"ETI KAJENGA UWANJA NYUMBANI KWAO, NIKIFA NITAENDA NAO KABURINI?" - MAGUFULI

  Рет қаралды 45,409

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

"ETI KAJENGA UWANJA NYUMBANI KWAO, NIKIFA NITAENDA NAO KABURINI?" - MAGUFULI
MGOMBEA Urais (CCM) Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 14, ameendelea na kampeni za kunadi sera zake na za chama chake wilayani Chato mkoani Geita...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 235
@mgoledaudi6051
@mgoledaudi6051 4 жыл бұрын
Wakasema tutakufa kama kuku sasa hivi wanapita kwenye majukwaa kunadi sera zao bila kuvaa barakoa aibu yao, Magufuli baba lao
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 жыл бұрын
Mimi hapa magu nakupa 💯💯💯💯💯💯
@micamathew2595
@micamathew2595 4 жыл бұрын
Huyu rais aise ni wa maana sana hapa duniani, ni mzalendo ambaye sijawahi kuona.
@msalabanreko7001
@msalabanreko7001 4 жыл бұрын
Sikupingi ni kwel
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Mkuu usiumizwe kichwa baba,kama walikuja na bajaji waseme na kama wana uchungu waende leba wakazae!!! Nakupenda mno na pia namshukuru mwanamke yule aliyekuzaa Mungu amlinde na kumbariki penda sana presdaaa
@mfalmewanyika2804
@mfalmewanyika2804 4 жыл бұрын
Nahuku Tanga rais wetu, uwanja wetu wa ndege unahitaji maboresho kidogo asante. Kazi tunaziona hakuna ubishi. 🙏🙏🙏
@marwaabdalla9306
@marwaabdalla9306 4 жыл бұрын
yupo busy kujenga uwanja wake , wewe kaa tu na mashimo yenu
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
@@marwaabdalla9306 acha unafiki wewe, sasa akijenga anakotoka kuna tatizo?. Weak mindset, anavyofanya maendeleo mikoa mingine mbona husemi.
@marwaabdalla9306
@marwaabdalla9306 4 жыл бұрын
Eti raisi wako jibu lake kwanj nikifa nitachukua huo uwanja kaburuni, what a weak answer? because everybody know the answe to that question. Just because you not taking something with you when buried does not mean it rhe right thing to do. Tell us why is important for him, by the way only president who built himself an airport. Kisha yeye ni mtu wa wanyonge, nendeni kamtangulizeni Mungu, stop nonsense
@mfalmewanyika2804
@mfalmewanyika2804 4 жыл бұрын
@@marwaabdalla9306 mbona unanifokea kaka. Huyu ninae muomba ndie rais wetu kwa sasa kwahiyo sioni kosa kumuomba nawewe kamuombe huyo rais wako na M.Mungu kama atatuletea rais mwengine pia nitamuomba
@marwaabdalla9306
@marwaabdalla9306 4 жыл бұрын
@@mfalmewanyika2804 sijasema kumuomba vibaya, utakua hujanifahamu mie. I believe its fair request to rennovate airport in Tanga. But to spend billions to build an aiport that will essentially serve him is wrong and abusive of public funds, the money for all Tanzanians regardless their political affiliation.
@robertterry8909
@robertterry8909 4 жыл бұрын
Pamoja sana kiongozi
@shukurumundandu3244
@shukurumundandu3244 4 жыл бұрын
Alikuja amevaa balakoa kubwa Kama mfuko sasaiv kashalitupa anapanua domo Kama kinda la ndege kuponda jitihada za wenzake
@msalabanreko7001
@msalabanreko7001 4 жыл бұрын
Nimechek sana ndugu
@justinebahati2875
@justinebahati2875 3 жыл бұрын
Mungu akulinde huko uliko baba yetu. sisi wanao huku umetuacha salama.japo hali ni ngumu ya kimaisha
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 4 жыл бұрын
Pole baba na kazi.usichoke kupambania Taifa.binadamu atunajema wasioona nini unafanya awataona daima.
