EXCLUSIVE NA MZEE YUSUF BAADA YA SHOW NARUDI MJINI: MADENI YAMEFANYA NIRUDI KWENYE MUZIKI

  Рет қаралды 126,390

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 508
@omaribaga7618
@omaribaga7618 4 жыл бұрын
Subhana allah mzee kaka yangu kitu gani kilicho kusibu unajibu maswali uku ukicheza tena una furaha wala una ofu nafsi yako wala haijutii mm sina mengi tuna mwachia allah
@henrylugongo632
@henrylugongo632 4 жыл бұрын
Jamani tusimuhukumu wote Sisi ni wadhambi na tukumbuke kuwa MOLA wetu ni mwingi wa kusamehe.sasa tusihukumu tusije hukumiwa
@linahgitige4911
@linahgitige4911 4 жыл бұрын
Nilichogundua walimwengu hampendi jema kwa wenzenu mlitaka afungwe na hayo madeni hi ndo kipaji alicjojaliwa na Mungu ulitaka afanye kazi gani???? Au huko misikitini mkienda swali mnalipwa??? Baba kapigeee kazi 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏all the best bro
@mohamedabdallaali1956
@mohamedabdallaali1956 4 жыл бұрын
Mungu amjaalie yy na sisi khatma njema
@mahersaid258
@mahersaid258 4 жыл бұрын
Ameen 🙏
@babuherry806
@babuherry806 4 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatulaah wabarakatuh kwenye maisha usijione wew ni bora kuliko Mwezako mungu ndoo anatoa hukumu Allah amjalie mwisho mwema Yaa Raby takabali Dua
@uwezogroupcomedy1135
@uwezogroupcomedy1135 4 жыл бұрын
Aaaaamin
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Aamiiin
@ummfasam7656
@ummfasam7656 4 жыл бұрын
Innalilahi waina ileh rajiun. Allah amuongozee na sisi wengine asitujaalie kurudi nyuma.
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 4 жыл бұрын
Aamiin
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Aamiiin
@faizabbas4620
@faizabbas4620 4 жыл бұрын
Allah akuongoze yusuf..🤲🤲
@abdibakari641
@abdibakari641 4 жыл бұрын
Ameen
@aulidriver3102
@aulidriver3102 4 жыл бұрын
Kweli Allah amejaalia pope kuwa na vitu vya kuchukiza na miyihani ming mno na akaalia moto kuwa na vivutio vyingi sana vya matamanio ya kutenda dhambi sio rahisi mwanadamu kuepuka bali Allah anawependa wenye kusubiri Allahumma jaalna mina swabiriin (Allah akurudishe kuwa na imani dhabiti ) ameen
@mudasina900
@mudasina900 4 жыл бұрын
Allah tunakuomba mwisho mwema Amiin
@saadiashariff920
@saadiashariff920 4 жыл бұрын
Ameen thumma Ameen
@ndabadugitsefuraha7835
@ndabadugitsefuraha7835 4 жыл бұрын
Jamani achana Eni na nmnze yusuph kila mtu na yake kumbukeni wamamazenu watawakimbieni siku ya kiama kwahio kila mtu na yake washsmuongoza anajuwa mpaka kwenda Maka aliskia ivi karudi muacheeeeeeni jamani liyenu naye u mnze wawatu muacheni nyie kusali tu kila mtu na yake pengine yeye nibora kuliko nyie ambayo yamejificha jamani tusali acheni kuwangalia vidio za mnze yusuph fateni mambo yenu basiii kila mtu alie kwa allah ampe mwisho mwema mwema eeeeeeeh aminaaa rabiiii
@msafirisaididid2978
@msafirisaididid2978 2 жыл бұрын
Amen
@thierryt7689
@thierryt7689 4 жыл бұрын
Subhanallah
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 жыл бұрын
Kwa Mwanamme mwenye akili sawa sawa ktk maisha hapa duniani kosea kila kitu lakini sio mke wa kuoa (usipokuwa makini ni rahisi sana mke kuamua hatma yako ktk maisha), Kwa yote tunayoyafanya siku zote lazima tutambue "...Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea"!! ...nimesema haya kwa uchungu na masikitiko makubwa, jamii inahitaji watu wa kuijenga na wala sio kuibomoa kimaadili, kwani haya yanayotokea yanasikitisha, Ee Mola tujaalie mwisho mwema, Aamen!!
@ahmedibrahim-bg2uz
@ahmedibrahim-bg2uz 4 жыл бұрын
SubhanAllah tumuombeye huyu ndungu yetu arengeye njia Haki ya Allah Kadir.
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Huyu si mtu anamchezea mungu
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Huyu aregee wapi ndio kashatoka
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Aamiiin
@mudylipawaga5362
@mudylipawaga5362 3 жыл бұрын
Allah tujaalie mwxh mwema inshaallah
@mamaahmad8615
@mamaahmad8615 4 жыл бұрын
Ww unacheza na mwenyez mungu umetubu mwenyewe leo unarudi kwenye ibilisi nilikuwa shabiki yako lakini kwa hili ufeli mzee yusufu umerudi kwenye laana ulikataa hata nyimbo zako zisipigwe pole mzee yusufu mwenyez mungu akupe mwisho mwema
@malavidoaluminium8681
@malavidoaluminium8681 4 жыл бұрын
Wew shetan ulkuj kupotosh waislam umechemk hun tofaut n makafir wew n ibilis xax usiambiw ukwel km unatok kwenye maadil wew shetan hun aibu allah akuazibu kw kumtukana n kumzalilish mtume
@ramadhanijamali5155
@ramadhanijamali5155 4 жыл бұрын
Duuh mzee yusufu pole.sana ndugu yangu kwakumdipu allah ila usijali atakupigia inshaallah
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR.....Yaani mwenyewe anaongea huku anajitingishatingisha Kwa madaha na dharau’ sawa ila Tambua MOYO Ndio adui mkubwa wa binaadam ‘ Omba ALLAH akupe maisha ili utubu tena ‘ Lkn ikitokea Roho ikaacha mwili ujue utaangukia pabaya sana..!
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Si kazoea tangu zamani huyu si muislamu mlevi mkubwa
@tausimleela8275
@tausimleela8275 4 жыл бұрын
Allah atuhifadhi sote...kukosa Haya mpaka mbele za watu...luqman alahisalam alisema kiumbe mbaya zaidi ni yule anae Fanya maasi mbele za watu bila kujali
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
Waimba tarab mipasho mpka kwa Mola wao subhanallah
@RioIpo
@RioIpo 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 dah nimecheka kidogo
@saadiashariff920
@saadiashariff920 4 жыл бұрын
Allah atustiri, Ameen thumma Ameen. mimi binfsi naogopa mtihani kama huu, audhubillah
@adijarashidi1426
@adijarashidi1426 4 жыл бұрын
Allah atuongoze
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 4 жыл бұрын
Kuna mtu kamfila mwanafunzi wake msitini nahuyo
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Aamiiin
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 4 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun, Mzee Yussuf hajamkomoa MTU Bali kajikomoa yeye mwenyewe
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Kabisa ndugu yangu atajuta mweyewe
@fatwimabintathmanbinthawa8155
@fatwimabintathmanbinthawa8155 4 жыл бұрын
Innalillah wa innaillayhi Raj'iuun ata kunywa pombe kanywa Ya Allah tupe mwisho mwema YARABII🤲😥😥
@solomtz7049
@solomtz7049 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤔🤔ndio kalewa huyo
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
Shuhul zao bila kinywaji unadhan itaenda na kinywaji ndo shetan mkubwa mama wa maasia
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 4 жыл бұрын
Ameuza moyo wake kwa devil hamuoni anapewa nyota ya kuforci yakupendwa huoni ampe pewa ma bodyguard analindwa na lucifer nani upo na mm ? Nasema nani upo na mimi!
@maxozone3762
@maxozone3762 4 жыл бұрын
Mungu ndiye Hakim ,muachieni mwenyezi mungu
@mariamsfamily482
@mariamsfamily482 4 жыл бұрын
Ukweli mungu ndie hakimu
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Kabisa
@mrfix6596
@mrfix6596 4 жыл бұрын
Nina wasiwasi ALLAH asijemuweka mjini zaidi anavyojiona yupo mjini.
@fatwimabintathmanbinthawa8155
@fatwimabintathmanbinthawa8155 4 жыл бұрын
Bado anamtazama jibu atalipata inshaa'Allah
@abdallahsimba
@abdallahsimba 4 жыл бұрын
MISSED THE SHEITWAN MAALUN NDIO SIFA YAKE,USALI NA KUOMBA ILI USIPATE MTIHANI WA ALLAH SIUNAJUA ALLAH HAMPENDI BINAADAM kibri
@MohamedAhmed-ix3mf
@MohamedAhmed-ix3mf 4 жыл бұрын
Hana tofauti na nabii tito baradhuli
@abdallahmwalimu1428
@abdallahmwalimu1428 4 жыл бұрын
إِنَّا لِلَّٰهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ‎, ʾinnā li-llāhi wa-ʾinna ʾilayhi rājiʿūn
@rickmsodok3496
@rickmsodok3496 2 жыл бұрын
Mwenyezimungu tupe mwisho mwema
@zainabujuma4278
@zainabujuma4278 4 жыл бұрын
Jamani tumuachie allah, hayup mwanadamu aliepew kazi y kuhukumu n allah peke ake.
@zenajshsjsks7736
@zenajshsjsks7736 4 жыл бұрын
Usione sifa wwe unabeba majukumu ovoo atahupendezi ovoo jituzima tarabu itakupeleka.wapi wwe pole Sana
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Sasa nani alie muhukumu wakati mwenyewe yuko tayari na dhaba za mwenzi mungu kwani kuna mtu alimsemea??
@allyjumanne3144
@allyjumanne3144 4 жыл бұрын
Hata we mpuuz2
@rayhanaffan7364
@rayhanaffan7364 4 жыл бұрын
Watu hawahukumu hukumu za dhambi zote mtume kazisema acheni kuon watu wanahukumu
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 4 жыл бұрын
Ameuza moyo wake kwa devil hamuoni anapewa nyota ya kuforci yakupendwa huoni ampe pewa ma bodyguard analindwa na lucifer nani upo na mm ? Nasema nani upo na mimi!
@ibrahimmawazo7165
@ibrahimmawazo7165 4 жыл бұрын
ALLAH KNOWS HUGE THINGS THAN US, ALLAH GUIDE US IN A STRAIGHT PASS.....
@mohamedzein4194
@mohamedzein4194 4 жыл бұрын
Mzee unacheza na Mungu haya subiri sasa kichapo chake
@africa7479
@africa7479 4 жыл бұрын
Umepewa mtihani na Allah, umefeli pole sana, pia hata hela yako ya hija inawezekana ilikua ya haramu ndo maana hukuyatoa moyoni, pia Allah anasema "mnafikiri tutawaacha burbuer tusiwajarbu eti kwasbabu mmesema mmeamini" .....,umefel sna tena unaonekana na jeuri
@jamilasalum5236
@jamilasalum5236 4 жыл бұрын
Mzee yusuph umemkosea Allah ,na bora zaid ungenyamaza tu sio kusema maneno hayo
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 жыл бұрын
We hutendi dhambi?
@davidlekasi5668
@davidlekasi5668 4 жыл бұрын
We unamkosea Allah au ndo unafiki tu?
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Mlevi
@salehejongo2799
@salehejongo2799 4 жыл бұрын
Hoyeeeee mzeeee Yusuph.
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 4 жыл бұрын
Innallillah wainnaillah rajiun, mushriku ameshindwa ya Mwenyezi Mungu, Allah wewe ndiye unayejua hatma ya dini yako dhidi ya sisi viumbe dhwaifu, yarrabi tuoneshe njia iliyonyooka sisi viumbe wako.
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 4 жыл бұрын
Mungu hana dini unakosea mzee kwa maana mungu muislam au
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ndiye aliyeumba vitu vyote duniani vinavyoonekana na visivyoonekana.
@mwajumasalum2350
@mwajumasalum2350 4 жыл бұрын
Aamiin
@bizuwena623
@bizuwena623 4 жыл бұрын
NI MSIBA INASIKITISHA,INAHUZUNISHA,INALIZA PIA. TUNAJISIFU KTK MAASI
@khaylatmwinyi8675
@khaylatmwinyi8675 4 жыл бұрын
Inna lillah wainaillah rajiun
@saidamohd1232
@saidamohd1232 4 жыл бұрын
Inahuzunisha Sana mzee wewe kumbuka ni mja wa Allwa na Allwa hdhihakiwi juwa anakuona na hizo pumzi ambazo zinakufanya upumuwe ni za kwake akiamuwa kukupokonya utakwenda kumwambia Nini? Umeacha maasi Mungu hwenda amekusamehe unarejea kwenye maasi Rudi kwa Allwa
@omaribaga7618
@omaribaga7618 4 жыл бұрын
Huu ni msiba
@kalssambaboo9705
@kalssambaboo9705 4 жыл бұрын
Mwenye kufanya madhambi huku yuwacheka ataingia moton huku yuwalia acha ajisifu
@mukrimvuaa8036
@mukrimvuaa8036 4 жыл бұрын
Innalillah wainnalillah msiba mzito kwely umetubu khalaf unarud kwenye mambo mabaya
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 4 жыл бұрын
Mzee Yusufu ogopa watu wote wanagumzia
@pandungozi1072
@pandungozi1072 4 жыл бұрын
Allaah Akuongoe wewe na sisi but ni Muswibaa mkubwaaa😭😭😭😭🙏
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Aamiiin
@salummzee9739
@salummzee9739 4 жыл бұрын
Mola akufiche hali yk muislamu
@mariamsfamily482
@mariamsfamily482 4 жыл бұрын
Subhanalla wah pole Allah akuondole
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Innahillahih wainnalillah rajhun wallah huu ni msiba yarrab mungu atusitiri na shetani
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Amiin
@amisashmohamed8760
@amisashmohamed8760 4 жыл бұрын
Allah Atupe mwisho mwema
@abdibakari641
@abdibakari641 4 жыл бұрын
Allahumma ameen
@mwamvitakituka2994
@mwamvitakituka2994 4 жыл бұрын
Allah utuswamehe sote na utuongoze katika njia ya haqi. Sote tu waja wako na tuna madhambi yetu. Utuswamehe sisi na wenzetu.
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Aamiiin
@aminarashidi4757
@aminarashidi4757 3 жыл бұрын
Inaonekana Kama amepata moja Moto moja baridi. Inna lillahi wainna ilaiyhi raaajiun.
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Subhanallah!!! Subhanallah!!! Subhanallah!!!
@jumasaid9873
@jumasaid9873 4 жыл бұрын
Yaan mjinga Yusuf anajib maswal kwa confidence zte hatar sn...MwenyeziMungu tunakuomba utuepushe na Shetan kwan sisi bila ww amna kitu.
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 4 жыл бұрын
Wivu was mafanikio uo
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Amiin
@ummuyusra8316
@ummuyusra8316 4 жыл бұрын
Kalewaa duuu
@salmamatola4255
@salmamatola4255 4 жыл бұрын
Tusimlaumu kwasababu sisi wote tuna dhambi hakuna alie msafi,inabidi tumuombee kwa Mwenyezi Mungu ampe Mwisho mwema,Je mlitaka akaibe ama ageuke ombaomba mumseme zaidi????au mlitaka atafute mume amuoe ili ampe kula???Naskia alikua akiishi maisha ya dhiki sana alikua ana madeni anadaiwa mpaka mali zinataka nadiwa,Kipaji cha kuimba kampa Mwenyezi Mungu mwacheni akitumie kuliko kwenda kuolewa na mwanaume mwenzake???siwezi kumlaumu kwakua siijui kesho yangu... TUSIHUKUMU,kazi ya KUHUKUMU TUMUACHIE MUUMBA
@samxx411
@samxx411 2 жыл бұрын
Salma na Mzee Yussuf akili zenu zinafanana
@ismailmbogo3408
@ismailmbogo3408 4 жыл бұрын
ALLAH akuongoze mzee
@ashoramwanja3131
@ashoramwanja3131 4 жыл бұрын
Inalillahi wainailah rajiun
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 4 жыл бұрын
Tatizo unakaa kwenu hauna majukumu ndo maana hujui maisha nn
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 4 жыл бұрын
Duuuh lannatullaaah mjinga ww mungu azidi kukupiga na maisha
@mosesvpajitv6644
@mosesvpajitv6644 4 жыл бұрын
Ivi nyie mnao moments mzee yusuph mshawai kutubu
@laythatsuleiman7184
@laythatsuleiman7184 4 жыл бұрын
Yeye katubu na kaasi Tena Yeye ndo aloenda jiliza vooo kwa mungu. Sasa anamtania mungu Hilo ndo tunalolijadili
@sabraali9941
@sabraali9941 4 жыл бұрын
Duh kumbe uliamua kumdanganya Allah subiri fimbo ya mungu itakavyo kushikisha adabu😭😭😭😭😭
@thureyalea8258
@thureyalea8258 4 жыл бұрын
Fimbo ikija inatupiga yote saizi kuna mtetemeko
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
Bt unaambiwa isab nafs yko kbla haijaisabiwa
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
Na ziokoen nafs na watoto wenu na moto
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Asante fatma kwanza nafurahi kwa majibu mazuri, mimi mwenyewe naitwa kassim halafu binti yangu anitwa fatma ajabu
@madinahemed3650
@madinahemed3650 4 жыл бұрын
SubhanaLlah. Tupe nusra yako y arabbi
@swalehamir7748
@swalehamir7748 4 жыл бұрын
Subhanallah hapo alipo amelewa
@quibibiabdalaabdala8864
@quibibiabdalaabdala8864 4 жыл бұрын
Innalillahi
@mohammedissa6248
@mohammedissa6248 Жыл бұрын
Subuhanallh Allh atukinge na mabalaaa
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Bouncer kafariki/kauliwa kwa ajili yako, subhanallah
@abdulwahidmsellem1998
@abdulwahidmsellem1998 4 жыл бұрын
Mwenye kufanya madhambi huku ana jisifu ataingia motoni huku analia
@mosalim871
@mosalim871 4 жыл бұрын
😁😁😁 SubhanaAllah!mungu ampe hatma njema
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 жыл бұрын
allah tunakuomba utupe mwisho mzuri
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 4 жыл бұрын
Aallah atupe mwusho mwema yarab
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Aamiiin
@ashrafhashimu7261
@ashrafhashimu7261 4 жыл бұрын
Mzee Yusuf chezea ndevu sio Allah
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Huyu sio kazoea kuona uchi na uchafu
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Watu hujusifu kwa swala, au mtu anasema watoto wanajuwa Quran. Hata mali muislamu huruhusiwi kujisifia nayo halafu huyu mjinga moja mzee Yusuf anatusifia TAARABU. Analaana huyu
@hakunamatata7037
@hakunamatata7037 3 жыл бұрын
Njaa mbaya sana
@makenakendi282
@makenakendi282 4 жыл бұрын
Yusuf kakangu ALLAH unamuaasi sababu ya dunya tutafika
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Anajimenguwa laanatulah
@chamog5619
@chamog5619 4 жыл бұрын
Tazama sura yake mbaa imekuwa uwoubaa wako wa ndani wote umetoka ndani umekuja nnje subhaanallah
@ahmedibrahim-bg2uz
@ahmedibrahim-bg2uz 4 жыл бұрын
Hii ushatani ya wachafu record na tv diamond hamutoshi Allah mfalme wa kipeke.
@jumamatao3628
@jumamatao3628 4 жыл бұрын
Mzee rudi nyumbani Zanzibar acha kuimba mziki kazi zipo nyingi tu za kujipatia rizki
@salehabdallah4114
@salehabdallah4114 4 жыл бұрын
Laana inakunyemelea usimdhihaki mungu utajuta
@sampachino5184
@sampachino5184 4 жыл бұрын
Na kwa m/mungu pia ukaseme ivo ivo mwehu wewe mzee yussuf
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Nakweli mwehu
@mariammatitu6392
@mariammatitu6392 3 жыл бұрын
Mungu tustiri
@leilamehbub948
@leilamehbub948 4 жыл бұрын
subhanAllah kesho kaburini itakuwa pekee yako Deni waombe waisilamu wakuchangie wacha kurudi kwa maasi akusikitia Sana malaika wa mauti akikukujia utafanya vipi machafu hata ku danca kwa hao wanawake machafu Sana utajibu mbele ya Allah
@blacksonismael9213
@blacksonismael9213 4 жыл бұрын
Full bordgud nakukubali mzzee ila pigania kiji hio ndo kz yako ila swalaaa
@mohammedomar1371
@mohammedomar1371 4 жыл бұрын
Ana mkataba na Allah asema atastaafu akiwa na nyele nyeupe subhana nallah mola atuongowe sote na atupe subra
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
angekuwa mkristo wala,msingeona tunamlaum hatuingilii maisha,y mtu wala,kumuhukum hvyo🙌
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 4 жыл бұрын
Lana tullah we Yusuph utaiona hija yako itakavyokutengeneza unafinya vimacho aibu Wallah Mimi namuogopa Sana Allah ulishamkosea Allah kuingia kwenye riba
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Haifai kumlani ila aombewe dua arudi kwa Allah. Ni hatari sana anavyofanya. Inasikitisha sana.
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
Kwann asilaaniwe shetan ndugu yng na shetan wwte ni laanautullah
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
Allah atujaalie mwsho mwema
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
@@faju4real800 Ukimlaani utamuangamiza huyu. Ila tujitahidi na dua avute toba ya kweli kabla ya mauti yake. Allah stampokea akirudi katika Ibada. Sisi tuendelee kumlaani Iblis alomuingiza huyu katika janga hili la haram.
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
@@salimharrasy7047 kwel kaka Dua pekee ndo ztazomuongoa ila inauma sana kumuona mtu anajua zuri na baya nakulieneza kwa wwumin kisha yey kuja kulifanya dah
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Dah!!
@yunusjuma4340
@yunusjuma4340 4 жыл бұрын
Acha kibri Kaka Bora jizalilize usitoe maneno ya kejeli Kila binaadamu anakosea lamuhimu kuomba mwisho mzuri Bora useme utaacha na kurudi kwenye haki kuliko kusema hapa mziki kwenda mbele mungu atakuongoza kaka
@sihamfarouk9281
@sihamfarouk9281 4 жыл бұрын
Allah hana haja nawewe amekupa nafasi upate moto wa hali ya juu
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Sawa sawa Farouk mungu akupe afya Farouk niko kenya
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 4 жыл бұрын
Km umemuon zimwi gonga like
@dab8859
@dab8859 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@muryd6999
@muryd6999 4 жыл бұрын
Anauza sura ,😂😂😂
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 4 жыл бұрын
@@muryd6999 😆😆
@abdillahkhalfan8186
@abdillahkhalfan8186 4 жыл бұрын
Hatari
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 4 жыл бұрын
Unajisifu subhanallah Allah atupe nusra lkhaatima waje wake
@bisunmwamini6993
@bisunmwamini6993 4 жыл бұрын
Mungu yupo tunaimani naye na atatenda jambo kwa uyu kiumbe,tumuachie yeye yajayo yatatufundisha!!
@fatumaluvuno7518
@fatumaluvuno7518 4 жыл бұрын
Nini wewe pambana na hali yako
@bisunmwamini6993
@bisunmwamini6993 4 жыл бұрын
@@fatumaluvuno7518 nani ss apambane na hali yake mbona husomeki?mana nyie makafiri mnapenda sana kudandia yasiowahusu!
@fatumaluvuno7518
@fatumaluvuno7518 4 жыл бұрын
@@bisunmwamini6993 kafiri wa kwanza wewe apo usichokitaka usikiaangalie
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 4 жыл бұрын
Yaan unamuita muislam mwenzio kafiri wew mtoto unalaana
@Habib_Swaleh
@Habib_Swaleh 4 жыл бұрын
@@gadyetheboss8738 unakemea naww unaingia huko huko laana na ukafiri ni hapo hapo!
@zaniasaleh4748
@zaniasaleh4748 4 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun, kalewa huyo yupo chakar
@khamisijuma3167
@khamisijuma3167 3 жыл бұрын
Daah ! Hapa mziki tuu!
@samxx411
@samxx411 2 жыл бұрын
Mzee Yussuf hana maini wala figo
@zainabumzihaka7420
@zainabumzihaka7420 4 жыл бұрын
Alafu mungu ndie anajuwa binadamu usimukumu mwanadamu mwezio
@mohamedsunkari5312
@mohamedsunkari5312 4 жыл бұрын
mmmm in lilah wainailah rajiuni
@hudamtangi6296
@hudamtangi6296 4 жыл бұрын
Mungu muoneshe ukubwa wako kumbe huyo zaaifo
@boontujimmaa9462
@boontujimmaa9462 4 жыл бұрын
Allah akujalie mzee yussuf
@Julaybib238
@Julaybib238 3 жыл бұрын
Huyo ni sheitwani tena anamzidi sheitwani yani anafanya mchezo na dini wakati watu wameipatia tabu dini ye anaichezea inalillahi wainairahi rajiuni
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Kweli
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Huyu sio mtu atafute mabouncer tu walahi, huwezi kuiabisha dini ya Allah utaaibika wewe
@tatumatata2428
@tatumatata2428 4 жыл бұрын
Binaadam tusiingirie kazi ya Mungu ukiona mwenzio anamtihani wowote muombee
@sleymohamed3825
@sleymohamed3825 4 жыл бұрын
naam swadakta
@frankmwiti7196
@frankmwiti7196 4 жыл бұрын
Nashangaa watu wenye wanapiga kelele eti kawadanganya kwani kipaji mwenye hutoa si Mungu?
@aliamirbakar5580
@aliamirbakar5580 4 жыл бұрын
INNA LILAHI WAINNA ILEHI RAJIUUN msiba mkubwa
@harmonymattondo4042
@harmonymattondo4042 4 жыл бұрын
I dont blame him. God(Allah or somethng)should make sure he provide for his own
@dawoodtekakie4012
@dawoodtekakie4012 4 жыл бұрын
What a escalet dummy idea
@mzeewa6999
@mzeewa6999 4 жыл бұрын
Subhana Allah . Hivi ingekutoka roho hapo jukwaani ingewaje ulishajiuliza? Allah hashindwi kakusitiri bado unaongea ujinga madeni haya na Allah akakunyima hizo hela usilipe inakuwaje? Umekosana na mola wako umeshindwa kufanya subra? Huogopi wewe wanadamu sisi ni viumbe thaifu hapo sasa tunamuachia Allah utakutana nae na hayo madeni yawe mara 3 na Allah ajalie ufeli uwe chini zaidi ya hapo Amen
@ramadhaninjoroge9569
@ramadhaninjoroge9569 3 жыл бұрын
Laanatullahi aleyhi
@ahmadjuma3816
@ahmadjuma3816 4 жыл бұрын
Wewe unalindwa na hao wanaadamu wenzako lkn kumbuka kuwa hapo hapo Kuna malaika wawili wanaonda matendo yako pia usisahau kuwa Kuna malaika wa umauti anamuangalia mwanaadamu Mara tano kwa siku sasa wewe jidai ninaproject Kama hamsini , Mara sitaki kustaafu nikiwa mzee mola akuongoe hii ni dunia tuu haina ndani yake isipokuwa pumbazo la muda mchache ,kumbuka Allah ameshasema ,Ama yule atakayepewa kitabu chake kwa mkono wa kushoto atasema kina nini kitabu hichi, ni bora nisingejuwa hisabu yangu cku ya leo , haukunifaa ufalme wangu Wala Mali zangu kwaiyo wewe hadaika na hii duniya na huo ushetwani wa Mali Ila kumbuka Kuna kufufuliwa baada ya kufa na Kuna kuhesabiwa tumuombe mungu atupe mwisho mwema na turudi kwake akiwa ameturidhia
@zenakazinyingi6700
@zenakazinyingi6700 4 жыл бұрын
Unalana kwa mungu we ndio mana mazinge amekuombea dua ufe
@youngbob9761
@youngbob9761 4 жыл бұрын
subhaAllah...weee mzee imani unayo Ila iblisi amekutawala Sana ...umewadhalilisha wazanzibari wenzio dah mtihani kweli kweli
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 жыл бұрын
Huyu simzazibar ila alikaa naakasoma.zanzibar.maalakauloa zanzibar ila.jitu labars hilo
@zuukimati7827
@zuukimati7827 4 жыл бұрын
Innalilah kweli Allah humuongoza amtakae
@zainabumzihaka7420
@zainabumzihaka7420 4 жыл бұрын
Maisha ndio mtuu yanamfanya abadiri mawazo
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 81 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
Mzee Yusuf Nakshi nakshi Cover by Promise nyota
6:14
promise nyota
Рет қаралды 3,3 М.
KWELI WATU HUBADILIKA SIKILIZA MANENO YA MZEE YUSUPH
19:37
Idh - har online
Рет қаралды 2,8 М.