🔴

  Рет қаралды 43,840

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 301
@michaelmwandemange5093
@michaelmwandemange5093 3 ай бұрын
Kaaa kimya huna lolote zaidi ya ufisadi na kuwakandamiza watu wa chini
@hassanissah1177
@hassanissah1177 3 ай бұрын
Nenda shule acha kupiga kelele ,aya alisha ongea kikwete ubungo wakati azindua mwendo kasi mzee alikuwa ana vission kubwa na matunda yake ndo haya
@MarckAbubakary
@MarckAbubakary 3 ай бұрын
Acha kutuna viongozi waliopambania nchi ww hata Kijiji hujawai kukiongoza tumia hekima
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
@@hassanissah1177 ujinga wako usiwapeleke wengine shuleni. Nenda mwenyewe shule
@hassanissah1177
@hassanissah1177 2 ай бұрын
@@majaliwabwitonde6900 wee msulukuma nn mana ndo wanamtukana sana huyu mzee
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 3 ай бұрын
Nyie na timu Msoga ndio mlipinga kila mradi ,Rufiji kwa sababu ya ufisadi wenu wa gesi Lindi na Mtwara ..!! Mwacheni JPM .Ndani ya miaka mitano amefanya kazi kubwa kuliko uliyofanya miaka 10
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Hakuna binadamu aliyekamilika maana hata enzi za Jk ajira zilikuwa uhakika vp kipnd cha Jpm
@gosbertbuberwa6198
@gosbertbuberwa6198 3 ай бұрын
Kabisaaa! Jembe Magufuli Litabaki Kuwa Mioyoni Mwa Watanzania! Mpaka Sasa Tunamkumbuka!
@personpeter2221
@personpeter2221 3 ай бұрын
​@@Abuu-gs1yikuma ww umetumwa kjib kla sms??
@josephgomalo41
@josephgomalo41 3 ай бұрын
ukichanganya na miaka 10 aliyokuwa waziri wa mambo ya nje.. ni miaka ishirini with nothing to show for... mademu tuu! na ndio maana tunaye mediocre anayeitwa Daktari Kilaza Samia (demu wake aliyetokana na mashangingi wa CCM!) .. Udaktari bila shule..??
@gosbertbuberwa6198
@gosbertbuberwa6198 3 ай бұрын
@@personpeter2221 Nahisi Analiwa Na Jamaa Maana Anamtetea Kinomaaa!
@MathiasMongo-jk9so
@MathiasMongo-jk9so 3 ай бұрын
Dr JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI we steel remember you forever
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 3 ай бұрын
Not steel but still
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 3 ай бұрын
Hana jipya zaidi ya Kujitekenya Mwenyewe na kucheka mwenyewe
@BituroPaschalKazeri
@BituroPaschalKazeri 3 ай бұрын
Chuki zinakufanya uwe kipofu
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 ай бұрын
​@@BituroPaschalKazeri sio kweli
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 3 ай бұрын
Mzeee wa porojo. Meneno mengi matendo hakuna. Not without magufuli had we been where we are now.
@Jurbeg
@Jurbeg 3 ай бұрын
true 👍👍👍😎😎😎
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 ай бұрын
​@@BituroPaschalKazerisio chuki huyu jamaa alitakiwa mpaka Sasa awe jela ameifilisi Sana nchi kwenye utawala wake
@Adonkamotci
@Adonkamotci 3 ай бұрын
Ache una fiki uyo Mzee kao ngoza watu wame ona uyo sio kiongozi uyo Ni mwana siAsa kibaraka mkubwa wa mabeberu R l p Doctor jonih pombe magufuri 💞💞 mzalendo wa kweli 💞
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Ni mtazamo wako
@Adonkamotci
@Adonkamotci 3 ай бұрын
@@Abuu-gs1yi sawa sku pingi Una macho Rakini Uwoni Nayote lyo kwa kuwa Umekosa Utu
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 3 ай бұрын
Lakini huyu huyu Mh Rais J K Kikwete ndiye aliye tuambia kuwa Magufuli anatosha, hakika alitosha, Mzee alifanya yake
@aloycerocky
@aloycerocky 3 ай бұрын
Unasemaje ulimwachia Magu wakati mwenyewe umesema ham kuwa. na pesa acha Magu aitwe jembe daima
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 ай бұрын
JPM alitofuatisha Siasa na Vitendo. Anazeeka na Porojo+Unafiki mtupu
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 3 ай бұрын
Ulimuachia!! Kwani mradi ulianza mwaka gani acha porojo
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 3 ай бұрын
Ujui chochote Kaa kimya
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 3 ай бұрын
@@samwelkavwanga4491 inja ww unamtetea msenge mwenzio kumamae zenu nyie ndo mmefanya nchi imeganda mkunduwako ww na msogawako
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 3 ай бұрын
Mbona mnahangaika kuzuia hisia za watu, kaeni kimya watu watoe yamoyoni mwao hamuwezi zuia hisia za watu, wote tulikuepo na tunaujua utawala wake na wa magu kaeni kimya kama mmetumwa wapiga dili nyinyi​@@samwelkavwanga4491
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 ай бұрын
@@samwelkavwanga4491 ww ndiye hujuwi kaa kimya ww
@shinipapaya846
@shinipapaya846 3 ай бұрын
​@@samwelkavwanga4491MMA yako anajuta kukuzaa kwenye juwa kali la saa 7 ona sasa hasara yake 🤣🤣🤣
@IsaacLameck-nz8yr
@IsaacLameck-nz8yr 3 ай бұрын
Wewe uliishia wapi ? Wewe ulimwachia magari ya mwendo Kasi tu sio SGR na akazitoa UDA zako zote
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 3 ай бұрын
Kwan uwanja wa ndege ulijenga wew,daraja la nyerere ulijenga wew, mwendokasi ulijenga wew, mloganzila je?
@Masa__966
@Masa__966 3 ай бұрын
Anko Magu alijenga bila madeni na bila kuongeza kodi, kwaijo hacheni uongo…!
@BituroPaschalKazeri
@BituroPaschalKazeri 3 ай бұрын
DU
@king3-q1s
@king3-q1s 3 ай бұрын
@@BituroPaschalKazeri usishangae sana maana wajinga huwa hawaishi
@shinipapaya846
@shinipapaya846 3 ай бұрын
​@@king3-q1swewe ndio mjinga wa kutupwa 🤣🤣
@jumampeli281
@jumampeli281 3 ай бұрын
You Una uhakika
@stanslauslupelele5726
@stanslauslupelele5726 3 ай бұрын
Kwani kusema ukweli hamwezi hakuna wakumfananisha na jpm
@MATIKO9640
@MATIKO9640 3 ай бұрын
Physics yangu haitaenda bure naitumia vyema, naendelea kuichimba, MUNGU anipe umri mrefu kuna kitu nitaki'launch dunia niishangaze, keep this massage, MUNGU akinipa umri mrefu na afya njema basi nitakuwa raisi wa Tanzania
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheeeeeeeeeeka
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 3 ай бұрын
Hakuna lolote hapo, RIP JPM, Nyerere aliacha Dodoma, bwawa la umeme, Mv Victoria, Ndege nk yeye alifanya nn hapo Ukweli JPM angekuwapo Hadi Leo Tanzania ingekuwa ulaya ndogo, Hakuna anayebisha ktk hili.Alikuwa na maono makubwa Kama Nyerere Kizuri chajiuza.......... hakuweka bango lkn bado angalia hai, "mtanikumbuka kwa mazuri....."
