Libarikiwe tumbo lililo kuzaa Mungu akupe maisha uibadilishe nchi yetu ukiwa minister of investment naiona nchi ikiwa mbali mwanangu
@SummymaddyMaddy9 ай бұрын
Wanao tudharau ma last born dogo katuwakilisha vyema hongera mashallah Allah atupe hekma ya kutafuta rizki ya halali
@JELSONMAUKI9 ай бұрын
Amin kka
@miriamdavis38939 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@AsmaWkrtytyo9 ай бұрын
😂😂😂kwakweli
@fedrickmichael59709 ай бұрын
Kabisa ✊
@upendoeliya93299 ай бұрын
Mtaji mkubwa sana. Je kaupataje??
@AminaIssa-ee6kl9 ай бұрын
Akili ni nywele na kila mtu ana zake.... ndefu, fupi, koto, singa, ondo, nyekundu na nyeusi....❤
@joyceKingu9 ай бұрын
Hongers kijana. Utafika mbali na huo ubunifu. You are real marketing expert. You can also do a short course in real estate/ property management to help you to the business professionally
@nsiamasawe45789 ай бұрын
Hongera kijana mwema. Una bidii sana. Mungu azidi kukubariki na kukuinua katika maono yako.
@kekiplus1andonly9 ай бұрын
MashaAllah 🙏🙏🙏🙏🙏akili ongeza neema ya mwenyezi Mungu lazima utoboe.. Wanafunzi wengi wanapenda kujibweteka,wanaamini katika kuprovaidiwa na wazazi na kushindwa kujituma au kuthubutu,lakini pia mifumo yetu ni mibovu haisapoti vijana kujishughulisha na mambo mengine nje ya masomo. Hata mimi na utu uzima wangu nimejifunza jambo,
@JazilaOmary-l2i2 ай бұрын
Hongera sana kwajuhudi zako mwenyezimungu akutagulie katika kila jambo unalolifanya naakuzidishie ufaham zaidi yahapo
@nasiwasumari38309 ай бұрын
Hongera sana Basil! Mwenyezi Mungu aendelee kukuwezesha. Amina!
@basilmswahiliTzA9 ай бұрын
Amen🙏
@AfricaQueen9 ай бұрын
Dah! Smart Boy 🤝💯💯💯💯💯🙌🙌🙌🙌Hongera sana Mungu Azidi kuleta Baraka nyingi kwako Ubarikiwe kakaangu🕊️🤝
@musa-v3f9 ай бұрын
Millardayo weka website yake au namba ya dogo
@jaynetasha41908 ай бұрын
Eeh Mwenyezi Mungu mjalie mwanangu uwezo huu mkubwa wa kufikiri na umfikishe juu kileleni. Amen. Hongera sana Basil
@basilmswahiliTzA8 ай бұрын
🙏🙏
@annachales96239 ай бұрын
Hongera sana dogo yaani wewe ni hatari na nusu...Mungu azidi kukusimamia
@riddi6769 ай бұрын
Watanzania siyo wadadisi sana na tunaishi na hisia zaidi kuliko uhalisia ndo maana mtu akija na story kama hizi ni rahisi kuamini. Kwa tulio kariako kutushawishi bwana millard ulitakiwa kumtafuta huyo mmiliki wa jengo ili uweke vitu sawa hapa. Sizijekuwa biashara za matikiti mil 50 kwa heka😅. Jengo lina vyumba 26 kila chumba watu wawili mara laki 5 ni kama mil 20 na kitu. Sasa hii hesabu ndogo inagoma something is missing. Mfano, mmiliki anapata nn na yy anapata nn? Unless aniambie yy ni dalali wa vyumba kwenye hilo jengo na anapercent kama dalali it's ok. Otherwise mwenye hiyo story aongeze umakini kwenye kutafiti vitu vingi maana umma unajua vitu vingi zaidi ya hivyo. All in all big up brother kwa namna yoyote you deserve respect 🎉🎉
@lailatmondwe98298 ай бұрын
Hata mm japo sipendi na sijui hesabu Iła design kama tumepigwa….. chumba 1 milioni 1, 26 ni milion26 per semester. Mwenye jengo anaipata nn na yeye anaipata nn. Anyway tuendelee kumpongeza!!!!
@khadjamhozya8 ай бұрын
Una akiri Sana👍 nimekuerewa
@ayubumayomayo294Ай бұрын
Mm nimekuja hapa kupitia Baba angu mzazi kanambia mnashindwa kujiongeza kama Emanuel basil 😂😂anaingiza milion 30 ingia youtube angalia so nmefika hapa jaman tuache tu utani hakuna ukweli wa stori hii kwa sabu kariakoo tunajua hakuna frem utapata tena ya ghorofa kwa mwezi n 1M sasa jamaa anapokea pesa kwa semister milioni mbili chumba kimoja so it means vyumba 26 anapata 52Milioni sasa hapo mwenye ghorofa anapata nn...?? Na yeye hiyo 30 anaingiza kupitia nn tuacheni utani jaman msitugombanishe na wazazi nyumbani wakihisi tunacheza na fursa
@beatricepallangyo28219 ай бұрын
Daaaah!! Hongera sana mdogo wangu...., mwenyewe na utu uzima wangu kina kitu nimepata. Mwenyenzi Mungu Azidi Kukuinua!!!!
@tazamamaajabuyaulimwengu27869 ай бұрын
Tatizo mitaji tz sasa yeye alikuwa na mtaji wa kukodi ghorofa kariakoo alikuwa vzr xana
@khadjamhozya8 ай бұрын
Kira kitu umepata
@stevenjohn79059 ай бұрын
Very Smart jamaa ana akiri nyingi Sana, serikali inabidi iwekeze kwa huyu kijana
@OchoaHomeDecor_9 ай бұрын
Wapo wengi sana 😂 Kilamtu apambane
@ahmed-shakirmwamba49929 ай бұрын
AKILI
@febiolam59048 ай бұрын
Na wewe inabidi uwe na AKILI Sio AKIRI
@lilianeerica33188 ай бұрын
@@febiolam5904😂😂😂😂😂😂 bora umeelewa
@MohdTryson9 ай бұрын
Ametukuka Allah kwa kujalia akil ubunif kwa kijana huyu, namuona mbali saana kijana, mungu akuzidishie
@ayubumayomayo294Ай бұрын
Mm nmefika hapa kupitia Baba angu mzazi kanambia mnashindwa kujiongeza kama Emanuel basil anaingiza milion 30 ingia youtube angalia so nmefika hapa jaman tuache tu utani hakuna ukweli wa stori hii kwa sabu me nafahamu kariakoo frem moja n Milioni 1 kwa mwezi so yeye anapangisha kwa semister 2milion chumba kimoja kwa wanafunzi 4 so ukipiga mara 26 ni 52Milioni sasa hapo mwenye ghorofa anapata nn na yeye hiyo 30 milion anaingiza kupitia nn labda...??? Em jaman tuacheni msitake kutugombanisha na wazazi huko wakaona tunacheza na fursa hali tunapambana kila siku kuhakikisha tunaacha kuwa tegemezi kwaooo❤
@tanzaniantraveller9 ай бұрын
Uko vizuri sana mdogo wangu, nina Imani utapiga hatua kubwa sana, na nafahamu utajenga magorofa yako mwenyewe.
