EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO

  Рет қаралды 198,582

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Baada ya kusikia huko Morogoro kwenye Kijiji cha Isago, Kata ya Mngeta, Jimbo la Mlimba Wilayani Kilombero daraja la miti limejengwa kwa MILIONI 31 wengi walihamaki na kuhisi kuna upigaji umetokea.
Reporter wako Millard Ayo alifunga safari hadi kijijini Isago, umbali wa kilometa 305 kutoka Morogoro Mjini na kuweka kambi kwa muda kuomba kupewa hesabu ya hiyo fedha milioni 31 imetumikaje, Meneja wa TARURA Kilombero Injinia Robert Magogo na Mbunge wa Jimbo hilo Godwin Kunambi waliketi kueleza yote kupitia AYO TV na millardayo.com
"Kulingana na Gharama ndio maana tumeanza daraja ambao hili sio la kudumu ni la mbao kama tungejenga la chuma ama la Zege gharama ingekuwa ni kubwa kiasi kwamba itabidi tuombe Pesa Serikali Kuu ambayo ingechukua muda sana"- Injinia Robert Magogo
"Daraja hili la Mbao kutoka hapa juu mpaka lilipoishia chini ni kama Mita 6 na kama tungejenga daraja la chuma kwa uzoefu wangu basi gharama kukamilika ni Bilioni 1 na tulishafanya hivyo kwenye mto kiansi na kama la tungejenga la Zege basi lingegharimu kama shilingi Bilioni 3"- Injinia Robert Magogo
"Mbao zilizotumika hapa ni aina ya mkarati sifa zake kwamba upo imara hata kama ukikaa kwenye maji, idadi ya magogo yaliyotumika hapa 121 ambayo yana urefu wa mita 7 kwa unene usiopungua futi moja kwasababu zinatofautiana kuna nyingine ni nene zaidi na nyingine ni nyembamba lakini haipungui zaidi ya futa mita moja , mbao ziko 245 lakini kwa size tofauti"- Injinia Robert Magogo

Пікірлер: 613
@alkasusjaasus7015
@alkasusjaasus7015 3 жыл бұрын
Ukiona video Millard kaivalia njuga mwenyewe ujuwe ni video yenye umuhinu sana. Heko bro kwa kazi nzuri 👏👏👏
@husnahassan2124
@husnahassan2124 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Kiukweli anajituma sana,Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi
@jokhasalum6845
@jokhasalum6845 3 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 Aaamin
@noelamtesigwa6819
@noelamtesigwa6819 3 жыл бұрын
Kabisaa
@mabletandawili4128
@mabletandawili4128 3 жыл бұрын
Hatari Sana
@e47fardy44
@e47fardy44 3 жыл бұрын
Tuliokuja kwajr ya Millard ayo tujuane
@youngsimba6798
@youngsimba6798 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eqmxl5yIhbt_rZI 👆💥💥💥💥💥💥💥👆
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 3 жыл бұрын
Engnea suka kichanja weka nguzo acha janja janja
@idrixalumany5902
@idrixalumany5902 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@tulimlawa8608
@tulimlawa8608 3 жыл бұрын
Tupo,h habari zake ni uhakika
@ombenifataeli7589
@ombenifataeli7589 3 жыл бұрын
Tuko wengi
@favorite9134
@favorite9134 3 жыл бұрын
Millard ayo hongera sana 🙌 tunaosoma comments uku tunaskiliza tujuane apa kwa like
@bayekefarijala5042
@bayekefarijala5042 3 жыл бұрын
Hongera Hilo daraja ni zuri sana, na gharama ni Sawa Kabisa m31, ni pesa mdogo Sana Kwa kupata mbao hizo
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 3 жыл бұрын
Magogo nlifanya naye kazi ni kijana mchapakazi na mwaminifu. Hapo nmepata Mhandisi. Hongera sana Magogo watu hawaamini Ila hapo umefanya kazi nzuri.
@shabanimagogo502
@shabanimagogo502 3 жыл бұрын
Kaka yangu huyo nimchapakazi sana
@richardmpanduji4798
@richardmpanduji4798 3 жыл бұрын
@@shabanimagogo502 😂😂😂😂
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
@@shabanimagogo502 Mungu awasimamie!
