No video

Mh. PETER PINDA;ASALI NI UTAJIRI MKUBWA

  Рет қаралды 13,745

TanTrade Tanzania

TanTrade Tanzania

6 жыл бұрын

Alie kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Peter Pinda aeleza faida nyingi zitokanazo na Mazao ya Nyuki kama Asali ambazo watu wengi hawazijui,ni mara baada ya kutembelea Banda la Asali na Mali Asili yaliopo katika Maonesho ya Kimataifa ya Dar es Salaa(SabaSaba).

Пікірлер: 22
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 5 ай бұрын
Awesome
@kingsolomon0
@kingsolomon0 3 жыл бұрын
Thanks , Prime minister for the info regarding the benefits of bee keeping . love from jirani mwema , Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@consiliazakaria3219
@consiliazakaria3219 2 жыл бұрын
Asante sana Baba na mimi nina mzinga yangu zaidi ya elf1000 huko huko Katavi Mungu akubariki mnoo
@daudiulaya2747
@daudiulaya2747 2 жыл бұрын
Naomba mawasiliano yako ndugu yangu. Nami nipo kwenye mchakato wa ufugaji nyuki
@consiliazakaria3219
@consiliazakaria3219 2 жыл бұрын
Asante kwa kunishawishi nlikuwa nakusikiliza nlivyo kuwa Dada wa kazi saivi na milki mizinga zaidi ya elf1000 Mungu akubariki Baba angu ishi ili wengine waishi ubarikiwe mnooo Katavi oyeee
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ Ай бұрын
Mashaallah 🎉
@juliuselisha1423
@juliuselisha1423 Жыл бұрын
This is the truth. Congratulations to our leader for this light.
@user-qw9wy6ed6g
@user-qw9wy6ed6g 11 ай бұрын
Asante kwa elim
@user-qw9wy6ed6g
@user-qw9wy6ed6g 11 ай бұрын
Nimekubali
@heradiussdereck2257
@heradiussdereck2257 2 жыл бұрын
asante sana, barikiwa sana baba
@msnkuli6089
@msnkuli6089 3 жыл бұрын
Kwakweli huyu baba ameni inspire nami nina mizinga yangu sasa. 🇹🇿
@tanzaniampyakaulimbiu3553
@tanzaniampyakaulimbiu3553 Жыл бұрын
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
@wilicksngelime8928
@wilicksngelime8928 2 жыл бұрын
Nashuru sana mzee wetu
@evalinemaiko5328
@evalinemaiko5328 3 жыл бұрын
Nakushuru sana mheshimiwa kwa kutuelimisha watanzania, kweli nimeteseka miaka 2 lakini kwa asali ni kiboko.
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 3 жыл бұрын
Safi sana mh waziri mkuu mstaafu
@asililishekuwaombeawatoto5222
@asililishekuwaombeawatoto5222 3 жыл бұрын
Hongernisana
@mitioneline5189
@mitioneline5189 4 жыл бұрын
Hakuna comments coz watanzania hampendi kujishughurisha
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 3 жыл бұрын
Asante sana kumbe na wewe umeliona hilo
@msnkuli6089
@msnkuli6089 3 жыл бұрын
Hahaaha
@sufiansaid2023
@sufiansaid2023 3 жыл бұрын
Sio rahisi wakakuelewa mheshimiwa, ila kuna manufaa makubwa saba kutokana na nyuki
@ghatynyantebu592
@ghatynyantebu592 Жыл бұрын
Hakuna mawasiliano. Nani anishike mkono tupande wote!??
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 3 жыл бұрын
Jaman kumbe anajua mambo ya nyuki.
Mkulima I Ujenzi wa Mizinga ya Nyuki ya Kisasa
14:58
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 838
"KISIASA MAGUFULI ALINITANGULIA, NI MKALI SANA/ HANA KIGUGUMIZI"
9:44
Global TV Online
Рет қаралды 29 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 26 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 42 МЛН
Nilipoitwa Ikulu Nilipata Mcheche/Sokoine Ni Balaa--PINDA
12:45
Global TV Online
Рет қаралды 77 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,4 МЛН
Serikali yatangaza fursa za biashara nchini Comoro
7:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,7 М.
IJUE SUMU YA NYUKI/BEE VENOM FAIDA ZAKE NA UTAJIRI ULIOJIFICHA
26:07
JIMBO LA NGARA TV
Рет қаралды 1,6 М.