Kwa hiyo serikali ikitoa passport kwa kila mtu woote watasafiri! Suala la watu kusafiri ni hela.
@ramadhanichuma7925 Жыл бұрын
Sasa kunabajaji inayotoka Dodoma to Dar
@masanjanyanda9775 Жыл бұрын
Wabunge wengine ni mizingo ukiubeba utaumia hivi nchi imefunguliwaje alikuwa imejifunga wapi na lini au rais kuwa na safari nyingi za nje ya nchi ndio kufungua nchi hovyo
@kesterkanyala7718 Жыл бұрын
UPO VIZURI SANA 😂😅
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
kwelki kabisa aseee mh uneongea kbs passport kupata shida nawabongo wengi wajanja bongo sababu hawatoki
@alexloy5335 Жыл бұрын
Humehongoha nikapenda sana
@emmapaul1766 Жыл бұрын
huyu ni empty brain kabisa kwa hio magufuli alinunua ndege ili zisilete faida choko kweli eti naye ni mbunge hovyo kabisa.
@lugelosanga5798 Жыл бұрын
Limekua tumbo tuu hili limutu
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Huyu Ni mbunge wa wapi?
@wilhelmibaganisa5493 Жыл бұрын
Sengerema
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
@@wilhelmibaganisa5493 Bora hata Ngeleja kuliko huyu jamaa na Ni bahati mbaya Mkoa mzima wabunge wanaoeleweka ni Ilemela, Ukerewe na kidogo Magu kwingine kote Ni pumba.
@domycossan1395 Жыл бұрын
Hawa wazee wamechoshwa na madaraka na wamevembewa tumbo zao kwa kodi zetu. Hivi tiketi ya ndege na gharama zake anajua ni watz wangapi wanaweza kuimudu?? Nimejaribu kusikiliza tena ushuzi wa huyu mzee CCM haitufai kweli
@MosesTraveller Жыл бұрын
Ndege nyingi zilizopo zinajaa kila siku
@modestwenceslaus9 Жыл бұрын
Mwongo mkubwa wewe unasema uwanja wa Ndege wa Bukoba Kagera hautumiki wakati Kuna safari za kila siku za kutoka Dar to Bk tena za ATCL na PA na abiria wanajaa.