@patterypaschal5212
@patterypaschal5212 4 жыл бұрын
Pa1 Sana rais we2 unaongea point sana
@tizilamassaga6756
@tizilamassaga6756 4 жыл бұрын
Wengine tuko wakulima hiyo mipunga tungeivunaje? Barikiwa raising wetu.
@saleimanfaida1920
@saleimanfaida1920 4 жыл бұрын
Baba Magufuli tunakupenda sana..Mola akubariki na akuongezee Nuru ktk kazi zako...ubarikiwe sana baba..utashinda baba Mola yu pamoja nawe..
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 4 жыл бұрын
ALLAH bariq baba magufuri stay in peace. Ami.
@marwaabdalla9306
@marwaabdalla9306 4 жыл бұрын
who??? Allah? Abariki mtu aliyewaweka mashekhe ndani bila kosa, you are out of mind, if you have any
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 4 жыл бұрын
CCM namba moja
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Shetani membe na lisu washashindwa na kulegea mpaka amekimbia nchini
@ARCHANDRAMUMBUNGU
@ARCHANDRAMUMBUNGU 4 жыл бұрын
Magufuli KURA yangu asubuhi na mapema umepata
@dismasmmasi2657
@dismasmmasi2657 4 жыл бұрын
Kwani uongo mzee si umejenga nyumbani Hongera
@salimabdul4424
@salimabdul4424 4 жыл бұрын
Pole mzee mungu yu nawe
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 жыл бұрын
Lisu ushindwe na ukalegee na michuma yako hiyo ikufiatuke ichomoke yote shenzi mkubwa kabisa.
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
Kweli ashindwe, maana anatuchosha na kelele zake
@feristamussa4181
@feristamussa4181 4 жыл бұрын
Tena apigwe upofu na alaniwe lisu
@bacteria5184
@bacteria5184 4 жыл бұрын
Ssa uwanja Wa chato ni Wa nni wakati wenyeji maskini
@mukildoto9930
@mukildoto9930 4 жыл бұрын
upo sahihi baba
@Johnmasanja27
@Johnmasanja27 4 жыл бұрын
Waambie wakamuulize mai zumo atawaambia faida za kununua ndege😆
@eddechriss2664
@eddechriss2664 4 жыл бұрын
Chato ni sehemu ya TZ ina haki ya kupata maendeleo pia kama zilivyo sehemu zingine
@oswaldshayo2758
@oswaldshayo2758 4 жыл бұрын
Kwani chato ni burundi?
@salmuhassansalmu4040
@salmuhassansalmu4040 4 жыл бұрын
Lisu nimuoga mbaguzi hanataka kuleta ukanda naukabila vitu ambavyo mwalimu nyerere alisha vifuta nashangaa kumbe tz bado malofa wavivu wazembe wapumbavu bado wapo Tanzania yaleo kweli sikuzote utongundua neema mpaka ikutoke majuto ni mjukuu
@anwaritesal4695
@anwaritesal4695 4 жыл бұрын
Safi Sana..mitano mingine Tena.
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 4 жыл бұрын
Muache aendelee kuongea maneno yake ya shombo piga kazi baba
@ARCHANDRAMUMBUNGU
@ARCHANDRAMUMBUNGU 4 жыл бұрын
Magufuli NAKUPENDA sana
@zenamanjemu8742
@zenamanjemu8742 4 жыл бұрын
Usijifu sana mkuu corona bado ipo
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 4 жыл бұрын
Iko wapi
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Uliugwa mjinga wewe na ikakoromee kwako
@eyumededu2948
@eyumededu2948 4 жыл бұрын
Uko nayo kwako
@maulakaroli8323
@maulakaroli8323 4 жыл бұрын
Mama yako kafa??
@aishamalunkwi8316
@aishamalunkwi8316 4 жыл бұрын
Sahihi mkuu
@cypriankikoti9160
@cypriankikoti9160 4 жыл бұрын
Baba umesema vema mno pongezi nyingi
@samwelimwanisawa9035
@samwelimwanisawa9035 4 жыл бұрын
ata utufokee hatukupi kula maana umewaweka ndugu zetu sana mtaani miaka mitano na wewe katafute kazi nyingne ufanyeee lisuuuuuuu hoyeeeeeeeeee
@eyumededu2948
@eyumededu2948 4 жыл бұрын
Usimpe wewe kula kabisa
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 4 жыл бұрын
Mie na wenzangu kadhaa tutampa kura nyingi sana tena asubuhi tu yaani hapa tunaomba Mungu atujaalie tu uhai - TUKUTANE 28/10/2020
@malkiadianney2627
@malkiadianney2627 4 жыл бұрын
We mwenyew umesoma unataka uajiriw haunaa chetii!!