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 3 ай бұрын
Uwanja wa ndege ulijenga wew,hayo majengo ya pacha ulijenga wew, mwendokasi ulijenga wew, uwanja wa ndege ulijenga wew mloganzila je daraja la nyerere ulijenga wew
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 2 ай бұрын
​@@wekezauchumi7440 Je unajua Uwanja wa Ndege Jpm alikuta Gofu ,???? ATC imekufa??? Daraja limesimama. Follow up vyote hivyo utapata ukweli. Ondoa ishabiki
@veraisaria
@veraisaria 3 ай бұрын
Chuma jpm chuma cha pua yule nanyi mtakufa tu acheni unafki hapo mnataka kumpa sifa huyo mzee na kuhakikisha legacy ya jpm haipo mtakufa midomo wazi nyie😮😮
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Mungu ndiye mwenye kuhukumu ww nani
@gosbertbuberwa6198
@gosbertbuberwa6198 3 ай бұрын
Mzimu Wa Magufuli Unawaandama!
@Jurbeg
@Jurbeg 3 ай бұрын
Hakika 🙏🙏🙏
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 3 ай бұрын
sasa huyu kikwete sindio alikuwa raisi wa mangu sasa anasema uwongo vipi jamani
@Jurbeg
@Jurbeg 3 ай бұрын
@@kasimkassam9565 Hata magu alikuwa raisi wakikwete au Hujui Hilo 😏
@khamisshabani691
@khamisshabani691 3 ай бұрын
we babu acha uongo kaziimekushinda magu jembe
@mangobase
@mangobase 3 ай бұрын
Mzee wa porojo anaongea kama vile sisi hatukuwepo pia tulikua hatuoni.... Nchi Enzi yake ilikua ya upigaji tu...
@Masa__966
@Masa__966 3 ай бұрын
Anko Magu hawezi kuwa namawazo yakukushauri uende ukakope…!
@musa-v3f
@musa-v3f 3 ай бұрын
Kikwete is trying hard to rewrite history alikuwa Rais wa ovyo sana watu waliiba mali za umma wanavyotaka na yeye mwenyewe alituibia kupitia safari za nje zisizo na tija tofauti na Baba Magufuli hakuwahi kwenda ulaya na maendeleo tuliyaona
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
​@@musa-v3f kweli kabsa nandivo wanavoiba sasahivi
@ms123ru
@ms123ru 3 ай бұрын
Kumbukaa kikwetee ndio Rais mwenye miradi mingi kuliko raisi yoyote yule njoo kwa hojaa tubishane
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
@@ms123ru mmmmmh ?? unaota ukiwa unatembea wewe
@NAFTALIMUNDANGA
@NAFTALIMUNDANGA 3 ай бұрын
Lakini Mh. zile hela za ESCROW zingetusaidia sana kwenye huu mradi wa SGR. Maana zile alizochukuwa Rugemalilila 30% ndo zinazungumziwa lakin 70% hazijulikani zilienda wapi. Lakin wewe ndo ulikuwa Rais. Tunaziomba mkuu samahani lakini.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 ай бұрын
70%hazijulikani zilienda wapi? Kwenye viroba hadi Bwagamoyo!
@ms123ru
@ms123ru 3 ай бұрын
Azikuwa mali za umma
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 ай бұрын
@@ms123ru insane comment!
@samasob8233
@samasob8233 3 ай бұрын
@@ms123ru kwa hiyo akaruhusiwa kuchukua kisicho chake?
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 3 ай бұрын
Ujenzi miundo mbinu na Taifa kwa ujumla mwachi JPM We ongelea mpira
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 3 ай бұрын
Mwendokasi ulijenga wew mloganzila je daraja la nyerere ulijenga wew mwendokasi ulijenga wew uwanja wa ndege ulijenga wew
@josephgomalo41
@josephgomalo41 3 ай бұрын
@patricknyiti5303 ukichanganya na miaka 10 aliyokuwa waziri wa mambo ya nje.. ni miaka ishirini .. with nothing to show for... mademu tuu! na ndio maana tunaye mediocre anayeitwa Daktari Kilaza Samia (demu wake aliyetokana na mashangingi wa CCM!) .. PhD bila shule..?? Udaktari na uraisi wa kuvulia chupi vigogo wa CCM?
