Kira la heri raisi wetu,twakuombea kwa mwenyezi mungu akushike mkono ili utimizi ndoto yako ulionayo inshallaaaaaaaaah
@GodfreyKatura-lk3pl Жыл бұрын
Of coz mimi binafsi toka Eng.hersi awe Rais wa Yanga ameibadilisha Yanga kwa asilimia kubwa Sana. Love you Yanga 💚🔰🔰🔰
@GodfreyKatura-lk3pl Жыл бұрын
Kweli kaka
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
Hilo Halina Kificho.🔰🔰🔰💛💛💛
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
The man is genius
@elizabetty-rt7py9 ай бұрын
Tumuongeze miaka ata ishilini na tano tutainjoy sanaaa
@SamsoniGadau4 ай бұрын
❤❤😅😅Mungu imeipa timu yetu kiongozi makini mbunifu na anafanya vitu sahihi Asante Mungu wetu walinde na umpe neema ya kuongoza bila kutindikiwa na chochote amen
@godfreymokoki1027 Жыл бұрын
Eng. Hersi, ukiweza hili utaweka alama ya kudumu kama alivyoweka Mhe. ABEID AMANI KARUME, *Rais mstaafu wa Zanzibar.
@CosmasiCosmasijuma10 ай бұрын
Daaa mungu muepushe namaradhi heris
@pacomezouzoua9175 Жыл бұрын
Huyu mwamba ni intellegent sana akili kubwa hii🙌🙌
@perepetuajohn Жыл бұрын
Jamani tuwaunge mkono WANACHAMA WETU WA YANGA KWA KUTOA ADA ZETU NA KUNUNUA JEZI ZETU HONGERENI WANACHAMA WENZANGU KWA KUFANYA HIVYOOO!🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💛💛💛💛🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@bsmonline8482 Жыл бұрын
Niliwambia huyu jamaa CAF wamemsogeza karibu sio bure kuna kitu wamekisoma hapo, Tukiacha ushabiki huyu jamaa ni mtu makini balaa.
@nappekiliakiliasalimu346 Жыл бұрын
atakuja kuwa kiongoz mkubwa CAF huyu jamaa
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
Mungu Amlinde Atimize Ndoto Zake.🙏🙏🙏
@hajimnubi4581 Жыл бұрын
Anaandaliwa kuwa Rais wa caf...wamemfuatilia muda mrefu na kwa umri wake Infatino na motsepe wameamua kumuweka karibu na kumkuza aje kuufaa mpira wa Africa na dunia
@NelsonPetro-nv2zl Жыл бұрын
R R
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
I second you brother 🙏
@DottoAzizi Жыл бұрын
Noma sana huyu jamaa Aishi miaka yatembo😊😊😊
@erastosanga169411 ай бұрын
All the best our Engineer you're always doing wonderful for our team
@erastosanga169411 ай бұрын
Hi Engineer keep it up for wananchi jangwan stadium
@ExsaveriaTulinje Жыл бұрын
Mungu akusimamie president,ikamilishe hiyo project❤❤❤🎉, love Young moreeee
@anthonylugoi6269 Жыл бұрын
RAISI wa YAnga Africa linamaakili mengi 🙌🔰
@PavilionHospitalb Жыл бұрын
Eng.Hers said yuko smart sana kichwan so gifted....
@maryamtan682 Жыл бұрын
Na ndo maana Kuna watu wanamchukia, kisa wivu tu.
@bsmonline8482 Жыл бұрын
Kabisa hii Kichwa CAF washaona Mali
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
@@maryamtan682YAANI HAPO UMESEMA UKWELI KABISA MAANA HAKUNA MAFANIKIO YASIO NA WIVU.
@hajimnubi4581 Жыл бұрын
Huyu na bashe ndio wasomali wenye akili zaidi wa Tanzania
@PanchoValentino-wh7wt Жыл бұрын
Nomà Saana mr present Engineer Hersi Said Rais Wa boliiii ⚽🔝💯💪💥🔥🌟🦵
@LeonardPhilimon-p2u Жыл бұрын
Safi sana mwenyekiti wa club's African hilo ndio jambo utakumbuka mile na mile na vizazi vyote
@veronicangwale715911 ай бұрын
Ndo rahaaaa ya kuwa na rais kijanaaaa💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
@andrewmgare4474 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu amuongoze rais wetu afanye mambo mazuri Kwa yanga , akitoka ache alama, yanga mbele nyuma mwiko
@IbrahimHassan-ex7sn Жыл бұрын
Mungu tulindie hersi wetu jamaa anajua kuongoza taasisi naiona yanga ikipaa juu zaidi kwenye uongozi wa huyu jamaa.
