#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 301,942

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#EXCLUSIVE: KUMBE SCORPION ALIYEMTOBOA MACHO SAID SIYE ALIYEFUNGWA? SAMJET ATOKA GEREZANI, AFUNGUKA
Unakumbuka tukio la Scorpion? Yule mwamba aliyedaiwa kumtoa macho na kumsababishia kilema cha maisha cha kutoona kijana mwenzake aitwaye Said Mrisho?
Jina lake halisi ni Salim Njwete Salum, alijulikana zaidi kwa jina la Scorpion kutokana na tukio la kudaiwa kumtoboa mtu macho.
Salim alikamatwa na akahukumiwa kifungo cha miaka 7 jela.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 832
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@meesipro6799
@meesipro6799 Жыл бұрын
Daaaaa
@petermboje5839
@petermboje5839 Жыл бұрын
Yuko mtaani nimbus kweli kwa serikali yetu
@JosephSinkala-jn5np
@JosephSinkala-jn5np Жыл бұрын
​@@meesipro6799❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mohamedmacha
@mohamedmacha 7 ай бұрын
​@@petermboje5839 'nimbus' ???
@albertmhina1018
@albertmhina1018 6 ай бұрын
9
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Namuamini 💯 since interview ya kwanza kwa MangeApp Kaka inatosha interview usifanye TEENA siyo rahisi binaadamu woote wakuamini ishi kwa amani as long unajua ujafanya,Fanya saana ibada muachie Allah na jitahidi saana kujilinda kwenye maisha ya unapoishi huku uraiyani kumekuwa kubaya saana wasije kukutafutia kesi nyingine
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm Жыл бұрын
Mkuu hii naikumbuka ni kweli kesi yako ilikuwa na public interest watz walikuwa wanaifuatilia kwa karibu kutoka ingekuwa ngumu,pole sana kama hukuwa ni wewe,cha kushukuru mungu umetoka salama na afya yako,chapa kazi sasa
@ed3ezekiel388
@ed3ezekiel388 Жыл бұрын
Too much sadness 😞 bro hata ukijielezea zaidi binadam hawakuelewi wala kukuamini but remember Mungu anabaki kuwa Mungu hajawahi kubadilika yy ndiye anajua ukwel itoshe kaka 🙏
@badaral6167
@badaral6167 Жыл бұрын
Pole sana kaka kweli we Muslim allah kasema tuwe wenye kusubili na wewe umefanya ivyo allah akulipe zaidi
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
Pole sana yaani ht mimi ni mmoja walioshangaa wewe kufanya hilo tukio.Siku zote ktk haya maisha Kila kitu Huwa ni Muda tu.Kwa hyo muda umefika wa watu kujua kilichotokea.Mungu atakulipa muda uliopoteza kaka yangu na pole tena na tena binadamu ndivyo tulivyo.
@flimbueni
@flimbueni 5 ай бұрын
Na baadhi yá watu waliongezea chumvi kwa kusema walikuwa wana bifu lá kuchukuliana mke.
@allyndira8412
@allyndira8412 5 ай бұрын
Huna baya mwamba mimi siyo mpelelezi lakini umeongea ukweli wako wote, Allah atakulipa kwa dhuluma uliyofanyiwa
@gorettimtungwe9011
@gorettimtungwe9011 Жыл бұрын
Nilikataa kuamini kwa kweli ilikuwa ngumu kwa Sababu ya shindano like nilikuona wewe ni mstaraabu
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Daaa mm nilikulaani sana kumbe huna kosa daaaa MUNGU aliyekuleta duniani atakulipa
@aliamjad2683
@aliamjad2683 Жыл бұрын
Pole sana kaka kila afumgwaye sio wote wenye makosa iyo ni mitihani ya allar
@ahmedkandoro9594
@ahmedkandoro9594 Жыл бұрын
Aise Pole Sana , mimi na kufahamu . Hunaga ukorofi , wizi wala dharau. Kesi kama hizi zipo nyingi Sana . Watu wanafungwa kwa dhulma na kuonewa . Story yako inafunzo kubwa sana.
