LIVE: Mwendelezo wa Exclusive interview ya kwanza ya Alikiba na Mkewe #AlikibaDay #LeoNiSikukuu
Пікірлер: 438
@CLOUDSMEDIA6 жыл бұрын
#AliKibaDay
@ahmedabuu76166 жыл бұрын
CLOUDSMEDIA can i see this live?
@rashemanalow39446 жыл бұрын
CLOUDSMEDIA kooo! uyo Kiba mbona anambaniaa mkewee asijibu maswal
@alikiba97236 жыл бұрын
CLOUDSMEDIA oya mwambiyeni #KingKiba nikotayari kurudisha mahari yake anipe uyo mke wake #BiAmina bhana duhhh🔥🔥😍🏃🏃+1
@ahmedabuu76166 жыл бұрын
Rashemana Low sio kla swali lahitajika lijibiwe,
@khadijaomar21556 жыл бұрын
CLOUDSMEDIA Amina was the Prophet's mother , not wife as your presenters stipulated on the radio.
@natasha79696 жыл бұрын
Wasanii wetu wana mengi sana ya kujifunza kupitia Maisha ya Ali Kiba. Kwanza hongera kwa kuowa mwanamke alie lelewa kutoka katika mifupa ya kiungwana. I love everything about your wife. Mrembo, mpole, ana sifa za mke. Uso umemtulia. Yaani HONGERA kaka! Mashallah Allah awaongezee mapenzi, uvumilivu, na Baraka tele. Nimependa your new song!
@rahmahussein40196 жыл бұрын
She's simply beautiful mashallah ❤ thank you for getting married..Ali kiba
@ladynerfertitti17106 жыл бұрын
Amina is so shy, can't keep eye contact
@sallykanze6 жыл бұрын
Wow Ali kiba mashallah kaanza kunga'arishwa na dadaetu Amina hongera dadaetu Kwa kumng'arisha shemela wetu,,, mombasa hoyeee!!
@anneemmanuel73636 жыл бұрын
Jefason Kingy Mrs Hoyeeee
@user-lw3qd3bn9z6 жыл бұрын
Jefason Kingy Mrs hoyeee sanaa
@marimuhamis34716 жыл бұрын
MASHAALLAH Kiba tulia my brother mke umepata Allah akupeni subra na midomo ya waja maana kama mavuvuzela zbeni masikio kamwe Allah awalinde ktk ndoa yenu.
@halimaraj51256 жыл бұрын
Gonga like kama unaikubali hii couple
@mariamukijumbe51806 жыл бұрын
Halima Raj pamoja sana
@JIMBO_MEDIA6 жыл бұрын
MaShaAllah Tabarakallah. Much love from 254 Mombasa
Jamani nawaonea wivu mungu awape maskizano na umri kwanza mulivovaa oyooooo
@mwanaajuma39456 жыл бұрын
Amina mashaallah mstaarabu ... mola akuzishie imani hiyo hiyo
@fadhilisaidi6856 жыл бұрын
twaza sam
@arafahajj90766 жыл бұрын
Mashaalla Amina hakuwa mke wa mtume ila ni mama wa mtume
@zunirasalim76606 жыл бұрын
MASHA ALLAH tabarakallah...mungu awape maskilizano awajalie vizazi vya kheri
@awadhally10523 жыл бұрын
Mmpendeza wadada mashaallah
@fungafungatv4485 жыл бұрын
Duh amina anaaibu sana Kiba umepata mke
@missmoona44976 жыл бұрын
Maashallah bint katuliaaaaaa pia kiba wote wametulia.angelikuwa kina mwanafulan wamakiki hapo hashuo mojakwamoja kushikana kutuonesha mahaba yakishamba moja kwa moja hawa nimewapenda sanasana mwaaaa maashallah bint mzuuuuuuur sana wangelikuwa wa bongo hapo mmmmmh
@emmahtumaini73606 жыл бұрын
miss moona hahahaha umesema kweli
@ummunaa4246 жыл бұрын
miss moona kweli usemayo
@fatmakhamis10186 жыл бұрын
msiseme hivo bi amina ni mama yake mtume muhammad mzazi msiseme msilo lijua pia sio kila mtu ana paswa kua na wake zaidi ya moja kuna sheria zake
@missmoona44976 жыл бұрын
emmah tumaini kweli mummy kwan uongo
@zamzamhamisi73326 жыл бұрын
miss moona kwanza kina mwafulani wangetinga vimini na vitop na nyele zao zile kama wanauzwa
@asiazuberi97226 жыл бұрын
Mashaallah mmependeza kiba na bi aminaa
@ARi-gp3cm6 жыл бұрын
Usicheze na Wakenya...nimempenda bure...Sauti nzuri...Ali Kiba amepata kisu...Mashallah
@sish70126 жыл бұрын
Yani kiba nakupenda sana maisha yako ww na familia yako atausipo toa nyimbo mm nitabaki kuwa shabiki wako
@husnajuma23046 жыл бұрын
Nampenda mke wa alikiba ametulia sana
@poultheking49986 жыл бұрын
Fyuuuuuuuuu
@poultheking49986 жыл бұрын
Mamae
@sish70126 жыл бұрын
Ndonn
@yonathanyona29266 жыл бұрын
kweliiii iii.....mi mwenyewe nakubaliii
@florenceholmen83046 жыл бұрын
Nimempenda bure mke wa Kiba. Anajielewa
@SwahiliSpicE6 жыл бұрын
Bi Amina is so beautiful, elegant and poised stay this way ❤️
@mwaminindayishimiye44346 жыл бұрын
MashaAllah Mme pendeza saaana Ali kiba na b.Amina much love from UK in Newcastle
@annitabeibe48916 жыл бұрын
Yes gal show them Kenyans we don't talk to much😍😍nawatakia kila la kheri kwenye ndoa yenu👌✌
@emmahtumaini73606 жыл бұрын
Mashallah mashallah kiba u are lucy one,nawatakia kila la kheri karika ndoa yenu,mwenyezi mungu awape baraka tele tele
@healthchoicewithluciebern87416 жыл бұрын
emmah tumaini lucy one???
