Unataka Kujifunza Kuhusu Ufugaji Wa Nguruwe Kibiashara, wasiliana Nasi 0764 148 221
@edmundnkarangu13412 күн бұрын
Hongera sana Mze Macha Mungu akubariki💪🙏
@RubabaTv12 күн бұрын
Asante kwa niaba yake
@LinusKyando2 күн бұрын
Sikiliza hoja SIO mabanda
@TussaMbilinyi14 күн бұрын
Mzee nimemwelewa sana yaan,
@RubabaTv14 күн бұрын
Asante Karibu kwenye group letu la mafunzo 0764 148 221
@Peterchila-un2lx13 күн бұрын
@@RubabaTv😂😂😂
@amanijampion304515 күн бұрын
Hongera kwa imani kwenye stories hizi Rubaba
@RubabaTv15 күн бұрын
Asante Sana
@gibsonjosephat635212 күн бұрын
Mnaosema mazingira na mabdanda sio rafiki hapo ndipo mnapoferi 😂😂😂. Mmekalili mambo ya KZbin 😂😂😂. Mzee ni bilionea kwa uwezo wake wa kutumia rasilimali alizonazo. Wewe kajenge mabanda bora uweke na magodoro ya kulalia.😂😂😂😂
@JusteneAllykimbavala-l2z13 күн бұрын
Mabanda siyo rafiki
@eliaspallangyo387418 күн бұрын
Wapi hapa pazuri sana
@RubabaTv18 күн бұрын
Mwanza
@HavanansiData15 күн бұрын
@@RubabaTv Mwanza ni kubwa
@RubabaTv15 күн бұрын
@@HavanansiData Mwananchi Buzuruga
@RubabaTv15 күн бұрын
Wasiliana Nasi 0764 148 221
@theodoryitambu76527 күн бұрын
Mbegu dume Duroc napata?
@lastbornfarm178714 күн бұрын
Tupate Namba Ya Mzee
@RenaldaZeramula6 күн бұрын
Ona unavyo pumua kwa tabu sababýua hsrufu mbaya ya nguruwe
@RubabaTv6 күн бұрын
Duuh
@kilogreek405012 күн бұрын
NIPO PAMOJA NA NYINYI RUBABA TV KWA ELIMU NA USHAULI KWA WATANZANIA UPANDE WA UFUGAJI MMESIMAMA VIZURI KATIKA PROGRAM YENU☝️🤲🙏🇹🇿🇬🇷🛳⚓️
@RubabaTv12 күн бұрын
Asante sana
@kilogreek405012 күн бұрын
RUBABA SIKU.MOJA NÌULIZIE KWA WAFUGAJI WA NGULUE WANAKAMULIWA MAZIWA KUSAMBAZWA MPAKA CHIZI ZA NGULUE???? UKU NYAMA ZOTE ZIPO BUCHA MOJA VISU MIZANI VITUMIKA PAMOJA UKWEPE UTAKULA ATA KWA NGUVU ZAO 😂😂😂
@RubabaTv12 күн бұрын
🤣🤣
@NiyonsengaMark13 күн бұрын
He's not deserving to be farmer kweri 😢😢 the farm has to much rubbish
@RubabaTv13 күн бұрын
Its rain season you can control the grasses this time