@material_liv4674
@material_liv4674 3 ай бұрын
😂😂😂😅
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
​@@material_liv4674😂😂😂😂😂😂
@HamisiddyKyengya
@HamisiddyKyengya 3 ай бұрын
magufuli alikuwa kiongozi c mwanasiasa
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
nikweli kabsa 👏👏👏❤❤
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 3 ай бұрын
Hiki kijamaa nikibnafsi saaana cjawahi ona kapeleka barabara ya lami nyumbani kwake badala yakupeleka vijijini mwenzie magufuli miaka 5 kaiheshimisha mwanza
@mwajumagomera7609
@mwajumagomera7609 3 ай бұрын
Si mwanza tu tabora,mpka dodoma kiukweli hana baya yaani mikoa ya huku imejaliw kwa kipindi cha magu,mungu amrehemu😢.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
​@@mwajumagomera7609❤❤❤❤👏👏
@ms123ru
@ms123ru 3 ай бұрын
Sasa hapo mbinafsi nani??
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
@@mwajumagomera7609 🙏🙏🙏🙏😘
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 3 ай бұрын
@@ms123ru Kikwete ndio mbinafsi we angalia ukanda wake wapwani alivo uacha kimaendeleo upo zoofulihali alicho fanikiwa mikupeleka nibarabara yalami nyumbani kwaketu mpuuzi sana
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 3 ай бұрын
Wakati jpm anaanza mlisema anafanya yale ambayo hayako kwenye Irani je mlikiwa wapi kuanza hata jpm aliyasema sana walikuwa wapi kuyafanya haya? Mama makinda alisikika hata kuhamia Dodoma kuna viongozi walikuwa wamepinga, jpm oyeeeee
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 3 ай бұрын
.Jifunze kusikiliza upate ujuzi kuongea unaongea tu unalolifahamu wewe.Kama hujui jambo kwani lazima ubishe walishajaribu kuanza Waziri akiwa samweli sitta hela ikawa hakuna wakati huo nchi ilikiwa na madeni makubwa.Ila JK alitaka kujaribu kuanza
@Jurbeg
@Jurbeg 3 ай бұрын
Oyeeeeeee 🎉🎉🎉🎉
@robertzamani5612
@robertzamani5612 3 ай бұрын
​@@AllyMaya-yj3xd Kwani wakati Magufuli anaanza ujenzi nchi haikuwa na madeni??
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 3 ай бұрын
​​@@robertzamani5612Awm tano yaan miaka 1960-2021 almost 61 yrs wamekopa 60 trln but 3 yrs snc 2021 up to date 31trln deni ILO iko sawa hii?
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa huyu jamaa muongo sana, miradi ya Jpm imegeuka kuwa yake, hata aibu hana, hivi anatufanya Watanzania wajinga?
@wta_Tanzania
@wta_Tanzania 3 ай бұрын
Eeee Mungu ikikupendeza mchukue na remote ya msoga ili TV yetu tuiwashe wenyewe
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hydarymwenda3352
@hydarymwenda3352 3 ай бұрын
Mbona zembwela ametaka kuuliza kuhusu mikopo amekatishwa Mara mbili. Something is wrong
@Afrikalove736
@Afrikalove736 3 ай бұрын
Maguli utabaki miyoyoni mwetu maishani yetu hadi vizazi vitakiri wewe ni Jembe,hawa wengine ni porojo tu.
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 3 ай бұрын
Sema atabaki moyoni mwako husiunganishe watu wote
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 ай бұрын
Hicho kiredio cha kishetani kiongo sana mwamba jpm tu acheni uongo
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@godfreyjulius5132
@godfreyjulius5132 3 ай бұрын
Mungu ikikupendeza naomba chukua na huyu mnafiki.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 3 ай бұрын
Anza wew kwanza mpumbavu
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 2 ай бұрын
😂😂😂😂daah!