@ailethmtungi5868
@ailethmtungi5868 3 жыл бұрын
Kitu pekee nachofunzaga kwa millardayo kwenye mafanikio yake ni discipline tu..goodluck millardayo
@martinemasunga5802
@martinemasunga5802 3 жыл бұрын
Huyu jamaaa yuko vizuri saaana,wanao mkandia hawajawahi ishi morogoro hususani ukanda huoo ambao drj limejengwa tuongee ss tulio wahi kuishi uko..mhandisi uko vizuri mnoooo
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 3 жыл бұрын
Big up Engineer na pia kwa maswali ya Millard umejibu vizuri sana. Hakika bado tuna watendaji kazi waadilifu.
@Adeen.1
@Adeen.1 3 жыл бұрын
Huyu jamaa Ana details asee...big up sana
@happynessmulyalya3428
@happynessmulyalya3428 3 жыл бұрын
Eng. Magogo unaonesha unazungumza kitu unachokijua, kazi nzuri sana!
@elizabethelikana7640
@elizabethelikana7640 3 жыл бұрын
Kazi nzuri, du linatisha kwa watembea kwa miguu hususani watoto nawengineo watu hatulingsni, uzio pembeni uwekwe.
@jeovangisc7957
@jeovangisc7957 3 жыл бұрын
Kwa walevi inabidi watambae
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Millard ayo, uko juu. Hivi ndivyo waandishi inabidi wawe. Kutoa sintofahamu kimahesabu na kisayansi kwa kuongea na wahusika wenyewe.
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 3 жыл бұрын
Aliyependa interview kufanyikia juu ya daraja lenyewe, agonge like hapa
@andrew29468
@andrew29468 3 жыл бұрын
Hongera Millard Ayo kwa kufika nyumbani kwetu. Shida kubwa ya huko ni kutokuwa na barabara ya kufumu licha ya kuwa tunazalisha mnoo chakula
@egidlukowa5979
@egidlukowa5979 3 жыл бұрын
Big up Millard na team nzima..Kwa kufika apo
@zuzhabsia3852
@zuzhabsia3852 3 жыл бұрын
Nizuri sana wangeweka uzio pembeni kwa usalama wa raia
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 3 жыл бұрын
Big up bro, thank you for the update
@samwelshaban6480
@samwelshaban6480 3 жыл бұрын
Hongera sana Millard Ayo kwa utedaji wako mzur wa kazi yako hakika mungu akuinue daima Mile Mile one love brother
@christiankakungulu2260
@christiankakungulu2260 3 жыл бұрын
Millard wewe ni noma
@imathomas6531
@imathomas6531 3 жыл бұрын
Ningeelewa sangapi bila ayo tv moja watu niliyokuwa napinga sana huu ujenzi na gharama zake saiv nimepata somo 👏🙏
@lanlady2504
@lanlady2504 3 жыл бұрын
@Millard ungeenda na futi kupima huo urefu na upana. 😀 Anyway...tunashukuru kwa jitihada zako👏👏
@attunelson8828
@attunelson8828 3 жыл бұрын
Engineer nilikuelewa toka Sikh ya kwanza.uko vizuri sana
@ochendepay9440
@ochendepay9440 3 жыл бұрын
Wengi Wenu Hamjui Bei Ya Mbao.
@scolasticashirima8692
@scolasticashirima8692 3 жыл бұрын
I think this should be one of the tourist attractions in Tanzania.. Big up kwa mhandisi na team Ayo Kwa video hii yenye awareness kwa wote ambao hatukufahamu haya yote..
@subzeronyundopower
@subzeronyundopower 3 жыл бұрын
Ml 31 ni nyingi sana sment za ml 5 nondo ml 5 mafundi ml10 mbao ml 5 Iyo 11 itasev vitu vidogo vidogo -tunaibiwa sana watz mungu atulinde
@scolasticashirima8692
@scolasticashirima8692 3 жыл бұрын
@@subzeronyundopower kwa upande wangu nimewaelewa sana. Mbao tu ambazo zinaoza kwenye maji, ni ghali sana.. Me naona hata hiyo mil. 31 bado haitoshi.. So ni swala tu la kuelewa.. Unajua ukiwa huku nje, huwezi elewa what's going on, just go and try ndo utaelewa.
