ruthjmkombozi5990
@ruthjmkombozi5990 6 жыл бұрын
Winie Ramadan usilo lijua ni sawa na usiku wa giza
@ladysalimkabora9952
@ladysalimkabora9952 7 жыл бұрын
mbasha is cute tho.. (just thinking loud)
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 7 жыл бұрын
kushuhudia kuwa Fulani amefanya Mimi siamini kabisa kwani hizi ni siku za mwisho shetani anatumia watu kuchafua watumishi wa Mungu
@tabibulois3812
@tabibulois3812 7 жыл бұрын
Pole bro
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 7 жыл бұрын
Kama unashindwa kutaja kabila lako basi una shida kubwa
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 7 жыл бұрын
eeeh hayo majibu ni nomaa joooo
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f Жыл бұрын
Kama hayajakupata unaona simple tu.Viatu hivyo ni vya moto sana
@gracemapunda9783
@gracemapunda9783 7 жыл бұрын
Pole kk nimajaribu ya mda tu llakini yatapita
@saomobonsela9772
@saomobonsela9772 7 жыл бұрын
jamani inasikitisha ata nasikia kulia vele hawa watu walikua wamependana mpaka wanatumia account moja na mke wake mola atakulipia kua nasubra mola atakupa mke mwegine mwenye baraka
@amadsabimbona2553
@amadsabimbona2553 7 жыл бұрын
pole sana kaka
@rahimaemsembasi4608
@rahimaemsembasi4608 6 жыл бұрын
Saom Obonsela pole
@annacarlos7925
@annacarlos7925 7 жыл бұрын
mungu atakuongoza
@selestinajohn8015
@selestinajohn8015 7 жыл бұрын
achana nae kaka ima uyo mwanamke mshamba Wa maisha tena uyo kijana amejiingiza kwa kahaba uyo msaliti uyo
@gomangomangoma7397
@gomangomangoma7397 7 жыл бұрын
Pole ,, it's painful but live it in the hands of GOD
@schorasticamdaka7485
@schorasticamdaka7485 6 жыл бұрын
Polee sana
@abbasmjatta3102
@abbasmjatta3102 7 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kaka
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 5 жыл бұрын
eeh Flora b nae Ana mambo,Sasa an huu utumishi anamtumikia Mungu kweli au??!!!
@claralassonn8833
@claralassonn8833 5 жыл бұрын
Unapotea wapi kusema vibaya watumishi wa mungu angalia sana unatoa wapi uwo ujaslili mbasha tubu
@elizaboster9479
@elizaboster9479 2 жыл бұрын
Hayajakukuta
@sadamuzuberi7742
@sadamuzuberi7742 7 жыл бұрын
jikaze
@marygaspar6429
@marygaspar6429 6 жыл бұрын
Mbona kumefungwa
@peterchullu3707
@peterchullu3707 7 жыл бұрын
ila yule Mwanamke hatapata shida sana yaan analaana kubwa ipo siku hatapata dawa tu
@gracemapunda9783
@gracemapunda9783 7 жыл бұрын
Pole kaka utapata mke mwema kuwampole hta ss wanawake tunatendwa ni majarbuTu Kk Mbasha
@slayingtee6044
@slayingtee6044 7 жыл бұрын
Acheni tamaa ya matangazo
@sarahkabwelile3619
@sarahkabwelile3619 7 жыл бұрын
pole sana kaka
@mamapeace6730
@mamapeace6730 Жыл бұрын
Pore kaka
@wambuieunuce507
@wambuieunuce507 5 жыл бұрын
Jamani makubwa
@christinahaule9726
@christinahaule9726 7 жыл бұрын
pole sana EMA .njo kwangu nikuliwaze
@anglehope8534
@anglehope8534 4 жыл бұрын
Sifa zako zimetanda kaka mbasha
@rukiaabdallah92
@rukiaabdallah92 7 жыл бұрын
njoo nikuzalie mapacha 3 mie kwani ananini huyo na nitamlea vizuri
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
wewe nae simama kiume frola frola. wewe mwenyewe ndio umempa kiburi, usingemtafuta wala kumbembeleza angerudi mwenyewe. achana na habari hizo. songa mbele dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie. Hata km alizaa nje hukutakiwa kutangaza umepata nini sasa uliowatangazia wamekusaidia nini? umeharibu mwenyewe.
@aminasalim6160
@aminasalim6160 5 жыл бұрын
Pole weee
@aminasango3867
@aminasango3867 7 жыл бұрын
mungu atakulipa
@alexandrinadomaino1085
@alexandrinadomaino1085 7 жыл бұрын
Jaman uyu Flora khaaa
@estamelejomah572
@estamelejomah572 7 жыл бұрын
kumbe ngwajima nawewe pia gaidi duh hatareee
@stellantanga7559
@stellantanga7559 7 жыл бұрын
pole
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 7 жыл бұрын
kuna mengi yalojificha hapa kwanikama ni uzuri wa huyu kaka Frola anaujua mpaka akaolewa naye so kumuacha pia kuna kitu kaepuka coz naona kila mtu anavutia kwake
@lexilepeter2928
@lexilepeter2928 7 жыл бұрын
kaka Mbasha sifa na utukufu mrudishie yeye aliye juu, mshukuru Mungu kwa kila jambo na kila uombapo mkabidhi Mkeo katika mikono na uficho wa Mungu, naye atajua la kufanya ! Mungu akaifanye amani katika moyo wako na mlee mwanao vyema katika misingi impendezayo Mungu
@amosimwambembela4989
@amosimwambembela4989 7 жыл бұрын
kuna maisha baada ya kutengana!
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 7 жыл бұрын
😢😢😢😢ihuzunisha sana
@magynzioka1122
@magynzioka1122 7 жыл бұрын
mkeo mwanamke kahaba alie jipamba kwa thahabu bali sio kwa utukufu wa mungu anae wacha mumewake na kuolewa na mume mwengine basi amelaniwa atakae mwowa
@jaliyamihuhi7423
@jaliyamihuhi7423 7 жыл бұрын
sasa tatizo nini kuachana
@salomekonga6531
@salomekonga6531 7 жыл бұрын
mbasha, achana kabisa na like pepo
@zahajdimohamedy1687
@zahajdimohamedy1687 7 жыл бұрын
Zahajdi kutoka. arusha wewe msamehe uwe na imani moyoni mwako ila endelea na utumishi mungu atampiga pigo takatifu kama kweli
@mwageniteddy2917
@mwageniteddy2917 7 жыл бұрын
unaetaka kujua kabila likusaidie nn?mm ninachoamini Mungu c mwanadamu kila mmoja huandikiwa wake.FROLA hakuwa mke wake aombe mungu amuonyeshe wake harali kwa akili zake hawezi.samehe bureeee kaka ili Mungu atende.hongera kwa ujasiri na uvumilivu
@sarakusatz3224
@sarakusatz3224 3 жыл бұрын
Mpaka anabeba mimba na mwanaume mwingine mh hapo pana kubwa kuliko
@rozz8699
@rozz8699 7 жыл бұрын
Mbasha una roho mingu akubariki kama mwingine angerudi nyuma kupokonywa bibi wengine tunakosa bwana wazuri kama wewe
@evastinamgata1440
@evastinamgata1440 4 жыл бұрын
X
@tummash1744
@tummash1744 6 жыл бұрын
Usjali bro kitu Chaja kutoka mbinguni
@officialfredrickjacobtz2111
@officialfredrickjacobtz2111 7 жыл бұрын
Sawa
@annewanjiku52
@annewanjiku52 5 жыл бұрын
NIfundishe kunyamaza
@johnmhoja6878
@johnmhoja6878 7 жыл бұрын
kuna wengine shinyanga wapo
@saomobonsela9772
@saomobonsela9772 7 жыл бұрын
jamani nauliza tu kwani mchungaji gwijima ndio alo mvunjia doa nisaidieni nimepotea sielewi
@riyadmanfuha9229
@riyadmanfuha9229 7 жыл бұрын
jipe moyo kaka
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 3 жыл бұрын
.
@jamesrange7293
@jamesrange7293 7 жыл бұрын
alipata mtto wa mkiwa pamoja
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 7 жыл бұрын
Ngoja akusikie hhaahhhaa tutajua hadi jina lako la utoto
@ashuranurdin4071
@ashuranurdin4071 5 жыл бұрын
Polee kk
@florakapange3227
@florakapange3227 7 жыл бұрын
we mbasha una siri nzito na huyo flora ila hataki kuweka wazi
@williamskemisola6625
@williamskemisola6625 7 жыл бұрын
Huyo flora ana Tamaa arudi akafundwe maana anaonekana ka punguani
@barakazablon9713
@barakazablon9713 5 жыл бұрын
muombee2 manana mungu ali yatabili ayo yata tokea2 u Wenda jalibu lako ndo limefika mwisho.
@eunnyjanes1440
@eunnyjanes1440 7 жыл бұрын
I fil u plz
HIKI NDICHO KITU KINACHOMBOA SHILOLE KWA MUME WAKE
19:20
TimesFMTZ
Рет қаралды 395 М.
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 17 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
FAIZA BRIDAL SHOWER-FAIZA AKIPEWA ZAWADI
1:07:40
MashughuliTV
Рет қаралды 624 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.
BABA MBASHA: FLORA ALICHOKA KUISHI NA MWANANGU
12:15
Global TV Online
Рет қаралды 276 М.
Flora Mbasha kaolewa tena... Tazama ndoa ilivyofungwa
25:17
Millard Ayo
Рет қаралды 814 М.
KIKAANGONI: Gigy Money afunguka ukweli wote kuhusu maisha yake
1:47:53
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 17 МЛН