No video

MCHINA AUZIWA ENEO LAKE WAKIDHANI AMEFARIKI KWA KORONA - WAZIRI SILAA AMKAMATA ALIYEUZA - AJITETEA!

  Рет қаралды 137,482

Global TV  Online

Global TV Online

3 ай бұрын

MCHINA AUZIWA ENEO LAKE WAKIDHANI AMEFARIKI KWA KORONA - WAZIRI SILAA AMKAMATA ALIYEUZA - AJITETEA!
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba hiyo ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji raia wa China. Aidha Waziri Silaa amaeagiza kutafutwa mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Nida ili aweze kueleza jinsi alivyozibeba milioni 80 ambazo ni pesa za mauzo ya nyumba ya Li Shi Cai.
Waziri ametoa maagizo hayo mapema leo alipotembelea eneo hilo lililopo katika mtaa wa Mwanjelwa jijini Mbeya ili kusikiliza na kutatua mgogoro huo..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 418
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@maweinctv2645
@maweinctv2645 3 ай бұрын
ok
@ExcitedJapaneseMaples
@ExcitedJapaneseMaples 3 ай бұрын
11​@@maweinctv2645
@stevesafarishow
@stevesafarishow 2 ай бұрын
Hapo kwa rode wireless go, punguza db (volume) hadi -6 au -9 Kama uli nje na watu wanazungumza kwa sautibya juu. Ukiwa ndani ndio uweke -3 ama 0. Otherwise, kazi safi sana👏🏾
@michaelmahaja
@michaelmahaja 2 ай бұрын
Nitakuja
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 3 ай бұрын
Apewe haki yake tu bila kujali ni mchina au laaa sheria ifate mkondo wake
@MasoudSalum-rb3ts
@MasoudSalum-rb3ts 3 ай бұрын
Huyu waziri mwenyezi mungu Akipenda Akiwa hai 2030 Atakua Raisi wetu
@emmanuelndotela9412
@emmanuelndotela9412 3 ай бұрын
Mchina hana haki ya kumiliki Ardhi Tanzania sheria zetu za inchi zimeeleza wazi kabisa kuwa ni watanzania tu ndiyo wenye sifa ya kumiliki Ardhi.
@alfredymalata269
@alfredymalata269 2 ай бұрын
watu wa ivi hawatoboagiii ndugu
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
​@emmanuelndotela9412 ishapitishwa mgeni hanamiliki ardhi bila was was ndugu ..na uyo mamaaenu haNvyozunguka nchi za 😂😂lazm wagen wamiliki
@user-em4zz3lh1h
@user-em4zz3lh1h 2 ай бұрын
Kabisa amekuwa akitenda haki kweli these days
@BigZhumbe
@BigZhumbe Ай бұрын
​@@emmanuelndotela9412 Mtu yeyote anaekuja kufanya biashara anaweza kumiliki Ardhi kwa ajili ya biashara. Na kama huyo mchina ameishi Tanzania muda mrefu akaomba uraia Tanzania akakubaliwa ana haki ya kumiliki ardhi kama mtanzania mwingine.
@user-yf4zo1sm5l
@user-yf4zo1sm5l 3 ай бұрын
Mama tunaomba uchunge huyu waziri wasikuretee fitina zao kazi unayo fanya na mungu akusaidie mm adi ni eria wageni ni ndugu zetu
@knowledgetv5594
@knowledgetv5594 3 ай бұрын
Mh, Jerry Slaa, popote ulipo Mungu akusaidie na kukulinda ili uendelee kutetea watanzania.
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 3 ай бұрын
Mungu akulinde Jerry Silaa na hakika tuna muomba Mungu pia asikuhamishe kwenye hiyo wizara. IDARA YA ARDHI IMEJAA DHULUMA SANA NA INATOKANA NA WATENDAJI WENYE DHULUMA KAMA HAO.