@basilmswahiliTzA9 ай бұрын
Amina sana😀🙏
@tanzaniantraveller9 ай бұрын
@@basilmswahiliTzA MUNGU NI MWEMA 🙏🇹🇿
@AminaIssa-ee6kl9 ай бұрын
Amin Thumma Yarabby...🤲🤲🤲
@tanzaniantraveller9 ай бұрын
@@AminaIssa-ee6kl Amina 🙏
@Monyo048 ай бұрын
@@basilmswahiliTzAhongera kijana
@RenaldLaswai8 ай бұрын
Wewe noma mungu akuongezee njia
@mwanajaajuma90429 ай бұрын
Masha Allah Mungu akuzidishie na sisi wengine pia tuige mfano mzuri kama huo
@eldawilliam35418 ай бұрын
Hongera sana mwangu Mungu akubariki sana
@shebbymazua82169 ай бұрын
Mungu akutangulie bro umetuwakilisha vzk ziba sec
@esterkimath12149 ай бұрын
Basil ❤unaakili sana 😇
@MM-pb7fw9 ай бұрын
tofauti ya huyu kijana na watu wengine wanaolalamika maisha magumu na kwamba ajira hamna ni UTHUBUTU, UTHUBUTU, UTHUBUTU
@nurumligo48629 ай бұрын
Hujiulizi alipata wapi hela ya kukodi ghorofa, ukarabati, furniture. Hakuna mtu hapendi fursa, think beyond the box
@MM-pb7fw9 ай бұрын
@@nurumligo4862 tatizo hamsikilizi mnaanza tu kucomment,au kuna shida ya uelewa?? dogo kasema aliongea na mwenye jengo,akampa idea kwamba amuachie jengo,yeye ataorganize wanafunzi wenye shida ya hostel,yeye ndio atawasimamia na kukusanya kodi ambayo huyu dogo ataipanga yeye ili na yeye apate faida..baada ya miezi kadhaa atakua anamlipa kodi,hela ya kununulia vitanda amekwambia hapo kwamba alikua na million mbili ya kuanzia ambayo aliipata kwenye kazi ya udalali na boom la chuo...kabla ya kucomment em muwe mnasikiliza interview yote muelewe
@MM-pb7fw9 ай бұрын
@@nurumligo4862 aliyekwambia hakuna mtu hapendi fulsa nani?? fulsa sio swala la kuipenda tu, ni swala la kuiona kwanza,then kuipambani,kujifunza,kuacha uoga na kuthubutu....acha mawazo mgando
@edwardmkwelele8 ай бұрын
Mtaji Alipata wapi hilo ndilo swali
@MM-pb7fw8 ай бұрын
@@edwardmkwelele muwe mnasikiliza interview nzima kabla hamjakurupuka kuuliza maswali...mbona ameeleza hapo vizuri tu..au madishi yameyumba kuelewa ndio shida
@PoulHassan9 ай бұрын
Aiseee basil that is sure kweli wakati wa mungu ni sahihi Sana Hongera kaka
@evachuwa38099 ай бұрын
DUH SMART BOY🎉🎉🎉
@moahmed75889 ай бұрын
Apo na Rais Mwinyi pakoje apo? Big up dogo
@muchunofrank13269 ай бұрын
Kwenye Nia pana Njia, vizuri sana dogo
@sweet16honey759 ай бұрын
Congrats I am from kenya my mum is from Tabora kudos our Taborian
@noelminja84969 ай бұрын
Rooms =26 1 room = 1 Double decker = 2 students 1 student = Tsh. 500,000/= 2 students = Tsh. 1,000,000/= Tsh. 1000,000/= x 26 Rooms = Tsh. 26,000,000/= per semester 1 semester = 4 months 4 months = Tsh. 26,000,000/= 1 month = Tsh. Tsh. 6,500,000/= Minus other expenses like:- 1). Electricity 2). WiFi 3). Water 4). Maintenance 1 month ≈ Tsh. 5,000,000/= Minus Rent? How comes he earn Tsh. 30,000,000/= per month? 🤔 Hapana hapa tumepigwa..!!! 😅
@Usertatu116839 ай бұрын
Atakwambia hizo zingine zinatoka kwenye mgahawa😂😂😂😂
@verbalverbal20199 ай бұрын
Halafu hakuna ghorofa zima linakodishwa kwa millioni tano kwa mwezi hata hapo kimara tu, acha kariakoo... Kariakoo millioni tano labda frame tena nadhani vile viuchochoro vya vya chini kule basement, kwa hiyo mapato yake ya mwezi hayawezi kulipa hata kodi tu ya jengo... Eti " nikaongezea na boom" 😂😂😂😂😂😂 dah sijui wenzetu siku hizi wanapewa shilingi ngapi na bodi... Sisi tulikuwa tunapewa kama elfu saba hivi kwa siku, sasa hapo ukila, ukatoa handouts, nauli, vocha sijui unasave shilingi ngapi na unadunduliza kwa muda gani ili upate kiasi significant... Natamani nionane nae anieleweshe alivyofanya, nijione jinsi mimi nilivyokuwaga fala chuo
@verbalverbal20199 ай бұрын
@@Usertatu11683 We unajua wanafunzi wanakula vipi, hasa boom likiwa limekata... Hii story bwana ya kupikwa... Mimi ninachokiona hapo huyo dogo ni mtu wa kati, kati ya wanafunzi na mmiliki, na sidhani kama kweli hilo ghorofa lipo kariakoo tuyoijua, yaani wewe business centre ile uache kukodisha wafanyabiashara ukakodishe watu wanaoishi kwa boom kweli
@frankmanento67769 ай бұрын
26m*4=104m
@noelminja84969 ай бұрын
@@frankmanento6776 Why times 4? He already said they pay per semester and not per month
@hamisikamana9 ай бұрын
Yes..my University mate .. muhimbili...nimeshawahi kufika hapo
@danielsighis99538 ай бұрын
safi sana, afaa kuwa kiongozi mkubwa saana, big up saaa hata anvyojibu maswali najibu kwa akili sananaa. MUNGU akufunikieee
@honorykwahhay43649 ай бұрын
Vizuri sana Basil Kwa kuona fursa na kuitumia, umetoa funzo kwa vijana na hata hamasa
@axelmalekia25589 ай бұрын
Hongera sana. Very inspiring. Hukuna kukata tamaa. Mungu akubariki sana.
@ramadhankipati77409 ай бұрын
Very cool young Man...Maua yake mjasiliamali🎉👏
@lusseraymond54499 ай бұрын
Big brain bravooo
@joycebenjamin60179 ай бұрын
Dogo ana akili kuzidi watawala,Mungu akulinde uzidi kutimiza ndoto zako👍🏻👏🏽🙏
@Abbysalaam9 ай бұрын
Jamaa anajua kujibu maswali 🎉
@Adeen.19 ай бұрын
Dogo safi sana umetisha mie nimechagua kukuamini sema jitahidi ukaze huu mji na ulaini wako usije leftishwa group ni hatari pia kama ni biashara za kuaminiwa na watu jitahidi uwa fahamu husije jiingiza kwenye ma group ya hovyo yote kwa yote kama kweli ni hustle yako big up pambana utafika mbali ila kama umejiingiza makundini be careful....
@abrahamtitusi89679 ай бұрын
laivu bila chenga mzee
@Leeeeeeee-968 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hatari 😂
@SheillaJaffery9 ай бұрын
Du jamani huyo mtoto ni brilliant Mungu amtunze na Ulinzi wa kiMungu uwe juu yake
@basilmswahiliTzA9 ай бұрын
Amen
@LovenessAlbert2 ай бұрын
Roho ya uongozi.ashukuliwe MUNGU.
@omeraJR9 ай бұрын
Genius for REAL👊👊
@hassankongolilo84089 ай бұрын
maashaallah mungu awabariki nyote kwa interview nzuri kama hii
@bakarimasanga36349 ай бұрын
Your testosterone level is high, u know what I mean Basil.big up bro!