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@JOSEPHPETERMACHOTA
@JOSEPHPETERMACHOTA 3 ай бұрын
Reli yake alikiri ilikua ya kawaida so ya umeme ache uongo huyo babu Magufuli jembe
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 3 ай бұрын
Anajifagilia tu uyo mlabata akufaa kuwa kiongozi
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Pole ila huo ni mtazamo wako
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
kweli kabsa khafai 😂😂😂
@Kakozi-pj6ib
@Kakozi-pj6ib 3 ай бұрын
Unaongea nini wewe mzee tuna jua kila kitu " kwanza 2015 haukutaka JPM awe raïs " leo et fyoto fyoto ulimuachia mradi wa treni ya umeme "" Mungu ana kuona "
@ulimbombonaulindi5088
@ulimbombonaulindi5088 2 ай бұрын
Tunakushukuru pia, maana binadamu tunatofautiana. Mmoja maneno mengi vitendo vichache, na mwingine maneno machache vitendo vingi. Hayati alikuwa na UTHUBUTU.
@mwenem8130
@mwenem8130 3 ай бұрын
MZEE ACHA UONGO!!! RIP JPM Chuma toka Chato
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 3 ай бұрын
Acha kudanganya Watanzania, hii treni ni ya Magufuli na Samia, tena funga mdomo
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 3 ай бұрын
Mzee anaongea kama anakunwa msuzi wa babu Saya 😂😂😂
@samuelbucheyemhana7765
@samuelbucheyemhana7765 2 ай бұрын
Jaman ulisha ona mtu mwenye vyeti feki? Anavyo angalia😁😁😁 Ndio anavyo angalia huyu mtu anapoelezea kuhusu kumuachia leli JPM
@fikiripazi9630
@fikiripazi9630 3 ай бұрын
hahah muheshimiwa anaongelea mambo mazuri ya nchi jamaa kochomekea mpira wa miguu. hii nchi ina waandishi wa hovyo sana
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 3 ай бұрын
Kumbe tupo pamoja
@hassanissah1177
@hassanissah1177 3 ай бұрын
Nilichogundua wengi wanatoa komenti chafu humu ni wasukuma huyo mwenda zake ndo amewafanya muwe mtaani mnazulula bila ajira na babazenu wameondolewa makazini kama watumishi hewa
@ibracadabraramadhan9493
@ibracadabraramadhan9493 Ай бұрын
Uwezo wako wakufikiri mdogo sana!!!
@edwinismail9401
@edwinismail9401 3 ай бұрын
acheni utapeli... eti alimuachia
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 3 ай бұрын
Mzee anatupigia hadithi za abunuasi tu kanakwamba hatukuwepo wakati huo mradi wa reli unaanza. Dunia ya sasa watu wengi wamesoma na wana taarifa nyingi kuliko unavydhani mzee
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 3 ай бұрын
Kama kweli Mungu yupo atajibu kilio Cha Watanzania, watu walilia sijapatakuona sidhani Kama itatokea tena ndani ya miaka50 ijayo
@MbossoMbosso-rw4ox
@MbossoMbosso-rw4ox 3 ай бұрын
Ww mzeee una lolote mbona ujibu maswali muhmu unaluka lukaaa kama uwez kaaa kmyaaaaaaaaaaaaa
@jakayajuma9867
@jakayajuma9867 3 ай бұрын
Linapenda kujipakulia minyama
@chazimunishi3339
@chazimunishi3339 3 ай бұрын
aje awadanganye vi2kuu vake mpuuzi 2
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 3 ай бұрын
Mh ungekaa kimya baba
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 3 ай бұрын
JPM CONTINUE TO REST IN PEACE. WANYONGE WENGI WANAKUKUMBUKA. MENGI ULIYAFANYA HATA KAMA HAUPO KIMWILI KIROHO POKEA MAUA YAKO
@kamanzicrouch3881
@kamanzicrouch3881 3 ай бұрын
Jamani kwa kua magu hayupo ajiteteye basi kila mtuu mazuri yake anajipakulia mema ya watu
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 2 ай бұрын
Hongera mh JK wewe ni tanki la fikra
@MsanangoMwalabu-rx1oo
@MsanangoMwalabu-rx1oo 3 ай бұрын
Dah huyu jamaaa amesababisha tuishi kama wapangaji anajuakupamba kama mtakatifu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂
@Martin-w2l9p
@Martin-w2l9p 3 ай бұрын
Jpm pekee, wengine porojo
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 3 ай бұрын
Wewe ulifanyaje
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Madizizi
@Madizizi 3 ай бұрын
Kuma kweli huyu
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
Punguza ukali wa maneno..
