Kosa kubwa umerudi unawafuata mateja wakati ulishaacha ngada dah..Na huyo Mwarami alikuwa mpuuzi kabisa
@eastafricaqualitychickenfa99164 күн бұрын
Mwaga moto
@Gota-m773 күн бұрын
Huko chanika kajenga au,?kiswaswadu pia msii askiuze, ngada sio poa
@masoudmzinga79974 күн бұрын
Hii tabia ya kuvua nguo inamsaidia Nini? Na kwanini alikuwa akitaka kuleta nouma lazima avue nguo. Na Ile akili ya kuingia kwenye choo na kujipata kinyesi ilikujaje?