@annndunda39539 ай бұрын
Kwa hio my daughter ako sawa she's in grade eight, lakini musimu wa maembe na machungwa hua anazibeba shule anauza ajibuyia vitu ndogo ndogo
@rerisamba9 ай бұрын
Heri wewe watoto wengine hata uwawekee barafu wauze hapo nje angalao ajipatie pocket mani hataki
@Jjm1729 ай бұрын
Smart
@annaniasbyarugaba57889 ай бұрын
Kuna uongo flan hpa kwa cc tuliosoma chuo na tukapata boom 100%. Kuna mtu yupo nyuma ya hili au alomboost mtaji 1. Yaani ww uingie chuoni na kuwaconvice wanafunzi wakulipe kabla hawajapata mahala pa kuishi ili waishi baadae ukishaweka furniture na kila kitu😂😂😂 2. Kumconvice mwenye jengo akakuachia jengo zima ili ww ndo upangishe? 😂😂😂
@ericzephaniah66019 ай бұрын
Nakubali dingiii🤜🏿
@riddi6769 ай бұрын
Correct, something is wrong somewhere. Hizi habari za matikiti😅
@mylifepurpose9 ай бұрын
Hili tangazo zuri sana kwa wanaohitaji vyumba
@pilotmadata57919 ай бұрын
Elon musk, billgate, jeff bezos wooote walianza mdogo mdogo kama huyu kijana wetu🇹🇿❤🥂🥂
@PrinceBonnyTz89 ай бұрын
Wewe unawajua hao majamaa lakn wao hawakufaham😅
@pilotmadata57919 ай бұрын
@@PrinceBonnyTz8 hamna umuhim kwa wao kukujua ila cha muhimu ni kujifunza kutoka kwao🙏🏼❤
@PrinceBonnyTz89 ай бұрын
@@pilotmadata5791 Acha nikutumie namba za Musk uongee nae 😅
@AminaIssa-ee6kl9 ай бұрын
@@PrinceBonnyTz8😂😂😂
@Thynkmypodcast9 ай бұрын
😂😂😂
@carolinepeter9618 ай бұрын
Kijana Yuko vizuri ..very smart
@Kibeche9 ай бұрын
Big up sana kijana
@kevinmary71299 ай бұрын
Genius ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@verbalverbal20199 ай бұрын
Mi nakumbuka kipindi niko chuo nilikodi ghorofa kama tano hivi pale posta mpya, nikawa napangisha wanafunzi wenzangu, sema sikuwaga napenda ma-interview interview... Amenikumbusha mbali sana
@VICTOREVARIST9 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀
@Jifunzenami9 ай бұрын
😂😂😂😂
@zenadaudzena28499 ай бұрын
😂😂😂
@highskills58839 ай бұрын
💨
@ASMAFTAAH9 ай бұрын
😂😂😅 Naam Sheikh
@leylaruhabaye90179 ай бұрын
Mungu akulinde kijana wangu kijana wa mkoani umeweza
Akili sn hongera mwamba tunahitaji vijana mbali nakusoma tu tuwe wangunduzi na kutatua changamoto za kimaisha kwetu na wenzetu unafaa kuwa kiongozi
@FrancissamwelfrancisSamwelfran8 ай бұрын
Sio kweli kwa sis ambao tunahaso huwez kupata gorofa kariakoo kwa million 2 asituzuge huyu jamaa , lamda atuambie Kuna mwamba nyuma yake
@redemptervictor50068 ай бұрын
Mwamba Tena??🙄🙄
@tenajtenaj42849 ай бұрын
Very smart guy🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@niyonzimakatama65169 ай бұрын
Keep it up kijana be blessed 🙌
@ayubumayomayo294Ай бұрын
Hakuna ukweli hapa haya n matangazo ya biashara
@musa-v3f9 ай бұрын
Hongera sana Basil keep up the good work
@rosemarykipesha38989 ай бұрын
Very creative
@kulwaemmanuel28759 ай бұрын
Mungu azidi kukusimamia na kukufanya uzidi kufanikiwa na kubarikiwa day to day mwamba.
@medystarter9 ай бұрын
Hii inaweza kuwa nzuri pia inaweza kumfanya mmiliki akatamani kuchukua iyo fursa
@aishaabdalla76248 ай бұрын
Nalo neno!
@JabilOmary-b7r9 ай бұрын
Duh hii nayo ni nzuri
@rkcomercialenterprises32099 ай бұрын
Jamani,kuna swala la capital aliwezeshwa na nani. Million mbili huwezi kukodi gorofa Kariakoo
@pendosailo19899 ай бұрын
Sure...atueleze kapataje mtaji. Tuanzie hapo
@philej9 ай бұрын
Ukimsikiliza tena vizuri utamuelewa Kwa msaada tu nikeleweshe kidogo, Jamaa kaongea na mliki wa jengo ampe muda kidogo wakumlipa pesa yake uku akiendelea kulitumia jengo
@selemanindege99339 ай бұрын
Hakuna tajiri wa hvyo yaan akupe ghorofa utumie alafu umpe Kidogo kidogo wakati kaliakoo watu wenye pesa zao wanatafuta hizo ghorofa@@philej
@ashelimwamlima6029 ай бұрын
Asa mbn unatak kuweka DEBATE kubisha yani,, n jamaaq kasema
@barbarasara40339 ай бұрын
@@selemanindege9933 NI mwongo 😂I 😂😂😂😂 Kariakoo Kwa hiyo bei
@Yohana-cz2ek9 ай бұрын
Respect bro
@jescarwegoshola17549 ай бұрын
Hongera sana, Mungu azidi kukupigania 🤝🙏
@Nyamko-christmas9 ай бұрын
Kariako ni kubwa na hii huwez fanya bira msaada kuna vitu vingi mnaficha hamuweki wazi kariako nisehemu zenye kodi kubwa labda jengo ni lao kuna kitu mnaficha kwa Dar kariakoo kuna kodi kubwa Sana
@jovinmancomedytz9 ай бұрын
Duh kwa kariakoo sidhani labda inawezekana
@Africasafarichannel9 ай бұрын
Mbona kaongea
@funekamole67429 ай бұрын
Wangese wanazingua!😢
@tanzcanmediatv44739 ай бұрын
Fichua wewe mbwa mmoja yaani akilo za maskini.nawe fanya hivyo vitu
@zaytunhijja67719 ай бұрын
Mtabaki ivo ivo akili zenu kisoda
@dn.n49839 ай бұрын
Safi sana sana ubarikiwe
@jaredmondo14779 ай бұрын
Hongera sana kwa upambanaji, una ubunifu na uthubutu mzuri, lakini wandishi wa habari wanaongeza chumvi sana cjui wanatakaje, Vyumba 26, wapangaji wako wanalipa laki 5 kwa semister, af et unapata milion 30 kwa mwez!!🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇 Mmmmmmh anyway hongera sana👏👏👏👏👏
@Minister_mpokiminga9 ай бұрын
Kila chumba watu wawili kwahiyo kila chumba ni milioni moja mara 26 ni milioni 26 + restaurant aliyonayo nafikiri inaweza kuwa hivi
@MayarashidiMayarashidi2 ай бұрын
Mashaailah mashaailah mashaailah
@BenjaminStephano-l8h9 ай бұрын
Mungu akusimamaie kaka
@HafsaShekigenda9 ай бұрын
Mashaallah allah akuzidishie kipaji chako
@elieshistephen15349 ай бұрын
Basili muinue sana Mungu kila wakati ili azidi kukuongoza na kukuepusha na kila ubaya.