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@shinipapaya846
@shinipapaya846 3 ай бұрын
Kumbe anaona wazungu kwake kama MUNGU 🤣🤣🤣
@edwinismail9401
@edwinismail9401 3 ай бұрын
sasa si mshamba wa wazungu
@JamesMisalabaPalu
@JamesMisalabaPalu 3 ай бұрын
Nchi hii ni tajiri kama akipatikana kiongozi mzalendo wa kweli wala hatutakopa
@Jurbeg
@Jurbeg 3 ай бұрын
Yes 🙌
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 3 ай бұрын
Mbona hukuthubutu kuanza ujenzi.Mpaka JPM aliposhinda urais Na hukutaka JPM awe rais.T UNAFAHAMU,USITUDANGANYE.
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 3 ай бұрын
Hakuna ulazima wa kukopa. Nchi hii ni tajiri sana ,rubi,spino,dhahabu,almasi na madini mengine mengi huwa mnayafanyia nini? hiyo mikopo mna mambo yenu mnayoyajua
@TuhabarishaneTv
@TuhabarishaneTv 3 ай бұрын
Kwa nchi hasa hizi za kwetu tuna utajiri mkubwa wa Mali na sio wa pesa. Ili kuuendeleza utajiri huo wa ardh, madini, milima, sehemu za majini. Uwekezaji wake unahitaji wataalamu na pesa na ndio serikali inakopa ili kuuendeleza. So shauri serikali ifanye nin maana wanaona.
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 3 ай бұрын
@@TuhabarishaneTv sidhani kama ni hivyo,kwa nini kama wanataka pesa wasiuze madini,kwanza sasa hivi wenzetu walioendelea hawatunzi pesa wanatunza dhahabu au almasi kwa sababu hizo ndio pesa zenyewe
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 3 ай бұрын
King Magufuri rip
@josephamos6636
@josephamos6636 3 ай бұрын
Mzee anapenda kujiweka kuwa kila kitu alianzisha yeye lakini hakuna kitu
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 3 ай бұрын
😂😂
@theophilmakumbuli
@theophilmakumbuli 3 ай бұрын
Ulimuachia na here acha uongo,umemuachia ufisad angekua zaifu kama wewe asinge fanta hats moja
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 3 ай бұрын
Mbona hukusema wakati jpm hajafa😂😂😂😂
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AngelaAndrew-rf1ho
@AngelaAndrew-rf1ho 3 ай бұрын
Mlisema amefanya vitu ambavyo haviko kwenye ilani sasa kumbe ulianzisha hiyo wewe akaendeleza. Hongera Mwenzetu wa umbwe sec
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 3 ай бұрын
Mabaya yake ni mengi kuliko mazuri yake .JPM HAKUNA WA KUMFANANISHA.JPM HAKUKUBALI KUKOPA,UONGO HAPO.
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
Aendeleze ? Inamaana ulikuwa umekwishaanzisha wewe au wakabla yako . 😮😮😮
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Machawa katika ubora wao. Hata kuangalia huu uongo kichefu chefu.
@Gamba177
@Gamba177 3 ай бұрын
Mshashiba kipolo kelele nyingi kuleni halafu mkanye
@MichaelPius-k4d
@MichaelPius-k4d 2 ай бұрын
Unavyo ongea naona kabisa unakaribia kufa 2030 ukitoboa nipo nimekaa pale fisadi mkubwa wewe😢😢😢😢😢😢😢
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 ай бұрын
Tutahakikishaje kwamba, mzee wa Msoga alimwachia Mwenda zake hiyo reli ya SGR aimalizie, kama sio kujimwambafai. Mh Kikwete pumzika kwa utulivu acha hadithi za aina hiyo.