@mkonlinetv1785
@mkonlinetv1785 3 жыл бұрын
estimation iko sawa kabisa
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 жыл бұрын
Apo kwl akil umetyumik kutmia mbao ambao haiyoz yn lithadumu milele na milele...pnge walio tengeneza hilo drj la mbao.masha Allah
@susanlazaro8323
@susanlazaro8323 3 жыл бұрын
Nimemuona Mamba pale Majini nimesisimka na Nimeogopa Sana congratulations Millard Ayo 🙌🙌
@prosperjuma905
@prosperjuma905 3 жыл бұрын
Ukweli mmejitahidi sana kubana matumizi. Mil 31 ni ndogo sama ukilinganisha na kazi iliyofanyika.
@timmysiningi2732
@timmysiningi2732 3 жыл бұрын
Ni kwel
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Kabisa kabisa
@phightv2816
@phightv2816 3 жыл бұрын
Kazi kubwa kote ... Big up Millard ayo
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 3 жыл бұрын
Hongera sana Engineer. Gharama hiyo ni sahihi kabisa
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 3 жыл бұрын
Daraja la mbao, Lori linapita la ton7 bila shida! Sasa unaebisha jiulize material ya mbao zenye uwezo wa kupitisha ton7 bila kudondoka sio mchezo
@paskalimhapa5176
@paskalimhapa5176 3 жыл бұрын
Isago kwet
@francisemmanuel1551
@francisemmanuel1551 3 жыл бұрын
Miaka 60 ya uhuru kwa daraja hili ni vichekesho sana hii inaonyesha ni jainsi gani Africa na Tanzania pamejaa ufisadi
@glorytemu6996
@glorytemu6996 3 жыл бұрын
Asante Mungu tumepata wakumtuma,,Sasa ivi kitu atukielewi tunamtuma Millard Ayo big up bro
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Hapo katika Kijiji Cha Ngeta napafahamu sana nimeshaenda kununua mchele ukivuka mbele unaingia Kambi ya JKT Chita unaenda Mlimba kwenye Mradi wa kufua umeme wa Kihansi. Morogoro ni kubwa sana inapaswa kugawanywa mara 2 ili kuwepo na Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.
@miotv8308
@miotv8308 3 жыл бұрын
Vipi kuhusu kilosa wewe? Ushahidi unao kweli
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 3 жыл бұрын
Moro ni kubwa inawapa shida watawala. Igawanywe tu
@jothamekisouke8199
@jothamekisouke8199 3 жыл бұрын
Aaaah iko njema,mbao nazjuwa ghalama ziko juu,31Mil ni ndogo sana
@muniraahmed624
@muniraahmed624 3 жыл бұрын
Milliard ayo nimpambanaji sanaaa Mwenyez mungu akuzidsmishie sana na saha🖖
@omarayoub6564
@omarayoub6564 3 жыл бұрын
Upo?
@omarykayanda9138
@omarykayanda9138 3 жыл бұрын
nawe ni mpambanaji pia
@oscarmartinavito3167
@oscarmartinavito3167 3 жыл бұрын
Munira
@isayasway4892
@isayasway4892 3 жыл бұрын
Yani mirlad ayo mpo vizuri sana mnastahili pongezi yani kama ungekuta unaweza like kila mara ninge like hata mara laki moja 👏👏👏
@bernarda.ngonyani-tma7170
@bernarda.ngonyani-tma7170 3 жыл бұрын
Usipoelewa utaona ni uwongo, ila kwa uchambuzi huo hands up
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 3 жыл бұрын
magogo kaweka magogo 🇺🇸
@gloryleon4187
@gloryleon4187 3 жыл бұрын
Injinia shikamooo, alafu hongera sana kazi kubwa sana kwa gharama nafuu sana, wanao ongea waache waongee, maana yaonesha walikimbia umande wakati ww unaenda shule utatumia nguvu kubwa sana hadi wakuelewe, milad ayo big up
@saambovutv4883
@saambovutv4883 3 жыл бұрын
Mm nafanya kazi kiwada mbao mbao zina bei Sana
@Official83640
@Official83640 3 жыл бұрын
Saluti kwako ndy maana ktk watangazaji wa Tz ww ni no 1 huna mpinzani Millard Ayo
@mcibralipuli640
@mcibralipuli640 3 жыл бұрын
Ahsante Millardayo kwakutujuza zaidi
@kulwahance9226
@kulwahance9226 3 жыл бұрын
Miladi Ayo yuko vzr hiii channel haijawahi kuniangusha,,,kwa taarifa za kweli zinapatikana hapa
@TrendNewstz
@TrendNewstz 3 жыл бұрын
Hongereni sana, Kazi Nzuri, pesa ndogo
@jothamkibona2919
@jothamkibona2919 3 жыл бұрын
Tunataka watu Kama ninyi mnafanya kazi nzuri tungekua na wabunge wa hivi nchi ingekaa sawa hii
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Manshallah nimeipenda sna hii interview maana niliiyona hii Mada fb na nikashare ila mguzo lilikuwa nyingi sna kwa wanajamii👍 wengi wao hamjui bei ya mbao mngetuliza kidg tunaojenga vibanda vyetu uko bongo 🇹🇿sio poa unaishia kukuna kichwa tu
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 3 жыл бұрын
Hongera Sana bwana mubuge mungu akulinde pia bila kusahau ichinia walie pamban kujenga daraja bila kuliwa na mamba kaka miladi ayoo hongerasan kwa kutupa habari kila pembe ya dunia
@moonam1063
@moonam1063 3 жыл бұрын
Ayo nakukubali mpaka umeifungia safari we saruti hongera Kwa kazi Yako kaka nikienda otongowa nitafika isago
@shamsajahagandhi3800
@shamsajahagandhi3800 3 жыл бұрын
Hongera sana Mkandarasi kazi nzuri sana.
@chazleetz9861
@chazleetz9861 3 жыл бұрын
kazi nzuri bro Millard
@Kobe_254
@Kobe_254 3 жыл бұрын
Iyo daraja kwa kijijini iko safi kabisa
@henryxavery1713
@henryxavery1713 3 жыл бұрын
Hiyo Pesa Ni Sawa Tu,,Ujenzi sio Michezo..
@Hanskapella
@Hanskapella 3 жыл бұрын
Mbona kazi ni kubwa zaidi kuliko ata hela yenyewe.
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
Kazi nzuri
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 3 жыл бұрын
Kumbe kuna mengi yaliyokuwa hayajulikani 👏👏👏🙌🙌
@nguchichiswai5936
@nguchichiswai5936 3 жыл бұрын
hongera kazi nzuri sana
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 3 жыл бұрын
nimejirizisha na maneno ya engineer👏👏👏 pesa makaratasi hasara roho 31 mln imeenda sahihi kabisa
@abdihq4228
@abdihq4228 3 жыл бұрын
Sawa sawa
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳 anaeamini kwamba hilo daraja siyo rafiki kwa kupitisha magari bila kizuwizi weka like hapa tujuwane mana siyo kwa kumchungulia izilaeli kwa kioo we daraja bai 🙋🙋🙋🙋🙋🚶🚶🚶🚶🚶
@saitawilson7307
@saitawilson7307 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mheshimiwa mbunge
@raphaelnkwabi9676
@raphaelnkwabi9676 3 жыл бұрын
Mwanasiasa mwana siasa tu, Mzee magogo kaelezea vizuri sana ila njomba sasa😂😂😂
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420 3 жыл бұрын
P1 sana bro ayo, nakubali sana unavyo watafuta hawa watu hua unatutoa maswali mengj tulio kua tunajiuliza
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 3 жыл бұрын
Vipi kuhsu parapet/ bridge peripheral barrier?, au bado ujenzi unaedelea?.
@willeydavid2108
@willeydavid2108 3 жыл бұрын
Niujenzi mzuri ila bado ni hatari kwa watembea kwa miguu walitakiwa waweke nguzo pembeni watu huwa wanajikwaa anaweza kudondoka , hasa hofu yangu kwa watoto nazani mnawaona hapo wanaweza kuwa wanakimbizana hapo wamalizie kuwaka ukuta wambao pembeni ili mtu anavyotembea awe comfortable 🙏
@aidanmhume446
@aidanmhume446 3 жыл бұрын
Siwez bisha huyu jamaaa yupo sahihi kabisaa kwanza pexa ni ndogo
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 3 жыл бұрын
Hongera mh. Mbunge
@sultannassor4868
@sultannassor4868 3 жыл бұрын
Hongera ayo tv kwakweli uahitaji tuzo
@ramadhanimahundumla1005
@ramadhanimahundumla1005 3 жыл бұрын
Hongereni sana mmeweza kuliko watu kuliwa na mamba
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 3 жыл бұрын
Hongerani sana wote💪🏼👌🏼👏🏼👏🏼👏🏼 Hatutakusahau Magu! RIP🙏🙏
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
Kwa nn
@tinnojoachim8712
@tinnojoachim8712 3 жыл бұрын
Millard Ayo hanaga kazi mbovu ajawahi Kula MB zangu bule.like zangu kwa wale walio kuja kushuhudia mamba walio lipwa mafao yao
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Millard ayo hongera sana mbunge wetu mtarajiwa 2025
@partnersah8802
@partnersah8802 3 жыл бұрын
Insha Allah
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Tunamuombea
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
Jimbo gani
@imasigaro2968
@imasigaro2968 3 жыл бұрын
Mkandarasi yuko smart..some times we have to trust the process
@jacolaztv4108
@jacolaztv4108 3 жыл бұрын
Wangapi tunamkubali MillardAyo. Twende pa1 kwa like nyingi HAPA
@Ray-vk7bp
@Ray-vk7bp 3 жыл бұрын
yupo sawa mti wenyewe dawa unauzwa milioni moja hilo daraja lina mita 40 na linapitisha tan 10
@lazaroletion2420
@lazaroletion2420 3 жыл бұрын
Tujadili hili daraja msimu aa mvua, tuseme kwa sasa tuacha daraja lihudumie
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 3 жыл бұрын
bonge moja la location, millard mbunifu sannah
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 3 жыл бұрын
Safi Millard Ayo hiki.ndicho.nilicho kuwa nataka👍
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Tumwombe Mama aongeze pesa mara mbili iwe ni “one way” daraja, wakati wanasubiri hayo mabilioni.
@victormkama5485
@victormkama5485 3 жыл бұрын
Safi
@davidmaisely7487
@davidmaisely7487 3 жыл бұрын
Tumwachie Mungu aisee
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 жыл бұрын
Kazi nzurir lkn hamkuweka magogo kuzuia pembeni kwa usalama zaidi
@mr.kingnyundolouis7196
@mr.kingnyundolouis7196 3 жыл бұрын
Wacha wa sio jua wa pige nduru ila mrunda mmoja wa nch 4 wa ft 7 ni 7500 mar Ps mia tano alafu mabao 6 x 3 fut 10 niefu 32000/= misumari nch6 kil 50 magogo yenye upana wa nch 12.1 ni shilingi elf 50000/= lakini inategemea na,mti na unaitaji siku mbili za kuchana magogo na kutoboa upana wa gogo acheni kutoroka chunguzeni kwanz
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 3 жыл бұрын
Haueleweki
@raiszongo1580
@raiszongo1580 3 жыл бұрын
@@shadrackzablon5983 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo haeleweki
@DM_15
@DM_15 3 жыл бұрын
Hahaha ungepewa wewe ufanye. Unadhani mrunda wanch 4 unaweza bebagari la tani 7likiwanamzigo kwamiaka 10. Tuliawewe fundi kupaua shuhuli yadaraja siosawa na yakufunga slabu yanyumba
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 Ай бұрын
Alafu hapa wametoa kama sadaka gharama haitoshi
@lawagustino1887
@lawagustino1887 3 жыл бұрын
Eng. Ni mwongo sana. Hapo tactor linafika na mzigo wote. Na hakuna daraja la tanroad liliwahi kuwa la mbao:
@allykingo3558
@allykingo3558 3 жыл бұрын
Kazi nzuri kijana huo ndio uandishi wa Habari
@abuumakamba887
@abuumakamba887 3 жыл бұрын
Saf sana millad kwa kutujuza uko vzur
@edwinfelix6298
@edwinfelix6298 3 жыл бұрын
Ongereni sana
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 3 жыл бұрын
Hongera sana Kunambi, ndio wanasiasa tunaowataka
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 3 жыл бұрын
Milladi Ayo njoo na kwetu Huku mvumi jaman tunateseka Sana wananchi Barabara mbovu Sana haswa wakati wa mvua watuwekee madaraja hata kama hili.
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 3 жыл бұрын
Watu wa mitumbwi watapata ajira wapi Sasa 🥺🥺😂
@shabanfitnesstv3977
@shabanfitnesstv3977 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Asante
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 жыл бұрын
Ita bidi wajipange kidogo....
@aliasaally
@aliasaally 3 жыл бұрын
Ila bro millard wewe ni inspiration kubwa. Ubunifu na juhudi zako vinanipa hamasa zaidi. Naona unapush hadi discovery saiv duh
@fatumanguva904
@fatumanguva904 3 жыл бұрын
Kazi nzur kuokoa maisha ya watu
@ip_header
@ip_header 3 жыл бұрын
Aisee hiyo gharama inafikirisha, ingawaje kwa thamani ya fedha yetu na upatikanaji wa materials inawezekana
@francismsami2169
@francismsami2169 3 жыл бұрын
Wengi wenu hamjui bei ya mbao
@eliusgration4150
@eliusgration4150 3 жыл бұрын
Itakuwa ujui bei ya mbao na nguzo hizo pia haina ya ujenz wa daraja. 31M ni ndogo hapo wamejitaidi sana
@kaijagerichard9351
@kaijagerichard9351 3 жыл бұрын
Ndugu sidhani kama unamiliki nyumba ungejua uhalisia
@rugenzirugenzi3562
@rugenzirugenzi3562 3 жыл бұрын
Daraja liwe la kitalii maana hayo madaraja utayaoona kwenye movies za kivita kati ya wamarekani na wavetinam
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 3 жыл бұрын
Jah blesses Brother
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 3 жыл бұрын
Mnaobisha acheni ujinga. Kupaua nyumba tu ya vyumba 4 kwa mbao za 2x4 na 2x2 zinagharimu milioni 5. Sembuse hilo daraja lenye mbao kubwa na magogo makubwa? Hiyo 31M ni rahisi sana sana. Wajenzi wanastahili pongezi.
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 жыл бұрын
Yote heli Tumshukuru Mungu kuepusha misiba .Amen
@tumainiezekia5873
@tumainiezekia5873 Жыл бұрын
Daaah Kaz nzur kak nakuelew San 🙏🙏
@mutongajr
@mutongajr 3 жыл бұрын
Ksh 1.4m is not alot. In Kenya 🇰🇪 we construct pit latrines for close to ksh10M
@emmanuelbenjamin4186
@emmanuelbenjamin4186 3 жыл бұрын
Who cares
@hundamania2831
@hundamania2831 3 жыл бұрын
M31 tsh kwa Kivuko hiki mbn ni ndogo sana au kwa kuwa tu watu wengi tz sio mafundi Big up kwa Injinia huyo ila tu htr moja kuwa halijazibwa pembeni jpo kajieleza kuwa kuna ssb za kufanya hvyo Hao wanaojiita mabos na kumuwekea mashaka mshkj huyo hawana walijualo
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 3 жыл бұрын
Hapo kuna watu cha juu pia kimepigwa hahahaha hongera
@harmonizekondeboy1680
@harmonizekondeboy1680 3 жыл бұрын
Kaka milad ayo kazi yako ni nzur sana
@boscomtani1006
@boscomtani1006 3 жыл бұрын
Hii gharama ni ya kawaida sana. Nadhani gharama hii ingeweza kuzidi. Hawa watendaji ni waaminifu sana.
@itwaaky75
@itwaaky75 3 жыл бұрын
Tuchangie tozo ya miamala ili wajengewe la zege au chuma
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 97 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 35 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 42 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 209 МЛН
Congo, Thrill of the River | Deadliest Journeys
49:39
Best Documentary
Рет қаралды 1,3 МЛН
🔴LIVE: MATOKEO YA UCHAGUZI WA TLS YANATANGAZWA MUDA HUU
59:21
Millard Ayo
Рет қаралды 29 М.
🔴LIVE: MATOKEO YA UCHAGUZI WA TLS YANATANGAZWA MUDA HUU
16:55
Millard Ayo
Рет қаралды 14 М.
RURAL LIFE IN TANZANIA 🇹🇿: REAL STREETS OF DAR ES SALAAM + NIGHT LIFE
26:31
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 97 МЛН