Pastor wewe ni mwalimu mzuri sana mimi nashukuru maisha yangu yamekuwa bora sana ubarikiwe sana MUNGU AKULINDE NA FAMILY YAKO AMEN 🙏
@wemawestern197118 күн бұрын
Table is turning to me a Good news but Kwa maadui zangu table is turning to bad news now Amen
@SAMWELSILAS-d8h23 күн бұрын
nimbarikiwa na ibada , ILA BABA ANAJUA KUIMBA🎉🎉
@EvalineMlale21 күн бұрын
Table is turning the enemies ...Daaah .....1samwel 2:1_7
@eleanorswila595022 күн бұрын
Mabaya yote, magonjwa yote na mahangaiko yote niliyowahi kupitia yangu nazaliwa mpaka sasa, Leo ni mwisho wake na sitayapitia tena kwenye maisha yangu.. amen.
@MagrethWilson-r3m22 күн бұрын
Marudio kabambee Asnte Mungu kwa Rehema na Neema 🎉Vyangu vinafufuka kwa jina la Yesu Ameeen 🙌🙌🙏🙏🙏💪💪💪📖📖🇦🇪🇦🇪🍷🍷🍷
@RFKTVOnline23 күн бұрын
Hii praise team ..Mungu azid kuilinda...
@EsthermlongoEsther15 күн бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏
@marywinga312022 күн бұрын
LIKIZO TIME NO MORE STRUGLLE
@shadrack653023 күн бұрын
Magonjwa, umaskini,matatizo yote niliyo pitia mwaka 2024 mwaka 2025 sitayapitia kwa jina la Yesu Ameeen🙏
@agneskilemwa867123 күн бұрын
Amina
@HelenaJoseph-g1q22 күн бұрын
NIKO RIKIZO❤❤, NIMEKUTANA NA MUNGU😊😊
@marywinga312022 күн бұрын
saa yangu ya pumziko imefika IJN
@AgnesAgnes-fm8wp22 күн бұрын
ASANTE YESU 2025 UTAKUWA MWAKA WANGU WA RAHA NA KICHEKO SITALIA TENA KWA UCHUNGU KATIKA JINA LA YESU AMEEEEN