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 4 жыл бұрын
Wivu tu.... Kikura chako hata usipompa magufuli atashinda tu.
@eyumededu2948
@eyumededu2948 4 жыл бұрын
@@farajamaduhu1981 tena kwa kishindo ambacho hawajahi ona
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 4 жыл бұрын
Hata mbeya kiwanja kikubwa baba wasikuumize kichwa
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
Mr president hapo umeteleza. Kujenga hata choo ni political favoratism. you shouldnt have done that....
@kalistusauzebi5707
@kalistusauzebi5707 4 жыл бұрын
Mzee tumechoka huna sera
@eyumededu2948
@eyumededu2948 4 жыл бұрын
Hana sera huyo Lissu wenu yan watz wengine mnakera jamani mkatawazwe ndo mjue mtu mzalendo sishangai ndomn mpk leo Africa inatawaliwa na wazungu sababu weng akili hamna kabisa
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 4 жыл бұрын
Hizo zako ni kama kelele za chura, haziizuii nguvu ya buldoza kuchukua na kuweka waaa. Chuki zako ni sawa na tone la mvua baharini. Mtatotoa rasmi mayai yenu na kujipatia vifaranga vya kulea trh 28/10/2020 maaana jogoo limeshawika. CCM hoyeee...
@ramadhaniharuna8110
@ramadhaniharuna8110 4 жыл бұрын
Yani hii imenifundisha sana wanasema wachaga tukipewa nchi tunapendelea kwetu kumbe nawasukuma mpo??? Kwetu kwanza , pia (asiependa kwake nimtumwa)
@kelvinmnyingi1151
@kelvinmnyingi1151 4 жыл бұрын
Lisu no chizi kamili
@veronicamwanalinze9532
@veronicamwanalinze9532 4 жыл бұрын
Uzuri wa Tznia kampeni zote hata kama huna sera wachache watashangilia wengine wanabaki km watazamaji, wengine matusi tu, utafiikiri yanaongeza idadi ya kura, ila kupiga kura ukifika ni siri ya mtu amchaguae.
@msalikemedia
@msalikemedia 4 жыл бұрын
Hahaha na elegeee kabisa
@Nyanda506
@Nyanda506 4 жыл бұрын
Mkuu ukimjibu unampa kiki ya yakuongea sio saizi yako ...Saizi yake ni sisi tar 28 October tunamkata asubuhi ili akalie ubeligiji kwa mabwana wake .
@alihu3752
@alihu3752 4 жыл бұрын
Hao wanapenda Hera mifukoni tu ndio waafrica tulivyo hata akipita barabara za matope na uchafu lakini akiwa napita juu take ni Sawa tu wapo waovyo.
@estermarcely1058
@estermarcely1058 4 жыл бұрын
SEMA Baba Huyo Anae Sena Vyauwanja Na Ndege Ashindwe Kwelikweli Maendeleo Tunayaona.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 жыл бұрын
Waache wabwabwaje daddy. Kwn wananchi wa chato hawataki maendeleo. Wapite wakienda tena kwa kukimbiza. Wasikupe headache baba yetu. Shame upon them
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 4 жыл бұрын
Mwenyewe nilikuwa nashangaa. Sasa chato ndo hawataki maendeleo auu???
@ephrandandu180
@ephrandandu180 4 жыл бұрын
Wanajua ndege itamsaidia mwananchi kiipanda tuu.kumbe hata asipopanda maingizo yatamsaidia tuu mwananchi
@zenamanjemu8742
@zenamanjemu8742 4 жыл бұрын
Usitufokee mzee
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Sidano imepenya wapinga maendeleo
@sanyamwita1853
@sanyamwita1853 4 жыл бұрын
jarsa duba kabsa
@gaudensiaevarist8031
@gaudensiaevarist8031 3 жыл бұрын
hatutachoka kukulilia shujaa watu mtetezi wetu
@lukasjastin8749
@lukasjastin8749 4 жыл бұрын
Kapumzike MZEE tumekuchoka
@sanyamwita1853
@sanyamwita1853 4 жыл бұрын
Sema ww umemchoka sio wote
@ramadhanikambalame5185
@ramadhanikambalame5185 4 жыл бұрын
Lucas mwambie baba ako apumzike
@lukasjastin8749
@lukasjastin8749 4 жыл бұрын
@@ramadhanikambalame5185 hivikweli unaufaham wakutosha kweli .magufuli ni booonge la jizi
@feristamussa4181
@feristamussa4181 4 жыл бұрын
Kwani were sio mwizi kalale wewe magufuli oyeeeee CCM oyeeeeeee
@stephenpaul8679
@stephenpaul8679 4 жыл бұрын
Tupe ushaidi wa wizi wake lukas jastin
@deomushi7290
@deomushi7290 4 жыл бұрын
Tuachie baba tutamfundisha adabu arudi alipotoka magufuli oyeeeeeee
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 4 жыл бұрын
Usinge mjibu nisawaswa nakupoteza muda
@robertelias114
@robertelias114 4 жыл бұрын
hatujafungiwa lakn tunakipta cha mtema kuni
@sanyamwita1853
@sanyamwita1853 4 жыл бұрын
Kwenu kafa nan au unafk na uzandiki
@znz9083
@znz9083 4 жыл бұрын
Wamezoea ufisadii kula buree
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 4 жыл бұрын
Hamna shukrani yaani.
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 4 жыл бұрын
Ingetokea lockdown Hadi sasahivi Kama nchi zingine, unadhani ungekuwa hai wewe au Ni mwendo wa kufa kwa njaa...
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 жыл бұрын
Kwanza yule pimbi hana hoja. Swali langu moja kwa lisu hatoe majibu kwa watanzania kwamba fedha za chama chao kinachojinasibu kinataka kushika madaraka zimefanya nini mpaka Leo na huku wanachama wao wanalalamika hawaruhusiwi kuhoji matumizi yake? Maana uwanja wa chato sisi wtz tumeouona ata kama yeye anadai hauna faida haina shida . atujibu fedha ambazo wabunge wa chadema walikuwa wanakatwa kwenye mishahara yao zimefanya kazi gani kwenye chama chao ata jamii kwa ujumla ? Kazi yake kukosoa vitu vinavyofanywa na serilali kwa waziwazi kabisa wakati ya kwao ambayo ata hatuyaoni hakosoi.jinga sana yule.
@augustinejoseph8957
@augustinejoseph8957 4 жыл бұрын
M4C. 4life
@justice607
@justice607 4 жыл бұрын
Magufuli 4 change.
@derickmoshi6409
@derickmoshi6409 4 жыл бұрын
@@justice607 kweli baba Prince
@yaqoobalhinai3805
@yaqoobalhinai3805 4 жыл бұрын
Hiyo sio hoja yakorona watanzania wanataka uhuru haki maendeleo jamaa kapata cha kuzungumzia huna sera umechemka
@bahatisanga8664
@bahatisanga8664 4 жыл бұрын
Uhuru gan unatak Uhuru ukizidi ni matatizo
@znz9083
@znz9083 4 жыл бұрын
Ttzo ukosefu wa kutembea uko anakotaka kukupelekeni lissu kwa mifano mtajuta Maana hana akili
@memurutisaitoti1822
@memurutisaitoti1822 4 жыл бұрын
Wewe unaujinga mwingi ujui kenye unasema Rais anaweka watanzania kwa hali suri ati unasema ana Sera wewe unayo ? Ati amechemka wewe unafanana na lissu wenu mtuwachie mangufuli wetu wewe kama unangoja uwekewe chakula kwa mdomo utangoja sana kama unataka ushikwe mkono ufanye kazi utangoja
@allenmsuya002
@allenmsuya002 4 жыл бұрын
Iv mtu unasemaje una uhuru we unajua kweli uhuru lisu anaoutafuta kutukana watu wanavyo taka ushoga kam walivyo wahahidi wazungu wao unakuwa mkosa akili ukisema auko huru
@vitolomohd4979
@vitolomohd4979 4 жыл бұрын
Babu lisu nimwehu tutamnyoosha mwaka huu.
@emmynkuu1533
@emmynkuu1533 4 жыл бұрын
Mipango ya kujenga kiwanja kwa kweli ni mipana! Ila motive ndo ishu.
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 4 жыл бұрын
😂😂😂 hana hasiraaa 😂😂😂😂 siasa na utendaji n vtu viwil tofauti😂😂😂😂
@martinmalisa2946
@martinmalisa2946 4 жыл бұрын
Kwahiyo mheshimiwa korona iko kwenye ilani yenu na je uwanja wa chato unalisaidia Nini taifa mkuu ? Na je vp kuhusu mdahalo mh.
@josehkasuru7244
@josehkasuru7244 4 жыл бұрын
Pole sna, inawezekana si kosa lako.
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 4 жыл бұрын
Kapime mkojo kaka!
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Kama hujui uwanja wa ndege chato una faida gani basi umekufa kiakili
@stephenmwaisela263
@stephenmwaisela263 4 жыл бұрын
Mzeee maguu huyu nyumbu tundu lisu tuachie sisi,tutamuonesha jinsi gani tumejitambua hii kizazi,yy kaja na mawazo ya wakoloni ili ajishibishe yy na family yake.acha tumfurahishe ifikapo tar 29/10/2020.atajua hajui mpumbafuu sana huyu
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 4 жыл бұрын
Magifuri ana foka
@josephbenjamini6179
@josephbenjamini6179 4 жыл бұрын
Utarii gani bna achia ajila
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 4 жыл бұрын
Na kwanini. Uanze kwenu mshezi tu wewe huna lakusema
@mahayclassic2179
@mahayclassic2179 4 жыл бұрын
We ultaka aanze kwa bib yko?
@shebyymakame6073
@shebyymakame6073 4 жыл бұрын
Mhhhh
@Hopestone_counselling_point.
@Hopestone_counselling_point. 4 жыл бұрын
Ili uridhike kwa mfn unataka uanzie wapi
@rastemwi7654
@rastemwi7654 4 жыл бұрын
Tanzania ni yetu sote akijenga chato ni tanzania akijenga arusha ni tanzania kuna ubaya gani ??
@stephenpaul8679
@stephenpaul8679 4 жыл бұрын
Nyinyi ndy mnaanzaga kujenga nyumba ukweni baada ya kujenga kwako
@lucymollel6509
@lucymollel6509 4 жыл бұрын
Kanda ya ziwa hiyo maendeleo
@justice607
@justice607 4 жыл бұрын
Wewe ndio rais wa Tanzania 🇹🇿 mteule
@virginiapetro6228
@virginiapetro6228 4 жыл бұрын
Maendeleo tumeyaona asiye macho aambiwi tazama,. Yeye anatangaza kuwa ata ajiri Kama sio leri, vituo vya afya, barabara, shule, ndege ,viwanda unavyoendelea kuvifufua,. Angeajiri Nini? Jpm wewe ndie simba wa Tanzania wanaogopa ngurumo hao. Wasuopenda maendeleo na mafissdi bdo hao hao. Hapa kazi iendelee
@lucymollel6509
@lucymollel6509 4 жыл бұрын
Kanda ya ziwa oyee uzunguni
@zerobrain9683
@zerobrain9683 4 жыл бұрын
No friction no motion
@tabumussa6705
@tabumussa6705 4 жыл бұрын
Tunaomba nasie kusini mkoa wa ruvuma tufikirie viwanda chooonde raisi wa wanyonge
@mahijamsigiti6752
@mahijamsigiti6752 4 жыл бұрын
Baba fanya kazi kura tutakapa tu?????
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 4 жыл бұрын
Wapimwe akili wanamatatizo makubwa sana Hivi wanaiona chato nikama siyo Tanzania au kwani kuna ubaya kujenga chato! Kama angejenga chato tu basi wangesema lakini mikoa mingi umejenga sasa wao wanamatatizo gani sijuw
@tanzaniapatrioticorganizat9413
@tanzaniapatrioticorganizat9413 4 жыл бұрын
Magufuli Baba lao...!!!! JPM 4 TANZANIA
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 4 жыл бұрын
Huyuuu jamaaa hana selaaaa anatumia mpango kazi aliyoiacha j k""""
@tabumussa6705
@tabumussa6705 4 жыл бұрын
Piga kazi raisi wetu usiwasikilize wanao penda njia za mkato kushineee piga kazi upate pesa.
@rehemajuma2202
@rehemajuma2202 4 жыл бұрын
Na kweli wanatoka ulaya kwa bajaji?
@DavidDavid-is9yk
@DavidDavid-is9yk 4 жыл бұрын
mzee wewe nimzuri umebana Sana mbaka Hali imekua ngumutanzania
@DavidDavid-is9yk
@DavidDavid-is9yk 4 жыл бұрын
mzee ninakusifia kwa mambo ulio yafanya mazuri ila mengi yao unakosea unabana Sana mbaka Hali unajua ngumu tanzania
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 жыл бұрын
Nonsense shall never end. Watuache na Magufuli weetu. Mussa wetu,baba tuvushe sisi twende zetu Cananiiiiii(Tanzania mpyaaaa). Tupo ulipo tena pamoja mno. Kelele kwa daddy akeeeeee
@jazaliluyaya9451
@jazaliluyaya9451 4 жыл бұрын
Dah kwakweli hii ni hatali chato lami kama yote uwanja wa ndege pia ila kusini mmmh barabara ni za shida mimi ni CCM ila eeeh kura yangu upande wa pili
@eyumededu2948
@eyumededu2948 4 жыл бұрын
Ipeleke hadi upande wa tatu
@znz9083
@znz9083 4 жыл бұрын
Peleka tu Baba
@happynessowani6098
@happynessowani6098 4 жыл бұрын
Pole sana
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 4 жыл бұрын
Nenda huko kwa tobo
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 4 жыл бұрын
Tutawanyooosha tu 28/10/2020 wajinga wajinga kama wewe. Tuliza mshono ujionee mwenyewe... CCM hoyeeee.....
@seiftaji4416
@seiftaji4416 4 жыл бұрын
Umefeli sana kwahiyo kila rais ajae ajenge uwanja kwao? huo niubinafsi mkubwa mboni kikwete hakujenga uwanja kwao? hayo nimatumizi mabaya ya pesa za uma
@sanyamwita1853
@sanyamwita1853 4 жыл бұрын
Kwan songea, mtwara, Dodoma, musoma, singida, simiyu, shinyanga na tabora ni kwao magufuli?? Fungua akili yako ujue ulipo na unapoenda usishikiwe akili
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
Wivu
@simonkaheza5685
@simonkaheza5685 4 жыл бұрын
Aaah Kumbe naikulu angeipeleka Chato ndyo mngeridhika au sio
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 жыл бұрын
Anasema hakujenga kwao tu kajenga vingi tu hata singida hujasikia? Au ndio wale wale wanaoungana na vibaraka kupinga kila kitu?
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 4 жыл бұрын
Ninyi wenye wivu na mashavu yamewavimba polen sana hamtafika salama
@sekuludevid6413
@sekuludevid6413 4 жыл бұрын
Maguu tunakupa kura tutamwonye th28
@jamesngulimi1922
@jamesngulimi1922 4 жыл бұрын
Mh vumilia najua ukiwaunafanya mazuli kunawengi hawatapenda pagakazi tunakuombe kuanaloho pana
@cyprianshayo4044
@cyprianshayo4044 4 жыл бұрын
Kati ya chato na shinyanga wapi paanze?????
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Popote panatakiwa kuanza, kama kuna viwanja vilianza kabla ya chato kuna tatizo gani chato pia ikianza kuliko sehemu nyingine?
@andronicomanasemkuyu5333
@andronicomanasemkuyu5333 4 жыл бұрын
Kujenga uwanja chato ndo mipango mipana?
@maulakaroli8323
@maulakaroli8323 4 жыл бұрын
SMS yako inanuka mavi mtoto wewe tuache wapiga kura tuna jambo letu october na tunahakikisha mashoga wote mnarudi ubelgiji
@bacteria5184
@bacteria5184 4 жыл бұрын
Ina faida gani huo uwanja wakati wenyeji maskini
@alicekyai2746
@alicekyai2746 4 жыл бұрын
Hakuja na Bajaj Ila ametua uwanja unaotumiwa na public siyo chato hivi Kuna mtu anakata ticket ya ndege kwenda chato? Mzee acha panic jibu hoja za lisu ili watz tukuelewe siyo ubabe
@eyumededu2948
@eyumededu2948 4 жыл бұрын
Wajinga ninyi ndo mnamuelewa sisi wenye akili tunaenda nae
@malkiadianney2627
@malkiadianney2627 4 жыл бұрын
Ana hoja gani huyo lisu, mbn hatuambii atafany nn tukimchagua
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 4 жыл бұрын
Mshamba wewe, kwaiyo sisi watu wa Chato hatuna hadhi ya ndege! Mjinga mmoja wewe! Na bado..tutawanyooosha trh 28/10/2020 mpaka mhame Nchi.
@colethakindimba6686
@colethakindimba6686 4 жыл бұрын
Ulitaka wajenge kwako?ubinafs tu huo
@kuchiafricancinema
@kuchiafricancinema 4 жыл бұрын
Mbona unatufokea mzee
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Ukweli inauma Sana
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
Ulikuwa unataka aongeeje
@kuchiafricancinema
@kuchiafricancinema 4 жыл бұрын
@@presseg.6362 nilitaka aseme alijenga uwanja wa chato kwa gharama gani wakati bunge halijapitisha pia hata kwenye ilani ya chama chake haikuwepo
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 4 жыл бұрын
Umetoka kuzimu wewe! Huna lolote,
@augustinejoseph8957
@augustinejoseph8957 4 жыл бұрын
Naww mzee plesha itakuua 😂😂
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 4 жыл бұрын
Muombea janga mwenzie janga hilo humrudia mwenyewe - safari njema kama utatangulia kabla yake.
@delphinuskanyawela3818
@delphinuskanyawela3818 4 жыл бұрын
Ukweli unauma rais wangu gharama ya uwanja wa Chato ungetoa ajira kiasi gani
@mwanasaid6177
@mwanasaid6177 4 жыл бұрын
Nyooo nyoko linyo
@frankcosmas8709
@frankcosmas8709 4 жыл бұрын
Kwani waliojenga hawakupata ajira?!
@colethakindimba6686
@colethakindimba6686 4 жыл бұрын
Nyooooo
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣Jpm unafurahishaa. Ashindwe NA aregeee.
@lucyraphael1078
@lucyraphael1078 4 жыл бұрын
Pigakazi baba wao maneno tu wewe ndochaguo letu magu 5 yako
@missmwayway4704
@missmwayway4704 4 жыл бұрын
Tundu la lisuuuuuuu tokaaaaaaaaaaaaàaa
@abdallahyasin6829
@abdallahyasin6829 4 жыл бұрын
Acha usenge
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 4 жыл бұрын
Mwenyewe tobo
@abdullasuleiman4477
@abdullasuleiman4477 4 жыл бұрын
P
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 4 жыл бұрын
Sasa kwnn isiwe uwanja ukajengwa dodoma kwanza adi chato kwanza?
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Uwanja dodoma ulikuwepo kabla ya chato, ila wanaongeza zaidi na kupanua cha awali kwasababu ya jiji. Wakati mwingine tukue kiakili vyovyote ni sawa
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 4 жыл бұрын
Kumbe hata hujui kama dodoma Kuna uwanja wa ndege😂tulia tuu acha baba afanye yake. Kwani chato kuna wanyama?
@marwaabdalla9306
@marwaabdalla9306 4 жыл бұрын
Kwani watu wanapojikumbizia utajiri wanaona watakwenda nao kaburini? jibu gani hili alilotoa MAGUFULI
@kennedymboma8268
@kennedymboma8268 4 жыл бұрын
Unaonaje magu tuwaachieinchi wakishindwa tuwatoe
@feristamussa4181
@feristamussa4181 4 жыл бұрын
Lisu hawez hata kuongoza watoto was chekechea ichi ataweza kwer nahivyo vuma mwili wote
@sittakibona4560
@sittakibona4560 4 жыл бұрын
Nyerere alikataa kuwapa nchi kw majarbio
@kennedymboma8268
@kennedymboma8268 4 жыл бұрын
@@feristamussa4181 tuwapetu ichisiyawote
@faidamngele6061
@faidamngele6061 4 жыл бұрын
Me bado cjakuelew mkuu, ko point niktoktufngia. 2mechoka mzee achaktufokea ngoja tumwone na mwenzio.
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Msikize na mwezio risasi kumi na sita na ushoga
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 жыл бұрын
Suala ni je chato una kazi IPI huo uwanja na ulitumia gharma kiasi gani
@gooddeeds162
@gooddeeds162 4 жыл бұрын
Vya mikoa mingine vina kazi gani na unajua gharama zilizotumika?
@mwanasaid6177
@mwanasaid6177 4 жыл бұрын
Ww yanakuhusu nini
@sixbertsimon4323
@sixbertsimon4323 4 жыл бұрын
Viwanja vipya vingi vimejengwa Tanzania hii ikiwemo chato tatizo liko wapi au ushabiki tu
@jeremiakabadi5616
@jeremiakabadi5616 4 жыл бұрын
Aaaaaaaaaa
@shebyymakame6073
@shebyymakame6073 4 жыл бұрын
Haaaakumbe
@chibunews5642
@chibunews5642 4 жыл бұрын
Miaka mitano inakutosha acha tumpe mwenzio
@raphaelelisha8975
@raphaelelisha8975 4 жыл бұрын
Umpe na nani na mkeo
@piuslevokatuss1160
@piuslevokatuss1160 4 жыл бұрын
Yani watanzania hadi naumia sana bịkusona kometi wanakutukana naumia sana yani wana dam hata ukiwapa kila siku pesa watakutukanatu yania bola wali nyama kilịko wanadam
@sixbertsimon4323
@sixbertsimon4323 4 жыл бұрын
Katiba tuibadili tumpe miaka 20
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
@@piuslevokatuss1160 dio maanake kaka binadamu ni wale wale tu ameshidwa Musa wakati Wana wa Israeli waliteremushiwa chakuła kutoka mbinguni walimwambia Musa amwambie Mungu wake eti wameshoka na chakuła aina moja awambadishie na isharaka nyingi tu zimeteka, sasa dio itakuwa Mh Magufuli? Kumbuka Gaddafi, haha wanadamu kuongaza ni kazi
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 4 жыл бұрын
@@jarsaduba2626 ningekuwa mimi ndo naongoza Tanzania sijui kama ningeendelea maana watu wenyewe kama wamelaaniwa vile hawana jema
@مارثاتنزانيا
@مارثاتنزانيا 4 жыл бұрын
Lisu kichaa kiuno kinamchanganya kudadeki sizani kama anaweza kula mzigo
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 4 жыл бұрын
Watu njaa zimezidi unaeleza nini mbww we wamba wewe
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Jaa imekuzidi wewe na :familia yako wavivu Nyie mlizoea ya ufisadi sasa mnabaki tu hamjielewi, Awamu hu mtaisoma number Nyie wapinga maendeleo
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
Tz hakuna njaa kama njaa unayo ww na familia yako ubabe wake nini?? Hama nchi basi huyo basha wene alikimbia na karudi bila balakoa mtapata tabu sana
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
We ndo una njaa , acha kushoboka!! We ndo mbwa
@colethakindimba6686
@colethakindimba6686 4 жыл бұрын
Njaa imekujaa saaana mpaka yanayokutoka mdomon huyajui
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 62 МЛН
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 27 МЛН
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 791 М.
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
MWINYI AINGIA IKULU,NYERERE AAGA TAIFA 1985
8:20
Mwananchi Digital
Рет қаралды 93 М.