@AyubuMmari
@AyubuMmari 3 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu waziri slaa tunakupenda unaijua haki hutaki maskini aonewe
@RashidMilanzi-ht1wb
@RashidMilanzi-ht1wb 3 ай бұрын
Docta silaa wewe ni wazili ulie na hofu ya mungu naomba raisi Samia asikuamishe wizala hiyo tia ndani hao wapigaji watendaji wa Haina hiyo wapo wengi sana mungu akupe maisha malefu japo kua wazili awadumu wewe mungu akupe miasha malefu
@user-ei2ud7gh5h
@user-ei2ud7gh5h 3 ай бұрын
Haki itendekeee hata kama ni mchinaaaaa❤❤❤❤
@mpetafrank7195
@mpetafrank7195 3 ай бұрын
Duuuh hii nchi ngumu sana na wananchi wake hongera waziri nyoosha mwenye haki yake apewe wasimuonee mchina wa watu
@margaridaagostinhoacaciona3656
@margaridaagostinhoacaciona3656 3 ай бұрын
Bismilahi Rahman raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi yake Amin Amin Amin yaraab Amin alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana tuna serikali yetu ipoo imara alhaamdulilaah naishukuru serikali ya Tanzania ipoo imara alhaamdulilaah mama Samia rais wa watanzani viongozi wapo imara sana na haki ipooo hapo mchina ana pata haki yake alhaamdulilaah serikali ya Tanzania naishukuru sanaaa alhaamdulilaah
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 ай бұрын
Wachina wote kufa huko corona😅😅😅😅😅dah haya maisha sio kabisa watu wanajiongeza
@RoseMallya-dd6uu
@RoseMallya-dd6uu 3 ай бұрын
Mhs. silaa Mungu akulinde..kwani unawasaidia San wananchi kupata haki zao.
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 3 ай бұрын
Mama Samia tafadhali huyu Mheshimiwa mwache kwenye hiyo nafasi /wizara kwa kama miaka mingine 5; nchi hii itabadilika sana na kila mwananchi atakua na furaha ya kweli. Miji itapangika pia na ustaarabu kuongezeka 🙏🏽 🤔
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 3 ай бұрын
🎉🎉🎉​@@joycekisamo4896
@bakarially253
@bakarially253 3 ай бұрын
Hongera sana Wazira Allah akulinde
@richarddavidmk
@richarddavidmk 3 ай бұрын
Huyu waziri ,anafaa kuwa Raisi wa Jmt
@nyiqatonyiqa7114
@nyiqatonyiqa7114 3 ай бұрын
Tena Hadi akae Darakani Hadi uzeeni ❤❤❤
@justice607
@justice607 3 ай бұрын
Never
@LuhanyaMipawantobi-pj1iu
@LuhanyaMipawantobi-pj1iu 3 ай бұрын
Hahahaaaaaaa shenzi wewe umenichekesha Sana,,,😊eti kae darani ​@@nyiqatonyiqa7114
@ramadhanomar6757
@ramadhanomar6757 2 ай бұрын
Bw Waziri. Mwenyewezi Mungu akulinde akupe afya njema na umri mrefu. Amiin. Endelea kutenda Haki Kaka. From Mombasa Island 🏝️ Kenya.
@dannylema3125
@dannylema3125 3 ай бұрын
Wabongo njaa Kali Sana Na tutazidi kuto aminiwa Na watu weupe
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Waziri wng silaha nakupendaga Sana ..mungu akulinde Kwa kutetea haki za watu safi Sana kaka ..endelea kuwasimamia wanyonge.. nakupenda Sana baba Kwakusimamia haki zawatu
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 3 ай бұрын
Mkurugenzi Mbeya, Brother John! Nakukubali sana, kuna pahala una feel maumivu ya watu na kusimama kama wakili wao
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 3 ай бұрын
Kweli haki haizami. Jack chang amenga'ngana kuongea kujieleza Kiswahili mpaka kapata haki yake.Pongezi waziri Kwa kutenda haki.
@barbarasara4033
@barbarasara4033 2 ай бұрын
Nakojoaaaaaaaa
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 3 ай бұрын
VIVA MH. WAZIRI SILAA....WAHUSIKA WOTE HAO NI MATAPELI....WAMESHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUMDHULUMU HUYO MCHINA....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.
