MADAM FLORA agoma kumzungumzia MBASHA ''Kwanini Ufe kwasababu ya NDOA, Kwanini uendelee Kuteseka''

  Рет қаралды 22,827

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

#MadamFlora #Mbasha

Пікірлер: 48
@jairossimwanza680
@jairossimwanza680 Жыл бұрын
Ukristo hakuna ndoa mbili mama mmeo hupo hai
@astridarased7757
@astridarased7757 2 жыл бұрын
Da Flora nakupenda sana unaongea point Mungu akubariki
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 2 жыл бұрын
Hongera sana kua hapo.Kiukweli watu tulisema mengi, kiukweli umesimama sawa sawa na kile uliamini, ndoa ikifika mwisho Haina suluhu ni kuachana tu.
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Exactly hupaswi kulazimisha muda wake ukiisha
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 2 жыл бұрын
Mkiwa mnaoji watu jitaidini kuweka maji au juic plz
@elizabethjeremiah8323
@elizabethjeremiah8323 11 ай бұрын
Nakupenda sana dadaangu naomba kujiunga nawe
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 2 жыл бұрын
Hongera Sana Flora.naomba kujiunga nawe kufikia watoto yatima natamani sana
@happyfihavango4151
@happyfihavango4151 Ай бұрын
Yaani mimi kama hutaki kuniamkia acha kabisa heshima yako maana yake nini acha kaa na salam yako
@nyamizikuhaba7259
@nyamizikuhaba7259 2 жыл бұрын
I love madam Flora
@IreneMwanaa-zo2wz
@IreneMwanaa-zo2wz 3 ай бұрын
Nakupenda sana kipenzi songa mbele
@xkingx8041
@xkingx8041 2 жыл бұрын
Kweli tupu Madam. Kila moja ana mapito yake. Tuache kuhukumu
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Kazi nzuri my sister may God add more
@noelkabaila3284
@noelkabaila3284 2 жыл бұрын
Nikweri madame mungu azidi kukulinda na naendelea na moyo huo
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca Жыл бұрын
@7:24 hivi album vipi, nafikiri nimwaka sasa ....😢😢😢😂😂😂😂
@khadijamalifedha4786
@khadijamalifedha4786 2 жыл бұрын
Hapo ndo utagunduwa nani alikuwa mtata kwenye ndoa yao huyu dada hakuwa na makosa kabisaa
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 жыл бұрын
Flora naomba unishirikishe japo kakipande ka kuitikia kusolo nk.na mm nitoke napenda sana kuimba na kuwa mwimbaji bora
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 2 жыл бұрын
Mama eee, wallah Rick Ross kaleta balaa, Esco umekuwa kama madevu rick Ross 🤣🤣🤣🤣 mama Dylan njoo huku umuone Esco 🤣🤣🤣🤣
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Flora alimwacha mchumba wa kwanza kijana alikuwa anampenda YESU dakika za mwisho kabisa mpaka akawa frustrated akaolewa na mbasha nae kamuacha kaenda kuoa yeye kakola katoa mahali kagharamia harusi huyu Mungu atatuhukumu kwa jinsi ajuavyo
@furahasanga2534
@furahasanga2534 2 жыл бұрын
Unaweza ukawatamani lakini Mungu anasubiri ghadhabu ijaye na kufulika ndipo tuataelewa kwamba amaesema anapatiliza wana Maovu ya baba zao kizazi cha tatu Na cha nne.
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Acha kukurupuka humjui mtu kiundani sana huyo mchumba unaye msema alikuwa muathirika wa ukimwi kipindi cha 2001 hata madawa ya kurefusha maisha ilikuwa bado sana kupatikana lakn pia watu walikuwa wanaogopa sana kipindi hicho vile ugonjwa ulikuwa unatisha so ulitaka akubali kuolewa tu ili wewe ufurahi au ..na kama angekuwa mtoto wako kwa kipindi hicho ungemkubalia mtoto wako
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
@@elizabethopere2784 watu wanakurupuka mambo hawayajui
@elizabethjeremiah8323
@elizabethjeremiah8323 11 ай бұрын
Mmmh
@upendohalisi5763
@upendohalisi5763 2 жыл бұрын
Kazi iendelee
@christinangimba4062
@christinangimba4062 Жыл бұрын
Frola naomba namba yako mimi tina
@warrenhenrick5565
@warrenhenrick5565 2 жыл бұрын
💓💓💓💓
@williamkavuta8066
@williamkavuta8066 2 жыл бұрын
Kww kwel mahusiano ni dude gumu
@devotamsemwa7734
@devotamsemwa7734 2 жыл бұрын
Atitizo waimbaji wa nyimbo za injiri kwa upande wa wanawake mnatutia aibu sana shetan kawavaa bila wenyewe kujijua asilimia kubwa waimbaji kwa nn mnavunja ndoa zenu? Halafu mkiulizwa hoo mwanaume alikuwa ananinyanyasa kumbe uongo badala ya kuwa mfano mmekuwa gumzo na mnaonekana ni malaya yaan mnaharibu sifa ya uimbaji kwa sababu mkiachana tu tayari mnaenda kufunga ndoa na mwanamme mwingine.Mkae mjitathimin sana waimbaji wakike.Mkiinuka tu basi ndoa lazima isumbue nikwamba hampo kiroho zaidi bali mpo kibiashara maana matendo yenu hayaendani na ujumbe mnaotoa kupitia uimbaji
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 2 жыл бұрын
Usihukumu ndugu yangu anayejua Florah ni muongo au Mbasha ni muongo ni Mungu tu. Kama Florah ameamua kuolewa na mwingine na mume alikuwa mzinzi, ana haki zote duniani na mbinguni. Na Mbasha pia kama ameona Florah amsingizia basi ana haki ya kuoa. Hivyo Mungu ndiye anayejua Kati ya hawa wawili.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Acha kuropoka wanaojua sababu ni wao wawili. Ww wa mitandao acha ku comment
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
Hawa nibinadamu tu c malaika tatizo waoaji wanafikiri ukimuoa mwimbaji wanahic wameoa malaika so amfanyie chcht tyu na akae kmy haiwezekani mbn sasa kaolewa na katulia
@marympochela7903
@marympochela7903 Жыл бұрын
Vicky unafurahishs Kama Si kuchekesha, YESU Hana option, yeye anataka utakatifu tu, habari ya malaika au ubinadamu hiyo Ni yako wewe, ndiyo maana anasema mbinguni hakitaingia kinyonge, take care
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@jasperjackson8871
@jasperjackson8871 2 жыл бұрын
Mependa hekima yako hasa pale ulipokazia *ISHI MAISHA YAKO UNAYOAMINI YANAYOKUPA AMANI* Maana bindamu ukifanya mema au mabaya wataongea tu.
@happinessshirima3279
@happinessshirima3279 2 жыл бұрын
♥️♥️🙏🙏
@victoriaamosi8430
@victoriaamosi8430 2 жыл бұрын
We dada umemuumiza mwenzio jaman nikosa gan lisilo sameheka? We mbona ulisamehewa a mungu una roho ngumu wewe
@bethdominic1991
@bethdominic1991 Жыл бұрын
Mambo ya ndoa n mazito sana usiropoke ikiwa hujui chanzo Kuachana kupo TU,usiombe yakukute ila alipigania amani yake
@ericmiles2036
@ericmiles2036 2 жыл бұрын
Dada Wa Mchongo Huyu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Uongo mtupu wewe muhuni tu
@mtoshauri9183
@mtoshauri9183 2 жыл бұрын
Hacha zako malaya mkubwa wewe
@preciousrobson3394
@preciousrobson3394 2 жыл бұрын
Wewe ni wivu huo tunakujua ni mbasha group imetoka hiyo harudi tena inaonekana unamtaka madam
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 2 жыл бұрын
Unatukana wenzako malaya ina maana ww unakuwa kuwadi wake anapofanya huo umalaya. Acha mambo ya kishamba hakuna mkamilifu chini ya jua, dada wa watu katulia zake wkt mwenzake kala mitama jukwaani 😕😕😕😕😕
@annalyimo8462
@annalyimo8462 2 жыл бұрын
Uko vizuri dada MUNGU wa Mbinguni aendelee kukubariki
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 2 жыл бұрын
Anayejua kama ni malaya ni Mungu peke yake
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Mungu akulipe sawa sawa na kinywa chako
Emmanuel Mbasha: Flora amethibitisha kuzaa nje ya ndoa
21:27
EastAfricaTV
Рет қаралды 148 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA
13:09
Global TV Online
Рет қаралды 399 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН