Mashallah kwa sisi tunaopenda maghanniii ndio tunajua ladha ya ivi vitu. Mashallah kaswida inagusa nyoyoo kabisaaa mpaka machozi yananitokaa. Asanteee kwa faraja yako.
@maryamadam5622 Жыл бұрын
Kabisa ndugu yangu. Mashallah Mmungu kaumba vipaji na vitumike vizuri. Naam moyo unfarijika. Amani kubwa imo ndani ya kusoma kuimba na kughani kunazipamba zaidi. Hata quraan tumehimizwa tuisome kwa sauti njema. Mna faida ndani yake ki afya pia.
@maisarahnassoro814 Жыл бұрын
Kabisa hakika hivi vitu vina raha yake
@meiabdallah5212 Жыл бұрын
WOW
@hamzaharuna5077 Жыл бұрын
Mashaallah
@mr.spookey5647 Жыл бұрын
MashAllah MashAllah
@anwaryyahya5967 Жыл бұрын
allah allah allah umetisha sana dadaangu
@husseinally5550 Жыл бұрын
Daaah huyu bint kanikumbusha mbali sanaaaa😢😢😢UMMU KULUTHUMU DAH SIKU ZINA ENDA
@husseinally5550 Жыл бұрын
Hii sauti si yakawaida mmmmmhh❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@aluishabani627 Жыл бұрын
naam namimi nimemkubali sauti yake niyaumbaji wa kaswida kabisa siyo yakitrabu hawo wengine naendelee na tarabu sauti zao zinakataa kabisa zaitaji kupikwa kwamda mrefu kama dada sabaha na mzee yusufu bada wana mahadhi yakitarabu
@SaidiMlisho-r5z8 ай бұрын
Saut yakumtoa Nyoka pangoni
@chamandaayolaiza1535 Жыл бұрын
KWANI ALLAH AMERUHUSU KWENY QURAN TUIMBE KASID KISHA TUTIE BEAT 🤔🤔
@zandys46868 ай бұрын
Kwan wapi kwenye quran amekataza hayo unayoyasema ww?
@rajabkhalili6009 ай бұрын
Maneno KUNTU hasa.
@amarislam1589 Жыл бұрын
استغفر الله حرام مطلق
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
Hebu tuacheni ushabiki. Hapa kuna uislamu kweli????