@al-bleproshooteur1922
@al-bleproshooteur1922 24 күн бұрын
Nakubali tanzania kwa lugha moja From M23
@louisisd1090
@louisisd1090 3 ай бұрын
Grobal tv mnanikosha nimejikuta namfatilia sana mh silaha sasa hivi na mna mtendea vizuri kuonyesha full length video
@user-bj2xs3tc7h
@user-bj2xs3tc7h 3 ай бұрын
Kazi nzuri Waziri nakuombea Mungu akusaidie Na akulinde
@florentinigawday1094
@florentinigawday1094 3 ай бұрын
Mama samia kwa huyu waziri hukukosea kumuweka,hongera mama yetu samia ,tunakupendaaaa
@hamishassan6784
@hamishassan6784 3 ай бұрын
Kiukweli wenyeviti wa Mitaa wanajitafutia matatizo wenyewe, hivi ni sheria ipi kwenye mambo ya Ardhi wao wanahusika hata kiasi cha kujifanya madalali au wanajua saaaaaana. safi sana Waziri ukweli binafsi siwapendi wenyeviti wote wanaojihusisha kwenye matatizo na mizozo pamoja na migogoro ya Ardhi
@SharifuJuma-zj6ww
@SharifuJuma-zj6ww 3 ай бұрын
Wanajifanya wao wenyeji wanaujua mtaa navitu vyake
@paulinef.millanzinana8279
@paulinef.millanzinana8279 3 ай бұрын
Hongera sana baba hakika Mchina haki yake atapata kwa kupitia wewe na Mungu Baba wa Mbinguni azidi kukutunza
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 2 ай бұрын
Chezea na mwenye haki wewe. Jackchan mpaka kajieleza kwa kiswahili 😂😂😂
@pedwin6187
@pedwin6187 3 ай бұрын
Jery Slaa you doing good job Hongera
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Dhuruma sio nzuri..waziri silaha washughulikie wote wadhurumishi
@OmesmoNaikoyo
@OmesmoNaikoyo 3 ай бұрын
Hongera zake Sana Mh Waziri Silaa, endelea kuwapambania wananchi wanaonewa
@ramaaman4020
@ramaaman4020 2 ай бұрын
Ahsantesana kiongozi dhulumasio nzuri Mungu anatuonawote.
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 3 ай бұрын
Hongera sana 😊 muheshimiwa
@joshuamfizi4816
@joshuamfizi4816 3 ай бұрын
Tanzania ya mama Samia hiyooo.Haki mbele kwa mbelee.Big up Mhe.Slaa.
@saidmoussa909
@saidmoussa909 3 ай бұрын
Hii kumbe wezi naajsmbazi wako kila sehemu.. SubhanaAllah..
@dignachami7382
@dignachami7382 3 ай бұрын
God bless u broo mungu akusimamie nimekuwa nikikufuatilia unafaa sana ,ww nimtenda haki wa kweli
@user-yf4zo1sm5l
@user-yf4zo1sm5l 3 ай бұрын
Wabongo unasumbua Sana ndugu zetu wageni wa napata shida Sana kwajiri ya watu wasio waaminifu
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 3 ай бұрын
Hongera sana waziri namna hii ndo usimamizi mzuri wa sherikali
@saidaahmedshapi7783
@saidaahmedshapi7783 3 ай бұрын
Kenyan politician should learn from Tanzanian politicians God bless them🇰🇪
@barakajotam
@barakajotam 2 ай бұрын
Dhuruma sio nzuri pia watanzania tujaribu kutenda kwa uwaminifu yani walipo ona roho mbona harudi na tena mzehe wakajua atakua amekufacorona
@saumsheshe4585
@saumsheshe4585 3 ай бұрын
Mungu akulinde na maadui waziri wetu kwa wema uutendao.
@allyadam7355
@allyadam7355 3 ай бұрын
Yani huyu kiongoz wallah nmetokea kumuelewa sana daaah hongera kiongoz bora
@annadavid1445
@annadavid1445 3 ай бұрын
Safi sana mbunge wangu shikilia hapo hapo. Hao wadhurumaji na majizi papa uwashikishe adabu. Wewe na mama Samia 25 tutavumilia foleni kitaeleweka tuu.
@Neema935
@Neema935 3 ай бұрын
😂😂😂😂❤kabisaa.❤
@bijou5038
@bijou5038 3 ай бұрын
Well done good job Tanzania 🇹🇿 we want the same thing in Rwanda 🇷🇼 😢😢
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 2 ай бұрын
Haya John nchimbi nakuona .katka ubora wako .asante kanzi nzuri.from 🇴🇲
@mlangaliromwenda6945
@mlangaliromwenda6945 3 ай бұрын
Maelezo ya mwenyekiti. Sio ya kweli. Nimependa sana maamuzi yalio chukuliwa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 ай бұрын
Global tv. Hongera sana kwa kufuatilia maswala haya
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
mama samia huyu wazili muache kwenye hii wizara mpaka asitaafu usimguse
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 3 ай бұрын
Kabisaaaaa, angalau kwa miaka 5; hii nchi itapangika na kueleweka👏🏽 👏🏽 👏🏽
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
sasa kama samia angekua kama magufuli nahuyu wazili mambo yangekua saf sana
@user-dr1su7pf7w
@user-dr1su7pf7w 3 ай бұрын
china yote kufaa😂😂 jamani tamaa mbaya sana😢
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂dah
@Surebet705
@Surebet705 3 ай бұрын
Kazi nzuri wazuri❤❤❤
@abibumussa8808
@abibumussa8808 2 ай бұрын
Tuna mjomba mwenyezi. Mungu mtumufu yeyote anae zurumu haki. Za wananchi aridhi nyumba basi mwenyezi mungu amlaani hapahapa duniani nakesho akhera hu
@user-mv4iv8bl7y
@user-mv4iv8bl7y 3 ай бұрын
Hongera waziri kwa kazi nzr mchina apewe haki yake
@hamisiamani962
@hamisiamani962 2 ай бұрын
Jerry Mungu akuweke Sana Kaka kwa hakika Nakuelewa Sana kwauongzi wako uliotukukq
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 3 ай бұрын
Ila mchina anatia huruma! 😢 mpeni haki yake bwana chongwanchai
@browskymuba6923
@browskymuba6923 2 ай бұрын
Aise waziri slaa kwanza bright hlf second fear enuf aise mungu amuweke huyu waziri siku moja awe rais hii nchi itasogea mbele sana
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 3 ай бұрын
Bom trabalho ❤❤❤
@baloz8974
@baloz8974 3 ай бұрын
Muito mesmo isso mostra nao importa a sua nacionalidade si adiquirir bem material sempre teria o seu direito.
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu atuzidishie heshima na roho ya huruma hivyo
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 3 ай бұрын
waziri Mungu akubariki sana
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 3 ай бұрын
Asantee. Kiongozi.
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 3 ай бұрын
Haki ya mtu haipotei. Mchina kapata haki yake
@user-gm4mo2jx8i
@user-gm4mo2jx8i 3 ай бұрын
Tunakuomba waziri wetu ufike vikawe tuna shida wananchi wametapeliwa viwanja na makazi
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
Congratulations jerry Allah akuongoze ktk haq
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 2 ай бұрын
70 naa kwenye mfuko jamaa is very humble
@hillshipping5117
@hillshipping5117 3 ай бұрын
waziri wetu huyu sasa hawajakosea Allah amsimamie kwa kweli anatufaa ni mkweli na anafanya haki ila tumuombee mungu mafisadi wasimtie majungu ili atolewe maana tunajua wapo tunakuomba mama samia mama huyu tuachie hapa anaweza hapo iyo idara ngumu tunajua sisi wazawa hapa dar kwakweli ubabaishaji upo mama samia mungu akusimamie huyu waziri msimamie anaweza mama huyu tuachie mafisadi mungu awalani mhh mtihani wallah
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 3 ай бұрын
Angalia huyu mwenyekiti anaonyesha mwizi
@Kabwela776
@Kabwela776 3 ай бұрын
Safi sana waziri 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@lulugama1547
@lulugama1547 3 ай бұрын
That's our Jerry the brilliant
@isakapanduka-kp9tb
@isakapanduka-kp9tb 2 ай бұрын
Huyu waziri mtu sana
@patellaisangai6013
@patellaisangai6013 3 ай бұрын
CCM hoyee upigaji uwendelee 😭 😭 n😂😂😂
@user-ux3xu9gs8d
@user-ux3xu9gs8d 3 ай бұрын
Mungu tunaomba tulindie viongozi eazalendo wa kweli maana hii nchi ime chafuka .balikiwa sana kiongozi mzalendo
@sure2odds484
@sure2odds484 3 ай бұрын
Hakika haki imetendeka hongera Sana mkuu
@KaziTutu
@KaziTutu 3 ай бұрын
Waziri Mungu akubariki
@shikuhata
@shikuhata 2 ай бұрын
Safi sana waziri na mkurugenzi mpambanaji
@user-dl1eu5em8w
@user-dl1eu5em8w 3 ай бұрын
Mungu akulinde
@erichemily4890
@erichemily4890 3 ай бұрын
Watu wana tamaa sana aisee sio fresh kabsa
@lightsonnjau2910
@lightsonnjau2910 3 ай бұрын
Hongera sana kiongozi kwa kuzingatia sheria
@edwardouma1630
@edwardouma1630 3 ай бұрын
Nikweli kabisa wasituchafulie inchi wanpe mchina haki yake make kuna watanzania wenzetu china na inchi zingine kwa ujumla haki ioatikani by fossil nikiwa Nairobi Kenya
@user-cz9zu7ur1h
@user-cz9zu7ur1h 3 ай бұрын
Safi sana raisi samia tunataka vyuma kamahivi ila kuna sheria gani mgeni kuuziwa eneo?
