Hongera sana mtumishi wa Mungu @Emmanuel Mgogo. Wito wako ni mkuu mnoo,na huduma yako ni njema sana. Bnafsi naitamani sana ile collaboration yako ukiwa na Sayuni Band. Naamini haishindikani kufanya wimbo hata mmoja na sayuni band. Hiyo sauti ina upako wa aina yake
@monicasisya67792 жыл бұрын
Ombi langu kwa Mungu akuvishe taji la uzima kwa kazi nzuri umeponya miyoyo ya watu wengi walio vunjika miyoyo na walio kata tamaa well done 👏 ✔
@makrinakalinga60343 жыл бұрын
God is good kama unakubaliana nami ngoka AMEEENIII YEEEEEEAAAAAH!!!!!!!!!!🎤🎤🎤🎤
@simonmasinde2632 жыл бұрын
My brother, you really bless my heart whenever I listen to your touching songs may our great God anoint you more pastor Masinde Simon Kenya
@sarauwizeyimana67513 жыл бұрын
Ameni🙌🏻🙌🏻
@MchomvuinkMchomvu8 ай бұрын
Npenda sana nyimbo zako kaka ubarikiwe sana
@NyotaJuliusi-m5g5 ай бұрын
Mungu akutie nguvu baba yangu pia ukarithi ufalme wamungu
@cutepretty36193 жыл бұрын
Lile wingu la utukufu lenye liko juu ya huu jamaa waaa ni Kali,,,anaulinzi mkali wa malaika ,, watching from Lebanon,,
@sajoniyohana92006 жыл бұрын
Niseme nini juu ya nyimbo zako mgogo na uimbaji zako,,,,,,Mungu Wa yakobo,,,,Mungu Wa isaka,,,,,,, Mungu Wa Israeli,,,,,, akujaze kwa viwango vya kipekeee.Barikiwa sana mtumishi
@chimamychirindo26462 жыл бұрын
I love this song 😍😍 nani angetutoa humo kama sio ww bwana oooooh yes 🙏🙏🙏🙏🙏🙏sikustahili baba umenitoa mbali yesu Asante, pastor Emmanuel mungu akuongezee kibali katika huduma yako ubarikuwe sana kwa kazi njema🙏🙏🙏🙌🙌
@elizabethshana5941 Жыл бұрын
Hakika huyu mtumishi abarikiwe!!! His songs are touchable!!
@temecksanga8522 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi naomba yako nikutumie sadaka kidogo
@mgogosinger2 жыл бұрын
Ubarikiwe..namba yangu ni 0769505537( Voda)
@benefactorkitalika46143 жыл бұрын
Hakika emmanueli nyimbo za zinanibariki mno natamani niwe muimbaji kama wewe nakupenda mnoo kaka barikiwa
@NorahSamoita Жыл бұрын
Powerful.message mungu asifiwe milele
@everlynndunge61667 жыл бұрын
kama sio Wewe MUNGU, nani angetutoa huko,humu na hapa.......kazi nzuri kaka Emmanuel barikiwa
@royalgoldenbeautyparlour14222 жыл бұрын
Aki ni nani kana sio wewe Yesu 🙏🙏
@ebbinetemirundu94292 жыл бұрын
Wacha nikasonge mbele na mungu wangu asante sa na bro kwa wimbo wa kututia moyo
@beatricesemiti599711 ай бұрын
Anko J naomba mashabiki wote wawe Timu Lisa ili tukasherekehe ushindi mahakamani Lisa oyeeee
@pillimussa2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa nyimbo zako Nzr nabarikiwa Sana huwa nazipenda kuskiliza
@frankgikaro51592 жыл бұрын
Unajua ni nini kingine kinachonivutia na nyimbo zako mtumishi? Yaani Mungu anatajwa katika wimbo wako zaidi ya mara kumi au ishirini. Lakini kingine ni namna unavyoimba kwa msisitizo wa maandiko. Hakika wewe ni wa kabila la Lawi ukuhani umo ndani mwako yaani umewekwa kwa ajili ya kuihudumia Dunia kwa njia ya nyimbo za injili iliyo hai. Usijelewa sifa hizi kwani wewe ni nani bila Yesu kuwa ndani mwako? Basi endelea kunyenyekea vivyo hivyo siku zote natamani Mungu aje anionyeshe uwepo wako siku ya karamu ya mwana kondoo tukifutwa machozi pamoja. Nazidi kukuombea tukazane kuichuchumilia ile taji mpendwa. Ninao upendo mwingi ndani mwangu nashindwa hata namna ya kuueleza Mgogo itoshe tu kusema nakupenda sana katika Kristo Yesu na Mungu azidi sana kuhifadhi jumbe zake moyoni mwako.
@hezronwahungu4900 Жыл бұрын
Powerful song
@lumosinewton93334 жыл бұрын
Full message....... Napenda sana hapo kwa, maadui walitushambulia.... Wakadhamiria kutumeza hai....... Wonderful..... Barikiwa
@gainambalase39106 жыл бұрын
Asante Mugogo kwa kunigusa na wimbo huu uliojaa kweli tupu za matendo ya huyu Yesu. Barikiwa sana.
@bienfaitkarhezi70702 жыл бұрын
Akuna mwengine angetutoa humo,huko na pale.
@nemaodhiambo72746 жыл бұрын
Mi hermano, mi padre poderoso, mi salvacion, mi mejor amigo, mi amor Jesucristo Mi padre selestial gracias por la vida te quiero papá.
@LidiyaYwaniambele8 ай бұрын
Unanibariki sana mtumishi
@philipongadida19222 жыл бұрын
Wimbo huu umejaa nguvu ya Mungu
@damasmassawe52323 жыл бұрын
Mpumbavu hutafuta kujitoa mwenyewe na kumbe anaingia zaid oo my loard
@sarauwizeyimana67513 жыл бұрын
Ubalikie
@prayerchamber16004 жыл бұрын
Ni nani kama sio Mungu🙏🙏🙏
@JonasiSebastiani5 ай бұрын
Barikiwa sana sana
@jennifermuthonimwaniki47223 жыл бұрын
Yeye alianza kazi jema ndani yako ni mwaminifu.
@damasmassawe52323 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@saraleonard29754 жыл бұрын
Emma nyimbo zako zinanibarik sana
@justinmushigo70873 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI . AKUBEMBE MBELE UMENITIYA MOYO.
@gladysnyachae88162 жыл бұрын
Touching song indid llways he loves us🙏🙏🙏🙏
@adelambilinyi36254 жыл бұрын
Nani atatutoa ktk haya kama sio ww bwana
@mosessichela99155 жыл бұрын
Uwa nabalikiwa sana na nyimbo zako mungu akubariki mpendwa aendelee kukutia nguvu zaid na zaid kumtumikia yeye alie umba ulimwengu huu
@officialsuzzy95407 жыл бұрын
Asante MUNGU wangu kwaku mutumikisha mtumishi wako. Amen Amen. I really likes your songs for sure.
@marrybasil58375 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Emmanuel mungu akuinue katika nyimbo zako zinatubariki sana
@joanprosper9664 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@felisterkasuga32176 жыл бұрын
Nani angenitoa Mimi jamani kama sio bwanayesu? Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
@raphaelikyando79082 жыл бұрын
Usicheze watubwa mungu
@mosessiwakwi34732 ай бұрын
Amen mtumishi wa bwana
@happynnko11937 жыл бұрын
ubarikiwe jamn dah sjui ata niseme nini ila Mungu wa mbinguni akuinue zaidi ya yale mawingu
@joycemtambo21965 жыл бұрын
Kama si BWANA kunitoa huko na kule sijui Leo ingekuwa wapi Ahsante Jehova
@captaindiego79444 жыл бұрын
Mungu aliponitoa, haki sitasahau wema na fadhili zake maishani sitasahau....be blessed mgogo
@rosemarysamwiallan9745 жыл бұрын
siwez kueleza vile ninavyobarikiwa na nyimbo zako .Mungu akuinue juu km apendavyo kaka
@gracekiarie42593 жыл бұрын
Hallelujaaaa Akika kama sio wewe bwana
@NorahSamoita8 ай бұрын
Be blessed mtumishi
@cilvyamyara90274 жыл бұрын
Nani angetutoa hapa na pale Kama siyo ww bwana,,,,amina
@barnabaclassic2723 Жыл бұрын
Akika mwenye sikio na asikie
@rahmamrope43415 жыл бұрын
Mungu awe nawe ktk huduma yako nzr Amen
@MariaAlice-mq3cy6 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi mungu aku ongeze upako wa roho mutakatifu usonge mbele nyimbo zako zina nibariki sana
@morinmkate30366 жыл бұрын
hongelaaa sana kaka Mungu akubariki Huduma yakooo nimeipenda
@raphaelpeter44777 жыл бұрын
Mungu akupe kishinda dunia ili siku moja ukapate thawabu ya kaz yako ya hapa dunian
@fredrickmuoki59824 жыл бұрын
This message is so touching to me..the lyrics just testify what can emanate from my mouth coz of the mercies and grace of the living God. i dont know the number of times i can listen to it..May the Lord God prosper your ways mr.Mgogo
@catherinetarimo21485 жыл бұрын
Ameen.Nilipo pita kwenye magumu nilijua unanitesa. Kumbe hapana ulikuwa unaniimarisha.
