EXCLUSIVE INTERVIEW: Bondia Hassan Mwakinyo afunguka kilichomfanya asipigane leo

  Рет қаралды 124,128

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 438
@alimwakasidi7680
@alimwakasidi7680 Жыл бұрын
Kaka iyo ndio kazi yako na ni kazi kama kazi nyengine,kwa hiyo usiwahi ruhusu mtu acheze na kazi.ivi unadhani ingekuwa ni Mayweather Jr angekubali vitu vya kona kona kama ivyo na katu hawezi kubali kubadilishiwa mpinzani hata kama angejua atakuja mfumua.kumbuka kazi yako uko na maadui wengi sana respect maamuzi yako.
@naimabdul1231
@naimabdul1231 Жыл бұрын
Safi sana mwakinyo mtu asitumie jina lako au goodwill yako kwa manufaa yake binafsi ushasimama mahala mbalimbali kupigana na watu wazito sembuse leo, nilijua tu hapo si bure kuna jambo bro dua nyingi wadigo wenzio tupo pamoja na wewe forever...
@josephkessy9841
@josephkessy9841 Жыл бұрын
Ila Kuna usemi hapo kasema mtu akichagua kuwa adui kwako usimfanye kuwa rafiki ata mungu hapendi mtu muoga respect bro 13:42 .
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 Жыл бұрын
With all due respect kwa Mwakinyo, kwa hadhi aliyo nayo na misimamo thabiti aliyo nayo, alitakiwa awe na Proper Manager na mwanasheria wa kufanya mikataba yake, Level aliyo fikia kitaifa na kimataifa siyo ya kufanya mikataba ya Maongezi tu mali kauli pasi na Maandishi, kwa hapo ulifeli sana hata kama haki ilikuwa kwako kaka. Wa TZ tuna kukubali sana na kukuamini ila boresha suala la watu walioko nyuma yako, yaani tafuta hata sports management ya nje ya Bongo, utafika mbali zaidi ya hapa ulipo, kwa uzito wako unatakiwa sasa hivi kuwa tunaongelea wewe kupambana watu wa mbele tu siyo watu kukulinganisha na mabondia wa hapa home
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Safi sanaa Mwakinyo. Ngumi mchezo mgumu sana. Bila kipato sahihi haikubaliki. Upo sahihi kaka.
@allytasi7291
@allytasi7291 Жыл бұрын
Kwamacho ya nnje na fikla ndogo unaweza kumuona uyu jamaa miayuso lkn yupo sahii Sana katika kuinua mchezo wa ngumi na kuwanyosha mapromota kufanya kazi iliyo nyooka. Pigilia misumali Baba ngemu isonge mbele kwa kunyoka.✊🏿
@issahamis581
@issahamis581 Жыл бұрын
we nidiyo unami uvyo rakini ipo siku utajuwa ukweri
@mbanomrage604
@mbanomrage604 Жыл бұрын
Safi sana kaka hata ningekua mm nisingekubali
@saimongilala8938
@saimongilala8938 Жыл бұрын
Kaka upo vizuli sana hiyo ni kazi lazima iheshimike sana
@abdallahyusuf7641
@abdallahyusuf7641 Жыл бұрын
Maupenda msimamo wako na upo sahihi ktk hilo. ALLAH akuzidishie maishaarefu yenye afya inshallah.
@msochamouddy7742
@msochamouddy7742 Жыл бұрын
Una talent nzuri sema hauko serious kabisa,uongo mwingi ndugu.mimi nakupa pole tu.
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mnerinpmoMmkZtE
@mbishiwatown7929
@mbishiwatown7929 Жыл бұрын
Nimekuelewa vzr sana maelezo yko yamenyoka na upo sahihi mungu akuongoze
@emmanuelchamba08
@emmanuelchamba08 Жыл бұрын
Like kwa wanaume wenye misimamo
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 Жыл бұрын
Safi bondia unaejitambua
@Kulindwa
@Kulindwa Жыл бұрын
Adui yako hawezi kuwa rafiki, na hivyo wakati wote yupo kwa ajili ya Kukuumiza; shukuru umeamua sahihi maana adui angekuumiza
@selemanisozi936
@selemanisozi936 Жыл бұрын
Safi sana kwa msimamo 🎉
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 Жыл бұрын
Hii ni kazi maslahi mbele kwanza, sio kufurahisha watu mwisho ustaafu ngumi halafu haohao wanaokutaka upigane kienyeji enyeji wakucheke zingatia maslahi🙌🙌hiyo ni kazi.
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jmO7YYWtqLpknaM
@sydnaomary2328
@sydnaomary2328 Жыл бұрын
Safi sana tunajua ndugu yetu unapigwa vita uonekane sio mtu mzuri tunayajua yote hayo.
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Nisemetuu siku ukizeeka au ukifa mabondia wote wata sema ulikua unapambania haki. Kiufupi ngumi siosawa nakucheza mdako ngumi ngumikweli, mtu anapo jipambania ana tiandalia maishayake na baadae hafurahishi watutuu.
@abubakarhillary6103
@abubakarhillary6103 Жыл бұрын
Nimekuelewa Championi , wanyooshe siku nyingine wajielewe 👏
@isackgerald3398
@isackgerald3398 Жыл бұрын
Sababu kama hizo zilishawah kumkuta maiko Tyson bondia ambae ni Bingwa wa Dunia hivyo mwakinyo yuko sahihi kama kuna makubaliano Haya kukaa sawa
@AmaniNdinga-sr5kg
@AmaniNdinga-sr5kg Жыл бұрын
Daaah Ila mwakinyo imenyooka Sana big up na wengne wajifunze kuwa Kama ww ili wafanya wanachokitaka sio kuwanufaisha watu wakat ngumi unapigana wewe
@isayajonh7363
@isayajonh7363 Жыл бұрын
Uko sawa toka ilinga apa
@osiahstimah
@osiahstimah Жыл бұрын
Uko right ma boi
@MzuriOg
@MzuriOg Жыл бұрын
God bless you brother
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Duh makataba bila legal paper na lawyer?!!! Kudaadeki hiyo hatari sana
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Жыл бұрын
Nakukubali unajielewa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Kukubali kuburuzwa ni umaskini wa roho !! Hapo ni Black and White !! Binafsi misimamo ya aina hiyo ndiyo yenye usahihi na ukweli katika kuona Haki inachukua nafasi.
@waduni2326
@waduni2326 Жыл бұрын
Uko sahihi home boy
@asiliyetuafrika9542
@asiliyetuafrika9542 Жыл бұрын
Hii kazi ukileta njaa njaa unapotea, safi sana Mwakinyo
@nurukimea3804
@nurukimea3804 Жыл бұрын
Kaka umefanya vizur xana napenda kuona una linda heshima yako na simama kweny msimamo wak
@mwasamiramedics2666
@mwasamiramedics2666 Жыл бұрын
Mwakinyo kaka epuka wenye husuda,wivu na choyo,ikiwezekana acha na pambano na watu wasiojielewa.Big up brother.
@yassinsaid1119
@yassinsaid1119 Жыл бұрын
Ni vyema ulivyokaa pembeni haiwezekani madalali wale pesa nyingi alafu wavuja jasho wale pesa kidogo tusipojitambua hatuwezi fika katika mafanikio na hatma yake tutakuw tunawanufaisha watu na maisha yao
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Mwakinyo kuwa na msimamo huo huo hatutaki mazoea kwenye mambo serious kuhusu maisha yako,kwa sababu unaweza kuwekewa hata sumu hao ni watu wasiokupenda kabisa ndugu yangu kuwa mkini ,pia acha kufanya kazi bila mikataba ya maandishi.
@ShambaniathumaniSamkunde
@ShambaniathumaniSamkunde Жыл бұрын
Safi sana broo nguvu yako unapaswa izitumie kwenye mafanikio bgaap
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jmO7YYWtqLpknaM
@michaelmillinga5064
@michaelmillinga5064 Жыл бұрын
Kuna kitu aulizwe, alisaini kama boxer au co-organizer wa event? Kwasababu maelezo ni kwamba, mwakinyo alisaini kama bondia, na sio promotion company Wala sio match Maker au event organizer kwasababu hujawahi kuandaa event yoyote Ile na wenzako wametumia gharama kubwa sana, investment ya watu, wewe unaongelea sponsorship wakati ulisaini kama bondia.. ??
