#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 5,816

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

#EXCLUSIVE: MTAALAM wa BANDARI Afunguka USIYOYAJUA Kuhusu BANDARI ya BAGAMOYO..
Global tv imezungumza na mtaalamu wa masuala ya bandari ambaye afafanua mambo mengi yahusuyo bandari za Tanzania.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 22
@kipepeo_Kitchen
@kipepeo_Kitchen 2 жыл бұрын
Mtangazaji, very good command, skilful and confident! Keep it up.
@mathiasmhoja8540
@mathiasmhoja8540 2 жыл бұрын
Uyu jamaa very intelligent ,
@joycekingu1530
@joycekingu1530 2 жыл бұрын
Bwana Julius umeelezea hili swala la professionalism vizuri. Training ya wafanyakazi wote ni muhimu. Ports tuliluzonazo zinahalalisha tufungue University ya MARITIME AND SHIPPINGNG . Wataalamu katika ngazi zote pamoja na on job training.
@nyambwirobakari9436
@nyambwirobakari9436 2 жыл бұрын
Mama SSH muone huyu Julius Ni mzalendo. Hongera Sana kaka Julius
@majaliwamaingu2825
@majaliwamaingu2825 2 жыл бұрын
Julius ni kichwa haswaaaa, hawa ndo wanatakiwa kuwepo jopo la kumsaidia Rais kwenye masuala mazima ya Port Operations. Yaani anajua, anafahamu, anaelewa na anaitambua vizuri sana hiyo kazi kwani ameisomea na ameiva kisawasawa na bila kusahau ni MKWELI kama siyo muwazi. Mimi binafsi ninamwamini sana.
@joachimndelembi2798
@joachimndelembi2798 2 жыл бұрын
Ninamfahamu siku nyingi na amejitokeza mara nyingi, kwanini serikali wasimtumie?
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Heri na fanaka namaendeleo na afia na Amani kwa watz na nchi yatz heri afia kwa sirikali yatz pamoja na mh mama Samia mh sorro nawakuu wa ulinzi na Amani mh jafo mh Majaliwa mh mama korona ummy nawote wasirikali nawatakia heri na afia njema kwa mwaka mpia mungu yatuweke hai ishallah
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
Family bay Family Tanzania job
@nyambegamatoro6817
@nyambegamatoro6817 2 жыл бұрын
Twaambie bila kupepesa . Pesa ya kujenga bandari hii inapatikanaje ? Je ni ile mikopo mikubwa mikubwa tunayosikia?
@habibunguvumali3331
@habibunguvumali3331 2 жыл бұрын
Hii Bandari ni muhimu Sana watanzania tutapata mafanikio makubwa
@josephrutta6834
@josephrutta6834 2 жыл бұрын
KWA KWELI HATA MIMI NAJIULIZA SANA. KWA NINI JAMBO KUBWA HILI SERIKALI INAPAMBANA KULIFANYA KWA ubiaaa??? KWA NINI TUSIJENGE WENYEWE KIDOGO KIDOGO HATA KWA MIAKA 20??? WATU TUNA AKIRI, HAKUNA MFANYA BIASHARA ASIYETAKA FAIDA. KWA NINI WANA HARAKA NA HII BANDARI YA BAGAMOYO???
@sudijackson2932
@sudijackson2932 2 жыл бұрын
Mungu katupa neema watanzania kwa kutuletea mtaalamu wa mambo ya bandari, Nguhura anajuwa mpaka amepiliza, Mungu akulinde na akupe maisha marefu ili uendelee kuitanganza industry ya shipping and port kitaifa na kimataifa... 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@constantinebuhilya9454
@constantinebuhilya9454 2 жыл бұрын
Wataalalmu wetu hawa huwa siwaelewi hata kidogo. Mimi naamini uadilifu ndo unatangulia kuliko hiyo inqyoitwa professionalism. Miongozo yote ya utendaji iko wazi, wizi ndo tatizo.
@jettymandizanohainamfano770
@jettymandizanohainamfano770 2 жыл бұрын
SELEKALI LAZIMA WATU WAPIGE PESA TU KWASABABU TRA NA SEKTA NYINGINE NI WAPIGAJI TU WANATAKIWA USHURU WA KITU CHOCHOTE UJULIKANE SASA ANAEAGIZA MZIGI HAJUI USHURU ANACHO KIAGIZA NNJE. MZIGO UKIFIKA ANOEWA KODI ZISIZO SAHIHI KWA VILE MZIGO UMEFIKA HUWEZI KUURUDISHA WANAJUA UTALIPA TU WATAKACHO KULIPISHA.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 жыл бұрын
Wataalam kama hawa hawaonekani na viongozi hizo nafasi wana wapa ndugu zao.
@sudijackson2932
@sudijackson2932 2 жыл бұрын
Serikali inatakiwa kuwatumia hawa wataalam kwenye mambo ya bandari ili kuongeza pato la taifa.
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Yinaonekana kua Magufuli haupo kutafuta wataalamu nje ?sasa wataz wataonekana vipi ?au masomo yao watayatumia wapi? uzalendo na kuhivazi bidhaa nakuwapa kazi watz yipo wapi? Kuna wakati mtu haelewi siasa yaujamaa namaendeleo yanchi tz yinatumika namna gani
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 2 жыл бұрын
Huyu mtu si mtaalam was uchumi..Ni mtaalam wa.upande upi tanga haikuwa na viwanda vikubwa ila ilikuwa na viwanda vingi Amboni si kiwanda kikubwa. Hajui viwanda vikubwa viwanda vya kati na viwanda vidogo.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 2 жыл бұрын
Kwenye issue ya Bandari ya Bagamoyo umechemka, hata nchi zilizoendelea zinakopa hata Marekani, United Kingdoom au China wanakopa itakuwa Tanzania,
@sudijackson2932
@sudijackson2932 2 жыл бұрын
Kweli nchi hii ya tanzania wajinga hawawezi kuisha, saidi unasema mtaalamu amechemka eti hata china na marekani wanakopa huu ni ujinga uliopitiliza tena umeropoka, Nikuulize hivi Bakheresa akienda kukopa na wewe utaenda kukopa kisa bakheresa amekopa? Yaani unafananisha Tanzania na china au marekani! Jiongeze uchumi wa Tanzania uko chini hivyo hatuwezi kukopa kisa china na marekani wanakopa, Hivi unajua china imeshateka bandari ngapi kwa mataifa ya nayoendelea kisa tu mataifa hayo yalishindwa kulipa mikopo, sasa unataka na tanzania tuingie huko? Hivi unajua huyu mtaalanu anaehojiwa ni mjumbe wa board ya shipping ya Dunia na Nimtaalamu mbobezi wa uchumi wa meli na bandari?
@andreaotaigo40
@andreaotaigo40 2 жыл бұрын
Ulishashuhudia wanakopa au na wewe ndo wale wale tu!
WAZIRI LUKUVI "WALIOPORA SHAMBA BAGAMOYO WAKAMATWE"...
6:14
Global TV Online
Рет қаралды 2,9 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
UHITAJI MKUBWA VYUMBA VYA MELI | BANDARI YA BAGAMOYO |
3:34
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 651
THAMANI ZETU: Je? Watambua Kanisa linaloongoza kwa Maajabu Bagamoyo.
32:24
TRUTH: Is Raila a CONMAN?
17:58
Herman Manyora
Рет қаралды 26 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН