😭😭😭😭Muachenii Gigy jamani hamjui anayoo pitia jamani Single Mama tunajua uchungu wa mateso ya watoto we2😭😭😢
@carolndungu93072 жыл бұрын
I love this lady she is very strong
@leahkabura42712 жыл бұрын
Huyu dada ni real sana. Yan sio mnafik na uongo hajui..
@AKOTV332 жыл бұрын
#live WIVU UKIZIDI NI TATIZO KUBWA UNAWEZA KUFANYA TUKIO BILA KUTEGEMEA GUSA LINK KUTAZAMA kzbin.info/www/bejne/hGq6hHmHnbiciq8
@dainessmnaku8002 жыл бұрын
Nampenda sana yani huwa ananifurahisha sana
@safyunaluqman91552 жыл бұрын
Respect Gigy mahelaaaaa....Love u much mamy
@esthermoraa66482 жыл бұрын
I love this woman ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@youngweezy38462 жыл бұрын
Uyu dada me napendaga tu confidence yake yani 😂😂
@zeyfahm49642 жыл бұрын
super woman.Gigi despite her age she is wise confident and a strong lady.Kudos
@marymolel8002 жыл бұрын
Nampenda Gigy sana sana mana n mkwel na kiatu chake nakielewa mno mana nikiatu changu pia
@evenasubo31172 жыл бұрын
You are a very brave woman, always strong💪💪🥳🎉🥳🥳🥳
@nahanakadiri39692 жыл бұрын
Nakupenda xana Giggy,na hua ni mkweli xn MUNGU akupe mafanikio endelea kumpenda mwanao na kupmbana kumlea,kwavile unamuamn MUNGU na kulitaja jina lake lazma atakusaidia,maana MUNGU alisema ktk vitabu vyake tumwite nae atatuitikia na atatuonyesha Mambo makubwa na magumu tucyoyajua!tukiomba lolote kwa jina lake atafanya!
@khadijakimana88092 жыл бұрын
Gigi, you're a brave woman 👏
@salmahassan35212 жыл бұрын
Sure
@JoyceAlly-rq1zy Жыл бұрын
💯
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Big up Gigy....kumbe lishirikina? Tupa kule...,tembea kubwa kubwa na Yesu.
@shamilajuma27602 жыл бұрын
Wewe ni zaid ya mwanamke zaid ya mamaa❤️
@eben_ezer88532 жыл бұрын
All vibe in one show Gigy ni firee🔥🔥🔥
@zahleenzein76452 жыл бұрын
You can be a bad person but if you love your kid . there's nothing going to touch it. My dear stand strong and keep going 😘
@stellah38442 жыл бұрын
Yaan Interview Akihojiwa Baba levo ama Gigy inakia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@swalehesaad26922 жыл бұрын
Tupo pa1 my
@elibaricksimon79922 жыл бұрын
kuna namna atafutiwe tuzo huyu dada, shes brilliant anajiamini sio powa
@taitadollnicky2732 жыл бұрын
Unatufurahisha huku unalia hahaha gigy we kiboko🥰 Mwenyezi mungu akutie nguvu Inshallah na akustiria mayra
@estherkibui23712 жыл бұрын
Much LOVE ❤🇰🇪🇰🇪
@vinnahjasson55462 жыл бұрын
Nimecheka Sanaa Gigy et Kuna mwanasheria na advocate, ahahaha raha sanaaa
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Ndo maisha dear,kuwa uyaone. Kikubwa kila jambo lina mwisho,haya pia yatapita,mzingatie Mungu🙏🙏
@officialnajma16982 жыл бұрын
Wangekuwa wanakuja hata huku mtaani wanatuoji jaman dah ningeyatoa yamoyon aisee😥😥
@ellybrown59892 жыл бұрын
Gigy! 🤣🤣🙌,Unatuliza na kutuchekesha hapohapo. Mungu ni mwema utakuwa sawa,kikubwa upendo Kwa mwanao,na mtangulize Mungu Kwa Kila Jambo.
@bekatv10092 жыл бұрын
Waah you're very strong imagine unalia unakausha
@iamzayibra25542 жыл бұрын
May Allah protect you and your baby🙏❤️
@irankundaanitha5852 жыл бұрын
Baba watt wangu arinipiga Niko na wiki mbili nimejifunguwa akachukuwa kichanga akataka kumtuba inje natambaa nafata mwanangu arinipiga teke la usoni nirihisi kufa 😭😭😭mungu nimwema turiachana na watt wawiri nimereya wanangu Sina ata habari yake🙏🙏🙏🙏
@Iamnia8712 жыл бұрын
Pole sana😩
@veronicacharles91972 жыл бұрын
Jaman pole sana
@sarahomary36152 жыл бұрын
Pole sana jamani🙆♀️🙆♀️😭😭
@zawadimussa25142 жыл бұрын
Pole pole my
@scholasticamathias92242 жыл бұрын
Jmn pole sana,,, huyo alikuwa jini
@happygeorge81182 жыл бұрын
Am proud of you G
@mwanatumually73122 жыл бұрын
Aki giggy jamani uku tunalia uku tunacheka 🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 super woman
@fafa_thedon2 жыл бұрын
I love this women 😘
@anithastaford15642 жыл бұрын
Zai kijiwenogwa unamuaribu giggy😀😀😀😀
@junemmoja68272 жыл бұрын
I love gigy is interview she is so really. Much love from Kenya.
@julieprotas102 жыл бұрын
She’s too real😍
@angelmaxon89462 жыл бұрын
Gigi umenifundisha kitu maana wengine tumekuwa wa kwenda mbele na kurudi nyuma bt interview hii imenifanya niwe mpya.
@wakembetajaphary36482 жыл бұрын
Ukrud nyuma unapotea kbs yaan keep forward my dear
@happylightness54612 жыл бұрын
Love from south Africa😍😍😍😘😘😊😊
@roselynealima36182 жыл бұрын
Much love from Kenya Gig baby
@racheliamresozryn94862 жыл бұрын
single mom wote wanaelew nn kinaongelewa nq gigy
@marthacaspray91352 жыл бұрын
Kweli kabixa
@omanruwi64002 жыл бұрын
Sana yani
@maryammwinyi9322 жыл бұрын
Dah mo j ni mjinga kupitiliza 😏😏 gigy watanzania tunakupend xan t lea mtot wko n mung atakuxaidia ❤
@zamzammeme39972 жыл бұрын
Crazy girl😂😂😂nampenda huyu dada
@samniza17632 жыл бұрын
I love her, ni msichana pekee mwenye kujiamini whatever the weather and the situation.
@mesedavid57402 жыл бұрын
Nakupenda dada alafu hapo umependeza kuliko hongeraaa
@allnajmamohamed29792 жыл бұрын
Safi sana gig uchawi so mzur unarudisha nyuma sana baba mtoto wangu nae ana mambo hayo wallah naumia sana naelewa maumivu unayo pitia kama mama
@alicechambaladainty68512 жыл бұрын
My forever admire 🥰🥰🥰omg 🥺🥺🥺💔
@burterdreezy75342 жыл бұрын
Ila wanaume wengine bhanaa,,,, can't say anything koz cna mtoto,,cna mume,,,,Ila kwenye Miti mingi hamna wajenzi,,,,
@palvinatugonza8742 жыл бұрын
I will always love you Giggy💓💓💓💓💓😘
@dorisfabian47762 жыл бұрын
Gigy anaongea jamaniiii uwiiiiii
@ndindaqueen93462 жыл бұрын
I love this girl from 🇰🇪
@alicrbatume31142 жыл бұрын
Sema wewe Gigi we ni mwanamke, nakupenda, ety nalala na bible chini ya mtu nikifa nakufa na Yesu
@AngelAfrica-w5x2 жыл бұрын
😂😂😂
@lucysamwel89442 жыл бұрын
Nakupenda sana gigy money
@estershilla12212 жыл бұрын
Unaakili sana dada G
@taliafias82 жыл бұрын
Mtu anakupenda awezi kubali uteseke ata dakika moja pole sana gigy
@neyjoseph8132 жыл бұрын
😂😂😂😂sijawah kuacha kukupenda gigy
@kaysamson11672 жыл бұрын
gigy i love u,yaan una tabia zote za gemin,gemin haturogeki kirahisi,tunapenda sana ila ukitukosea aloooh utajutraa,wapambanaji hatujali wala nini
@nipautago85742 жыл бұрын
😂😂😂 gigi haya dogo! ❤️❤️❤️❤️
@angelbb52172 жыл бұрын
Love you 😍 gigy 🇺🇸
@fathmakajo26622 жыл бұрын
Napenda interview za gigi
@catherinefelician21482 жыл бұрын
Kama mm napenda sana interview zake
@anithaponsianmugiz6492 Жыл бұрын
Uyu anampenda sana baba mtoto wake saana,na awez kumsaham😢😢
@frankakuno.95112 жыл бұрын
Super woman ❤️❤️❤️
@blandinajoseph67452 жыл бұрын
Gigy Hakuna kama wewe mungu akusaidie jamani
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Giggy man unaongea point sana kwa wale wanaokuelewa kwanza natamani kulia😭😭😭 unatamani kucheka😆😆😆 very very nice 👌
@memoikibet2 жыл бұрын
i love this lady
@ashaali71542 жыл бұрын
Huu mtihani inaonyesha unahitaji counselling maana una stress nyingi sana. Achana na mitandao itakuharibia zaidi wewe unajieleza wao wanatengeneza pesa wakati haikusaidii wewe wala familia yako. Take it easy Gigy.
@marykyamba90422 жыл бұрын
I love you Gigy. God bless you na akupe amani yako dear.
@chany99502 жыл бұрын
We gigy love you so much
@ibrahimradjab13472 жыл бұрын
This lady is actually beautiful!!! I think she even didn't drink today! she looks beautiful kabisa!!!
@shwaibukhatibu28382 жыл бұрын
Acha uongo
@Thee_obsession2 жыл бұрын
Angalia interview ya part 1 😂😂 kuna glass ya pombe apo pembeni yake
@eunicefalex44032 жыл бұрын
Kuna kitu najifunza kupitia maneno yako
@marysimon62322 жыл бұрын
Love you more gigy, stay strong girl 😘😘😘
@HalimaKaniki Жыл бұрын
Gigy❤❤❤❤❤ safi sana mwanamke kujiamini hata kama huna kitu❤❤❤❤
@umuhoreesperance44182 жыл бұрын
Gigi wew napendasan 🥰🥰🥰
@aminasuliman29232 жыл бұрын
Hakuna mama chiz kwa mtoto wake nimependa ulivyo funguka nilikua naisubilia part 2 nimefurah sana
@adelinamaiko92722 жыл бұрын
Nampendaga uyu mdada anajiamini sana
@naomicharles60022 жыл бұрын
Gigiy kiboko ajua kutuliza nakutufrahisha mungu akutie nguvu