@MuhungaMasengo-og3vk Жыл бұрын
Mpira atupo.atupo tena atupo tuta mungu uweza yote dahima mbele nyuma mwiko amina
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
Sasa Hapo Umeandika Nini?
@Evance15 Жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 @@godlistengodlisten7552
@MashakaShobo-cs5wj Жыл бұрын
Huyu jamaa namuombea ssna kwa Mungu aje kuwa raisi wa hii nchi naamini atatukomboa kihaki maana tuna uhuru tu hatuna haki MUNGU mbariki eng Hels
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Maombi na dua zako na ziwe kweli!
@MagdalineKwezi Жыл бұрын
Safi sana Rais wetu,mwenyezi mungu,akupatie nguvu,akili na maarifa.Lakini mimi naomba kazi ya usafi😅😅
@jeremiahahsonhezbon4430 Жыл бұрын
🎉binafsi namuunga mkono Bwn mdogo Eng Yuko vzrkwa jambo hili atakumbukwa sana
@JustinMwashilindi9 ай бұрын
Maamzi mazuri sana
@abdulazizi4981 Жыл бұрын
Safi sana Engineer napenda points zako 🤝🤝💪
@CheerfulDrumKit-du7qk11 ай бұрын
Duh sio poa jamaa ni very talents 14:10 14:10
@kibundapesamadimba6352 Жыл бұрын
Akili kubwa sana Eng.Hersi Said
@FedrickBryton11 ай бұрын
Mungu ibarika yanga pamoja na viongoz wake amen 4:16
@perepetuajohn Жыл бұрын
HONGERA RAIS WETU ENGN HERS MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU NA YANGA UIENDELEZE NA NINAIMANI UWANJA TUTAUJENGA CHINI YA UONGOZI WAKO RAIS! POKEA MAUA YAKOOO🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️💛💚💚💚💚💚💚💚💚🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤💛💛💛💛💛💛💛💛💛🙏🙏🙏🙏🙏🙏🖐️🖐️
@YakubuAmiry Жыл бұрын
Mungu akusaidie ufanikishe kujenga uwanja
@HusseinKalamba Жыл бұрын
Ivijamani pale simba tunakosa mtu makini kama uyu bwana hersi yani anaongea vitu vyamahana namuona mbali sana yani paka watangazaji hawana lakuhoji
@AishshibnShibani Жыл бұрын
Ww usijidanganye ivyo ivi vilabu vikubwa auvijuwi istory yake kwaiyo Simba kuna viongozi wakubwa wanaoujua mpira kaakwakutulia
@taseleli9181 Жыл бұрын
Mbona Simba Kuna watu makini kibao
@amaniomar1755 Жыл бұрын
This lad does his research before taking any actiona. Anachunguza kabla ya kutoa uamuzi wowote ule. Yuko makini na Allaah amlinde kutokana na mahasidi wa kila aina.
@JosephMbeo2 ай бұрын
❤❤❤
@erastosanga169411 ай бұрын
Let's all register wananchi members card, so as to play part for our team.
@saidibanda8347 Жыл бұрын
Akilinyingi sana
@ereniomtitu6554 Жыл бұрын
Kongole rais huyu ni kijana makini sana na mwenye kiu ya kufika mbali na klabu yetu ya yanga naamini mafanikio yanga yanakuja makubwa mno 🙏🙏🙏 kwa uweledi wake mkubwa yanga daima mbele nyuma mwiko
@Fredy-oz5vu Жыл бұрын
Rais eng hersi said 🔥 ana akili sana
@mwlmsekekabola566111 ай бұрын
Tunakuaminia rais wetu.Songa mbele
@perepetuajohn Жыл бұрын
Ushauri wa Bure. Chukua kutoka kwa RAIS wa YANGA !!
@MuhungaMasengo-og3vk Жыл бұрын
Masikitiko mnawazomeya vijana wadogo ambao wame pambanna rwanda 🇷🇼 vs tz Tanzania poleni sana
@MustaqimMuhsin Жыл бұрын
Acha tu nikuache maan
@canibalgazaboy832511 ай бұрын
Najarubu kujua unamatatizo gani kichwani ila naona nikuache tu uendelee kupambana na kagame huko😅😅😅😅
@joramkidaga8049 Жыл бұрын
Hakika Apewe Maua Yake🎉🎉❤
@amaniomar1755 Жыл бұрын
Mwamba kwelikweli huyu
@banagakatabazi9648 Жыл бұрын
Kuna kolo mmoja humu ana wivu saana. Anadharau ushauri wa Consultants, hapohapo anashauri kutafuta mawazo kwa watu. Wakati ni kitu kilekile
@jumamziray4761 Жыл бұрын
Kumbe Eng.Hersi ni shabiki la liverpool ? Ndo maana ana akili
@paulsteven6075 Жыл бұрын
Hongera rais wa yanga uko makini sn,mungu akubariki sn.
@Ayubuchonya5 ай бұрын
Hakika utakuwa historia
@franssmoses6791 Жыл бұрын
Kweli huyu jamaa anafaa kuongoza nchi anaakili nyingi sana alafu yuko makini
@GABRIELAgness Жыл бұрын
Huyu jamaa kama perez wa madrid akil nying sana hamna alipo.kosea
@farlykunga8599 Жыл бұрын
zingatia Neno "RAISI"...🎉
@Joshua-u3s4m Жыл бұрын
Brain Iko strong and completee
@deusdeditkullwah5586 Жыл бұрын
Hii ni faida ya timu kuongozwa na watu waliokanyaga umande Shule baba SI kutegemea uchawi HONGERA RAIS WETU HERSI SAID
@FadhiliSelestini4 ай бұрын
Naomba yanga mtafte nyimbo za kuimba wakati timu inapokuwa uwanjan ili mashabiki wawe wanaimba
@BABAGVANY Жыл бұрын
👍
@SamwelKiyanga Жыл бұрын
Huo mto msimbaz usije haribu uwanjan sabb hawanaga wema hao makolo😂
@SamwelKiyanga Жыл бұрын
Pia tutaanz kukuombea mungu akutunze
@AishshibnShibani Жыл бұрын
Ww unafikili uwanja utajengwa nipo pale lbda sio serekali mbataka serikali isipate mapato iv vilabu vikibwa viwili aviwezi kujenfa uwanja mapaka mwisho wadinia
@augustinomkongwa5444 Жыл бұрын
😂😂😂😂mto makolo
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
😂
@DominickMathew-p3g11 ай бұрын
Tatizo wazuri hawadumu utaona wanafiki Wanamtowa Duniani kama Magufuri Alivokuwa mzuri
@ShijajumaSengerema5 ай бұрын
Mbona hatuoni maendereo ya uwanja
@RashidHamis-o6w2 ай бұрын
Yani injinia wa vibatari ajenge uwanja?umewahi kuona wapi, mwenzenu anapiga pesa apo, akishiba anawachia yanga yenu, mi nipo ngoja uone😊
@JacksonBusiya Жыл бұрын
Tena tumuombeen, azidikuiheshimisha Timu ya Wananchi wa Tanzania Yanga Afrika
@grasiuslongo6186 Жыл бұрын
Huyu Rais wa club ni very brain
@sangaelly8548 Жыл бұрын
Huyu jamaaa haya asemayo yakitekelezwa Yanga itakuwa hatari mno Tz na Africa nzima hatari
@monicalucas3738 Жыл бұрын
Pokea maua yako rais wa mpira🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JoeSalumu Жыл бұрын
Jamaa anajua kujiuliza
@NelsoniMatambo Жыл бұрын
Herss nakukubali sana
@khamisidowany6262 Жыл бұрын
@selemanmusa ni msomi ila ujaelewa kinacho ongelewa sio kila ktu mnabisha tu
@DominickMathew-p3g11 ай бұрын
Comments nazoziona nizawanayanga pekee Sjui simba wamejificha hum hum
@oscarclaine5878 Жыл бұрын
Hapa kwenye mwenyekiti wa klabu na bodi ndo kitu inawatafuna hawa jamaa.. huyu hersi amenivutia na mimi kuwa injinia
@damasiasimba-lk5os Жыл бұрын
Naona kama kuna siku atateuliwa kuwa m,'bunge hivi
@emanuelelias2926 Жыл бұрын
Ama hakika hapa wananchi hatukukosea kumpa nafasi ya kuwa Rais wa timu yetu, Hersi ni mtu
@Kimweri_tz Жыл бұрын
Jembe hili
@nembibenard8440 Жыл бұрын
Hers said aishi miaka ya mamba crocodile 🐊 miaka mia sita
@boscondimbo3297 Жыл бұрын
Chura haachi asili yake. Kwani ardhi imeisha Tz hadi kung'ang'ana na Jangwani ?
@Grtudajunior-cw5zp Жыл бұрын
Mbws
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Huyu ni rais wa TFF utake usitake shwain
@JamilahAbduly Жыл бұрын
Sanks gd 4 hersi
@perepetuajohn Жыл бұрын
Asante RAIS wangu kwa kunielewesha thamani yangu ya kuwa mwanachama good,🙏🙏
@biiarupia7277 Жыл бұрын
Mungu tunaomba umpe uhai sushi miaka Mingi atatufanyia makubwa wananchi
Tunakuwamini sana raisi wetu mpendwa una akili sana nauoole wako
@AndrewEzekiel-jp7ed Жыл бұрын
Jamn mtuache na yanga yetu mipango ya kwetu,yanga yetu,rais wetu,inawauma nn?aliemleta rais uyu dunian Hana dhambi
@AthmanKashingo Жыл бұрын
Namuelewa raisi wa yanga Je amejipangaje na changamoto kutekeleza mradi.?
@eliapius-f3b Жыл бұрын
Mwamba kwel kwel,hakuna kutoka madarakan kwahiyo Rais wa YANGA wa kidumu huyu
@Saidi-x4h Жыл бұрын
Mpaka raha kumsikiliza huyu jamaa
@MalifezaMajidi Жыл бұрын
Huyu bwana wa Tz naowamba tumpongeze ushabiki tuuweke pembeni.
@Amosgereson10 ай бұрын
P
@naimasbuguza2395 Жыл бұрын
Raisi wa vilabu anaongea ki_raisi, shule ya bureee.
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Kiongozi mkubwa anazungumza na watu wakubwa!
@JosephMbeo2 ай бұрын
🫡🫡🫡
@hajimnubi4581 Жыл бұрын
Gardner mambo ya Simba na yanga kweli yanamchanganys ...gulamali na rage hawakuwahi kufanya kazi yanga na Simba pamoja...rage alikua DRFA wakati huo...ni gulamali na azim dewji
@fredylucas2484 Жыл бұрын
halafu Rage pia siyo Mbunge jamaa anapuyanga tu labda ndiyo maana Jide alimtema
@Ramoko5040 Жыл бұрын
Aden Rage aliwahi kuwa mbunge wa Tabora mjini.@@fredylucas2484
@mussamussa9446 Жыл бұрын
@@fredylucas2484ameshawahi kuwa mbunge kama hujui uliza wanaojua
@allymngwaya2831 Жыл бұрын
Anajichanganya ni Gulamali na Azim Dewji
@treyvissy9854 Жыл бұрын
@@fredylucas2484 ni mbunge wa zamani
@ahmedalsaadi7108 Жыл бұрын
Sauti inakatakata
@selemanmussa3459 Жыл бұрын
Imagine watu wanaenda mwezini sisi tunaenda kidimbwi, watu wanarusha satellite za ulinzi kwenye space sisi tunapanda juu ya meza...Watu wametengeneza mifumo ya kulinda vilabu kabla smartphones hazijagunduliwa sisi hadi leo tunahangaika. Ujinga ni laana mbaya kuliko laana zote. Tuendelee kudumisha ujinga...ujinga unaondoa creativity, Wewe kama rais wa klabu nakushauri tengeneza mfumo wa kununua mawazo, ndivyo teknolojia au dunia ya kisasa inavyotaka...usione wamiliki wa mitandao wana develop wamejenga mifumo ya kupokea mawazo kupitia interactions ya public mitandaoni...kuna watu wana mawazo mazuri kuzidi hao consultant mnaowalipa mamilioni ya pesa na wanatoa huduma zisizokuwa na value for money... 28:53
@sittandaki2135 Жыл бұрын
Kaka umeflow
@contempo_builders Жыл бұрын
Ukikua utaacha.
@lameckfb2847 Жыл бұрын
HAKA NDO KAMEMALIZA CHUO MWAKA HUU@@contempo_builders
@shamsally6277 Жыл бұрын
Yani we nkajua umeendika vitu za maana kumbe ushabiki tena sijui umerogwa😂😂😂
@saalim5401 Жыл бұрын
Hasadi na akili matope vitu vya engineer vimekuingia tulia upate darasa kolo wewe
@MohammedJaizan-yf5yt Жыл бұрын
Wanao sikiza uwongo wa huyu jamaa tunaita wajinga wali wao
@NasibuAlban Жыл бұрын
Wametolewa mapinduzi wanadanganywa sasa
@martinandugai2340 Жыл бұрын
Ayakuusu 😂😂
@luganomwaisumo1938 Жыл бұрын
Duu kweli kilaza yaani kombe la mapinduzi???
@matiankomola2391 Жыл бұрын
Kila Timu Ina Malengo yake! Kama wewe una Malengo ya kumchukua Kombe la Mapinduzi na umejiandaa kikamilifu kwa Kombe hilo, Chukua, Acha Wivu wa Mazuri ya Mwenzako.