@AsungaSteven7 ай бұрын
Umetisha sana
@erastojr11959 ай бұрын
Utofaut wa kijana mwenzetu na sisi ni kwamba yeye ana uthubutu but hatuwez jua labda Kuna watu wanamshika mkono au wazazi wake wako vizur kimaisha ni tofaut na wengne unakuta ana mpango lakn kipato Cha kuendeleza huo Mradi Hana😮
@Africaner219 ай бұрын
Kuna watu wanamshika mkono maana hawezi Kukodi Ghorofa bila maokoto
@erastojr11959 ай бұрын
@@Africaner21 kabisaaa kaka
@aminanamoyo839 ай бұрын
Congratulazion 👏🏼👏🏼🤝 nimejifunza kitu kutoka kwako Bravo 👍🏼👌
@moudys9 ай бұрын
Kujifunza sio issue , jiulize ushajifunza mara ngapi, issue ni kuthubutu
@beatricerobert89858 ай бұрын
Huyu angesoma bsness admin au interprnurshp
@AloyceMachinya7 ай бұрын
Hongera sana kijana
@Classic-i2e9 ай бұрын
Hongera kijan umeupig mwing
@khadi-z4o9 ай бұрын
Mzma Zuleikha?
@khadi-z4o9 ай бұрын
Hey Zu"+44
@Classic-i2e9 ай бұрын
@@khadi-z4o hamdellah nan
@wisperfect53209 ай бұрын
Huyu alikuwa na pesa kwa hiyo ukiwa na pesa kila unachofanya unagusa tu ww kukodi ghorofa unafikili kz ndogo?
@mawazoaliselemani9 ай бұрын
Shirika la nyumba lijitathmini..ila nampa Big up saana tu huyu dogo..
@barbarasara40339 ай бұрын
Sijui hata kama lipo
@moudys9 ай бұрын
Wewe bado akili imefunga, madhaifu ya sector hizi ndio fursa kwa vijana wenye akili.
@tatumwakitwange83699 ай бұрын
Mungu akubariki akupe fursa zaidi kwenye maisha yako
@djbenkim22728 ай бұрын
Smart boy uyu serikari imusaidiye
@surusuru19949 ай бұрын
😮mashaallah❤❤❤❤❤🤲🤲
@nancympangile98137 ай бұрын
Big up sana kaka
@Alan-g2t9 ай бұрын
Hongera sana Kwa ubunifu.
@wakanaiautomotive9 ай бұрын
I see kijana nampatia mauwa yake kabisa mwenyezi mungu adhidi kukupa afya njema na adhidi kua saidie na watu wengine ambao hata sio wanafunzi wa chuo
@anithamaganga9 ай бұрын
Vichwa bado vinazaliwa👏👏👏safi bro
@Sharifa_Fashion_219 ай бұрын
TANZANIA watu wanapesa Sana sema hawataki kujulikana
@barbarasara40339 ай бұрын
NI pesa za wizi. So wanaomiliki NI wachache. Ndo maana matajiri NI walewale mo Dewji, bakheresa, etc. hakuna new money.
@liannsambu72649 ай бұрын
Umeonaaaa eee
@IkoUwasi-it6qy9 ай бұрын
Kazi kwenu na wewe kaibe@@barbarasara4033
@hadijamandanje61899 ай бұрын
Bora wajulikane ili iwapatie hamasa vijana wetu wajue kumbe inawezekana
@dardaissangya69589 ай бұрын
Watu wanabet
@trillionthamani9 ай бұрын
Ni mdogo wangu,lakini ngoja nimpe shikamoo
@wamburasungura68126 ай бұрын
Hongera sana ila Kwa kukodisha gorofa kkoo DSM Hii kubali unatumika na wakubwa
@glorytoGod6399 ай бұрын
Kijana yuko smart sana
@benedictorhilary46149 ай бұрын
Safi sana ila tufanye hesabu kidogo. 1,000,000(2 beds) x 26(rooms) x 2(semesters) =52,000,000 kwa mwaka. So, it's approximately 4,333,333 kwa mwezi. HII SIO FAIDA. Hapa tutoe costs za wifi, rent ya jengo, and other expenses. 30m per month sijaelewa ni kwa hesabu zipi.
@salhaabdulrahman63239 ай бұрын
Mwanzo wa biashara yoyote ni kuwekeza faida atakuja kuipata baadae
@benedictorhilary46149 ай бұрын
Sasa hiyo 30m kwenye caption imetoka wapi? @@salhaabdulrahman6323