Madudu Hospitali ya Bagamoyo yawaweka matatani mganga mfawidhi, matroni

  Рет қаралды 3,066

Azam TV

Azam TV

3 жыл бұрын

Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Festo Dugange, amewasimamisha kazi mganga mfawidhi wa Wilaya ya Bagamoyo, matroni wa hospitali hiyo baada ya kubaini madudu mengi kwenye hospitali hiyo kuanzia kwenye mapato yatokanayo na huduma za bima ya afya, huduma mbovu, uchafu wa mazingira na kutoweza kusimamia majukumu yao vizuri.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 6
@ismailsalum4127
@ismailsalum4127 3 жыл бұрын
Safi sana. Ma Dr wa hapo majeuri sana hawana rugha nzuri hata kidogo. Wazembe sana..
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 3 жыл бұрын
Daaa! Upo saf sana. Kuna cku nmewai kwenda kutibiwa hapo, mapokez nmepita vzur tu, lakin nilipofika kwa daktar nilikaa SAA 1 na nusu hakuna daktar chumba kipo wazi. Nikampigia DMO akanijibu yupo hapo ndoanaingia. Niliumia sana nkaamua tu kuondoka. Tulikuwa wagonjwa wengi wengine walikuwa zaid yangu na wazee
@chaavikachangilamathew5753
@chaavikachangilamathew5753 3 жыл бұрын
Safi sana Dr Dugange. Piga kazi
@salmakaniki4270
@salmakaniki4270 3 жыл бұрын
Kweli kabisa yani wanazalahu kama wanajilipa wenyewe ukifika mala mashine mbovu kwa wazee akuna dawa yani ovyo ty 😢😢😢
@siyeyetv
@siyeyetv 3 жыл бұрын
Na hosptal ya temeke mtrmbelee mana sasa mhuu
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
THAMANI ZETU: Je? Watambua Kanisa linaloongoza kwa Maajabu Bagamoyo.
32:24
WAZIRI LUKUVI "WALIOPORA SHAMBA BAGAMOYO WAKAMATWE"...
6:14
Global TV Online
Рет қаралды 2,9 М.
POLISI WANASA MADUMU 30 YA MAFUTA YA KULA BAGAMOYO
3:51
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,5 М.
NABII AFANYIWA DUA BAGAMOYO
8:24
PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Рет қаралды 1,3 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН