TASHRIFF WAFUNGUKA MKASA MZIMA ALIVYOTEKWA KIBAO 'TULIOGOPA WALIKUWA NA SILAHA ZA MOTO'

  Рет қаралды 63,731

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Uongozi wa Kampuni ya Mabasi ya Tashriff umesema tukio la kutekwa kwa aliyekuwa kada wa Chadema, Ally Kibao ndani ya usafiri wao, liliwashtua na wamedai walishindwa kuzuia kutokana na wahusika kuwa na silaha za moto.
Pia, umedai watu hao waliwatisha wafanyakazi waliokuwa ndani ya basi hilo kwa kutumia silaha za moto, baada ya tukio hilo waliripoti Kituo cha Polisi Magufuli.
Kibao, aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema alichukuliwa ndani ya basi hilo jioni ya Ijumaa Septemba 6, 2024, eneo la Kibo Complex, Tegeta jijini Dar es Salaam, wakati akisafiri kwenda nyumbani kwake, mkoani Tanga.
Tukio hilo lilianza kujadiliwa maeneo mbalimbali Jumamosi ya Septemba 7, 2024, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika alizungumza na waandishi wa habari kuzungumzia tukio hilo na kutoa wito kwa vyombo vya usalama kulichunguza.
Katikati ya mijadala hiyo, asubuhi ya jana Jumapili, Septemba 8, 2024, kuliripotiwa mwili wa Kibao uliokuwa umetupwa Ununio, jirani na viwanja vya NSSF na ulichukuliwa na kupelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, Dar es Salaam.
Uchunguzi wa kitabibu ulifanyika jana hospitalini hapo na taarifa yake bado haijatoka, ingawa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwapo alidai Kibao kabla ya kufikwa na mauti aliteswa na kumwagiwa tindikali usoni.
Mwili wa Kibao unazikwa mchana wa leo saa 7 mchana mkoani Tanga. Viongozi mbalimbali wamehudhuria akiwemo Mbowe, Mnyika, Naibu katibu wakuu wa Chadema, Salum Mwalimu (Zanzibar), Benson Kigaila (Bara) na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni.
Leo Jumatatu, Mwananchi limezungumza na Msimamizi wa Mabasi ya Tashriff, Dar es Salaam, Shaban Shemweta ambaye amedai tukio la kuuawa kwa mzee huyo limewahuzunisha.
Amedai watu waliosimamisha basi hilo walikuwa na magari mawili yasiyo na namba ya utambuzi na baada ya kulisimamisha basi hilo, mtu mmoja alikwenda mbele ya gari na kumuamuru dereva asiliondoe gari na wengine wenye silaha kupanda ndani na kumchukua kwa nguvu wakiwa wamemfunga pingu.

Пікірлер: 150
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 6 күн бұрын
Mwanamke hawezi kuongoza nchi tz wanateseka kuna wanaume wanamrubuni samia kwa kuuwa viongozi wa chadema inauma sana😢
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 6 күн бұрын
Maisha yetu kwa sasa yapo matatani binadam tunaogopana daah amani ya tz imeshapotea😢😢😢😢
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 6 күн бұрын
Kwani Marais wsliopita walikuwa walikuwa wanawake ndio wa kwanza kutekwa kabla ya Rais Samia huko nyuma hakuna alietekwa comment sheria isimamie hili na adbabu Kali itolewe ili liwe fundisho
@Habibtyjojo
@Habibtyjojo 2 күн бұрын
Kwenye matukio kama hayo namkumbuka marehemu baba makufuli😢😢
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 6 күн бұрын
Inamaa bus halina camera tukawajua wasio julikana
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 7 күн бұрын
Samia ndiye muuaji. Mwanamke asiye na huruma hata kidogo
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 6 күн бұрын
Raisi wetu hausikie na matokeo hayo kabisa yy huwa anapata habari tu Wanaousika ni vyombo vya usalama t
@neemamangushi8187
@neemamangushi8187 6 күн бұрын
​😂😂😂
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 6 күн бұрын
Kuwa na akili hao usalama wapo chini ya nani​@@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@user-to6cg8uf3f
@user-to6cg8uf3f 6 күн бұрын
​@@ShebbyTheparadiso-hf6fzviko chini ya nani ?? Hujui Rais ndio kila kitu?
@Juma-e8l
@Juma-e8l 6 күн бұрын
Swali nan aliyewaagiza na kwann asitoe taamko rasmi???​@@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@Loftyattorneys
@Loftyattorneys 6 күн бұрын
Kumbe watu walitoa ripoti kituo cha polisi na polisi wakatoa taarifa wakasema kwamba taarifa wamezipata kupitia mitandao ya kujamii! Basi sawa
@mohammedalishamis9405
@mohammedalishamis9405 7 күн бұрын
Inapaswa kuwekwa sheria, Askari haruhusiwi kumkamata raia bila ya kujitambulisha na akiwa anaonekana uso wake sio kujiziba uso
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 7 күн бұрын
Sheria ipo tayari. Wanazivunja kwa maagizo ya wakuu wa nchi. Hawakurupuki tu.
@arafaally2895
@arafaally2895 6 күн бұрын
Wanajitambulisha kama kawaida,na vitambulisho wanaonesha
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 5 күн бұрын
Sheria zipo na wanapaswa kumweleza raia Kwa Nini wanamkamata SEMA hata sisi raia tujifunze na tuwe na utu inakuaje mtu anatolewa ndani ya basi wote mnaangalia na mbaya zaidi hata picha tu sijaelewa
@emmanuelmunuo7529
@emmanuelmunuo7529 6 күн бұрын
RIP ! Mwanga wa milele umwangazie, Eee mwenyenzi Mungu !
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 7 күн бұрын
Mabasi yafungwe CCTV Camera .
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 6 күн бұрын
Inalilahi wa Inalilahi Rajiun poleni Sisi wote ni waja wake tutarejea.
@stonetown578
@stonetown578 6 күн бұрын
Allah ndie mwenye nguvu zaidi atawalipa tu.
@user-zy5ru7pu9m
@user-zy5ru7pu9m 7 күн бұрын
Silaha zamoto , gari hazina plate , na pingu juu. WATU WASIOJULIKANA. NAENDA ZIMBABWE. 😢😢😢
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 7 күн бұрын
Ni hatar saana
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v 7 күн бұрын
Samia muongo anajuwa anachokifanya yy na jeshi lake lapolisi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 6 күн бұрын
Hata makufuli alikuwa muongo
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v 6 күн бұрын
@@alzawahirabdallah2299 sisi twaongelea alien kuwepo madarakani
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 6 күн бұрын
@@user-sd5zf6fz4v tuangalie chama kilicho kuweko madarakani sio kumsema raisi
@mwanaiddi9660
@mwanaiddi9660 5 күн бұрын
Kua makini na maneno yako
@fetychina3969
@fetychina3969 7 күн бұрын
Sasa huyo abiria alie kataakutoa taarifa kwanini nyinyi hamkotoa tarifa police??na mkambeba jamani
@MohdJumaa-q3l
@MohdJumaa-q3l 6 күн бұрын
Uyo ndo atafutwe alokatàa kutoa maelezo
@WakiliHaule
@WakiliHaule 7 күн бұрын
Wenye basi na wao wanajua...kwa nini mtu aliyekataa kufuata mashart ya Wenye bus kuruhusiwa kuwa abiria ndani ya bus ilo?..kama alikataa kutoa number yake ya sim kwa nini awakumuwekea mashaka?
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 6 күн бұрын
Hiyo ni kweli huenda wanajua na Kwa Nini dereva asimamishe gari?
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 6 күн бұрын
Kwa Nini dereva asimamishe basi? Au tashirif mlijua na mchongo? Halafu ww mama usituinjoi
@hapatv2991
@hapatv2991 7 күн бұрын
Wasanii acheni kusifia serikali🇹🇿
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 7 күн бұрын
njaa inauma
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 күн бұрын
awawez wtakfa njaa msanii wangu bora ni nay wa mitego tuu
@Mosmwampa
@Mosmwampa 6 күн бұрын
Sahihi kama msanii hawez kutetea jamii yake ni vizr jamii imtenge
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 6 күн бұрын
Wanatuponza sana😢😢😢
@stanleymanya438
@stanleymanya438 6 күн бұрын
Njaaa acheni waidifie
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 6 күн бұрын
Nyie wananchi mnakuaga mnachukua matukio ya ajali tu na ujinga mwingine ujue sielewi.
@yohanakateko
@yohanakateko 6 күн бұрын
Tuuze nchi mama tugawane Hela tu
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 6 күн бұрын
Innalillah wainnailaihi rajiun
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 6 күн бұрын
Hata Magufuli alilaani tukio la Lissu ingawa kila dalili inaonesha yeye alikua mhusika mkuu...Tunachezewa akili na manyang'au
@user-zw9mi8fn3w
@user-zw9mi8fn3w 6 күн бұрын
Nakuunga mkono 100%
@fetychina3969
@fetychina3969 7 күн бұрын
Dah!jamani 😭😭😭
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 6 күн бұрын
Hao walikw n Chadema na majambazi wenzao na co police.
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 6 күн бұрын
Hao siyo polis Kuna kundi linafanya uhalifu kutuma mgongo wapolisi
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 6 күн бұрын
UNASEMA NINI WEWE
@JUMAMWITA-k9o
@JUMAMWITA-k9o 7 күн бұрын
Waliomteka na kumtesa Kibao na hatimae kumuua wote watakufa mda si mwingi
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 7 күн бұрын
Amina
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 6 күн бұрын
Wasomewe zile dua za waislam ambazo hazimuachagi mtu akawa salama😂😂😂 na huku kwetu umasaini tunavunjaga vyingu😅😅,Lakini kwa jina la Yesu sisi tunawasamehe tu kwani kazi ya kulipiza kisasi ni ya Mungu mwenyewe na hakawii wala hachelewi. Tumkumbushe tu.🙏💔🙏
@IbrahimuLikolinji-ly2tp
@IbrahimuLikolinji-ly2tp 6 күн бұрын
Hapo uchunguzi lazima uanze Kwa viongozi wa tashrifu Kwasababu gari za Tanga zipo nyingi walijuaje kua kapanda tashrifu?? Pia tashrifu zipo nyingi ilikuaje wajue Hadi aina ya gari ????
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 6 күн бұрын
Mmoja WA watekaji alijifanya abiria. Ndie alikuwa ajifanya mawasiliano na watekaji. Sikiliza Vizuri.
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy 6 күн бұрын
Kwa ufupi ni kwamba ukihitajika utapatkana hta upande ungo
@allyseluanja3534
@allyseluanja3534 6 күн бұрын
​@@RoseMichael-oz7cyhahahahaha nitafanyaje itabidi nicheke ila uzuni tuu
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 7 күн бұрын
Huyo aliye kuwa ndani ya basi alipo kamatwa huyo mzee je yeye alishuka au aliendelea na safari?
@WakiliHaule
@WakiliHaule 7 күн бұрын
Kwa maelezo alishuka na kuungana na waarifu wenzake
@ChristianSiwale-iw7ex
@ChristianSiwale-iw7ex 7 күн бұрын
Mngu atalia na sis tunaolia juu ya dam ya baba yet😭😭​@@WakiliHaule
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 күн бұрын
Ivi ngedere na nyani wana chunguzana, kwenye basi mt kauwaw unaonaje hio,ww Allah atusaidie wafe kw Ajali,
@mukhtaromar-g5p
@mukhtaromar-g5p 5 күн бұрын
Ccm wauwaji na serikali yao ya kidhalimu
@eliahmtesigwa4177
@eliahmtesigwa4177 7 күн бұрын
Ni muda Sasa kuwepo na cctv camera kila Mahali na pia sisi wananchi tuweze kutumia sim zetu kurekodi na kupiga picha hii itatusaidia kwa usalama wetu.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 күн бұрын
Na kurekodi umbea na mambo ya kipumbavu ili wapost kwenye insta watamuachia nani?! Kuna dereva wa basi mtanzania amepigwa na kuuliwa na dereva wa roli ambaye siyo mtanzani tena mbele ya macho yao, badala ya kwenda kumuokoa mtanzania mwenzao tena dereva wao asiuwawe wao kama abiria wake ndiyo kwanza wametoa visimu vyao wanachukua video. Kwa hapa tulipofikia tuna watu au tuna matatizo tu!! Pamoja na hali ya matukio yote yanayotea kwenye jamii mwenzenu anachomolewa kwenye basi nanyi mnatoa mimacho kama samaki bila ya hata kuhoji wala kujiridhisha waliomkamata ni nani? Ni watu sahihi au siyo na vipi juu ya usalama wa mwenzenu?! mijitu yote imekaa inaangalia tu... yani inasikitisha sana
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 7 күн бұрын
Wakat lisu anatekwa sipalikuwa na CCTV camera?hizo sio kitu wanachomoa tu
@davidkitindi4096
@davidkitindi4096 7 күн бұрын
Mbona lissu hakutokea
@mnesoboy4338
@mnesoboy4338 7 күн бұрын
Akitokea mumseme mumtukane watu hamna wema
@magigesabai8674
@magigesabai8674 7 күн бұрын
unafikiri yeye ni Malaika kila sehemu awepo
@Mosmwampa
@Mosmwampa 6 күн бұрын
Bado mambo mengine ya chama yanatakiwa kuendelea, kwahiyo sio lazima wakawepo wote
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 6 күн бұрын
Unataka atokee lisu ndo iweje sasa!!!
@binseif2216
@binseif2216 6 күн бұрын
Chadema hatuwapi nchi hata kidogo naamini wao ndo walimteka ili kumchafua mama
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k 6 күн бұрын
Yaani watu Wana dhambi sana bila huruma
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 6 күн бұрын
Kwani kwenye basi hamna kamera au walizima
@AdiaAhmad-s5o
@AdiaAhmad-s5o 6 күн бұрын
Mbona hamna hofu ya mungu. Jamani
@BaadayazkFalaja
@BaadayazkFalaja 6 күн бұрын
Mimi naxoma comennt tu jaman tz
@ShomiKitunda
@ShomiKitunda 6 күн бұрын
Chadema wachungunzwe
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 7 күн бұрын
Je kwani iyo gari aina cctv camera
@HassanNdauka-x1z
@HassanNdauka-x1z 6 күн бұрын
Ivi majambazi wanatumia pingu?
@user-hj8sc7jv5m
@user-hj8sc7jv5m 5 күн бұрын
Hatupandi mabasi ya Tashriff tusije tukatekwa bure
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 күн бұрын
Tuomba Allah subuhana wataala awamwagieTindikali laanahtullah hao n kama firau Farao yukowp aliishia bahar ya sham
@naturelle1097
@naturelle1097 6 күн бұрын
Hivi ndo nchi inapata laana damu ya huyu mzee itawalilia walohusika
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 6 күн бұрын
Tusimlaumu raisi nayule mganga alikuwa watu nakuchukua viungo alitumwa na raisi
@selemankishema5780
@selemankishema5780 7 күн бұрын
Macho yetu yako upande mmoja tu ndio tatizo 😂😂😂
@songombingo108
@songombingo108 7 күн бұрын
Yawe upande gani tena.
@Worldunite
@Worldunite 7 күн бұрын
Watu hawakuchukua hata video au picha zinazoonyesha hata magari au kunakili namba plate?
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 7 күн бұрын
We my unaijua bunduki au unaiyona kwenye moves tu unapata wap ujasiri wa kurikod eee na watz warivyokuwa waoga roho iyo inatoka wap hapo kurifanjama kurikuwa namtu anatoa tarifa za uyo mzee ally na raisi anaubaguri watu wameuriwa mwizi uriopta watu wametekwa na kubakwa na police ndio wausika wakubwa tumepga kelele akajifanya yupo busy na mama hakizi mkazi Leo hii Kafa ally ndio anaongea kwaiyo mzee ally ndio binadamu pekeake na hanaumuimu pekeake maiti zingine hahaha kmya mkajifanya hamjui hamna tarifa adi bunge rikakata kujadri iv mnatuchukuriane nyiie mbwaaa viongozi wa tz,
@fedmiradaf3141
@fedmiradaf3141 7 күн бұрын
Tusiwalaumu sna abiria maana hatujui walikuwa mazingira gani maana km hvyo unasikia watekaji walikuwa ns silaha.
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 7 күн бұрын
Ndugu mbele silaha huwezi kurekodi
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 7 күн бұрын
​@@salimfaraj5509. Balaa kka
@saidrajab3808
@saidrajab3808 7 күн бұрын
Ushaambiwa hazikuwa na plate number
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 6 күн бұрын
Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi rajiun
@aarona.midende1789
@aarona.midende1789 6 күн бұрын
Sasa usalama wetu upo wapi? Ukihitajika unachukuliwa tu km kuku anayeatamia jamani!!!!
@MohamedRajabu-x8k
@MohamedRajabu-x8k 6 күн бұрын
Ufanyike uchunguzi WA kutosha ili wahusika wajulikane siyo Sawa Kuan a kutuhumu hovyo hovyo tu
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 7 күн бұрын
SEMA TU SILAHA..ACHANA NA NENO SILAHA ZA MOTO
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 7 күн бұрын
Zipo siraha baridi na za moto hapo za moto ni bunduki wakati za baridi ni mikuki mishaele au malungu kwahy mtangazaji yupo sahihi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 күн бұрын
Watu wanaojifanya wajuaji​@@user-it7ih1it3m
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 күн бұрын
Yupo sahihi silaha za moto
@ntegrity277
@ntegrity277 6 күн бұрын
BUS HILO HALINA CAMERA?
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 6 күн бұрын
Eti raisi anatumia mitandao ya kijamii kulaani mauwaji na utekaji!!..hiv huyu raisi anachukuliaje watu!..raisi unashndwa kusimama hazarani kutamka kitu juu ya anayoendelea!..kweli Tz tumefka pabaya hatuna raisi hapa!
@user-sz5os6xp5x
@user-sz5os6xp5x 6 күн бұрын
Tuuweni sote mkitumaliza nanyie mfe wapuuzii sana nasisi tumezidi kuwa wajinga yani mwenzenu anachukuliwa kirahis2 nyote mmekaa kimya isitoshe watu wameziba nyuso tujifunze kutembea na siraha yoyote anaposimamisha gari af amejiziba uso nasisi tushambulie lasivo tutaisha
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 7 күн бұрын
Ww kama Samia anajuwa ,mbona ww au mbowe ajuwi, msaidieni basi tujuwe
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 күн бұрын
NA SABOTAGE IPO VILEVILE KUMCHAFUA SAMIA TU
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 7 күн бұрын
Daaah😢
@BahatiIsangu
@BahatiIsangu 5 күн бұрын
Hapa kilichobaki ni kutafuta hifadhi ya ukimbizi tu
@starjay3052
@starjay3052 6 күн бұрын
vipi lipoti ya upelelezi mtekaji msikilize roma kwa makini kuna kitu utanoti apo apo ni unafki tu unaendelea
@RahmaMwalimu
@RahmaMwalimu 6 күн бұрын
Jaman mbona nchi za wenzetu barabara zote zimefungwa camera why tanzania wasifanye hivi jamani,hata kama ni uhalifu wote unaonekana
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 7 күн бұрын
MUUAJI MUUAJI HUYO SAMIA.
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 6 күн бұрын
Revolution not an applee Che Guevara
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 6 күн бұрын
Simba mla watu
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 6 күн бұрын
Tunapenda habari za kuona sio kisimuliwa
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 6 күн бұрын
Kunaumhimu sasa kila bus liendalo mkoani yawe na camera
@omanoman2044
@omanoman2044 6 күн бұрын
Mungu wangu serekali imekosa nguvu ya kufanya kaz imebaki kuteka watuy huyo mam atole tuy atoke madarakan hatumtaki hata kam ni msilim mwezetuy aende tuy
@user-zw9mi8fn3w
@user-zw9mi8fn3w 6 күн бұрын
Serikali ya CCM kupitia uongoz wa rais Mafufuli na Samia haya yamekuwa ni matukio ya kawaida kabisa. Hata Magufulia alisema analaani shambuliz la Tundu Lissu hali ya kuwa dalili zote za nje zilionyesha kuwa yeye ndo muusika mkuu, Samia nae anadai kulaan tukio hili. Pasonally sina iman na CCM.
@SabrinaRamadhan-s9u
@SabrinaRamadhan-s9u 6 күн бұрын
Rp
@KiringoMtemi
@KiringoMtemi 6 күн бұрын
Na uchunguzi wa lisu pia ukamilike kesi za wachedema kutekwa na kuuwawa huwa uchunguzi hutakamika mpaka mwisho wa dunia wauwaji nyinyi mnajikosha baada ya muda mnàkuja kuua tena
@PaulAntony-i4c
@PaulAntony-i4c 6 күн бұрын
Hata Kama wangekua na kamera Combi language naiomba serikari iwashugulikie Hawa wanaofanya hayo Mambo
@muzneali4747
@muzneali4747 6 күн бұрын
SWALI WALIJUAJE KAMA ANASAFIRI NA BASI LA TASHFIF ?? NA MUDA WA SAFARI YAKE ?? JE HAO MAAJENTI WA TICKET HAWAKUHUSIKA KUTOA TAARIFA???
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 күн бұрын
Makubwa 😮 Mtu anakataa kutoa taarifa zake kwenye tiketi mngemnyima tiketi
@gracemima5234
@gracemima5234 6 күн бұрын
Hawo lazima walikuwa Polis
@hitlerwihirirya9637
@hitlerwihirirya9637 7 күн бұрын
Ongeza masikio
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 6 күн бұрын
Alilaani nin Kwan huyu ndo wa kwanza kutekwaa
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 6 күн бұрын
Mmmh mmmh mmmmh Baba pumzika kwa amani. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani.
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 6 күн бұрын
Tuna ijua hiyo Tuna tulia tuu
@Mosmwampa
@Mosmwampa 6 күн бұрын
Yaan inaudhi unaposikia kauli za rais ambazo ni za kinafiki kabisa. Sijui wanatuonaje watanzania bara
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 6 күн бұрын
Akikamatwa uyo moja aliyokuwa kwenye gar hata tundulisu tunajua aliyo muuwa
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 6 күн бұрын
Ww dada mbwa nataka kusikia waliokwepo
@AdiaAhmad-s5o
@AdiaAhmad-s5o 6 күн бұрын
Punguza kwa amani
@ShaidaAfati
@ShaidaAfati 6 күн бұрын
Mama samiya gaidi makubwa katika nchi hi sote tunafaham
@shabanikitula645
@shabanikitula645 6 күн бұрын
Tashriff ni mjumbe wa CCM ni kada kindakindaki
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 6 күн бұрын
Nani alie waambia watekaji,alli kibao anasafiri?hapo Sina hakika laxma Kuna mtu
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 6 күн бұрын
Kama ni rais peleken ushahidi msiongelee huku insta😂😂😂😂😂
@mohamedsaidalhabsi7862
@mohamedsaidalhabsi7862 7 күн бұрын
Wangepiga picha gari la wahalifu ingekua safisana
@mangashajunior242
@mangashajunior242 6 күн бұрын
Jamsni watu wawajibike au wawajibishwe...
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 6 күн бұрын
Wapumbavu,kwanini msiwapige picha? Mdebwedo
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 6 күн бұрын
Gari halina camera
@frankmpanda3405
@frankmpanda3405 7 күн бұрын
Hv mabasi huwa hayana CCTV camera ndani?
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 7 күн бұрын
Lamda walivaa ninja awa ccm watamaliza watu😭😭😭
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 7 күн бұрын
Mabasi ya ABOOD yanayo CCTV CAMERA
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 6 күн бұрын
Tashirifu wasenge,kwanini msiondoe gari kwakuwagonga?
@MaryamHamisi-m7r
@MaryamHamisi-m7r 6 күн бұрын
Mgh
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 7 күн бұрын
Jamani hii ni laana kabisa utawahuku na mshahara wa dhambi ni mauti
@JumaHamisi-x1n
@JumaHamisi-x1n 7 күн бұрын
Risu wanini wewe unauliza risu
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 7 күн бұрын
Basi zinakamera so wangarie kamera
@martinlema4192
@martinlema4192 7 күн бұрын
Hapo nimeelewa kitu. Alikata tiketi ikasoma jina lake ndo wakaja watekaji ila imefichwa ili isijulikane kwamba eti hakutoa namba za simu. Hapo inamaanisha kunamtu amethibitisha namba kuwa ni ya wanayemtaka ila amefichwa isionekani nani aliforwadiwa meseji mkampambanisha ticket ambayo haina namba... Daaa...
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 7 күн бұрын
Haohao Watashrifu ndio mashahidi
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 6 күн бұрын
LINCHI LA MAUAJI KISHA UTASIKIA VIONGOZI,..''tunataka umoja amani na mshikamano,...PUMBAVU
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph 6 күн бұрын
Chadema wachunguzwe
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 123 МЛН
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 13 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 44 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 34 М.
AI chip makers battle for dominance | BBC News
21:17
BBC News
Рет қаралды 49 М.
GWAJIMA ATAJA watekaji, BILA UOGA Ataja MAJINAAAAAAAAAAA
13:23
MALAVIDAVI Kenya
Рет қаралды 136 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 123 МЛН