hongera hellen!! alafu anakimwil kizur huewez amn kama ana miaka 29,,, ingekua msanii wa kibongo Apa angekwambia ana miaka 21au 22,,,hongera sana,,,yan hellen she looks like 20 yrs old...love u hellen.
@grashakibb67785 жыл бұрын
Wasichana watanzania nawatambua sana lakini huyu ako juu zaidi.....The way she talk abt her failures wengi never like to talk abt that part but that's the part that make her story and success beautiful
@neemammbaga90937 жыл бұрын
kaka milard nimefurah sana kwa interview ya Hellen coz i learn smth from her about entrepreneurship.....Hellen alikuwa anamuamini Mungu sana na alikuwa na opportunity ambayo aliitumia vizuri maana alikuwa na support from her family and their life iko powa,,,,am mi naamini hata kama auko kwenye gud life but u fight for ur dream/VISION huku ukimshirikisha Mungu.MUNGU ataiona bidii yako and utapata wa kuku support so tusikate tamaa.....Hellen i love ur confidence and ur a good example kwa sisi wadogo zako.....may God be with naamini tayar umefikia lengo na utazidi kufanya zaidi ya hapo .......... danx so much.....I WLL BE DA NEXT(YBW)MEANS Young Billioner Woman
@kihanda25548 жыл бұрын
Baba yako Ni Gentle Man. Nimependa sana Urafiki wenu. I wish namimi nimlee Binti yangu kama Baba yako. Nimsikilize anapendq nini na nimuwezeshe. Pia nimejikuta nimetamani kuwa mteja wa Product zako katika familia yangu. Talitafuta hilo Duka ulilotaja. Mungu awe nawe Daima na Pole sana kwa Changamoto za Vibali
@paulinauisso76028 жыл бұрын
good hellen...nw nmelewa kua ukitaka kua na kitu chako lazma u hustle sana...ths kind of story happened to me..nw u inspired me i'll never give up.
@kinubiking28738 жыл бұрын
this Girl comes from a rich family enough support from parents pocket despite the falls .....but wat I learnt is she doesn't give up .... keep up.
@georgelyimo16326 жыл бұрын
The issue of coming from a rich family i don't think kama ndio sababu i think amekuwa imara coz hakukata tamaa
@neemajuma22056 жыл бұрын
hongera dada
@ahmadnassor73755 жыл бұрын
Mnakataa nn . Support ya familia Ni msingi mzuri Sana . Amesoma marekani japo alifeli .safar za nje kila uchao. Unadhani watoto wa charambe hawana ndoto Kama hizo? Familia yake imefanya makubwa Sana behind her success . Wengi wanakwama because of poor background huo ndio ukweli
@shafesshafes8 жыл бұрын
Hakika simjui mtangazqji lakini nimefurahia Sana mahojiano yake na Hallen. Am very proud of Hallen struggle. Nipo Califonia. USA. Lakini nasema hong era Sana Hallen. Unajizungumzia unwell halisi na hi yo ni changamoto kwetu some tuliopo hapa marekani. Ningependa sana kupata contact Nayeli if possible.
@zenith87986 жыл бұрын
Well done your resilience is second to none.Mungu akubariki sana kwa kila unachofanya.You are a very thoughtful young lady and you never gave up.Hongera!
@MrSijuiboy8 жыл бұрын
Im Inspired- umenisaidia kutowa Woga wa kurudi Nyumbani. - lesson learned: find what you will be passionate about - it takes times to get there- set a goal - dont waste too much time doing what u dont love, don't give up pray and work hard at ur goal
@jackkangero64186 жыл бұрын
Nina ndoto kama yako I want to be a veeeeery big business woman. Mungu anisaidie nitimize malengo
@witnessmallya51146 жыл бұрын
Yan Dada Helen, nimekupenda Bure.. Kwanza ni mwanamke Ambaye hukubali kukata tamaa na pia ni mwanamke jasiri Sana, I mean unaweza kubadilisha mind za vijana, Coz vijana wengi wanaamini kuajiriwa ni kila kitu na wakimaliza Shule hakuna kitu kingine wanafikiria zaidi ya kuajiriwa so vijana ambao wametambua wanatakiwa kuitumia vipi elimu like u, mnatakiwa kubadilisha mind za vijana na I hope Tanzania itafika mbali coz Ina a lot of resources.... Big up Dia..... Endelea kuwaamsha vijana wenzako!
@clt99148 жыл бұрын
Pongezi kwake Hellen, hata hivyo wako wengi wenye ndoto na hawafanikiwi kwa umaskini. Hellen aliweza kuishi; kula kuvaa bila ajira kwa msaada wa wazazi. wengine ndoto zinapotea kwa kukosa pa kushika na kulazimika kufanya chochote au lolote ili maisha yaende.
@beautyflora84165 жыл бұрын
Hiyo sio kigezo cha kushindwa kufikia ndoto zako, too much excuse
@dextech20235 жыл бұрын
true sana umeongea fact mno.
@shau785 жыл бұрын
tuache visingizio. tuchape kazi bila hofu. tutafanikiwa tu. wapo vijana wengi wenye support kama Helen lakini hawafanyi chochote. wako watu wengi sana ambao hawakuwa na support kama ya Hellen lakini wamepata mafanikio makubwa kuliko Hellen. tuwe na mawazo chanya. tumia ulivyo navyo. acha kulilia usivyo navyo.
@aloycekiwia86138 жыл бұрын
One of the Best interview ever.!! Millard Ayo..!! I'm so inspired by this,makes me believe that,anything is possible once you put your mind into it. I gotta double my effort b'coz I feel so down with my life.Thank you Millard.!!
@luhigoemmanuel87206 жыл бұрын
Hongera Sana Dada Hellen unajitaid kutoa lugha ya kiswahili vizur tofaut na vidada ambavyo havina elimu yeyote vinajifanya havijui kiswahili fasaha
@husnaraj47635 жыл бұрын
Hahaaaaa
@aaronmakaveli20628 жыл бұрын
family is every thing Mzazi ana responsibility kubwa sana kwa mafanikio na future ya mtoto wake @ I appreciate ya parrents
@hamismamba76685 жыл бұрын
Hongera dada kwa kujidaia lugha yako ya Kiswahili mana kwa level yako ya kielimu ungekua na utamaduni wa kitumwa hapa ungekua unaongea KISWA-ENGLISH mana interview yako 99% umetumia lugha yako mama hongera sana!Hongera nyingine kwako ni kujifaia uafrika wako kwa mwonekano wako kama mwanamke wa kiafrika kila kitu upo natural HONGERA KUBWA!
@ritaabduel43688 жыл бұрын
am so happy I get to listen to this..... it's like hearing the Future me Jesus, I have no patience yet I want to do my own thing.... God bless you miss and millard yo the best bruh
@officialnuh72176 жыл бұрын
Kidogo alitoka kwenye familia ya maisha Safi, lakni alikuwa akijtahidi kufanya kazi, Safi Sana Helen
@theworldeventstv6 жыл бұрын
umenifunza kitu kizuri leo dada welldone and i wish kuonana ili unifunze vitu vingi vya kimafaniko congatulations to u madam, TZ youth stand up.
@salimusuleimani77988 жыл бұрын
support km hizo vijana wengi wanazikosa kutoka kwa wazazi maana wazazi wetu akishakusomesha huko kwengine utajua mwenyewe.
@gilbertrauya31598 жыл бұрын
huyu dada she is too passion to enter in business without to lose hope but unfortunately she was inspired me alot because she was pass in different stages of challenges when she begin her business.
@yohanakachile94586 жыл бұрын
True true
@blasiosefu36058 жыл бұрын
Hellen was my next door neighbour in Nairobi, Safari Park.
@Gikash6 жыл бұрын
USIU
@chezatv94578 жыл бұрын
duh kwanza BIG UP kukataa kuajiliwa thats good thinking, ku hustle wakati una sura nzuri + we ni miss sio kitu nilitegemea kutoka kwa ma sister wakibongo they will choose kuuza sura na kiki za kishamba town,kuuza gari yako kwaajili ya bizness ambayo hukuwa hata na uhakika itakutoa duuh we ni MWANAMKE JASIRI i will never do that ingawa ka gari kangu ni corolla mmmh no no kwa biashara ambayo sina huakika nisingeweza kabisaa.... kuhusu jamaa wa aliye kutapeli bandarini never mind msamehe coz bila yeye husingeamia zanzbar na wala hii story isinge kuwepo......... all in all nimepata kitu kutoka kwako wish ntakitumia kufikia mafanikio...... ASANTE SANAAA
@kelvinmhegele18 жыл бұрын
Hellen umenipa Moyo sana na piah your one of the best Girls in ma life,,,, BIG UP MAMY
@amonamos71885 жыл бұрын
Wadada mnaweza kufanikiwa bila kutembea uchi, kuvaa vimini, kujikwangua mwili kwa vipodozi, kuda.......n..ga, na vitabia vya ovyo tunavyovishuhudia kwenu. Chukua hatua, rudi muulize Mungu, utafanikiwa sana/ Tanzania itafanikiwa na utang`ara
@khwanslay8 жыл бұрын
She is so inspirational. Hongera sana my dear, Mungu akutangulie in all you do, and keep up the hard work.
@dauditheking13128 жыл бұрын
I'm very impressed with how your parents supported you, and have the believe in you, Few African parents can support their children like that, Secondly Its amazing how you keep clinging to your dream, many peoples tend to giving up on business they established once the face difficulties , you are "IRON LADY"
Very Inspiring,Thanks Millard for bringing us such inspirations
@fadhilathuman12167 жыл бұрын
*
@fadhilathuman12167 жыл бұрын
li L
@fadhilathuman12167 жыл бұрын
Kùtombana
@bernardmasambaji4668 жыл бұрын
I have been so moved with the tell. Inspiring; True beyond doubt lies the truth of life. Sababu nyingi kuto-give up, at all.
@farajamshani92775 жыл бұрын
G
@kamauwilliamk5 жыл бұрын
Woooooooo....your story, is one of the most motivating, story even,at some,point, I cryed ,for what you went though, but God,is A good God...he show your hardwork,thank you for that story, more love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@alexanderntonge75198 жыл бұрын
hapo pasingekuwepo #team wa kishua# hayo mambo yasingeweZekana
@Mpakauseme5 жыл бұрын
Yasingewezekana kabisa na tena hapo nyumbani ndio kuzidi , tuache maneno maneno
@mohamedabdallah95676 жыл бұрын
Hongera Sana Hallen 👍 Fail and Over Rejected is the right time to reflect, refuel and refocus. I really Proud of your passionate initiative😊
@gospelthusiast6 жыл бұрын
Helen I am inspired with your commitent no matter how hard it got!!!! entrepreneurial minded. lack of resources couldn't determine reachness to yourmdestiny. big up
@salimatuyahhaya57728 жыл бұрын
🙏👍👏👏👏👏👏👏👏👍Mungu akubariki hln kweny kazi zako nakukbal sana. Millard shkrn sana mkaka kwa habar tofaut tofaut God bl......,
@lusekelodaison81595 жыл бұрын
Nimejifunza kutokukata tamaa, kuzidisha juhudi katika ubunifu na utafutaji wa nini nifanye katika maisha nimependa sana hii interview millard kama kuna kipande ulikiacha basi tupia hapa tuendelee kupata elim ya Hallen kwakweli
@furahinimichael50346 жыл бұрын
Thank you lady, you have inspired me a lot, mm Nina miaka 23 tu lakini nilikua nahisi ni too late kufika kule nataka.
@zawadihaji48445 жыл бұрын
Mashhallah mamy wengine mama zet wamefikia kuuza mpka mashamba laikn bado tu savaiv mwambie Asante mungu😭😭
@mumuhassan11667 жыл бұрын
came back again after a year, inspired even more! Hellen Thank you 💚
The best University ever, United state university in Kenya, all the best Hellen Dausen- You will make it as you expected
@hanifamadenge23375 жыл бұрын
Wow we have the same birthday 😘😘and having the same dream,same combination 💃
@daudinyaruhucha62003 жыл бұрын
Hongera sana pia kupata option ya zbr kumbe dar mazishi sana bandari umesaidia sana kujua hili
@rukiahussein97378 жыл бұрын
Nilivyokuwa naisubiria kwa hamu hebu niandae chai mie Asante Millard
@tullahnaftary1996 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kelvinkalume49638 жыл бұрын
You are such an inspiration Helen,may God keep on blessing you more and more.
@edwardnatharyblessed70675 жыл бұрын
This is so inspirational,Conguratulation Hellen, for sure God is able .
@furahinimichael50347 жыл бұрын
Tanzania needs ladies like you. much appreciation lady
@dorothygeorvid65576 жыл бұрын
Furahini Michael am the next
@daudimkwela8 жыл бұрын
A good Start. Keep it up! Hapo fanya kama upo 2% ya unachotaka fikia.
@othuonjohnbrighton5328 жыл бұрын
Nimependa sana story fupi na tamu sana kutoka kwa Hellen. walau ntajaribu kumtafuta niweze kupata ujuzi zaidi.
@issajuma74616 жыл бұрын
congratulations hellen
@Agembo5 жыл бұрын
Wow, an interesting narrative. An inspiration!
@aloycemkwizu86976 жыл бұрын
She is so positive, Her dream will become a reality, sema Billionare sijaelewa in dollars au in tz shillings.
@carolinemariki40294 жыл бұрын
billionaire ni billionaire it doesn't matter.
@fatumaomary69455 ай бұрын
Wise word n interview, watching 2024 june9
@joramsembatwa74348 жыл бұрын
BRO... millard naweza kuwasiliana na dada huyooo hallen kanigusaa sana n m naitaji nifanyee hvyooo aiseeee plz naomba niweze kumpataaa
@annaakimwemwe51618 жыл бұрын
Joram Sembatwa ataanzisha shule 2017 mfuatilie uweze kujoin
@sitymohd38187 жыл бұрын
Hongera umeshinda vikwazo vingi na pia tumejifunza vingi kutoka kwa huyu dada
@yuliimaige5488 жыл бұрын
God bless you more & more Madame, To the all hardest things which you past, it's because always God gives his hardest battles to his strongest soldiers But after hardest passes u must enjoy as well Huwa nafurahi sana unaponipa ushauri in my business God's bless with you forever sis Hellen
@nsiamassawe30755 жыл бұрын
Hongera Helen, ni vizuri ufungue darasa usaidie wengine pia kupata utalaam wako. Vipi nitapataje bidhaa zako? Kwa Dar unauzia wapi na jina la bidhaa yako ni lipi?
@tunnaika6 жыл бұрын
you know what i appreciate alot in your show Sir..you include their birthdays..thats very very important specially to us vewers who are connected to Astrology..hearing their life path and comparing to their stars constellations give us astrologers a broader perspective of their personalities and strength
Ooh jamani,what an inspiring story!Mungu azidi kukulinda.Thanks for inspiring me too!
@atigonaugustino45817 жыл бұрын
hongere Heleni Huwezi kwama ni hazina kubwa sana uliyo nayo pia utakuwa umewafungua wengi wenye taaluma kama yako
@nadyarashid7 жыл бұрын
wazanzibari wameshakurithisha "enheee" 😁😊 I have noticed that it is the first word ambao most people get common with unconsciously... enheee 😀
@deongalo20348 жыл бұрын
Kitu kimenivutia sana kuhusu huyu siste ni kwamba licha ya changamoto zote hizo hakukubali kujiangusha chini! kama mademu wengi wafanyavyo kwa sasa. Laiti ningepata nafasi nikamtembelea akanipa maujanja,nikapotezea muda mwingi wa kukimbizana na kutuma macv.Tanzania ya leo kila mtu anadegree lakini hazina tija kwa aliyesoma.
@hoodnegro18 жыл бұрын
she inspired me alot.
@ashasaid38286 жыл бұрын
yan story yako ni kama maisha yetu halis jins tunavohangaika sema we angalau ulikua una sapport ya hela
@walterngowi58352 жыл бұрын
Duuh babake ni jiran yngu hapa Marangu Kilimanjaro 😎😎😎
@danieliskander96807 жыл бұрын
- very impressive. Veery impressive....
@SalwaSalim-z7o8 ай бұрын
Nimefurahi sana kwa hii story aisee
@donaldmwangasa8527 жыл бұрын
So inspiring though she is from an Affluent family.
8 жыл бұрын
Miradi uzuli wa huyo dada kwao wako vizuri kupewa mtaji wa dora 6000 si kitu kidogo.Lakini nimpongeze kwa kuonyesha juhudi za kutafuta bila ya kukata tamaa,naamini kabisa kuwa atafikia malengo na fundisho kwa dada zetu walioko vyuo wanaotegemea kuajiliwa na serikali.
@geraldsanzala81196 жыл бұрын
Umeni incourage saana.... Na ninafanania mapito nawewe. Japo sijatoboa ila na hustle ntakufikia
@denyo_rasmi8 жыл бұрын
mwenye nacho huongezewa endapo ataweka juhudi, history yake ya maisha tayari inaonyesha hajatokea ufukarani. #TeamWakishua Wazazi wakukupa dolla 600 hahahaha noti e joke mai frendi . She is very smart by the way, wabongo walitaka kumfelisha , rushwa tu na si lolote pumbaf zao.
@mwanamkasinyumbwe83145 жыл бұрын
mh
@linnetmbotto72128 жыл бұрын
I love you girl!!.... You motivate me.
@fadhilathuman12167 жыл бұрын
kutombs
@swahilitherapytv38466 жыл бұрын
Safi sana kila kitu nikupambana na kumtegemea Allah utafanikiwa bila kusahau kutumia mtandao wa kijamii kwa ufasaha
@blackmwenga3787 Жыл бұрын
Great interview
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Appreciated. Zanzibar hakuna matata!
@beatricemakundi53126 жыл бұрын
much congrats Hellen,keep doing your best..we are together
@deborameshack42746 жыл бұрын
nimeipenda Sana hii... asante Sana
@arthurmwakanyamale76517 жыл бұрын
umenifunza nimejua maisha ni usikikate tamaa na ili upate kitu kikubwa lazima umie sana(no pain no gain )
@giftyomary14876 жыл бұрын
Big up
@dastanfussy48985 жыл бұрын
Fact
@mwanahella96508 жыл бұрын
😟😟haya haya Watanzania fanyeni mrudi nyumbani haraka fursa zipo nyiiingi sana ouwkeyyy💃💃💃💃💃
@aliali1898 жыл бұрын
thanx
@saumusalimuhassan30418 жыл бұрын
Yani we acha tu, tatizo Education nayo ziro mamy.
@mwanahella96508 жыл бұрын
+Saumu Salimu Hassan 😂😂😂miaka hii usiseme tatizo slimy, elimu ukiihitaji ipo hata km una miaka 70 ni ww tuu na ndoto zako usijaribu kujiona ww si kitu na hutaweza fanya kitu.jiulize Joyce kiria alikua nani na leo yuko wapi na anafanya nini💪💪💪
@saumusalimuhassan30418 жыл бұрын
+Mwanahamisi Hella kweli lakini
@AnitaBekka7 жыл бұрын
Mwanahamisi Hella 😂😂
@janethoptatus38678 жыл бұрын
She z so inspiring though She ddnt even mention her product name,i wish i cul use em
@shekb54746 жыл бұрын
Janeth Optatus safi san
@jamesmushi74923 жыл бұрын
Kama unaangalia hii 2021 gonga like
@twilaisaac71186 жыл бұрын
Hongera sana dadangu 👏👏🤝😘😘💕💕🙏🏾
@lightnessmori64858 жыл бұрын
hongera ... Mungu akufanikishe zaidi
@ARi-gp3cm8 жыл бұрын
she seems very poised and honest....good job girlie
@ARi-gp3cm8 жыл бұрын
parents who believe in their kids...help future generations
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Mr countdown the hii haina part2, nice sister umeni changanua akili, Mashallah
@EsterKimambo5 ай бұрын
Naomba naomba za dada Helen
@petermkandamoshy49398 жыл бұрын
She is doing great, keep it up.
@mjtv38877 жыл бұрын
story za rich kids pia ziko touchy
@dicksonmauki36047 жыл бұрын
mwenye nacho atazidishiwa hilo ndio somo wale kajamba nani huko tutaonaga tuu.
@evanswilliam34598 жыл бұрын
yes i now know that everything is possible and yes i can also.
@elizabethbalele65448 жыл бұрын
vizuri sana Helen mungu atakusaidia I pray for u go helen
@officialmawn3077 жыл бұрын
Nilivosikia tu utangulizi wake nikajua what's next.. Kwa upande inatia moyo ila kwa watanzania haina mashiko sana kama sehemu ya kuelimisha. Kwa hali yetu tu nataka mtu ambaye amewekeza kidogo kidogo mpaka kufanikiwa kwani wengine maisha yetu so kama hayo aliyopitia yeye. But Millard unajithidi
@vamo20825 жыл бұрын
Kabisa kaka
@robertbudodi5 жыл бұрын
Duuuuuh!hongera sana na pia tumezaliwa siku moja
@mosesamon62338 жыл бұрын
her self she looks natural thats why we can buy what she says
@chriswasonga17828 жыл бұрын
Millard advice I'm giving you, always have eye contact with the person you are interviewing, unapoangalia chini au kuandika kwenye makaratasi haipendezi kama interviewer.
@williamtech8210 Жыл бұрын
Impressive....
@missbartanzania6888 жыл бұрын
hellen siamini kama umetimiza ulichokuwa ukinambia utafamya thank you kamwe sikati tamaa
@aliusanthony91586 жыл бұрын
She did much inspiration. We are proud of the such kind of woman
huyu dada ame tokelezea bila ya kuvaa wigi au mkia wa farasi
@emanuelbryson90784 жыл бұрын
Yuko vizur
@fatumakeche60273 жыл бұрын
😁😁😁
@Nedjadist8 жыл бұрын
Tanzania ni moja ya nchi ngumu sana kwa mtu wa kawaida kufaulu. Natumaini mambo yatabadilika kwa ujio wa Maghufuli, lakini huko tulikotoka, kila unachofanya watu wanataka rushwa tu. Hawajali kabisa maslahi ya mtu ala taifa. Hao maafisa aliowataja huyu bibie waliotaka kumkwamisha wakamatwe na wasailiwe. Pia kutolewe tamko rasmi la rais kuwa yeyote atakayemkwamisha mtu anayeanza ujasiriamalia akishtakiwa atakiona. Pumf
@alphoncekagoshi17547 жыл бұрын
ana toa mwangaza kwa waliokata tamaa, kutokea familia tajiri au maskin haina nafasi na mafanikio yako,bidii,Mungu na kuchangamkia fursa, ndio kila kitu
@OmbeniLuka7 ай бұрын
Milladi Ayo yuko vizuri sana kwa mahojiano
@tysonwillson5687 жыл бұрын
Daah nakukubali Sana Home Boy milard ayo
@samsamyoo36898 жыл бұрын
Wa Zanzibar hawana ukiritimba kama Bara. Dada unastahili pongezi