@iddijuma36505 жыл бұрын
Lucy....did u mean lucky?
@gggjjahhhh94196 жыл бұрын
Masha Allah kinga hapo umepata mke kwakweli Allah awalinde
@salamaomary66046 жыл бұрын
Mwanamke ma sha Allah... Macho chini 👌👌👌 sio kina fulani macho juu juu kaa waangalia mwez👀👀
@aminaally20296 жыл бұрын
Salama Omary 😂😂😂
@majidfrolian49056 жыл бұрын
Salama Omary ahahahahahahaaaaaaaaaaa utaniua we Dada kwa kuchamba, eti kama wanaangalia mwezi
Amina mrembo mashaAllah na endelea kujistiri hivyo hivyo mama utaheshimika
@shazdelacruz98006 жыл бұрын
I love them wlhy from 254 one love shemeji wetu
@ruthamimo30956 жыл бұрын
king kiba I love the way u always answer those guys , yani majibu yako unaipanga kwa mdomo ndio itoke, sio eti unaropokwa, I love it, may ur family have peace always and let God take control of anything in , may God bless your marriage and live happily life with ur wife
@lindasasha9886 жыл бұрын
ukiwa mstaarabu lazma hata mke upate mstaarabu hongera kk ang kiba
@nickymeel9866 жыл бұрын
Mwanamke staarabu kiba..mashallah uliwahi chombo
@neemakilomoni42586 жыл бұрын
Mashallah Mashallah mke wetu mzuri kweli bi Amina Hongera sana king kiba umtunze mtoto huyu kama mboni yako ya jicho 👌🏾😂
@marietajohn29136 жыл бұрын
big up kiba mydear mungu azidi kuwapa upendo
@charlslulu75526 жыл бұрын
Bi Amina hata hayuko interested na mambo ya media, hadi raha!!!
@JumanneShabani-lp7gf3 жыл бұрын
Masha Allah
@diyananatasha78386 жыл бұрын
Mashaallah Amina Ally hongera sana kwa kupata jiko nzuri mola awaepushie kadhia za walimwengu katika ndoa yenu idumu milele Amen
@winniemack11506 жыл бұрын
Bi amina una sauti nzuri jmn
@EngTAMIM6 жыл бұрын
Mashallah allah akujalieni maisha marefu ya kheri na baraka
@mwanakomboomar80256 жыл бұрын
mashallah mwenyenzi mungu awajalie kila la kheri kwenye ndoa yenu,mmependeza sana
@amissaniyonzima99056 жыл бұрын
Bi Amina ni mama yake Mtume Muhammad SWA mtangazaji.
@swaumukiwayo31156 жыл бұрын
Mashaaalah dada mzuri halafu mstaarabu
@pexloharun72976 жыл бұрын
A king will always be a king👑👑👑
@msaflus24926 жыл бұрын
Amina alikuwa mama wa Mtume ... mke wa mtume alokuwa kipenzi cha wengi ni bi KHADIJA mke alokuwa amemzid umri mtume lkn alikuwa ana mheshimu kuliko kawaida
@neemamayco32384 жыл бұрын
Ila amina nampenda bure mpole mstaarabu sana dada mungu akujaalie
@neemafabiani30526 жыл бұрын
mungu akuzidishie hekima amina kiba hakika wew ni mke mwema
@roselyamba5 жыл бұрын
Ally is so protective of his wife
@FatmaMohamed-xh4dl6 жыл бұрын
Definition of a nice couples😍😍😍Allah Barik In Sha Allah
@sikitu89575 жыл бұрын
nilivyo kuwa na angalia iyi interview nili jihisi eshima imeshuka ndani yangu
@ireneomanje6 жыл бұрын
Mashallah. Penda Nyinyi sana. King kiba worldwide
@shamhamadhamad6103 жыл бұрын
Nmependa jinsi Amina alivomwangalia Kiba alivoulzwa kuuc kuzaa, mahaba bin bahabat
@tatuomar41646 жыл бұрын
manshaallah mke mzuri lakini acheke bwanaa
@jkizondoswahilibites4346 жыл бұрын
Please try and make us proud Amina by being Organized prior to any planned interview. Reason out with facts, don’t give short replies, explain further. Use your education and reasoning capabilities well. You a Kenyan! Kenyans are smart bwana!
@faybaibe90236 жыл бұрын
samreen st clair heheee ila ni mpole tuu don't blame her
@sarapreciousbryson12366 жыл бұрын
But that wasnt about being smart..There are the questions she answered directly...other qns were teasing her so She ddnt see the reason to answer such questions Coz Tanzanians are way too much if yu speak alot yu may find urself misunderstood and People will believe their own message..And so far she is a Muslim .She knows wat she was doing and that interview wasn't meant for her but for Alikiba
@kacheali47776 жыл бұрын
Somo uko mrembo majina ya Amina always beautiful .May God blz ur marriage siz najivunia kuona unaongea vzur kwa interv Kenya twafurahi sana..
@suleimanali37166 жыл бұрын
Mm nakushauri km hutojali,, huyo mkeo usimusishe na media kwani hapendi,, na heshimu hilo king kiba,, kwani sio mtu wa media
@railamypresidentrailamypre6296 жыл бұрын
Suleiman Ali umeonaee na c poa pia
@margaretkuvunangomengome14476 жыл бұрын
Suleiman Ali umeonaee kaka. Kiba asimueke wazi mno mkewe maana hawezani jamani
@alikizungu2814 жыл бұрын
King kiba kwa na maamuzi ktk jmbo
@naimamohd13996 жыл бұрын
Da Amina Mombasa uko pia kwetu kuna bibi zangu uko!werawera kwetu raha upate mofayaaaa mh!kwel rahaaaa
@rahelbaynit74906 жыл бұрын
Saffi kiba mungu awatangulie mzae watoto wuzuri
@iddatysupergirl65816 жыл бұрын
MashaAllah couple nzuri bi Amina katuria mwanamke stara 😍😍
@mrchipeta9646 жыл бұрын
Nampenda mke wa Ally jaman ni mpole
@rachealpeace35096 жыл бұрын
Waw i wish you all the best king kiba.
@ramlaali83156 жыл бұрын
Swadakta dadaa ,, mwanamke wakiislamu anatakiwa awe na haya hivyo ndivyo tunatakiwa tuwe sio mwanamke kuwa macho juu juu haifai na ni makosa
@josephchristian19276 жыл бұрын
msema kweli dungu yangu alikiba ,kweli nakupenda,sana tena sana.unatuliya,na tena muke wako hasa anatuliya,nayitakiya ndowa yenu iwe ndowa ya Amani na mafanikiyo zaidi
@hamisihamisikivulale62906 жыл бұрын
Kiba umeowa kisu baba simchezo
@zenaally97075 жыл бұрын
Wamependeza Mr and Mrs kiba
@FlorenceDDR6 жыл бұрын
💞💞💞💞💞🙏🏾🙏🏾🙏🏾 and God Bless
@maryammarym44376 жыл бұрын
Mashaa allah hongera kingi! Amina kazuri
@majidfrolian49056 жыл бұрын
maskini bongo mademu Wa kibongo nawaonea huruma saaaaaaaaaaaaaaaaaana
@nurually36876 жыл бұрын
kiba mungu awape masikillzano bro
@musarichard11884 жыл бұрын
Ok
@naimamohd13996 жыл бұрын
Kiba umepata mke masha Allah
@nicolausjoseph81536 жыл бұрын
Big up sana mzee baba king kibaa
@asmahahussein85056 жыл бұрын
Mashallah,mpendane daima!!
@khamissyislam8306 жыл бұрын
Wooooow Allah awape maisha mazuri
@naimamohd13996 жыл бұрын
Wifi masha Allah sauti tamuu km yakwngu mzanzibar halisiiiii ayo macho sasa kama mapacha!love you
@hashimumkunda34826 жыл бұрын
Naima Mohd umeolewa?
@naimamohd13996 жыл бұрын
Hashimu Mkunda bado kwani vep
@hashimumkunda34826 жыл бұрын
Naima Mohd . tunataka tuje tukakunusuru. kwani ni zawadi kutoka kwa ALLAH mashallah
@naimamohd13996 жыл бұрын
Hashimu Mkunda mh! Huachi!mkaazi wa wapi ww??
@hashimumkunda34826 жыл бұрын
natokea Dar-es-salaam. namba yangu ni 0652047194
@fbhj4436 жыл бұрын
Masha Allah mwanamke stara
@zuu90076 жыл бұрын
Point of correction Aminah Alikua mamake mtume
@worldcuisine91026 жыл бұрын
Subhaanallah Jamani clouds Amina ni mama wa mtume muhammad (saw).. na sio mke wake
@asiahamza64006 жыл бұрын
Kiba wetu Pendeza na mkeo
@afidhiarabi19996 жыл бұрын
kiba kaoa mke mzuri xaana
@husseinfatime97685 жыл бұрын
Japo kua nimechelewa but I really love this couple its cute from +254
@shemsakiobya61466 жыл бұрын
binti anastara kweli, na nyie watoto jitahidini
@aminamohamed75466 жыл бұрын
Greetings from +254 👐👐
@graphixmaster61466 жыл бұрын
Kusema ukweli Alikiba anaboa kwenye interview, anabagua sana maswali ya kujibu. Too much!
@tinivanny75626 жыл бұрын
acheni ujuaji AMINA alikuwa Mamake Mtume
@JIMBO_MEDIA6 жыл бұрын
Bi bi sio ujuaji. Wamekosea unafaa urekebishe sio kumsema. Dts Islam
@chaksechakubuta91496 жыл бұрын
Bi bi Ahahahhaahha
@fatmajuma88956 жыл бұрын
Bi bi
@mwanahalimamwachili96796 жыл бұрын
Maa Shaa Allah mbarikiwe sana.
@neemarichard39046 жыл бұрын
king kiba hujawah niangusha woow wifi mashaallah ana adabu katuliaaa mpaka raha ila clouds matangazo kibao mpaka kero mmenikeraa😏😏😏
@faizabaishe51725 жыл бұрын
Kwa sasa Amina sema mambo hayanishinda na nyumba yangu
@farajakitiku15516 жыл бұрын
Amina usikubali
@majidfrolian49056 жыл бұрын
jomooon kadada kazuuuuuuuriiiiiiiii
@claragodfrey67406 жыл бұрын
mungu awaepe baraka kwenye ndoa yenu.
@mwanaidvuai20296 жыл бұрын
Clara Godfrey
@adidjarams51966 жыл бұрын
Masha Allah, mkiweka dini yenu mbele Mtadumu milele my King
@saumuhassan13656 жыл бұрын
Nawapemda sana Brother kiba na mkeo, mke mzuri adi sauti.
@internushkaal-adawy14656 жыл бұрын
Ally Anawivuuu Mashaallah
@missmoona44976 жыл бұрын
Mtt Maashallahu mnapendeza sana zaid ya mia 900 hahaha hahaha
@funnychannelsubscribehussa84506 жыл бұрын
miss moona
@ahmadmpilipili28995 жыл бұрын
King kiba umeuowa kitu kipya cha Kenya
@kokusimamrashani16336 жыл бұрын
Nexttime if you need 2 interviews this girl or women musimwalike tena Alikiba yaani invitation aje mwenyewe atakuwa more open .
@HellenLemilya4 күн бұрын
Hivi ni kweli mmeachana sahv ?Duu mmependekeza , Mungu awasaidie msiachane mnapendeza kuishi pamoja na mwanamke anaonekana mstaarabu
@hanunikalenga87456 жыл бұрын
Bint aliyefundwa katulia tulii mwenyewe
@amenaamena33336 жыл бұрын
Asante kwanyimbo wajina hongera sanaa👌
@mundhirkhamis57316 жыл бұрын
ndo mana kmmk hamuendelei so kwa matangazo ayooo kama tv
@aminaamry11196 жыл бұрын
Amina ni mama wa kipenzi chetu mtume Muhammad SAW na sio mke musa
@faithmutho64006 жыл бұрын
Kiba wacha kuogopa kusema, wanaotumia twitter only ni wale wako matured compared to pple using insta.......na ni kweli kabiisa,,,, not isulting but is the fact.......
@queencornel85656 жыл бұрын
mtt mzuri ajui kujishaua kabisa tofaut nawabongo
@bantuempress17446 жыл бұрын
Amina tuwakilishe dada, wanyooshe hao watz kwa sababu hawaishiwi kusema vibaya.Waoneshe cc ni waastarabu hatuna kufake fake vitu tuko real.
@singlemom69156 жыл бұрын
chriss cherry weeeee tena ustop akizingua tunamtimua chezea sis weweee 🤘✌Zari yuko wapi Idi Amin Dada yuko wapi na Sara wa Amonaiz yupo njian kama chupi pumbavu wew upole wa Amina haufanani na wew uko tofaut 😂😂