"EWE MOYO NYAMAZA KULIA" HURAIRAH & ASNINA - BAITUL HALAL IDDI PILI 2023

  Рет қаралды 49,421

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 9 ай бұрын
Hawatakua radhi mayahud na manaswara mpaka mfate Mila zao. Swadact yaa rasulallah. Yaarab nakuomba niepushe na fitina hii pamoja na kizazi Changu. 🤲🤲🤲🤲
@godfreysangu8954
@godfreysangu8954 Жыл бұрын
Siku moja takua muislam kwa mara ya kwanza Nilifika kwenye uzinduzi wa msikiti wa MASJID TAQWA - MTAKANINI WILAYA YA NAMTUMBO Nilipenda Sana Uimbaji wao
@ZeinabSwabir
@ZeinabSwabir Жыл бұрын
Mashalla mdada wa mtandio wa green ameimba vizuri kuliko mwenyewe mashallah
@yajamyjr6635
@yajamyjr6635 Жыл бұрын
Wallah nmeiskiliza hii mpk nikasisimka🥺🤌❤️ ,,, sasa naipataje Audio full jamaaaniii anaejua anisaidie maaana nkienda kuitafta audio full siipati napata vipande vipande tuuuu😢
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 Жыл бұрын
Subhaanallah! Dunia imeisha MUZIKI kwenye dini???? Mchanganyiko wa kuimba na kucheza wanaume na wanawake ndani ya dini??? Dunia kwisha!!!!! Allah tuepushe na hili janga
@MagangaMaganga-kj5iq
@MagangaMaganga-kj5iq Жыл бұрын
Usilo na elimu nalo nyamazaa baki kutizama tuuu
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 Жыл бұрын
@@MagangaMaganga-kj5iq stop perpetuating ignorance. Uislamu umeharamisha muziki, ala za miziki, kuimba miziki, na mchanganyiko wa wanaume na wanawake kama ilivyo hapo. Sasa wataka uachwe ukatumbukie motoni, ukajute siku ambayo hutaweza kurudi duniani tena???
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
@@MagangaMaganga-kj5iq elimu gani wacha upumbavu ww. Elimu gani hapo uhuni tuu kutaka kuchafua dini
@mohammedally696
@mohammedally696 Жыл бұрын
Vp maulidi matwari ndani ya msikiti
@mohammedally696
@mohammedally696 Жыл бұрын
Dini limeruhusu hivyo
@Tseaama
@Tseaama 4 ай бұрын
Asanteni sana
@adamsilumbe8356
@adamsilumbe8356 Жыл бұрын
Maashalah sauti nzuri sana
@kilindizanzibar5021
@kilindizanzibar5021 Жыл бұрын
Taarabu nzuri Sana
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Dunia imeisha dalili za kiama Mtume Muhammad s a w kabla ya kuja Kwa Masih Dajali Watakuja majeshi wake sasa tunaona yarabi tunusuru na katima njema na kizazi jema tufishe hali ya kuwa waislamu, watu weme wavaa mavazi ya makafir totally
@noblemangoodluck-ni3zk
@noblemangoodluck-ni3zk Жыл бұрын
hawa sio waimbaji wa qaswida bali wasainiwe basata wamevaa taswira ya uislamu wanadharirisha uislamu
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Nikweli kabisa vijana kosoma dini hatutaki shetani ametushika
@yussufumohd8803
@yussufumohd8803 Жыл бұрын
Maashala sauti nzur San 😂😂😂😂
@YasiniSwai-nq1en
@YasiniSwai-nq1en Жыл бұрын
Hii haipo kwenye uwislam
@rahimasaid6721
@rahimasaid6721 Жыл бұрын
Dini poa waislamu musiba Allah atuhidi
@UmmySheila
@UmmySheila 9 ай бұрын
Yaan mwa 4 umefunika hd waimbaj umejua kusisimua yaan nataman ningekuepo nikpokee mie iyo MIC ingekua hatar
@AbdallahShaweji-c7r
@AbdallahShaweji-c7r 4 ай бұрын
Wakashindane na akina diamondi hawa ni wTumbuizaji tu
@athumanimwinyimadi8762
@athumanimwinyimadi8762 Жыл бұрын
Taarabu hizi
@Rocky-mn6wm
@Rocky-mn6wm Жыл бұрын
Hii kaswida naitamani sana ila ninashort clip tuuu jamani. Huraira tupe yote
@JahiyahIdrissa
@JahiyahIdrissa 8 ай бұрын
Daaa? Mjomba njaaa itakuwa mjomba mpaka haya inayarusha
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
Soon wataingia kwenye tuzo za wasanii. Wachafunz wadini masufi
@malikihemfaume3906
@malikihemfaume3906 Жыл бұрын
😢😢😢😢
@stoperclassick6996
@stoperclassick6996 Жыл бұрын
no casida ni tarabu hizi tena haramu waislamu acheni kusaport Moto unatuhusu Kwa Hali hiii
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 Жыл бұрын
Muziki ni haram
@sungitatv9887
@sungitatv9887 Жыл бұрын
Alikwambia kuimba Haram ni nani
@uledysultany6388
@uledysultany6388 Жыл бұрын
mziki unaujua babu wewe
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 9 ай бұрын
​... Endeni msome. Dini wachen ushabiki
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 9 ай бұрын
​@@uledysultany6388nenden msome dini wachen ushabiki
@DavidBenedictor-x9v
@DavidBenedictor-x9v Жыл бұрын
Ahhh nyinyi vikanzu ndo mnakuja na mambo mapya mana kila ktu nyie kwenu haramu ah acheni bwanaa
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 9 ай бұрын
Endeni msome dini wachen ushabiki
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
QASWIDAH HURAIRAH (MOYO NYAMAZA KULIA
3:43
ABSHAA ONLINE TV
Рет қаралды 1,1 М.
TAARIFA PUNDE: VIGOGO CCM WAPINGA SAMIA KUGOMBEA TENA!.
8:26
MSETO MEDIA
Рет қаралды 24 М.
UST.JUMA FAKI NDOA NI SAFARI LIVE NDANI YA TUMBATU.
13:22
Juma Faki
Рет қаралды 24 М.
ALI EL MEDYDY & MUHAMMAD MUHIYA & HURAIRAH - WAONESHANA UFUNDI
24:27
UBAYA WA HASIRA
1:24:26
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 78 М.
Хорошее время было!
1:00
Дмитрий Романов SHORTS
Рет қаралды 1,1 МЛН
COWBOY FANFICS BE LIKE 🤠
0:58
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 26 МЛН
Мен анамды іздеймін, 28 жылдық құпия / Мені туған кім? / KOREMIZ
48:00
«KOREMIZ» ток-шоуы / Көреміз
Рет қаралды 346 М.