Mungu karibu kwenye maisha yangu, kazi yangu, family yangu, baba nihudumie sawa sawa na upendavyo 🙏🙏🙏🤲🤲🤲
@HelenaJoseph-g1qАй бұрын
Amen 🙏
@Kelly-pd2rl25 күн бұрын
Saa yangu na familia yangu na mdogo wangu umefika tumetukuzwa wote kwa jina la Yesu
@SarahNyumile-g9zАй бұрын
I connect my life and my family kwenye kambi ya maombi kitakacho fanyika nami napokea hata niko mbali Naamini maombi Hayana mbali. Na vipindi vyote ambavyo havitarushwa I connect my self in Jesus name
@madamsubiraАй бұрын
Baba aksante sisi ambao tupo mbali na ni wachungaji tumeijoy sana kama itakupendenza wewe na Roho mtakatifu tuwekee hewani na vipindi vya mchana baba
@MagrethWilson-r3mАй бұрын
Najiunganisha na Ibada hii Mungu mimi na watoto wangu, kupitia ibada hii Kutoka kwa Mtumishi wako Pastor Tony Osborn🎉 Mungu mimi Magreth na uzao wangu /uzao wa Mama yangu lazima kumiliki na kutawala ,watoto wangu lazima wafaulu,lazima nimalize ujenzi wangu , Mungu tusaidie watoto wako 🧎🏻♀️🧎🏻♀️📖📖💪💪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@BrightNyariАй бұрын
MUNGU KUPITIA MAOMBI YA KAMBI HII NAJIUNGANISHA ME PAMOJA NA FAMILIA YANGU ATUTABAKI KAMA.TULIVYO
@PhillyDamasАй бұрын
When it's your time, it's your time
@NeemaSaid-j9yАй бұрын
Asante Bwana Yesu.Naamini umenitukuza nanitaona utofauti nilivokuwa na sasa in Jesus name from Saudi. ❤❤
@salomemrembo7482Ай бұрын
Pitii Mungu Hakutunze kwali mungu Hamekuita katika hutumishi humekuwa wa baraka hasa kwangu mimi humekuwa wabaraka kila siku
@salomemrembo7482Ай бұрын
Mungu Hakulinde wewe na familiya yako mtumishi 🙏🙏🙏
@rebeccakansime-xx7lhАй бұрын
I leave myself and my family here on this alter God take action in my lives in Jesus Christ name 🙏🙏🙏
@meriuamugustineАй бұрын
Mungu umtukuze mwanao ili mwanao akutukuze wewe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Lilianzoe2024Ай бұрын
God am here again do it for me 🙏🏽 i cant do it alone Jesus
@saviaonesmo-si8bsАй бұрын
It's my time 🧭🧭🧭 to be Rich woman under 30 🙌🙌🤲🤲
@annmarco7623Ай бұрын
God bless and keep you sir @ pastortony
@Castro-tz7goАй бұрын
I receive the blessings in the name of Jesus
@IreneLeon-rb8qsАй бұрын
Ameen
@josephinendinda9065Ай бұрын
AMEEEN
@natashanelvia729Ай бұрын
Baba saa yangu ya kuinuka imefika 👐🏻👐🏻
@ProsperMbandoАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MsDianKimАй бұрын
Uwiiii... It was live. I receive all in Jesus name
@jojotanzan609Ай бұрын
Ameeeeeeeeen Glory to God 🙌
@catherinejustine5302Ай бұрын
Amen
@NAFtv-TanzaniaАй бұрын
Baba nitukuze Mimi
@fredahkishenyi84Ай бұрын
Wakati wangu ni sasa🙏
@slamdiver7945Ай бұрын
Hallelujah
@chachamenganya2674Ай бұрын
Saa yangu imefika
@euphrasiampabans7351Ай бұрын
Baba mtukuze mwanaoo
@maggymanfred1684Ай бұрын
When it's your time it's ur time❤❤😊
@rosemarylihawa6547Ай бұрын
Powerful service 👏👏👏
@silivanusanton8834Ай бұрын
Amen
@lucywilliam6332Ай бұрын
Thanks baba
@BrightNyariАй бұрын
It's my time
@meriuamugustineАй бұрын
Amen 🙌🙌🙌🙌🙌
@justyoscar2987Ай бұрын
ط😊
@ZuhuranadadoitaАй бұрын
Jamani ibada ilikuwa live
@lilianosward8319Ай бұрын
Ndio ilikua live saa nane ucku
@saviaonesmo-si8bsАй бұрын
Ndiyo mpendwa saa sita usiku ilikuwa
@MeseBiyezako-bq1xiАй бұрын
Mkesha itakuwa sangapi wapendwa
@saviaonesmo-si8bsАй бұрын
@MeseBiyezako-bq1xi mpendwa sisi wa online hatuna ratiba kamilii sema kweliii