Eneo la KIFO la Mlima EVEREST: Ukweli wa kutisha kuhusu eneo hili lililojaa Miili ya Wapandaji

  Рет қаралды 44,298

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 73
@trendz_2548
@trendz_2548 Жыл бұрын
Napenda sana simulizi yako Skywalker
@salamisindimwo303
@salamisindimwo303 Жыл бұрын
the background sound...yaaaani, am fond of it haaki simulizi nzuri piya, ahsante muandazi, asante msimulizi, asante SnS.....
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
Mlima wangu pendwa ni Kilimanjaro ❤️
@SaleeAbedy-g1t
@SaleeAbedy-g1t 8 күн бұрын
Jamani natamani kufika huko lakini kwamateso hayo siendi ng'o.naipenda tanzania kilimanjalo
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Жыл бұрын
Sky ni ana brain kubwa 🌙🙌🏾
@hollymore4904
@hollymore4904 Жыл бұрын
Wote mlio view baada yangu weken like apa tujuane, 🇹🇿 Asante SNS🔥
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
😅😅
@boscomakala.3923
@boscomakala.3923 Жыл бұрын
Heko kwa Frerdrick........🔥🔥🔥🔥
@user-fz5dg4ds5l
@user-fz5dg4ds5l 10 күн бұрын
Mm nimepanda Kilimanjaro na mlima Meru pia natamani nikapande everest 🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Asante kwa stori nzuli
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
Asante sana Sns❤❤❤❤
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Hela uitafute kwa shida, hela ikuue khaa. Watajijua bana.
@fredrickmathias6478
@fredrickmathias6478 Жыл бұрын
Wew ndo unaitafuta kwa shida uku,wenzetu wako nazo za kutosha na ndo mana wanawaza kujaribu na kurisk uhai wao,yote iyo ni juu kibri chao na kutoamin Mungu ni muumba wa vyoote,wao wanakufuru na ndo mana wanakufa,lakini pia dunia ina mambo mengi ukute yakuwa mashetani wanatumia baadh ya watu kupromote ili wengine watolewe kafara. Mwenyezi MUNGU TUSAIDIE
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
@@fredrickmathias6478 walizikuta zinawasubiria. Nipo huku nawaona wanavyozitafuta. Huwezi kuamini wapo wazungu wanauza mboga,mboga na matunda. Hakuna hela unaipata bure tuu 😰
@RehemaMichael-fz8qs
@RehemaMichael-fz8qs 24 күн бұрын
😅😅😅😅
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Sasa shida yote ya nini hiyo jmn kujitesa hivyo pesa zako mwenyewe lkn zinakutesa
@sylulu22
@sylulu22 Жыл бұрын
I think makala 360 needs to have its own account/link hizi video ziko mixed sana
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Kuna playlist yake hapa hapa ambamo makala zote zimo humo - kzbin.info/www/bejne/j5zHd5RvoNiBfrs
@kibokutiwanatanyika1540
@kibokutiwanatanyika1540 Жыл бұрын
"Bila kuonja makali na utamu wa kilele chake" 😁😁😁
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
Bro Sky ungekuwa unaweka na video,Umesimulia fresh✔️💯 nimeelewa na nimebadili maamuzi ya kupanda mlima Everest
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 Жыл бұрын
Nadhani ni Mambo ya copyrights,
@danieljustin6989
@danieljustin6989 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@narumbahanje9393
@narumbahanje9393 Жыл бұрын
Kuna video zipo kuhusu watu wanavyokufa
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
@@narumbahanje9393 Zipo wapi?
@uwezohekima-qk8ss
@uwezohekima-qk8ss Жыл бұрын
Mnaendaga kutafuta nn huko ushenzini??.. hebu kufeni tu mana mnakitafuta kifo kwa nguvu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Sehemu yenyew hatr ina raha gan yakwend huko acha nibak na Kilimanjro yangu
@user-ix7fq7jh1i
@user-ix7fq7jh1i 12 күн бұрын
Ni hatar kweli hata siwez kabis
@ndikumanamoussa4103
@ndikumanamoussa4103 Жыл бұрын
🔥
@jiggafadhily495
@jiggafadhily495 Жыл бұрын
🙌
@nmasare9364
@nmasare9364 Жыл бұрын
Dah inavutia sana mi ningepanda kufa hapo ni jambo la kuvutia zaid nakufa nikiwa katika mazingira ya asili kbsa
@hamisakida7971
@hamisakida7971 Жыл бұрын
💯
@SaleeAbedy-g1t
@SaleeAbedy-g1t 8 күн бұрын
Je?kunaviumbegani vinapatikana katika milimahio yote?
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Жыл бұрын
Hata knjaro Kuna watu huwa wanakufa
@SaleeAbedy-g1t
@SaleeAbedy-g1t 8 күн бұрын
vipi kuhusu kilimanjalo
@brownie_dee8655
@brownie_dee8655 Жыл бұрын
Mlima udzungwa wenyew ulinishinda sembuse niende nkapande huo everest
@michaelmisana650
@michaelmisana650 Жыл бұрын
Da hatari sana
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Nilipitiwa Na hii
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Cha kushangaza jitu linajipeleka lenyewe likashuhudie yaliyosimuliwa ni kweli???
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
Binafsi siwezi nikarisk maisha yangu kwenda huko!!Sema tu I can't judge wanaoenda huko maana kila mmoja na adventures zake!! Green boots ndo mwili maarufu zaidi ulio kwenye mlima Everest!!
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 Жыл бұрын
Atuelezee kuuhusu huu mwili wa green boots mzze sky fanya hiyo plz hakuna documentary yako ambayo sijaisikiliza mzee fanya na hii ya green boots
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
@@gaitanokamage7366 Kwakweli atuelezee! Napenda sana usimuliaji wa Sky!Ingawa pia kuna documentaries kibao za huyu mtu (green boots)zinaelezewa kwa lugha ya kiingereza!!Na huo mwili upo huko kwa zaidi ya miaka 27.Inasikitisha na kutisha kwa wakati mmoja.
@Megadreamzfx1
@Megadreamzfx1 Жыл бұрын
Sky eee fanya basi uweke hizi makala hata mara2 kea wiki
@JumaSeleman-mi2zx
@JumaSeleman-mi2zx Жыл бұрын
Tupe story ya dan alves kafanyaje
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿.👍
@user-dg8zi5gb1m
@user-dg8zi5gb1m Жыл бұрын
Na kukubari sana unajua sana kutangaza
@omarysaid8725
@omarysaid8725 Жыл бұрын
Mt kilimanjaro plz
@revilsonsariah307
@revilsonsariah307 Жыл бұрын
But Mt kilimanjaro is my favourite 😍
@hallin9561
@hallin9561 Жыл бұрын
Mara yangu ya kwanza kupanda mlima Kilimanjaro ilikuwa 2015, nilihisi hali zote mbaya, nilitapika sana nilipofika STELLA POINT, nilihis malaria kali mno, Lakin hatimae niliSummit UHURU Nikapiga picha. mwenzangu alirukwa na akili inaitwa Mountain HALLUCINATIONS. akashushwa alipokaribia KIBO HUT akakaa sawa, sasa kama Kilimanjaro mita 5895 ipo vile je ni vipi uko 8000+
@franklachman8883
@franklachman8883 Жыл бұрын
Ni hatari kweli M-8000+ unakuwa umeingia Death Zone, na hapa ni kimbembe kwa mwili wako kumudu na kuhimili kashikashi ya point hii. Kama unavyosema Hallucination huongezeka pamoja na Ubongo na mapafu kukosa oksijeni ya kutosha. Hatareee..pamoja na yote wapandaji humiminika kama mvua kupanda mlima huu.. kwao jambo hili linaweza husisha Adventure, kuacha Legacy, Breaking records n.k.. Hongera na Big up to you kwa kupanda mlima kilimanajro.💪
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Mita 5895 sawa na Km ngap?
@johnmchanga6258
@johnmchanga6258 Жыл бұрын
​@@ferouzmasoud31045.8km
@yasinkihupi9583
@yasinkihupi9583 Жыл бұрын
​@@ferouzmasoud3104 5.89 Km
@kisabihamadi7555
@kisabihamadi7555 11 ай бұрын
​@@ferouzmasoud3104 5 kilometer na meter 800
@alizuluman4739
@alizuluman4739 Жыл бұрын
Huu mlima noma I say na lazima uwe na oxygen kwenye mdomo ama wakutumbukia nyongo
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Duuh
@casmirymusic
@casmirymusic Жыл бұрын
Duuuh
@omarybakary1234
@omarybakary1234 Жыл бұрын
Yoh is too dangerous 🇿🇦
@elishapeter2720
@elishapeter2720 Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
KAMA KAWAIDA YAKO,,IZI UNASIMAMAGA MWENYEWE.
@novatv5575
@novatv5575 7 ай бұрын
Mlima Everest sio mlima hatari Zaid duniani. Umekosea hapo. Mlima hatari Zaid duniani I think I s K2 ulioko Pakistan
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Sithubutu
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Жыл бұрын
SEMA huna Hela
@rosemaryjuliyo
@rosemaryjuliyo Жыл бұрын
Weeee ugali na mandondo mtam sana 😅😅 sitaki kufa hovyo mimi
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Жыл бұрын
SEMA huna Hela ndo maana tafuta Hela uende kutembea na kuona Dunia ilivyo 😂😂😂
@rosemaryjuliyo
@rosemaryjuliyo Жыл бұрын
@@rehemaomary3493 hahaha kwetu yenyewe Tz sijatembea yote bora uhai
@Hamino--media
@Hamino--media Жыл бұрын
Hichi kipindi sky tunakuomba umme mtiga abdalah na so kwamba unatangaza vibaya hapana uko vizuri kabisa
@fredrickmathias6478
@fredrickmathias6478 Жыл бұрын
Naunga mkono hoja, ikimpendeza ampe dogo shavu mana sio mbaya
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 Жыл бұрын
Mtiga anazingua binafsi simsikilizagia kwa sasa nimehamia kwa sky
@Hamino--media
@Hamino--media Жыл бұрын
@@gaitanokamage7366 anazingua na nini
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Kwan yupo Sns Mtiga
@sheyabby7146
@sheyabby7146 Жыл бұрын
😊
@andrewtange8473
@andrewtange8473 Жыл бұрын
Bado wazungu wanapanda
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,4 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 126 МЛН
Milima mirefu Afrika
2:31
SwahiliwithMariana
Рет қаралды 3,7 М.
Everest Crevasse Fall & Emergency Rescue
4:16
David Snow
Рет қаралды 8 МЛН