@zawadmohammad2682
@zawadmohammad2682 Жыл бұрын
nikweli kabisa kwa tunaomfaham vizuri tunamuelewa Sana , alikua mpiga Vita vitendo haramu wizi,utapeli kwa kweli alikua anatuokoa pole ana Kaka Allah atakulipia
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 7 ай бұрын
Pole sana, tena pole sana. Maelezo yako ni sahihi, isipokuwa Binadamu akishaaminishwa uongo, kumbadilisha siyo rahisi. Tunaamini sisi walio wahi, kubandikwa kesi tusiyohusika. Wewe ni kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote, atakulipeni ajuacho yenye. 😢😢😢😢😢
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 Жыл бұрын
Jamaa Unaona Kabisa Hayuko Na Hatia Na Yuko Very Smart ,Wanasaikolojia Tunamuelewa , Scorpion Sio Yeye Kabisa
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 Жыл бұрын
Dunia hii too sad. Hata Yusuph alifungwa gerezani kwa kusingiziwa. Thank God haki yako uliipata. Haki ya mtu haipotei.
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Alisingiziwa na mke wa potifa
@luluzegema5782
@luluzegema5782 6 ай бұрын
😭😭😭😭
@sesilianjala3306
@sesilianjala3306 5 ай бұрын
Yaan ulikuwa kwenye mawazo yangu. MUNGU atampa HAKI yake
@AmirAmir-gj5zr
@AmirAmir-gj5zr Жыл бұрын
Pole sana brother mitihani tumepewa ss binaadamu
@theprogrammer3351
@theprogrammer3351 Жыл бұрын
Mimi nakuamin sana ndugu yangu... Ikiwa ww ndyo uliyeleta amani Pale bakharesa relin ungewezaje kufanya hvyo... Ulivyokuwa unalinda ww wahuni walifyata mkia..... Kwa watu wanaojua vizuri matukio ya bakharesa basi watakubaliana na mm....
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc Жыл бұрын
Mie mzee wang ni mfanyabiashara pale pia alisema hvyo
@kapwalymwaisemba5725
@kapwalymwaisemba5725 6 ай бұрын
Bro nataka nije unifue
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 Жыл бұрын
Sio kila mmoja anayefungwa gerezan ni mwenye makosa laa!! Mungu akupe umri mrefu na uendelee na moyo huo wakusamehee
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
Nimesikiliza kwa Makini Nimekuelewa Sna Haya Yalisha Nitokea Mim Mwaka 2006 Niliwekelewa Kesi Ya Kulawiti Mtoto Nusu Nipate kifungo Cha Miaka 30 Ila MUNGU Aliingilia Kati Ssa Haya Anayo Simulia Uyuu Mwamba Ni Kweli kuna Watu wanawaekelea Wezao Kesi ili Kuwabiria Maisha
@artist_mtulivu7799
@artist_mtulivu7799 7 ай бұрын
Huyu jamaa anavyo jieleza tu hafananii na kufanya tukio la design hiyo, next time watumie ata chartGPT
@hassanrashid9436
@hassanrashid9436 7 ай бұрын
​@@artist_mtulivu7799kweli kbs
@KUPASteven
@KUPASteven 6 ай бұрын
Sio wanaokwenda jela wote Wana hatia kwa kweli nimekuelewa wete
@adammtimali4071
@adammtimali4071 6 ай бұрын
mimi nimekuelewa
@asmartonline5030
@asmartonline5030 6 ай бұрын
Huyu jamaa muonekano na anavyoongea ni tofauti na nilivyokuwa namuwazia........... wallay hahusiki.........
@mkmn4723
@mkmn4723 Жыл бұрын
Mm Mungu Allah ndiye ajuae ya sirini pole Kwa yule aliepoteza macho maana hata sura hawez muona Tena Allah amuhifadhi kapata ulemavu ampe na mwendo inshaAllah 🙏 yarab 🤲
@nadiafahad3926
@nadiafahad3926 Жыл бұрын
Aamiyn thumma Aamiyn
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
All in all mungu amekusaidia umemaliza kifungo salama...