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 3 ай бұрын
WATANGANYIKA KIPINDI WAKIJITAMBUA ULIMWENGU UMESHAKWISHA SIKILIZA CHAMBUA UNALAZIMISHA
@misanamohamedi8438
@misanamohamedi8438 3 ай бұрын
Acha uongo,magu ndo jembe nyie wengine ni wanasiasa tu.maana mwanasiasa hua na maneno matamuu na kujichekesha
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 3 ай бұрын
Nakuelewa mh JK nilipata ajira kwenye utawala wako kwa kweli ilikuwa uhakika sana wengi tulipata ajila Mwenyezi Mungu akulinde akupe miaka mingi duniani inshaallah... Ulifanya sana kwa upande wako lakini hukuwa mchoyo kwenye kutujali
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Huyu dingi sijawahi muelewa
@kyaro5945
@kyaro5945 3 ай бұрын
Ww uliza naswaki ya msingi achana na uswahili aisee uliza mikopo na je anahusika na bandari ya bagamoyo?
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 ай бұрын
Sisi watanzania tunaemjua ni JPM pekee ndiye aliepambana kuleta hayo maendeleo na siyo nyinyi. Lala salama baba JPM 😢
@PatriciaKitundu
@PatriciaKitundu 3 ай бұрын
Duuh! Misifa yaan haiwezekan mtu afe afu ujisifu et nilimwachia hakupo hakupo
@awazioga1823
@awazioga1823 3 ай бұрын
Acha uhongo we mzee
@jemketakene6558
@jemketakene6558 2 ай бұрын
Huyu anataka attention tu, kwani mradi wa SGR alianzisha yeye? aseme tu alimwachia daraja la kigamboni basi
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 3 ай бұрын
Dr Magufuli ametuachia Tanzaniampya hatakimataifa namajiranizetu wanalijuahilo tena kwa mufa mfupitu wa.miakamitanotu VIP angemalizamuhulawake ? Muda huo mufupialifanya hata yaliyoshindika miaka karibu 50 so We are talking either alot for nothing or from out of nothing..
@athumanimapande8394
@athumanimapande8394 3 ай бұрын
Alafu kakosa aibu mambo mengine ni kujidhalilisha bora akae kimya tatu..
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 3 ай бұрын
Ukitaka kuona huyu msoga hapendwi we soma komenti utaona watanzania walivokuwa wanampenda jpm yani basitu mungu akipendezwa angechukua na huyu mana huenda mioyo ya watanganyika ikapona kidogo
@PatriciaKitundu
@PatriciaKitundu 3 ай бұрын
Duuh! Huyu ashastaafu mbona si apumzike tu busara ndogo sana kucheka Cheka mi hapana
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 2 ай бұрын
Alikuwa kibaraka wa wazungu mtiiiifuuu wamemuua jpm kwa manufaaa ya wazungu
@sethstiven3393
@sethstiven3393 3 ай бұрын
Mazuri yako yanazidiwa na mabaya yako, wauza nadaiwa ya kulevya ulitajiwa wauzaji wote pamoja na mwanao ukaendelea kucheka vijana wakahalibika kwa cheko zako
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 ай бұрын
😢😢😢🙏🙏nikweli kabsa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
SGR = JPM
@daudimichael7338
@daudimichael7338 3 ай бұрын
Duh, alimwachia Magufuli nini?😂😂😂
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 3 ай бұрын
JPM alikuwa Raisi wa ukweli
@wirangamochemba7063
@wirangamochemba7063 3 ай бұрын
Kidole cha kushoto pete na cha kulia pete vp ndo free Mason au
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j Ай бұрын
Unavyosema aendeleze kwani ulikua umeuanza??