@prosperiamdetele1421
@prosperiamdetele1421 3 ай бұрын
Wakamatwe wote waliuza mali ya watu wamemwonea mchin wa watu
@callebjoshua4633
@callebjoshua4633 3 ай бұрын
Kibabu cha watu cha kichina nimejitafuta kikaona anunue eneo..nyie mnauza khaaa ila bongo😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 3 ай бұрын
Apewe haki tu ili haki iyo itubebe kwa nchi yake .Tanzania tumejaa upendo
@salehothman6144
@salehothman6144 3 ай бұрын
Jerry uko vizuri sana
@user-fv4zw5ki3x
@user-fv4zw5ki3x 3 ай бұрын
Waziri wawanyonge nakupenda sana
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 3 ай бұрын
Kazi kweli kweli duuu
@OmesmoNaikoyo
@OmesmoNaikoyo 3 ай бұрын
Mungu mtakatifu Zaidi kukuinua zaidi
@user-vb8ug7hp3q
@user-vb8ug7hp3q 3 ай бұрын
Hapo ume chemka mchina ata baki kua mchina akamiliki aridhi China 🤣🤣🤣🤣
@abdirizakhtuke2882
@abdirizakhtuke2882 2 ай бұрын
Akili zako ni sawa na za mwenyekiti wa mtaa.
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 3 ай бұрын
Waziri Mungu Akutunze
@user-mg6wn5bj2z
@user-mg6wn5bj2z 11 күн бұрын
Kwani mchina huyo ana uraia wa Tanzania anamilikeje ardhi
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 3 ай бұрын
Kumbe Tanzania Bado Kuna watu bana
@barbarasara4033
@barbarasara4033 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@AryfFinho
@AryfFinho 3 ай бұрын
Hawa wenyekiti uko Bara wengi ndo washenzi km huko kigamboni kisiwani/vijibweni karibu na kanisani, mtaa mwanzo ulikua wa plani ulikua mzur ila mwenyekit kaufanya umekua mtaa wa hovyo kauza hadi njia kwasasa watu wamejenga kiholela njia hakuna hata chochoro hakuna mvua ikinyesha maji yanatuama ningeomba serekali iwe na kaz ya ziada kufatilia uharibifu wa mitaa kama ule wa kigamboni kisiwani/vijibweni
@user-oq3dd5xj9m
@user-oq3dd5xj9m 3 ай бұрын
Report him to Silaa
@viviankihiyo1076
@viviankihiyo1076 3 ай бұрын
Kweli Waziri wangu, wenyeviti wanatusumbua sana, sheria ishike mkondo wake.
@aminimushi6945
@aminimushi6945 3 ай бұрын
Wenyeviti wa ccm hao,mtihani huo.
@alphonceo3571
@alphonceo3571 3 ай бұрын
Kutoka Kenya, hongera kwa wahudumu wa Idara husika (Mahakama) iliyo fanya uchunguzi ili kutekeleza haki kwa Mchina mwekezaji.
@user-tz8yn9uf2k
@user-tz8yn9uf2k 2 ай бұрын
Nakukubali sana kiongoz
@wanguwangu34
@wanguwangu34 3 ай бұрын
Tumwombeeni Yuko vizuri
@AmaniAbel
@AmaniAbel 3 ай бұрын
safi sana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
MWENYEKITI APELEKWE KUNAKOSTAHILI.😂😂😂😂😂😂😂
@user-li7zm3zg3t
@user-li7zm3zg3t 3 ай бұрын
Apewe haki yake bila kujali i ni raia wa wapi maana amemiliki kisheria
@damianeligy684
@damianeligy684 3 ай бұрын
Mungu akupe nguvu Mh Waziri
@rayshaula1140
@rayshaula1140 3 ай бұрын
Mungu azidi kumlinda waziri atende haki, machozi ya dhuluma ni Mengi mnooooo😢 Watu wana nyanyaswaaa kisa wenye pesa na ukubwa wa Majina
@wanguwangu34
@wanguwangu34 3 ай бұрын
Good job
@shariffsuleiman2889
@shariffsuleiman2889 3 ай бұрын
Nampenda sana waziri🇰🇪🇰🇪🇰🇪254
Aliyepona KICHAA, AELEZEA ALIVYODHULUMIWA Mjengo MBELE ya WAZIRI
21:35
Global TV Online
Рет қаралды 393 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 10 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
MALI ZA BILIONEA MSUYA ZAANZA KURUDISHWA KWA WATOTO NA SERIKALI
12:07
Global TV Online
Рет қаралды 190 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН