EXCLUSIVE: MWANAFUNZI ALIYEPIGIWA SIMU NA JOKATE BAADA YA KUTREND "ATANISOMESHA HADI NAMALIZA"

  Рет қаралды 34,804

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@magdalenampanda1426
@magdalenampanda1426 10 ай бұрын
Sahihi sana ulichosema Mheshimiwa Katibu Mkuu UWT MUNGU akutane na haja ya moyo wako
@leoncealex7343
@leoncealex7343 10 ай бұрын
Uzuri huyu dada anasikiliza na nimsikilizaji mzuri. Nimpe tano zake 👊
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 10 ай бұрын
Kabinti kazuri sana na kanajielewa hongera sana kwa wazazi
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mh J 🙏🙏Hongera sana bint utafika mbali kaza but One Day Yes🙏❤️
@JoelPonela
@JoelPonela 10 ай бұрын
Nimependa, hu JOKET kasema usitamani kuwa kama mimi, tamani kuwa kama MUNGU alivyo kujaria kua, apo fikiria kwa umakini sana kwakila mtu,
@innocentmbunda736
@innocentmbunda736 10 ай бұрын
Hongera sana unajiamini na unastahili kila unalohitaji katika maisha yako.. unafaa kuwa lawyer na politician
@RozinaHamisi
@RozinaHamisi 10 ай бұрын
Ma shaa Allah kiongozi wa kesho kwetu songea mungu ajibu dua zako na akuwezeshe kupambania ndoto yako bibiana
@AyubuNgubi
@AyubuNgubi 10 ай бұрын
Na nimzuri pia 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@beatricekaaya1381
@beatricekaaya1381 10 ай бұрын
Beauty with Brain❤
@auntdorah9141
@auntdorah9141 10 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki mhshmw Jokate... Wewe ni mfano mzuri wa kuigwa na vijana wa kike na hata wa kiume pia...nakukubali unavyojiamini na kwa ujasiri wako...karibu kila mzazi anaejielewa anatamani ungekua mtoto wake...na karibu kila binti anaejitambua...anatamani kuwa kama wewe... Mimi nakuona mbali zaidi mhshmw waziri wetu...
@halimahalima1488
@halimahalima1488 10 ай бұрын
MashaaAllah 🥰
@BeatriceMacha-pf9ey
@BeatriceMacha-pf9ey 10 ай бұрын
Hongera sana
@ErickBeda-nh8ng
@ErickBeda-nh8ng 10 ай бұрын
Shadyah cute apa ongera sasa dada joket mungu akuzdishie pia❤️❤️
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 10 ай бұрын
Shule niliyosoma nilimaliza mwaka 2010
@omanoman9766
@omanoman9766 10 ай бұрын
​@@JescaMwagama-oc9ytkha kumbe we WA juzi to
@calistgwaydamuy8813
@calistgwaydamuy8813 10 ай бұрын
Smart one,, very nice
@zephaniapaul9592
@zephaniapaul9592 10 ай бұрын
💪💪good point sister
@SiwemaSelemani-iq9oh
@SiwemaSelemani-iq9oh 10 ай бұрын
Mungu akupiganie san
@sophianyange3655
@sophianyange3655 10 ай бұрын
Ongera sana dogo mungu hakulinde
@charlestheopister221
@charlestheopister221 10 ай бұрын
Shule yng nilosoma❤
@EvelynMonica-ib3op
@EvelynMonica-ib3op 10 ай бұрын
Hongera binti yangu 🎉
@nipherjoseph8561
@nipherjoseph8561 10 ай бұрын
Wa kwanza Leo hongera dada mdogo
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 10 ай бұрын
Ana vision sana mtoto
@navioma4882
@navioma4882 10 ай бұрын
Hongera mdogowangu
@user-bl1rg2kk7r
@user-bl1rg2kk7r 9 ай бұрын
Jaman naombeni namba ya iyo shule
@user-bl1rg2kk7r
@user-bl1rg2kk7r 9 ай бұрын
Naomb namba ya sim
@experiuskamugisha6722
@experiuskamugisha6722 10 ай бұрын
Nashukuru Kwa ushauri uliompa binti
@rosehaule6765
@rosehaule6765 10 ай бұрын
Nyumbani kwetu kusongeaa❤
@nancyg8664
@nancyg8664 10 ай бұрын
Bombinyumbi😆😆😆🖐🤣
@juliethndomba639
@juliethndomba639 10 ай бұрын
Mlongo za magono
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 10 ай бұрын
Hiyo video mgeipost kukumbushia wengine hatujsiona
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 10 ай бұрын
Tunausa hyo video kwa shilling 20000 ni tamu sana
@nancyg8664
@nancyg8664 10 ай бұрын
@@barikilangoy4737 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uwiiii
@lusticabernad9982
@lusticabernad9982 10 ай бұрын
@@barikilangoy4737 hahhaahahhaa
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 10 ай бұрын
​@@nancyg8664hahahhahahha
@amanisaid9863
@amanisaid9863 10 ай бұрын
Hua mm nakukubar xana ww ni mfanoo Muheshimiwa Mungu akusimamie
@AminielMbise-cl3fq
@AminielMbise-cl3fq 10 ай бұрын
Wasaidieni ambao hawajafanikiwa kusoma. Mbona Mbuge Musukuma amefanikiwa na hajasoma sana. Wasaidieni wananchi wa hali ya chini. Kwani kufanikiwa ni nini kama siyi kuwa na chakula , matumizi, nyumba na Amani
@user-om7lv9cj3n
@user-om7lv9cj3n 10 ай бұрын
Mbona hata na sautiiiiiiii ya mheshimiwa imebadilikaa jamani
@AzharluqmanHema
@AzharluqmanHema 10 ай бұрын
😅😅😅 connection utaipata joket she a hero'
@AminielMbise-cl3fq
@AminielMbise-cl3fq 10 ай бұрын
Je kama mtu hajafanikiwa kusoma yeye hana haki ya kufanikiwa?
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 10 ай бұрын
Ndio niceee tu unavyopambana wapo watu awajasoma na wamefanikiwa Ila elimu ni muhimu pia
@MichaelMaro-hj7yo
@MichaelMaro-hj7yo 10 ай бұрын
MUNGU ametupa wewe mwenetu sisi wazazi Tuko nawe we n hazina ya TAIFA MUNGU AWE NAWE KAZA BUTI KIONGOZI WETU
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 10 ай бұрын
Sasaa mbona hujamuamkia😂😂
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 10 ай бұрын
Ametekewa hakutegemea
@francolocco
@francolocco 10 ай бұрын
Aliongea kilugha au nimeckia vibaya
@mariaagnes447
@mariaagnes447 10 ай бұрын
Hicho ni kilugha😂😂😂
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 10 ай бұрын
Jamanieee mwenye no ya joket mulaba naona nitumiwe no yake .
@AyubuNgubi
@AyubuNgubi 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@Ayoon_Furniture
@Ayoon_Furniture 10 ай бұрын
Alifanya nini kwani
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 10 ай бұрын
Eeeeeeeeee
@oliviamkilima7043
@oliviamkilima7043 10 ай бұрын
Mwegero apewe maua yake henoheno !!!!
@aishamsemwa-zu3eo
@aishamsemwa-zu3eo 10 ай бұрын
Hongera sana
HUU NDIO MUONEKANO HALISI WA SHULE YA MH. JOKATE MWEGELO
23:55
Wasafi Media
Рет қаралды 80 М.
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 40 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
Mfahamu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Tanzania Jokate Mwegelo
24:29
BBC News Swahili
Рет қаралды 62 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 40 МЛН