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 ай бұрын
Kikwete, ulimuachia Hayati Magufuli nchi iliyotafunwa na Kubaki mifupa mitupu. Acha kudanganya watanzania. Magufuli alikuwa ni Rais hakuna wa kumufananisha. Angekuwepo Tanzania ingekuwa mbali sana.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 3 ай бұрын
Kumtoa magufuli,katika mioyo ya watanzania ni ngumu sana sana mwacheni mwamba mwacheni apumzike tu.
@willymdeka6034
@willymdeka6034 3 ай бұрын
Unatia aibu tu
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Sio kweli ila mtazamo wako tu,,,labda kama ulikimbia umande ila kama ulisoma enzi za Jk.....
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 3 ай бұрын
Siri ya ubinadamu, mtu akifikia umri Kikwete upendwa sana, huyu ni binadamu ana tofauti na sisi. Kama tunashindwa mengine basi tuheshimu umri wake.
@shinipapaya846
@shinipapaya846 3 ай бұрын
​@@GodfreyOswardsi umuheshimu ww tu kwanini utusemee na sisi? 🤣🤣
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 3 ай бұрын
Mzee wetu, Mh rais Jakaya Mrisho Kikwete, hakika kazi uliifanya kwa namna Mungu alivyokuongoza, umefanya mengi mno, uluma maafisa 12 wakajifunze namna Malaysia walivyo piga hatua kubwa kiuchumi, ukawa na vipaumbele kadhaa wa namna ya kujenga taifa, lakini Pia ukatuambia sisi wananchi kuwa Dr John Joseph Magufuli anatosha hakika alitosha, Mungu ailaze roho yake pema peponi. Mzee wetu uishi maisha marefu.
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 3 ай бұрын
Treni ya Jpm imeanza kufanya kazi umeanza kuongea uongo, hata aibu huna.
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 2 ай бұрын
😂😂😂😂 anapenda sifa huyu! Anatamani angefanya yeye,.
@FranciscaLukinga-o6c
@FranciscaLukinga-o6c 3 ай бұрын
Acha uongo lea wajukuu
@nairobitv6161
@nairobitv6161 2 ай бұрын
Mbona hizi comments zote zinamkataa Hutu mzee
@YORAMYETERO
@YORAMYETERO 2 ай бұрын
Jamani jamani mmmmm nashindwa na mle nisemee
@ramadhanikassimu
@ramadhanikassimu 3 ай бұрын
Umeriaza mwaka 20215 wakati rais jk
@travelsfam
@travelsfam 3 ай бұрын
😂😂😂 kumbe nawewe uricimba dawa
@ramadhanikassimu
@ramadhanikassimu 3 ай бұрын
Tutajieni reli hii yakisasa imaanza mwaka gani? Twawauliza hawo wasukuma reli imeanza mwaka gani? Kama siye jk.
@pnehe884
@pnehe884 2 ай бұрын
Reli imeanza kujemgwa na JPM
@Kabwela776
@Kabwela776 3 ай бұрын
Mzee wa pwani wa porojo porojo 😅hamna kitu hapo 😅😅😅
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,1 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 58 МЛН
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,8 МЛН
MAKONDA HACHOMOKI | TUHUMA ZA SHAMBULIO DHIDI YA LISSU
5:28
Wasafi Media
Рет қаралды 2,8 М.
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 33 М.
EL CHORRO @SantiMusicOficial@SantiFansshort  #funny #humor #comedy
0:15
Santi Oficial
Рет қаралды 20 МЛН
ГРЯЗНОЕ ПРОШЛОЕ УЖЕ БЫВШЕГО МУЖА 😂😂
1:00
Худший командир на свете!😂
0:24
FilmBytes
Рет қаралды 4,3 МЛН
Не знал, что у него есть дочь 😶
0:57
Иви
Рет қаралды 3,6 МЛН
Естен тандырған ерсі сөз!
25:48
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 302 М.
Did you know about this hack? 😁
0:19
Andrey Grechka
Рет қаралды 52 МЛН