@MohamediShekhe-x1l
@MohamediShekhe-x1l Жыл бұрын
Ogopa sana mtu anaejifanya mtu wa ibada ni mbaya sana sana
@aonline8185
@aonline8185 Жыл бұрын
Hasan mwakinyo ni mmoja tu 💣💣💣
@ramadhanallygwajil2520
@ramadhanallygwajil2520 Жыл бұрын
You correct Bro
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge Жыл бұрын
Safi sana Mwakinyo,mwanaume misimamo
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Жыл бұрын
Wahuni nao wanazeeka wakiwa na uhuni wao zingatia neno hilo😂😂😂 mdigo kanyoosha misimamo km Mogadishu 😂
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 Жыл бұрын
Sisi watu wa tanga atuna mbamba
@nyakatievents
@nyakatievents Жыл бұрын
Wew na mwakinyo wote machizi
@kazinzangonda230
@kazinzangonda230 Жыл бұрын
Uko sahihi ya hata michael Tyson na yeye alifanyiwia hii kitu.ninachopenda kwa huyu bondia anafikiri kabla ya kutenda
@SeekersTv671
@SeekersTv671 Жыл бұрын
Mwakinyo kama siyo muoga ni basi ni mhuni Sana, atafungiwi kila nchi asipigane maana uingereza kishafungiwa. Sababu nyingi Sana maneno mengi Sana taarabu nyingi sana
@rajabually8894
@rajabually8894 Жыл бұрын
Kumbukeni msema kweli hapendwi Asran...lakini pia Huyo ni mtoto wa ki Islamu (1-iman-2mismamo-3 masirahi yasio na unafik nyie wengine niwanya pombe na bangi... Acheni ujinga
@legendmmari8094
@legendmmari8094 Жыл бұрын
Namkubali mwakinyo anajitambua sana ngumi ndio maisha yake lazima watu waheshimu kazi ya mikono ya mtu
@RukiaMohamed-d7q
@RukiaMohamed-d7q Жыл бұрын
brother ndio ushapoteza kwenye boxing 13:34
@lameckmndeva3931
@lameckmndeva3931 Жыл бұрын
England ulizingua ukatoa sababu nyingiiiiiii Leo tena unasingizia promota na mikataba....Yan bro unawauzi sana watanzania we hujui tu...Iko siku Watanzania utawalipa huo unaosema msimamo...
@NesonMakoye
@NesonMakoye Жыл бұрын
Huyu jamaa anajiamini Sana!bongo ubabaishaji mwingi,
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 Жыл бұрын
watakiwa watu wajifunz kupitia wew
@tonybrighter3878
@tonybrighter3878 Жыл бұрын
Yanii hapo Dakika ya 10 na Sekunde ya 4 ndio nime muona mwakinyo Akili Hana, Muda Wote Mkataba mkataba Kumbe hana Mkataba wowote wa Maandishi Dah haya Mambo ya Ajabu Sana. Yaniii Kweli kuongea kote huku huna mkataba wa Maandishi una leta habari za Kureķodiana aloooo hebu kuwa serious
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
Mwakinyo utafeli sana, in Business perspectives, unachokiongea ni chuki may be au ni mahusiano gani mabaya uliyoluwa nayo?. Business Creativity comes from conflict of Ideas hapo ndio watu wanapata fedha. Uwe makini sana fun base unaipoteza Mdogo wangu. Huwezi kutuaminisha promotion imefanyika kwa muda mrefu, unakuja kuleta sababu hizo, Je ulifanya Effect analysis ya ww kukataa? Risk mzee fanya kazi nothing is perfect
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Жыл бұрын
Kwenye hili kwanza nilichogundua bro Unamaadui wengi sana Yani maana nimefatilia mabondio wengi walichoropokwa ni uhuni na chuki za dhahili shairi Mi Sio mtu wa Tanga Mimi Ni Mtu wa Lindi Ila kuanzia Sasa Mimi shabiki yako Wenyewe wanasema akili za kuambiwa changanya na zako Mimi kwa kutumia akili yangu Binafsi nimeona upo Sawa.
@AhmadMnyassi
@AhmadMnyassi Жыл бұрын
Hao jamaa sio watu wazuri Kuna njama wanaipanga Ila bro simama kwenye misimamo yko.
@rajabually8894
@rajabually8894 Жыл бұрын
Acha hao kina mfaume wabweke mwisho wasiku upige. Upigwe mwisho wa siku wao kula nikwao nawewe kula nikwenu pumbavu zao
@RahmaYassinmlaponi
@RahmaYassinmlaponi Жыл бұрын
Bondia mwenye akili nyingi ambazo ziko salama ni mwakinyo tu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Жыл бұрын
Big up Champez
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 Жыл бұрын
Umechemka huna shule unaingia mikataba ya mdomo bila maandishi utabanwa kwenye vielelezo vya maandishi khs pambano lako.tatizo uswahili mwingi
@ukindotv
@ukindotv 8 ай бұрын
🎉🎉🎉 naombeni like zangu
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 Жыл бұрын
Akili kubwa champez
@sebastianmboya6702
@sebastianmboya6702 Жыл бұрын
Napenda misimamo Kuna mapromota washenzy washenzi tu
@marcusdamson3227
@marcusdamson3227 Жыл бұрын
Uko sawa boxer
@AllyAthumani-n8x
@AllyAthumani-n8x Жыл бұрын
Duhhh hiii hatari kwa hiyo yule wakenya sababu ya kutokuepo ni nini??
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Жыл бұрын
Huyu kajitolea kuwapambania maboxer wasife maskini ,ngumi ni mchezo hatari sana,na mnajua upande wa tiba nyumbani ni hela nyingi,mapromota wasifikirie matumbo yao mimi ningependa kwenye mkataba 70 percent kwa wapiganaji ,30 percent kwa mapromota wa kujali matumbo yao ..
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mnerinpmoMmkZtE
@halidibunga8456
@halidibunga8456 Жыл бұрын
Sahihi sema watu hawamuelew jaman mwakinyo yupo sahihi anaheshim kazi yake
@marymutunga188
@marymutunga188 Жыл бұрын
Tumekubali baba achana na wao usicheze na watu wana kucheza
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV Жыл бұрын
Wachukuliwe hatua
@MohammedKipepo
@MohammedKipepo Жыл бұрын
Walitaka mwakinyo apigwe Na huwa mwakinyo ameshawasoma wabongo wanataka kumshusha Waambie MWAKINYO KATOKA TANGA
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o Жыл бұрын
Ingikua hata kwenye utumishi wa umma serikalini kwa watumishi ingikua mkurugenzi na mwajiliwa mnakaa na mnakubaliana kwa mkataba. Watumishi tungefaidi
@KibwanaShomali-yi6gq
@KibwanaShomali-yi6gq Жыл бұрын
Wewe Nibondia bora siyo bora bondia
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 Жыл бұрын
Mdogoangu Mwakinyo Wenda kunanjama zakukushusha wanakutengenezea zengwe ila jaribu kumaliza tofauti nahao watu Maisha Safari ndefu usiwe namuda mwingi wakupambana namigogoro
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Mwakinyo hajielewi.
@shntalaa_shontz
@shntalaa_shontz Жыл бұрын
Yeah ni misimamo tuu mzee….✅
@HajicanOthuman
@HajicanOthuman Жыл бұрын
Ipo sahhi kabisa chempion 👊
@HusseniSalimu-y2e
@HusseniSalimu-y2e Жыл бұрын
Kaka njaa fitina onyesha msimamo kama wamekula pesa zawatu walipeSafi sanaaaa
@EdwardPius-i1j
@EdwardPius-i1j Жыл бұрын
We mshamba tyuu Unakataa kucheza kisa chuki za demu
@sports007tv4
@sports007tv4 Жыл бұрын
Huna unalolijua kaa kimya
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 Жыл бұрын
Bondia mwenye akili nyingi Tanzanian mwakinyoo ❤❤❤
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jmO7YYWtqLpknaM
@furebrownmelodytz751
@furebrownmelodytz751 Жыл бұрын
Safi xana,sema hapo kuna ishu walitaka kukufanyia sio na ninahisi hii ni baada ya kuwakera hiv karbuni kwo walitaka kutumia hii fight yako kama chance yakukupoteza☹️
@TonnyCaesar
@TonnyCaesar Жыл бұрын
Umeona kama mimi
@TonnyCaesar
@TonnyCaesar Жыл бұрын
Umeona kama mimi
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 Жыл бұрын
Ishu gani muoga huyo
@MohamedyAbdallah-hj8wj
@MohamedyAbdallah-hj8wj Жыл бұрын
Muoga
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Жыл бұрын
​@@MohamedyAbdallah-hj8wjhilo neno ndio maana mnashindwa kusimamia makubariano.hakuna kupelekwapelekwa ngumi inaumaaa weweee😂
@lucasimizengo8226
@lucasimizengo8226 Жыл бұрын
Binadam wana penda tamaa sana walicho fanya mwakinyo yupo sahihi kama nikweli yupo sahihi wana tamaa
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Kuna makubaliano na kuna mkataba sasa hili jambo lenu likaamuliwe na sheria iwe fundisho hata na kwa wengine
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
Very True
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 Жыл бұрын
Mapromota bado wanaushamba wa kizaman ndo maana mabondia wa zaman ni maskini
@ashirafuumeme9657
@ashirafuumeme9657 Жыл бұрын
Ila don worry utashinda
@ukindotv
@ukindotv 8 ай бұрын
kupata movie zangu KZbin ukindo tv
@WilsonFesto
@WilsonFesto Жыл бұрын
Duuh pole
@BarackaSaim-ev3gk
@BarackaSaim-ev3gk Жыл бұрын
Kuwa makini matapeli wengi sana bro
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Жыл бұрын
MWAKINYO AKILI KUBWA
@joetheone3354
@joetheone3354 Жыл бұрын
Mbona unajichanganya sana umeulizwa nani kavunja mkataba.umepuyanga, mna mkataba? Unasema unatanguliza imani😂😂😂 kaka au kiatu kimekubana tena😂😂😂😂
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mnerinpmoMmkZtE
@RamadhaniAbeid-nf7te
@RamadhaniAbeid-nf7te Жыл бұрын
Saf mwakinyo mapromota uwa wanakula sana nguvu za watu bule bule
@PaulPascali-iz6mt
@PaulPascali-iz6mt Жыл бұрын
Mwakinyo usiangalie kelele za usiojua mm nasema hakikisha haki zako zimekaa sawa
@TumainiMallya
@TumainiMallya Жыл бұрын
Kuna jamaa anaitwa fidovato anasema bongo hawezi pigana kw7bu unapigana umetoka manundu unapewa elfu hamsini
@yusuphyustace7304
@yusuphyustace7304 Жыл бұрын
daah aisee jamaniiii uyoo promoter ametukosesha uhondo aache ubinafs
@AziziAlly-k4e
@AziziAlly-k4e Жыл бұрын
We bro unachuki sana na mabondia wa Tz badilika
@pepyeddy8017
@pepyeddy8017 Жыл бұрын
Daa samahani broo nili comment ovyoo bila kujua kumbe Jamaa wababaifu daa😢So Sad😭😭😭😭🤭
@AkbirBabu
@AkbirBabu Жыл бұрын
Huyo promota sio mtu mzuri hua anaangaria mifuko yake sana kuliko ya mabondia kashawatapeli sana mabondia wetu
@steveg9659
@steveg9659 Жыл бұрын
Umeeleweka sana bro kwa maelezo yako anaekutukana atakaua anaugonjwa wa akili me nimeskiliza sana haya mazungumzo
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jmO7YYWtqLpknaM
@labansogomba8753
@labansogomba8753 Жыл бұрын
daaah, pole broo
@irenemwewe3566
@irenemwewe3566 Жыл бұрын
Twende mbele turudi nyuma,, mwanamke wa mwakinyo,,atakuwa kapata mwanaume sio mvurana
@JumanneJ4official-mf6sd
@JumanneJ4official-mf6sd Жыл бұрын
The united public health
@manenoponi4120
@manenoponi4120 Жыл бұрын
Nimekuelewa kwangu mimi una baya kololado
@SEDsports
@SEDsports Жыл бұрын
duuhhh aiseeee mambo ya mikataba hayo ... Kwa simulizi na makala mbalimbali kuhusu watu maarufu njoo kwenye channel hii✍️✍️✍️
@RamadhaniHamadi-qi3jf
@RamadhaniHamadi-qi3jf Жыл бұрын
Ni vizuri sana kuwa na msimamo ila jaribu kuwa na maandishi ya makubaliano ili kulinda ushahidi na hapo ndipo walipokuzidi mpaka kufungiwa. Pole sana kaka. Safari yako ni ndefu utafanikiwa tu naamini hilo.
@nyakatievents
@nyakatievents Жыл бұрын
Tapeli wew mwakinyo wew inatakiwa upate haki yako na c kutaka bondia unaemtaka wew wew ushapagawa
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
We nae kchwa kgumu hujaelewa chochote
@drankoiddy1953
@drankoiddy1953 Жыл бұрын
Hhhh
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Жыл бұрын
Hakika wew ndo bondia pekee unayepambania mapinduz ya ngumi Tanzania. Ni mtulivu wa akili unajua kujieleza na unajua kupambania haki yako. Endelea kupamban kaka hata kama hutopata promotion au mapambani lakin kwa harakat zako kuna sehem utaifikisha boxing. Wanaojielewa wako weng nyuma yako, hakika usikubali kupiganishwa ila kubali kupigana.
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 Жыл бұрын
Kwa kifupi hawa ni waandaaji ni matapeli😂😂
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
MAUMIVU YA MGONGO, CHANZO ,DALILI NA TIBA
19:17
MOI TV
Рет қаралды 32 М.
Kenya 0-1 Zanzibar |  Highlights | Mapinduzi Cup 10/01/2025
13:37
Even Tyson Was Afraid of Him! Mike Tyson vs Donovan Ruddock
12:40
Boxing Land
Рет қаралды 2,4 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН