WAZIRI LUKUVI AKUTA MADUDU MATUPU BAGAMOYO, AFOKA - "NITAWAFUNGA WOTE, SITAJALI ni KIONGOZI"

  Рет қаралды 3,517

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

WAZIRI LUKUVI AKUTA MADUDU MATUPU BAGAMOYO, AFOKA - "NITAWAFUNGA WOTE, SITAJALI ni KIONGOZI"
Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, ameendelea na ziara yake mkoani Pwani ambapo amefika katika wilaya ya Bagamoyo na kubaini udanganyifu wa hali ya juu ambao unafanywa kwa kushirikiana na viongozi...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 8
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 жыл бұрын
Nchi hiii.....mmmh... Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@hamisipolenisanaissa8859
@hamisipolenisanaissa8859 2 жыл бұрын
Uliiwezea wizara hiyo
@matukiosafaris6508
@matukiosafaris6508 3 жыл бұрын
Mheshiwa Waziri nakupongeza sana watu wote wanaosababisha migogoro ya ardhi ni lazima wafungwe na wengi wao ni viongozi wa halmashauri viongozi wa wilaya na watu wa ardhi wenyewe
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 3 жыл бұрын
Lukuvi 4 Tz mpya.Okoa mateka
@matukiosafaris6508
@matukiosafaris6508 3 жыл бұрын
Wilaya ya mvomero morogoro migogoro mingi ya ardhi inasababishwa na viongozi wa halmashauri
@praygodndosi8481
@praygodndosi8481 3 жыл бұрын
Nilitapeliwa na mwenyekit wa kijiji kidomole kumbe eneo aliloniuzia ni la msikiti viongoz tunawaamin kumbe ndo matapel ila jela inawasubir
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 2 жыл бұрын
HAWA WOTE NI MAZALIA YA CCM. CHAMA KINACHOFUGA MAJIZI, WANAFIKI, WAZANDIKI, MAKUWADI NA MADALALI WA RASILIMALI ZA NCHI YETU. WOTE HAWANA LOLOTE, LONGOLONGO TUPU NA KULINDANA KWENYE MAMBO YAO YA KIFISADI NA KIPUUZI.
WAZIRI LUKUVI "WALIOPORA SHAMBA BAGAMOYO WAKAMATWE"...
6:14
Global TV Online
Рет қаралды 2,9 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 13 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 3,1 МЛН
Wananchi wa Makurunge Bagamoyo wamuomba Wazili Lukuvi amalize kero yao ya Ardhi
5:20
VANILLA KISARAWE INTERNATIONAL FARM
Рет қаралды 1,4 М.
Safari ya Kuelekea Bagamoyo.
4:36
P-HAKI TV
Рет қаралды 1,4 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 13 МЛН