@brightnessmkojera50153 жыл бұрын
I like ur song Emanuel mgogo be blessed my brother
@loomonndoika31794 жыл бұрын
Mungu akubariki sana katka utumishi aliyokupa aendelee kukupa ujuzi zaidi nabarikiwa sana na wimbo huu alikonitoa Mungu ni mbali sana
@roydersostheness11664 жыл бұрын
Powerful song thankyou Jesus 🙏
@adamndamayape4285 жыл бұрын
Mungu akutunze zaidi brother kwa kazi njema
@babayetusaloni71553 жыл бұрын
Kali kuliko
@nsobiobadiah65806 жыл бұрын
hakuna mwingine zaidi yako MUNGU unatutoka sehemu zisizoelezeka. barikiwa mtumishi
@shakilasanga52254 жыл бұрын
Nice brother
@mathsngasadm30937 жыл бұрын
Kazi njema, ubarikiwe sana, umenifanya nikumbuke ukuu wa Bwana
@NorahSamoita Жыл бұрын
Be blessed bro always
@vickymilingita92364 жыл бұрын
Amen Ubarikiwe sana
@barakamgonde27274 жыл бұрын
Kipawa kizuli ukikitumia vizur nakujitunza uwepon mwa mungu
@amosarajick14906 жыл бұрын
Bro kiukweli nazikubali sana nyimbo zako Mungu akupe viwango vingine zaidi
@elihudimuha98625 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako kaka angu mungu akuinue katika huduma hii
@suzypendo34207 жыл бұрын
So touching, nani angetutoa kama si wwe Bwana umenigusa sana, ubarikiwe
@eliudmisunza58966 жыл бұрын
Kala jelemaya
@alidkimwela56867 жыл бұрын
Uinuliwe mtumishi wa mungu nabarikiwa sana
@evaibrahim7936 жыл бұрын
Ninayo mengi ya kushukuru kwako mungu wangu Asante kaka Emmanuel mgogo
@navyoagrey75235 жыл бұрын
Unanilizaga Barikiwa mno jaman
@nakilingwembele95042 жыл бұрын
Emmanuel mgogo, may GOD make you top forever
@franciscatossy715 жыл бұрын
Nikweli kama asingekuwa yesu tusingetoka kwenyemikono ya watesi wetu. MUNGU akubariki
@angelmwinyi95746 жыл бұрын
Barikiwa..kaka mioyo ya wengi MUNGU anakutumia kuiponya
@officialsuzzy95407 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi. Mungu akuongoze kwa kazi yake
@dionisiaegidius88146 жыл бұрын
ubarikiwe sana kaka mungu azidi kukutumia zaidi na zaidi hakika nyimbo zako zinatia faraja sanaaaaa
@esterkushoka85706 жыл бұрын
nyimbo zako hunibariki sana mtumishi ubarikiwe sana
@marionkamadi27572 жыл бұрын
YOUR SONGS ALWAYS BLESS ME
@annamtavangu13166 жыл бұрын
Nabarikiws Sana na utumishi wako mungu akuinue zaidi
@ariseandshine3 жыл бұрын
You bless me with your songs Mr Mgogo. You are very good! How about a collabo with my other favorite artist Magesa, and the many others ..the one you did ‘Laiti ungejua’ ThankYU
@neemajohn236 жыл бұрын
Mawazo yako ni Mema Bwana,barikiwa sana
@vincentpeace78896 жыл бұрын
ainuliwe yesu milele na milele.nabarikiwa sana na huu wimbo
@samsonkivuyo42805 жыл бұрын
Daaaaaa nabarikiwa sana na nyimbo zako
@brianmuisraeli48103 жыл бұрын
inspiring,aiyaya aiyayaya...
@emmanuelkisumo76597 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu kama impendezavyo yeye Nabarkiwa na huduma yako Kaka Emmanuel mgogo
@farajafredy49206 жыл бұрын
Ubarikiwe mzee ni yesu si mwingine
@patriciamija77387 жыл бұрын
MUNGU kutumia vema tunabarikiwa na nyimbo zako.
@marykelvin50256 жыл бұрын
amina nabarikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako
@emmanuelipaulo8696 жыл бұрын
Amen, Barikiwa sana Mtumishi
@emilynekesa14752 жыл бұрын
Your songs are my favorite.may God 🙏 bless you.
@elizabethkkasase49067 жыл бұрын
Mungu pekee ndie awezae kutuokoa
@lameckbidashi60816 жыл бұрын
kweli ni Mungu tu pekee was kututoa katika hayo magumu
@solomonmututu22274 жыл бұрын
akuna mwingine ange tutoa humo tdabini
@noelbavuga88177 жыл бұрын
Mungu aenderee kukupa nguvu za kumuabudu na kumtukuza .Amen
@shamuahmwaisabhula61517 жыл бұрын
Mungu anatupendaa wapendaa jamaaa
@Abbie-m5183 жыл бұрын
Aaaw! Very nice song. Keep it high bro.
@natachasiniremera68927 жыл бұрын
God bls u unanibaliki sana,balikiwa mpak ushangae
@fridahringera51924 жыл бұрын
May God bless u Ur songs are good and a blessing to my fmly we can't skip a day without listening one day by God grace we shall love to see live, Amen