No video

VITA YA VIETNAM: Moto wa Wanajeshi wa Vietnam Mitego yao hatari ya JADI Iliua vibaya wanajeshi wa US

  Рет қаралды 47,997

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

10 ай бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 74
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 10 ай бұрын
Kama unaamin sky Kwa Sasa ndio mtangazaji Bora gonga like
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 10 ай бұрын
Sky noma, uwasilishaji wake auchoshi kusikiliza
@yusufsuleiman7886
@yusufsuleiman7886 Ай бұрын
Kabisa , jamaa yupo poa sana sana
@deogratiaskatabwa5230
@deogratiaskatabwa5230 10 ай бұрын
Sky the great mtqngazaji Bora Africa was simulizi zilizojaa ukweli 100% Tunakuombea kaka
@samirmswahili
@samirmswahili 10 ай бұрын
Sky noma sana
@user-so9rn6ld3n
@user-so9rn6ld3n 10 ай бұрын
Uko vizuri mtangazaji historian ya kweli kabisa
@Cadabrizzo
@Cadabrizzo 10 ай бұрын
Big up brother sky
@hamisilumona7163
@hamisilumona7163 10 ай бұрын
Hadisi hii ni kweli America ilichindwa na vita vya vietnam, kwa maana walizani jinsi wanavyofanya kwa inchi zingine. Pia vilevile America walipigwa kwenye vita ya Somalia ndio sababu, America hawawezi kusaidia somalia hata kidogo. Wanajutiya kwenda Somalia na Vietnam.
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 10 ай бұрын
Hawa jamaa wakikupiga kwa technology hautoboi ila vita isiyohusisha technology mnafanya battle, technology ndio ubavu wa hizi nchi kubwa
@laudadeusredemptorysidinda2750
@laudadeusredemptorysidinda2750 10 ай бұрын
Ilipigwa lini na Somalia? 😂😂😂 au story za vijiweni, wale hawana watakachopata Somalia ndomana hawana habari nao, hiyo Somalia wanamgambo wake wenyewe had leo wameshindwa kuipindua serikali.
@brunoh_bx
@brunoh_bx 10 ай бұрын
​@@laudadeusredemptorysidinda2750Fuatilia historia kaka, tatizo ni kwamba wakifanyiwa ubabe wazungu huwa haiandikwi sana lazma watatafutiza sababu ili ionekane hawakushindwa, hata Ethiopia haijawah kutawaliwa lakin ukiuliza kwnn utaambiwa et waliona kule hakuna kitu watachonufaika nacho lakin ukwel ni kwamba walishindwa. Hata huko Somalia ni vivyo hivyo
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 10 ай бұрын
@@brunoh_bx safi sana kijana Kwa maelezo mazuri
@brunoh_bx
@brunoh_bx 10 ай бұрын
@@Chettymlambalipsi-lb9km Pamoja sana kaka
@brunoh_bx
@brunoh_bx 10 ай бұрын
Simulizi nzuri na imesimuliwa kwa utulivu sana, huwa namkubal sana huyu msimuliaji hana mbambamba😂👏👏👏
@ishaqally444
@ishaqally444 10 ай бұрын
Watching from Hanoi Vietnam, nmefurahi sana kusikilza nakala Sky you are the best.
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 10 ай бұрын
Nakumbuka Lufufu kwenye movie za wavietnam na USA
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 10 ай бұрын
Me too I remember him
@kibokutiwanatanyika1540
@kibokutiwanatanyika1540 10 ай бұрын
kwani huyo lufufu ndo nani?🙈
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 10 ай бұрын
😂😂
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 10 ай бұрын
​@@kibokutiwanatanyika1540umezaliwa mwaka gan??😢
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 10 ай бұрын
@@kibokutiwanatanyika1540 lufufu alikuwa mtafsiri wa movie Tanzania toka miaka ya tisini, movie zake uchoki msikiliza kama sky alivyo sema bwana mkubwa alikuwa na machachali kweli kweli.
@Gerardirankunda2885
@Gerardirankunda2885 10 ай бұрын
Ulikua umekawia san bro 😂😂🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🤣❤
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 10 ай бұрын
Vietnam wangeshindwa na marekani usingekuwa Russia. Hawa majamaa walisaidiwa na mbinu hatari za jeshi la Russia. Bila Russia bac hata korea kaskazini wangeshindwa na marekani. Kwamaana nyingine Russia inatisha kwelikweli kwenye uwanja wa vita. Russia, boss. Putin mkombozi wa ulimwengu mzima!!
@nakali79
@nakali79 10 ай бұрын
Kwani marekani hiyo vita gani imewahi kushinda ikiwa peke yake kama nchi?
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 10 ай бұрын
@@nakali79 hamna yaani
@princekarani7836
@princekarani7836 10 ай бұрын
Alafu Marekani wanavyoifichaga ihi story, hawatakagi kuiongelea kabisaa.alafu movie za kimarekani wanavyoigizaga wanawapiga wavietinam🤣🤣🤣🤣 kila movie
@martingeorgenzali5614
@martingeorgenzali5614 10 ай бұрын
Sns...Is...The...World
@chany9950
@chany9950 10 ай бұрын
Love you sky👍🏽👍🏽😘😘🙏🏾🙏🏾
@ramaccr7525
@ramaccr7525 10 ай бұрын
Nakukubali sana bro🙏🙏🔥
@billskeez92
@billskeez92 10 ай бұрын
Asante bro sky ❤ @Billskeez🇧🇮
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 ай бұрын
WA THAILAND WENGI WA KIUME WALIKUFA KATIKA VITA HII NA NDIO ILIO SABABISHA WANAWAKE KUWA WENGI MPAKA LEO.
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 10 ай бұрын
Tukihamia sie wanaume tutakua deal ee huko
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 ай бұрын
@@lameckraphael3743 UTAWAKIMBIA BROO WIKI TU INAKUTOSHA 😂 😆 😆 😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
😴😴😴
@AndrewPaul-no2wr
@AndrewPaul-no2wr 10 ай бұрын
Sky✊
@mwakasaladaniel9198
@mwakasaladaniel9198 10 ай бұрын
Naikubali bro
@SimbanaYanga_
@SimbanaYanga_ 10 ай бұрын
sky mwamba sana kwenye hizi kazi
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 10 ай бұрын
marekani hajawahi kushinda vita, labda ya japani, nayo asingetumia nyuklia wangemkanda😂
@sayshabani6350
@sayshabani6350 10 ай бұрын
Na juzi wamepigia na mtu mmoja putin haàhahahahhaa . Wamejichanga na ndugu zao wa ulaya ila bado
@laudadeusredemptorysidinda2750
@laudadeusredemptorysidinda2750 10 ай бұрын
Sasa kwanini wasipigwe kabisa wakaacha ubabe kama huwa hawashindi?
@OumaBashir-oj5hk
@OumaBashir-oj5hk Ай бұрын
The battle at Mogadishu Marekani alipigwa hadi akatoroka
@fathmafatomo2962
@fathmafatomo2962 10 ай бұрын
STRONG 💪👊
@aristidesvedasto7855
@aristidesvedasto7855 9 ай бұрын
Wazalendo wa kweli
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 10 ай бұрын
Hatareeeee sana💪🏾
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 10 ай бұрын
Halafu enzi hizo wanaume wakifikisha 18yrs old,wote walikuwa wanalazimishwa kwenda jeshini.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 10 ай бұрын
Unajua kuingia nchi za watu bila vita ya technology utapigwa tu,,,km Vietnam kule nchi yao misitu na njia zote wanazijua mnajipeleka tu,,mtachapwa,,hata Wangeenda Afghanistan bila technology wangechapwa,hata hivyo wengi walikufa na kuumia,kwa sababu ya majabali yale,wenyewe wanayajua ,wameshayazoea, majangwa yale,,,acha lile joto hawaliwezi plus waliotafunwa na ng'e
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 10 ай бұрын
Mi ninahis hata kina kinjikitile ngwale, mwanamalundi na Mkwawa waliwashindwa, bas tu historoa yetu haikukaa vyema
@emmanuelmasele4990
@emmanuelmasele4990 10 ай бұрын
Marekani jau
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 ай бұрын
✌️👊👍
@OumaBashir-oj5hk
@OumaBashir-oj5hk Ай бұрын
America wameshindwa kwenye vita zote wanazopigana ikiwemo The battle at Mogadishu
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
Kimbelembele chake Apa Alikomeswa kimitego 😂
@sonnyr1899
@sonnyr1899 10 ай бұрын
Mmarekani popote alipo ni nuksi tu.
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 10 ай бұрын
Maarekani have lost all fights
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 10 ай бұрын
American hakomi yupo kila sehemu
@samirmswahili
@samirmswahili 10 ай бұрын
Duuu kumbe zile muvi nyingi wamerka walichezea kweli?
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 10 ай бұрын
waongo hao, movie zao zinadanganya!
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 10 ай бұрын
Kwani hauwezi kutamka "Makala Miatatu Sitini"? ... shiriki katika kudumisha kiswahili na sio kukiuwa Swahili
@gabrielkabato9909
@gabrielkabato9909 6 ай бұрын
Uzalendo ni kitu muhimu sana
@abisaimsewa1935
@abisaimsewa1935 10 ай бұрын
Ivi Wamarekani Kuna vita gani walisha shinda sehem zote walizo vamia
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 10 ай бұрын
wanakimbiaga labda japan
@jonasizack6712
@jonasizack6712 10 ай бұрын
Kwa Japan yenyewe walishinda baada ya KUTUMIA nyuklia
@PesaMadafu
@PesaMadafu 10 ай бұрын
American got they ass beat also it was a lot racism during the period.
@richardburundi3090
@richardburundi3090 10 ай бұрын
Kwasasa tunataka vita live Israel acana na viduvyazamani
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 10 ай бұрын
​@@fatmafatu1128watu wengine uharo sana
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 10 ай бұрын
kasome vitabu acha uzembe
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 11 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52
CHURCHILL SHOW S1E6 PART 1-2
15:55
Churchill Television
Рет қаралды 11 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 7 МЛН