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Dah pole sana kaka mshukuru sana Mungu ujafia jela au kufungwa maisha Mungu ni mwema pole sana kaka
@jescangwaya9885
@jescangwaya9885 Жыл бұрын
Duh!! Mungu wetu wewe ndo unaejua kila kitu. Tuepushe na balaa na mikosi sisi na vizazi vyetu. Pole Kaka km hukuhusika km ulivyosema kwa kinywa chako. Ifike mahala ukweli uwe bayana ili mwenzio nae aelewe ukweli na yaishe!!
@ommy_singano
@ommy_singano 6 ай бұрын
Aamiin
@camillasiwa6506
@camillasiwa6506 7 ай бұрын
Ndugu yangu, pole sana, Polisi fanyeni kazi kwa ueledi, mnaharibu future za watu, hakika hukumu ya Mungu itawaandama hap Duniani na Ahera pia. Muogipeni Mungu saaana saana, Mwenyezi Mungu hataniwi hata kidogo. Kaka tuko pamoja katika kujenga upya taswira na uchumi wako, na Mungu akakusaidia
@allysalehkhamis73
@allysalehkhamis73 Жыл бұрын
Dah pole sana kaka inauma sana Allah akufanyie wepec kaka
@jacklinejackline8607
@jacklinejackline8607 Жыл бұрын
Pole Salum Mungu atalipwa kwa mambo uliyo singiziqa
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 5 ай бұрын
Dan 2 ni level ya Van Dame. Nimesikiliza Kwa makini maelezo haya , hii kesi Haikua bahati mbaya. Kweli ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya. Hittler alituambia uongo ukiongelewa mara nyingi sana watu wanauamini. Pole sana kaka.
@michaelally5213
@michaelally5213 Жыл бұрын
Du Pole nilipokuelewa Mimi ni pale ulipoliacha hili jambo Kwa mungu yeye ndiye ajuae.
@janaakimu6171
@janaakimu6171 Жыл бұрын
Kwa hakika MOLA ndio HAKIMU wa yote Azidi kukufanyia wepesi inshaAllah 🙏🙏 ALLAH AQBAR_MUNGU MKUBWA🙏🙏
@josephgervas5191
@josephgervas5191 5 ай бұрын
Pole sana Salum,, nilikuchukia sana na kama kweli ipo hivyo basi wengi sana wamefungwa kwa kusingiziwa. MUNGU akupe nguvu zaidi na akubariki sana
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 Жыл бұрын
Duuh! Pole Sana Kaka yaaani unavyojieleza vizuri mi nimekuelewa binafsi Allah atakufidia muda wako
@jozeeshirima9231
@jozeeshirima9231 Жыл бұрын
Pole sana kila jambo linalo mpata mtu lina kusudi so mshukulu mungu kwa hilo
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Hii ni case ngumu asee,huwez kujudge chochote kwa sababu hatuujui ukwel wowote ila Mwenyemwez Mungu ndio atakaye hukumu
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 Жыл бұрын
Lini
@elardurasa67
@elardurasa67 Жыл бұрын
Aise kama sio huyu jamaa basi jela wapo wengi wasio nahatia
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Wapo wengi sana 😭😭😭
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Uhakika wamejaa tere
@janaakimu6171
@janaakimu6171 Жыл бұрын
Hii ndio BONGO bhana
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Kbs😭😭😭😭
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 Жыл бұрын
Ndiyo mahakama zenu hizo mnazozilipia kodi na matozo
@dennismungai4632
@dennismungai4632 Жыл бұрын
Pole Sana kamanda ndo dunia ilivyo ,,
@WagulimbaOGonline
@WagulimbaOGonline Жыл бұрын
Naam Mungu akitaka iwe Inakuwa
@antonykomba6631
@antonykomba6631 Жыл бұрын
It's a heart rending story kwa kweli. Binafsi I was brain washed kwamba wewe ndugu yangu ndiyo scorpion mwenyewe! Kumbe the real culprit easily slipped through the noose. POLE SANA KAKA na muhanga pia Said
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 Жыл бұрын
Dah.! Nimesikitika sana huyu Jamaa inaonesha hakuwa na hatia
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Жыл бұрын
Uwezi sema hana hatia😂 kwa kumuangalia sura yake au maneno anayosema tumwachie mungu tyuuu
@ashrakswaleh2116
@ashrakswaleh2116 Жыл бұрын
Sio yy coz jmaa ana uwezo mkubwa hawez tumia kisu kumtoa macho
@allysalum1112
@allysalum1112 Жыл бұрын
Mimi nimekuria vingungut buguruni yotee naiua uyooo jamaaa namjuaa arikua sunguu sunguu badaee arikua baussa kimbokaa sio uyooo uyooo mtoto skopioni arikuaa mwizii atari kashakufaa tatizoo ririopoo uyooo saidii katoborewaa machoo tuu angekua anaonaa angemtabuaa vizuri tuuu mtumiwaa wakee munguu atakuripaa baussa wetu kimboka baar bai nait
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Duh
@bahatimaganga1324
@bahatimaganga1324 Жыл бұрын
Sasa km alikuwa baunsa wa bar..basi anaweza kufny mambo ya ajabu kwasababu baunsa anamshahara gn
@magorymara5515
@magorymara5515 6 ай бұрын
Wanakijiji wanakwambia siyo yeye wewe umeng'ang'ania kuongea utumbo nyie ndo hutoa ushahid wa uongo​@@bahatimaganga1324
@RehemaMobeto-t1q
@RehemaMobeto-t1q 6 ай бұрын
Hapo umeongea na wachukia Hawa subgusungu ata kuwaamini Ni kazi sanaa​@@bahatimaganga1324
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 Жыл бұрын
Jamani😢 Mwenyez Mungu akupe subra namoyo wakusamehe pia
@kararaera8161
@kararaera8161 Жыл бұрын
Handsome kbs 🇷🇼🥰🙏Mungu nimwema siku zote
@carolakinasha2106
@carolakinasha2106 Жыл бұрын
Nimefurahi sana kusikia upande wa Samjet. Nilishtuka sana na ilikuwa ngumu kuamini Samjet wa Dume Challenge angeweza kutenda ukatili wa hali ya juu hivyo. Mimi kama mmoja wa majudge wa Dume Challenge naamini maelezo haya kwa kuwa namfahamu kwa kiwango kikubwa Samjet. Namtakia kila la kheri katika maisha yake yaliyobakia. Pia namtakia amani bwana Saidi ambaye naye ni muhanga wa ukatili wa hali ya juu.
@chunaridhi6687
@chunaridhi6687 Жыл бұрын
Samjet dume challenge hata me nilishangaa sanaa duh!! Dunia hii
@abbacushabba4110
@abbacushabba4110 Жыл бұрын
Bro, the best mtafute shaidi haliona matukio hao life siku hiyo ya kutolewa Macho
@kanalimwenga3563
@kanalimwenga3563 Жыл бұрын
Kuna Siri nzito apa muhanga kipofu mwenye jina kafa Mungu ibariki tanzanis
@Lolandmwantona
@Lolandmwantona 9 ай бұрын
Pole Sanaa kaka, mungu akulinde ndio Dunia, kama mtu ujawai singiziwa kesi usiombe itokee utahisi Kila binadamu mbaya kwako.
@hassansaid3833
@hassansaid3833 Жыл бұрын
Mm naamini kabisa huyu sie aliofanya tukio na polisi wanajua hilo kuwa huyu sie mtuhumiwa na walimtoa sadaka tu. Na ndio maana unaona hukumu ya miaka 7 wakati tukio lilikua ni shambulio la mwili na Robaly kifungo chake kingekuwa miaka 30 au 37 Huyu bwana kweli walimtoa kafara tu
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Robaly ni nini
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 Жыл бұрын
@@nancyg8664 kabali yaani kumkaba mtu nijambo dogo ila kesi yake ninzito mnoo
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Жыл бұрын
@@abdimohamed3953 kabali jambo dogo nawakati mtu anaweza kufa
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 Жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 nisahihi athar yake nikubwa lakin kinamna wengi wanavoichukulia katika makuzi ndio maana nikasema nijambo dgo ukiangalia lakin kesi yake ni nzito
@kazkazmusic4556
@kazkazmusic4556 Жыл бұрын
Pole sana brother, umepitia wakati mgumu sana. Ila penye haki uongo ujitenga. Hongera kwa ushindi
@anathjuma6813
@anathjuma6813 Жыл бұрын
Usiongee Tena,acha hiyo interview iwe ya mwisho.......ubaya utalipwa kw ubaya....kila mtu atahukumiwa na Mungu Kama wamemaliza...stay blessed...
@bboyamos
@bboyamos 6 ай бұрын
Pole sanaa mkuu 😢😢😢😢😢kuna watu WANAFANYA hvy tu ili kuharibu maisha ya mtu inauma sanaa hio
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 9 ай бұрын
Ikiwakweli hujafanya mwenyezi mungu atakulipia nakama ulikusudia kumfanyia weye bc kwauwezo wke mungu atamlipia bwana said mwenyezi mungu ampe umri mlefu inshallah
@kaimasawe1919
@kaimasawe1919 Жыл бұрын
Asante MUNGU usiye shindwa na Jambo...umeamua kukiweka wazi Jambo hili....ni wengi wamefungwa kwa kusingiziwa yupo Yesu kristo mtetezi wa wanyonge...Amina
@mussakilo4916
@mussakilo4916 Жыл бұрын
Dah nilikuchukia sana ila kwa maelezo tu na muonekano wako hakika haukufanya jambo hilo dah Pole sana
@agnesignas4398
@agnesignas4398 5 ай бұрын
Dddd4 did 3ßßee2eaà11qqawq1àaàaà
@omarygyunda532
@omarygyunda532 Жыл бұрын
Kamati ya Mama "Haki Jinai" ione hili, huku ndo kumbambikizia mtu kesi wakati mnaona kabisa hakuhusika, Polisi wetu Mungu anawaona....
@manp7393
@manp7393 Жыл бұрын
Tatizo elimu Ndugu,kukosa elimu wakat mwingne hupelekea uvivu wa kufikiria
@rogathematuro2690
@rogathematuro2690 Жыл бұрын
So sad pole sana kaka
@ibrahimluambano2464
@ibrahimluambano2464 Жыл бұрын
Nakukumbuka sana Mdogo wangu nilikuwa nawe...bagamoyo..hotelin weee ni Rahim sana ..ukiwa na wenzio ..kwenye campaign ya dume na wenzio wangine walikuwa wanasoma Ifm Pole sana Mungu.hana choyo ipo siku.. Mungu hajawaikuficha bayana..utalipwa tyu na Allah
@omarihazali3558
@omarihazali3558 Жыл бұрын
Pole Sana brother, ni mtihani ya Dunia. Mshukuru umetoka. Ganga maisha, Mungu akujalie maisha yaende vizuri. Inasikitisha Sana mpaka Macho zi yametoka licha ya kwamba sikufahamu. Pole sana
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Жыл бұрын
Pole sana kipenz
@ismailgumbo289
@ismailgumbo289 Жыл бұрын
Subuhan Allah! Pole shekh wangu Allah atakukipa tu hapa hapa dunian juu ya hayo ukiotendewa, dunia haina haki hata kidogo
@ramadhanihafidh7732
@ramadhanihafidh7732 Жыл бұрын
Pole sana kk, kweli wewe ni muislam kk, Allah akuzindishie imani na ukufanyie maisha mepesi, ila usirudie kutangaza kondom hii ni laana,..na haya mateso ni msahama kutoka kwa moja wako
@dionisiabaynit2916
@dionisiabaynit2916 Жыл бұрын
Pole Sana
@نجمةموبيبي
@نجمةموبيبي Жыл бұрын
Pole sana kaka , mungu aendelee kukupa subra , umeumizwa Na kuharibiwa maisha Na kutokuaminika tena
@kapwalymwaisemba5725
@kapwalymwaisemba5725 6 ай бұрын
Dah so sad ila MUNGU atamsimamia tuu
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Жыл бұрын
Eeh Pole sana Nadhani uswali swala tano kwa sasa. Mungu atakusimamia maisha yako hutapata tena Janga linguine maishani kwa vizazi vyako vyote
@godfreylushiku3081
@godfreylushiku3081 6 ай бұрын
Pole sana SamJet...Mungu arakurejezea miaka iliyopotea gerezani na kukufungulia njia ya mafanikio.
@marumafurniture3565
@marumafurniture3565 Жыл бұрын
Allah atakulipa kwa kutumikia kifungo ambacho sio haki yako ila mchukuru mungu kwa icho kilicho kukuta maana aujui alikuepusha na nini uraiani
@shamzone388
@shamzone388 Жыл бұрын
Ndugu yangu usisikitike kumbuka Nabii Yusuf alifungwa na mwisho akawa ni Nabii Kwa hiyo allah alikujalia uwe kifungoni kukuepusha na shari fulan mungu ndie anaejua zaidi
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Polesana kaka Mungu atafidia mudawako uliopoteza
@tatukigua5456
@tatukigua5456 Жыл бұрын
Pole sana my brother
@rogersmasofa6549
@rogersmasofa6549 Жыл бұрын
Hata Mimi nilishangaa sana aisee 😭
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 7 ай бұрын
Poleni sana ...
@zuhurasajiliwa9655
@zuhurasajiliwa9655 Жыл бұрын
Nimelia sana 😭😭pole sana kaka
@blackqueen3532
@blackqueen3532 Жыл бұрын
I feel you bro.....wafungwa walio wengi ni kesi za kusingiziwa
@shamijuma7259
@shamijuma7259 Жыл бұрын
Pole sana kwa yote
@kulthummaabad
@kulthummaabad 7 ай бұрын
God bless you brother. Utainuliwa na mungu insha'Allah kama nabii Yusuf
@summanelson5523
@summanelson5523 Жыл бұрын
Kesi za mahakamani inategemea sana wakili wako. Ukiwa na wakili mzuri hata kama ueua atakutoa tu. Kuna watu walioona hilo tukio na walitoa ushahidi kuwa scorpion ndiye aliyetoboa macho Saidi. Ila Mungu hadhihakiwi malipo ni hapa hapa!!!
@siwonikewilliam9146
@siwonikewilliam9146 Жыл бұрын
Sasa yeye sio scorpion
@BarakaWaya
@BarakaWaya Жыл бұрын
Daaah Pole Sana brother
@YonaLudasi
@YonaLudasi 5 ай бұрын
Pole sana blaza mungu atakulipa
@ALLNEWSTV856
@ALLNEWSTV856 Жыл бұрын
Aliyetobolewa macho ndiye alikuwa anamiliki genge la wahuni na ndio ananunua simu za wizi buguruni kwa hiyo hiyo ni bifu yake na hao hao wezi waliokuwa wanaiba simu na kumpelekea so alivyoshambuliwa na anajua kabisa huyo jamaa ndiye alikuwa anazuia wizi akaamini kabisa kuwa ndiye yeye. Kiufupi simuonei huruma kabisa kwa sababu watu wengi waliibiwa simu kwa sababu yake. Allah amemlipa hapahapa duniani. Ukibisha nenda kwa mnyamani kaulize historia ya huyo aliyetobolewa macho
@zuwenaharunali
@zuwenaharunali Жыл бұрын
Very smart bro❤
@Othmansheby
@Othmansheby Жыл бұрын
❤❤❤Mwalimu wangu Toka siku nilisikia sikuamin na Unaanza Dua nakujua ulitufunza upendo ujasiri karate nami nikawa mwalimu wako wa sanaa ya uigizaji hila wewe ni Mwalimu wangu nitakutafuta Kaka nafurai sana Allah ni mwema❤❤❤❤❤
@DaheerK
@DaheerK Ай бұрын
Duh pole san mm mwenyew nilikuchukia pole san
@philipodaniel7928
@philipodaniel7928 Жыл бұрын
Pole Sana broo mungu yupo
@erickdioniz8277
@erickdioniz8277 Жыл бұрын
Aisee pole sana
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Dah!,sijui hii nchi ina laana tu au ?, iweje mtu anaeleza kitu lakini hata kusikilizwa au hakifuatiliwi. So sad😭.
@enterenter7798
@enterenter7798 Жыл бұрын
Jamaa yupo sahihii
@sadasaid4408
@sadasaid4408 Жыл бұрын
Pole sanaaa kaka Salum jomon, mshukuru mungu Msamehe huyo side,
@zezenuvel7612
@zezenuvel7612 9 ай бұрын
Pole dear pole sana na kumbuka kuna sababu ya kila jambo penye Shari ukivuta subra na kumuamini Allah ndani kabisa kheri ipo
@AniziaKamanzi
@AniziaKamanzi 6 ай бұрын
Pole Sana mwamba Mungu azidi kukuinua
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Aliyefanyiwa tukio ni kipofu, hawezi kutoa ushahidi, anayedaiwa ndie Scorpion halisi naye amefariki. Basi tuache yaishe tu.
@BabaChogo
@BabaChogo 7 ай бұрын
Pole rafiki yangu
@chorotiles9566
@chorotiles9566 Жыл бұрын
Pole kk
@jeremiah1906
@jeremiah1906 Жыл бұрын
Pole sana jamani
@charlesmasesa89
@charlesmasesa89 Жыл бұрын
Pole broo mungu nimwema mm nilisikia hilitukio nikiwa mkoani sikufaham wala haunifaham nilijiuliza sana kipindi media zinatutangazia harikuniingia akilini tumshuru mungu kwakua ukweli umejulikana pambana na maisha achana media haohao ndo walikua wanatuchochea tuamini ualifu huo media zinaendeshwa kwa pesa walipewapesa wakakuumiza
@jimmymbella997
@jimmymbella997 Жыл бұрын
Pole sana bro kwa yote, mchezo wa martial arts sio kwaajili ya kufanya matukio na kuumiza watu, watu wanauchukulia tofauti sana hii michezo. Mungu atuongoze sana aiseee...
@danielkihoza7330
@danielkihoza7330 Жыл бұрын
Kwema blaza
@danielkihoza7330
@danielkihoza7330 Жыл бұрын
Samahan niliitj kuongea na ww
@latifamangula6798
@latifamangula6798 Жыл бұрын
Pole sana kaka ang kama ulisimama kwenye kamba ya M,mungu bc mungu ndio kila kitu hata manabii walipata misukosuko kama yako au zaid yako, inshaallah mungu atakulipa
@lgdnce8309
@lgdnce8309 Жыл бұрын
kweli pole na pole kwa yule ametobolewa macho kweli jela kuna wengi wamesingiziwa kesi afu mm nakujuwa myaka mingi huna iyo tabia huna
@mbonijabu1164
@mbonijabu1164 Жыл бұрын
Pole sana kaka wanaokwenda jera sio wte wana hatia pole broo Mungu kakuponya
@JosephMushi-xp4fw
@JosephMushi-xp4fw 4 ай бұрын
Mungu atakulipa
@meshackkulinda1753
@meshackkulinda1753 Жыл бұрын
Dah pole sana
@yassinshekh2936
@yassinshekh2936 Жыл бұрын
Mmmmh Mimi Kwa mazungumzo yake tu ninapata mashaka
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 Жыл бұрын
Kivipi tujuze
@nunuuali5316
@nunuuali5316 Жыл бұрын
Aisee we kaka kama kweli sio wewe Mungu ndo anaujuwa ukweli ila nilikuchukia nikakulaan kwa unyama uliofanyika nilitaman hata na wewe utobolewe hayo macho,Mungu nisamehe kwa kweli🙌
@consolatablasi6212
@consolatablasi6212 Жыл бұрын
Hata mimi nilisikitika mnoo
@aloycemwakatala2796
@aloycemwakatala2796 Жыл бұрын
Kama ulifanya kweli au hukufanya Allah atakulipa, hakuna mwenye nguvu hapa chini ya jua bali mpo wapumbavu kidogo mnaojiona miamba acheni ujinga wenu.
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 8 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 22 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 8 МЛН