Most powerful and beautiful voice. Asante upendo. You are beautuful. Pia nawapenda Waha. ni ndugu zangu
@margaretagiso19973 жыл бұрын
Nyimbo zako zimenifanya kuendelea kumtumainia Mungu,it liftens my soul every moment,aki barikiwa sana mummy
@xkingx80417 жыл бұрын
Upendo, nakupenda Bure, yaani! !ubarikiwe saana
@anithalobina49866 жыл бұрын
una roho ya utii ndani yako. Mungu akubariki sana
@kacheali47777 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako kwa kweli zanibarik n kunifunza mambo mengi maishan jinsi ya kuhusiano mzur n mungu. mungu azid kukupa nguvu uzid kueneza injili .
@ednaprosper607 жыл бұрын
Barikiwa Sana dada wenimcheshi sana
@rosemaina85244 жыл бұрын
You have a sense of humour n sound young at heart. Like
@BerthaPereya Жыл бұрын
I love you and your songs
@roseogundo93232 жыл бұрын
Nakupenda bure my Dada...kicheko hiyo ...mwaaà
@femaleflower41002 жыл бұрын
Amujambo mungu akubaliki sanakabisa mungu akuongeze yemafuta akuzindisiye 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 namimna pendayipo zakozote amina amina ubalikiw sanakabisa
@kendashibadu10626 жыл бұрын
Mama upendo uko sawa nyimbo zako zinajenga.
@rebecabryson14817 жыл бұрын
nakupenda sana nyimbo zako zinanipeleka uweponi sana
@danielkyalo15127 жыл бұрын
UAR a strong pillar mummy nakupenda mwanzo mavazi yako,mmmmmmwah barikiwa sana
@mwajumahamisi67387 жыл бұрын
wow! I love the story of your calling. Bwana akutie nguvu akushike mkono usiiache njia.... I love your story
@agnesslyatuu9937 жыл бұрын
Daa dada Upendo nimekupenda saaàaana ubarikiwe.
@injenasuppliers39587 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@puritymoki22384 жыл бұрын
May God continue increasing the grace in you, to fulfill your purpose
@rhinaregina58067 жыл бұрын
mommy I love all your songs, you bless me a lot
@joyblessedtv7 жыл бұрын
nakupenda na ninabarikiwa na kazi zako Mungu akubariki uende mbali hadi Mbinguni
@babyelizabeth57437 жыл бұрын
she so fine but I like your music may God bless you
@solangeirakoze32437 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@winnyroda7558 Жыл бұрын
Nakupenda bule mama
@gracedadu66357 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Upendo Nkone
@pristinenjeri28607 жыл бұрын
Wow i am blessed,love her songs so much..... and she is sooooooo funny
@mwajumahamisi67387 жыл бұрын
nilikujuaga kwa wimbo wa Mungu baba ninakupenda and still my favourites
@solangeirakoze32437 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako mungu akuwezeshe
@medtreat50697 жыл бұрын
mama wa Mimi ubarikiwe na Mungu
@sandrakibisu91497 жыл бұрын
upendo nimependezwa jinsi unajibu maswali una ucheshi sana mungu akubariki mnaosema apunguze kulialia kwa nyimbo shut up coz ujui mbona mungu alikusudia aimbe hivyo nyamaza coz hamjui na iko sababu upendo hongera endelea jinsi roho wa mungu anakuongoza wasikubabaishe wao endelea mtumishi wa mungu
@mwajumahamisi67387 жыл бұрын
Sandra Kibisu well said Sandra.... hao wanataka aimbe kimwili... wanadhan anajiliza kumbe the Spirit in her ndo anafanya kazi... yaan wanadam n shida
@ElinaErasto177 жыл бұрын
Aww kirundi ❤️❤️❤️❤️💕💕💕😘😘😍😍my Burundian mama
@princeemmamunda42867 жыл бұрын
nu tole inamba yanje yiwhatsapp undondele ndaguhe inamba yage ni Chambu wachu uwo
@agripinatemi7326 жыл бұрын
Nabarikiwaga sana na nyimbo zako..
@silvyakerubo96803 жыл бұрын
May God blessing you my mum
@davidmachaki5426 жыл бұрын
umesema ukweli dada, Mungu akubariki
@raybenard55177 жыл бұрын
yaani mtangazaji ajajutia kukuinterview dada angu. Mungu azidi kukubariki milele na milele
@liramindisland247 жыл бұрын
hukoseagi Dada naamini hata hii album itakuwa matata kabsa
@faithfussi81747 жыл бұрын
ubarikiwe sana
@flomrembowakenya55247 жыл бұрын
254 we love u
@jackliineurio80997 жыл бұрын
😂😂😂😂😂ur very charming haswa apo eti mnanuniana karibu mwezi😂😂😂😂😂😂😂
@winnyroda7558 Жыл бұрын
Mkologo mbaya na Mungu hapendi ujue
@yustakipenyakipenya91175 жыл бұрын
wimbo unanikumbusha mbali uliniliza sana nikiwa shulen
@jacobrichards53056 жыл бұрын
Hahaha ubarikiwe mama!
@hildamgomapayo66267 жыл бұрын
Nakukubali. Ila ndoa nzuri jamani unazidi kuwa KIJANA
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ukiipenda na ukutane na anayejali
@deboramatpapaztv7 жыл бұрын
nimefurahi dada Upendo
@abigailipambe6999 Жыл бұрын
Ndo maana huu to wimbo una nguvu Sana ndio ulionifanya nianze kukufuatilia nikiwa darasa la sita ubarikiwe Sana🙏
Hatupendi kabisaa mkologo kwa Sababu unatuinua Wengi mno
@erickmathayo89347 жыл бұрын
Hua nabarikiwa sana na Nkone
@tulizojonson82557 жыл бұрын
mi nakupenda sana wifi yangu lkn punguza kulialia ktk nyimbo zako mungu alishajibu maombi yako ulijisemea mwenyewe
@mwajumahamisi67387 жыл бұрын
Tulizo Jonson Roho wa jbada akiwa ndan yako huwezi kuzuia kilio... kwan before alikuwa analilia nn na Leo kwann aache? maana yake alikuwa analia cz ana matatizo? let her be
@trophywilson72112 жыл бұрын
Muha w Iwachu Safiiii saanannaa
@mahutombelwa55507 жыл бұрын
ila dada nkone ni mcheshi sana
@henrydragonballz51837 жыл бұрын
Mahuto Mbelwa aw12
@zainachengula11917 жыл бұрын
Hongera sana.. Naomba namba yako my mom!
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ila hapo umenigusa
@trophywilson72112 жыл бұрын
Kawimbo Ka Kiha tunafurahi mno mno Kabisaa
@mwajumahamisi67387 жыл бұрын
I feel like saying something as far as I listen.... you are honest, kama vile biblia inavyosema tuseme kweli kila mtu na jirani yake.. halafu unavyoongea sasa! penda you more.. wise woman .... better umeacha mama maana hata Mungu asingefurahia kama ungeendelea kubadilisha rangi yako....
@starlily077 жыл бұрын
😂😂😂 Upendo bwana 😂😂 mi nakupenda tu unavyoongea yaani full kuchekaaaa....eti jamani hapa ni kapoda tuu 😂😂 ekayee,,, we hupendi zako kupika, michuzi lwaaa 😂😂
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ni miaka hii wanaruhusu zamani ukijichubua Fpct unatengwa
@melissahwanja45166 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nakupenda bure mama
@failaprince9250 Жыл бұрын
Usiashe juin yawashabiki uhashejuu yamungu
@trophywilson72112 жыл бұрын
Bora usipende saana shirika,unaweza vamia kusiko
@mwajumahamisi67387 жыл бұрын
kweli kabisa, liko shambulio kubwa sana kwa wale wanaotoka katika familia za wachungaji n vile shetani anataka kuharibu ushuhuda... umenena vema... me nakupendaga sana
@damariszuckschwert94897 жыл бұрын
Huo wimbo wa Mungu Baba naupenda sana❤ lakini hapo kwa kilo dadangu uongee na Mungu akutetee maana siyo nzuri kwa afya yako, na pia hata Mungu awezi kukutumia vizuri na uzito huo maana hauna wepesi. Kilo 70 bora kiasi kama wapenda unene, zaidi ya hapo ni tabu kisha tujekusema Mungu amependa.