Hello dada nimekuelewa vizuri sana ubarikiwe sana nitumie nmba yako unisaidie kitu katika safari za nje
@shallykaim2 ай бұрын
mekumis,,,dadaa,lkni saa hii. niko nawwe,,,,god blesss,,,,
@emanuelngaila4229 Жыл бұрын
Umetisha Dada 🔥, ubarikiwe sana
@josenyambeo35874 ай бұрын
Hongera sana dadake push vijanawetu watoke
@christophermsangi86718 ай бұрын
Ubarikiwe sana , naomba nitafute nahitaji uniandalie safari
@nasrinairi95567 ай бұрын
Umetisha sana Dada, Nimekupenda Elimu nzuri sana. 🙏
@DGvaluemedia8 ай бұрын
Asante dada yetu
@NassourSalim5 ай бұрын
Km cna English inakuaje ruhusa kuonqea kiswahili
@victorianambololo571811 ай бұрын
Kama hutojali dear, how can I get you, out of this forum?
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
Mashaallah Alhamdulillah jmn safi sana
@JoseBoazy8 ай бұрын
Pamoja sana
@OnesmoMasima15 күн бұрын
Please nataka Mawasiliano na ww, kuna inshue ya canada au German
@yoezamndeme3 ай бұрын
Habari dada upo Goba sahem gan?
@NgelejaCharles-ng7bh Жыл бұрын
Asante
@kisagentabirage669311 ай бұрын
Dada Jesse napenda kuja huko Canada naomba unisaidie nieze kuja huko tafadhali sana mungu akubariki sana
@ezrakiduko61359 ай бұрын
❤
@GodfreyMdemu-uw2lv8 ай бұрын
Dada upo goba kwa hawazi hatuwezi kuonana pls Nina mazungumzo na wewe ya safari
@godwinaxwesso872611 ай бұрын
Hello Dada Jesse , nashukuru sana kunifahamisha na kupata hii elimu muhimu sana ya maswali ukiwa airport. Niliomba kujua ofisi yako iko wapi nije
@ebenezerykimendo-oe2mx Жыл бұрын
maelezo ni mazuri na magumu hasa mimi naye sahau sahau
@daudimatelot933911 ай бұрын
Shukrani sana Dada
@6elim126 ай бұрын
Sasa kama hujui English itakuwaje naomba munijib please
@classicmediaenter10ment444 ай бұрын
Elimu kubwa Naenda kujifunza
@obinakakuba238410 ай бұрын
Nakama unategemea ndugu yako ndo akukatie ticket yakurudi hapo watakuelewa au hujakata ticket yakurudia naunategemea kukata pale siku yakurudi imewadia?
@mgaxy69733 ай бұрын
sasa hayo mbona ni maswali ya kawaida sana, kwani kabla hujaondoka huwa lazima uyapate ubalozini na yapo kwenye visa
@happinessmchome91014 ай бұрын
Jamani nineingia juzi tu ila hawajaniuliza maswali yote hayo, ila wakiuliza maswali wanakujazia macho adi unaogopa.
@happinessmchome91014 ай бұрын
Umejitaidi sana kueleza aisee! Mimi mpaka nilitoa peda zangu zote nikaweka mezani akahesabu aiseee acha kabisa..
@ZayZaham11 ай бұрын
❤❤
@efrahfarahahmed8960 Жыл бұрын
Dada nimekupenda bure maana unanyoosha zitawafaa wengi sana
@babamunah5768 Жыл бұрын
Dada mie ninashida na namba yako ya Whatsapp kuna mengi nataka kuyajua kutoka kwako
@yoezamndeme3 ай бұрын
Mimi naishi Goba pia naomba nkutembelee ofini kwako
@jessevlogswahili3 ай бұрын
Karibu ila nasafiri Jumatano iwe 31
@EvvieRobbie18211 ай бұрын
Nisaidie kupata Akira nipo Dar es salaam.
@NIMFASHADieudonne-cy1fx9 ай бұрын
Thanks so mimi ni mtoto wa Burundi,naweza kufika huko canada?
@jessevlogswahili9 ай бұрын
Karibu
@samrineprogramme19778 ай бұрын
SHUKRANI ELIMU UMETUPA
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
Mbna sion sehm ya kulike
@geraldwilliam2822 Жыл бұрын
Nakupataje
@JosephZaharani Жыл бұрын
Naomba namba dada mm nimepeta pasipoti naomba.namba tuwasiliane
@jessevlogswahili Жыл бұрын
Sawa tuma email jessesarro85@gmail.com halafu usitumie email nitakupa namba yangu usijali
@ahmadgrujic92976 ай бұрын
Je unaweza kupita airport bila kuhojiwa
@tatumzelela55156 ай бұрын
😂😂😂
@JeanBaraka-pu5xo15 күн бұрын
tupenamba
@chavdagrande2379 Жыл бұрын
😘👏👏👏
@LeilaIddy-s5kАй бұрын
Hivi kuna uwezekano wa kwenda canada kufanya kazi na hujui kuongea english
@jacksonmsendo3478 Жыл бұрын
Nina mzungu kutoka czech republic vp visa ya nchi dada unaweza idadavua kwa kina urahisi wake wa kuipata ktk video yako ijayo
@jessevlogswahili Жыл бұрын
Sawa usijali
@awardenock7173 Жыл бұрын
Tunakushukuru kwa kutufungua akili
@mbarakkhamisali Жыл бұрын
Hi dada❤
@jessevlogswahili Жыл бұрын
Habari ya siku
@roncemnoma50779 ай бұрын
Kama sijui kiingereza inakuaje kwenye hayo ma swali
@jaffjeff69126 ай бұрын
Jifunze lugha ata kidogo ili ukurahisishie kwenye fursa Zaid na maisha kwa ujumla
@mbarakkhamisali Жыл бұрын
Sasa kama haujui kiingereza itakuaje sasa
@jessevlogswahili Жыл бұрын
Kama hujui Kingereza ni shida na hata kama unajua unatakiwa kusikiliza kwa makini maana Kingereza cha wakanada ni kile chenyewe cha ndani kabisa sio kama Kingereza cha Wajerumani au wadutch ila kuna upande mwengine wanaongea kifaransa
@MichaelYohana-hv9cm11 ай бұрын
Dada habari naitwa michael nawezaje kupata visa kuja canada
@MichaelYohana-hv9cm11 ай бұрын
@@jessevlogswahilihabari dada
@AbdenegoMasha11 ай бұрын
Wengi waingia humu na hawaijui lugha ndugu yangu ni kujiamini tu Kikubwa makaratasi yapo sahihi kikubwa ni wewe kuingia jameni
@mkingageorge2641 Жыл бұрын
But sister nina swali hizi kaz za usd15 marekani na ghalama za maisha kuwa juu unaweza ku save money kweli maana wengine wanasema cost ziko nyingi kweli
@jessevlogswahili Жыл бұрын
Mbona watu hawakimbii Marekani unaweza kuishi watu wengine wanakimbia Canada kwa ajili ya cost of living sio Marekani huwezi kushindwa kukaa marekani
@mkingageorge2641 Жыл бұрын
Ubarikiwe mpendwa tuombeane hyo kaz ipatikane maana naisubil kwa hamu nina hasira na maisha dada sunajua family zetu huku vijijin ukiwa mt wa kujitoa mzigo wote kwako😀😀
@jessevlogswahili Жыл бұрын
Mungu atakusaidia na uendelee kutafuta fursa za kuingia kule
@AbdallahMillah9 ай бұрын
Hello dada je vipi mtu anaeza apply visa ya Canada??@@jessevlogswahili
@kalundemiraji18626 ай бұрын
Sasa ukitaka kua mkimbizi kule hayo maswali utajibu nini