Mungu atakupa maisha mazuri saaaana mudogo wangu achana nailo lize lijaa lana mungu amulani
@LucyHuseni Жыл бұрын
Jaman namuomba mwenyezi mungu Hawa watoto wanaokataliea nawazazi wao wawe matajir kupita maelezo amina
@hamisaLbsi9 ай бұрын
Amiin
@janetchinga695 Жыл бұрын
Kijana muombe mungu basi niwengi watu walioishi dunian bila baba😢😢
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Kwasababu unaye baba
@aminaseha50439 ай бұрын
Ushukuru mungu kama ni kweli atalaanika
@TwahaMukhsin8 ай бұрын
Pole xn kaka angu ww mwachie mungu atakuinexha njia mzuli uyo mzee amexhindikana kwa kwer mumefanana xn
@Eaglemedia-o6i Жыл бұрын
Mzee yusuph,hauelewi chenye unafanya,huyu mwenye unamkana,utamwiitaji siku Moja,nakuombea Mungu akupe maisha marefu ya uzee ndio ithihirishwe waasi
@sophiayBakali Жыл бұрын
Mzee yusufu mungu anakuona umeniliza sn leo
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Yani fanya maisha yako tu mdogo wangu, huna aja ya kupoteza gharama, uyo mzee kama nimuungwana angekuwa tu Mpole.
@shabanikhamisi41835 ай бұрын
🙏🙏🙏 M/MUNGU wangu bado mna kana watoto tuuu dunia hiii🤣 watakufaa kesho
@zahraswalehe1853 Жыл бұрын
Angekuwa ana maisha asingemkana ila Mungu analipa achana naye huyo si baba anakana damu yake
@gracemsalila7735 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@fatumasaid7421 Жыл бұрын
Mh vichekesho anajifanya mtu wa Sheria yamungu kweny hili mbona alimkana mungu akarudi Kwa ibilisi nyia hamshangai dadida?kamkana munguwake itakua mtoto
@BimkubwaJuma-ew5dg6 ай бұрын
Achana nae mie Mt wangu pia baba mtt wangu hamtaki mwanangu nimempotezea anaitwa ussi ali ussi nimemuwachia mungu anisaidie to
@amosethantheking8815 Жыл бұрын
Dogo tafuta hela zako, maisha yako yakiwa safi hakuna wakukubabaisha. Baba ako ni Mungu.
@zomasamweli Жыл бұрын
Ukweli kabisa
@dorisebennezer8462 Жыл бұрын
Hilo ni neno nimekukubali
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@صفوابنتسعيدباوافد Жыл бұрын
Niko nawe from Yemen yanetukuta
@صفوابنتسعيدباوافد Жыл бұрын
Baba no mungu bwanaaaa
@FaridaIsaya8 ай бұрын
Naumia sana starehe wafanye wao mtoto ateseke kwani hata kama co wake wanafanana amchukue tu hayo ni maisha 2 mi hata ckuelewi mzee yusuph tena hata anachokiongea ni utumbo tu na mungu wetu sote atamfungulia motor njia one love mdogo wanguuuuuu
@christaoman8890 Жыл бұрын
Mungu amuonyeshe baba yake sahii nae afurahie maisha yake
@hamisibaharia-bl9og Жыл бұрын
Ndugu yangu 2pambane mm mwenywe nilikataliwa na mzee wangu ila maisha2 2pambane
@vincej9275 Жыл бұрын
Mimi sipendi sana kuandika comments lakini huyi Mzee Yusufu ana maneno mengi sana ya ovyo, yote haya ni kwa sababu hataki kufanya DNA. Vibaya sana kwa wazazi kama hawa, bora kufanya maisha yako kijana. God is on your side son, you don't need such kind of people in your life.
@hatujuanisalum9354 Жыл бұрын
Wamefanana vibaya mno
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
P
@maryw2157 Жыл бұрын
Do the DNA so he can have peace of mind.
@llucylful Жыл бұрын
Wamefanana kabisaa
@AminaRajab-w4n Жыл бұрын
Ina onekana alikua na wanawake wengi adi hawa kumbuki
@FaydhaAlly59 Жыл бұрын
Mimi ni mama wa mtoto 1 nanimetelekezewa mtoto wangu nalea mwenyewe ina ninachojisikia juu ya huyu kijana wallah mzee yusufu kama anamfanyia uyu mtoto ukatili namuomba mwenyezi mungu amzalilishe hapahapa dunian na ata akhera laana mkubwa uyu
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Mzee maneno mengi uongo mwingi Mungu yupo
@stanastana3199 Жыл бұрын
Mzee amepanik
@fatmaomari7824 Жыл бұрын
Atamwamini nani kipindi kile alienda hijja mwisho kasema kaacha mziki lkn karud kwenye ufusika tena
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Ewa anaongea kwa hasira hajui mwisho wa ubaya aibu, anajuwa kila kitu kwenye moyo wake bas tu hakumpenda uyo mtto na hata ikikubalika km ni wa kwake bas atamchukia ndan ya moyo wake.
@VidzoDama8 ай бұрын
Mungu akulani kifo umbwa ww kitanda hakizai haramu hiyo ni damu yko mungu atatoa ukwli😢😢😢😢
@zaramunir8238 Жыл бұрын
Kwa nini wakilii??? Huyu siyo muislam kwanini ana roho ngumu hivi Subhanallah 😢
@happypiusi3801 Жыл бұрын
Inamaana yusuph.malaya Sana Hadi hajui wanawake aliolala nao
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Subhanallah, mtihani, Mungu akufanyie wepes mtto wangu hii dunia inamengi.
@fridasiyame5097 Жыл бұрын
Mzee yusuph Mungu anakuona
@aloycelucas1823 Жыл бұрын
Ujana maji ya Moto na mimba haiingii kwa cku mbili, ukweli upo kwenye kupima DNA boss kubali kupima ili yaishe!!!!!!👩🚀👩🚀👩🚀👩🚀💗
@ShainaYahya6 ай бұрын
Achana naye pana mungu ATA Kupa Maisha baba inshallah
@trillionthamani Жыл бұрын
Kujikuta katika hali hiyo,unachokihitaji cha kwanza ni kuhitaji kuijua vizuri history yako ya kweli.boy anabusara sana
@Fetty-r4o9 ай бұрын
Yeah, nilitaka kusema kuwa huyo dogo yuko makini na ndio ana busara, anakwenda na points
@paulcosmas79418 ай бұрын
Pole kwako kaka fanya maisha yako unless uniambie kuwa unashida ya kiafya achana na huyo mzee
@eliasmanyama7874 Жыл бұрын
Ani we mzee Ni mjinga kweli, mungu akiamua kuwapukutisha wanao wote uliozaa kwa ndoa, si utakuja kumpigia magoti huyu unaemkataa, maana hata haujui mwanao atakaekuzika Ni yupi
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
Uyu mtoto Ana dhambi sana yani shutuma Anazo zipata mzee Yusuf mungu atamuukumu uyu mtoto
@juliethgerald3730 Жыл бұрын
We nilijinga ase
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
@@juliethgerald3730 Sawa mjanja ww unaye amini kudanganywa
@fatmaomari7824 Жыл бұрын
Ndio limwehu hili huyu mtoto asingejiamini kupima DNA hili zee linaishi maeneo ya charambe
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Mungu wangu wamefanana sana .mzee yusuphu hii ni aibu kwako namungu atakuuliza tu .
@mdsaid1527 Жыл бұрын
Kijana mwanangu achana na Huy Mzee tafuta maisha yako Kwanza Huy hatakiwa Baba yako hap dunian mpaka akhera
@mchinatz9335 Жыл бұрын
Wewe mzee ulaaniwe na mungu
@BashiruSelemani-sk5rs9 ай бұрын
Picha za ngono
@theresiapatrick7860 Жыл бұрын
Huyo Mzee ana ugonjwa wa ajili, lkn kikubwa huyo mtoto amuombe mungu amjaalie maisha na uhai, Toto lamfanana km Nini!!!!! Amuache mungu stamps malipo yake.
@fatmaameer5333 Жыл бұрын
Huyo mtoto angekuwa tajiri alafu amtafute mzee ange sem ni wangu ALLAH ndiye anajua bx kija ww muacha kam hakutaki usifosi fanya maisha yk
@ZulkifahSalim8 ай бұрын
Duuh
@AbdoulsudaisSuleiman7 ай бұрын
Maashallah 😢 huyu ni mwanae kabisa😢
@suzanbegas4139 Жыл бұрын
Uhu,!!🙆♀️Sura tu inajieleza haina haja ya DNA, Mzee Yusufu Anajichanganya,Mungu tupe uhai tulee Watoto wetu tuliotelekezewa Had Wakue Duh!!! Inaumaa Sn😢
@maryharoun2853 Жыл бұрын
Duniani wawili wawili Mimi nimefanana na mtu Muhimbili na Wala hatuna mahusiano.
@scolasport-h7x Жыл бұрын
Mungu ndio anajua hivi kweli hiyo sura anakataa
@JoyceKayange-t5b5 ай бұрын
Yan. Huyo mzee .msanii had kwenye familia ila mungu hawezi kukuacha ninacho kwambia mm baba yangu alisema kwenye mfipa wake hajaweza kutoka binadam Leo ananiona nafaa nikienda Kwa mama angu anampigia simu na kumwambia huyo mtoto mbona haji huku nyumban ....achane nae Wala usihangaike mungu tupo ni zaidi ya baba mwamin tuu utaona maisha yanavyo enda
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Kuwa na moyo kama wamondy tu mwanangu kuwa bize na maisha yako!
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
Naam upo sahihi maneno yako inshaallah kher
@dottomsuya6597 Жыл бұрын
Ila vijana wa tz
@dottomsuya6597 Жыл бұрын
Huyu anamtafuta mzee yusuph kisa njaaa DNA Sawa mwanangu kaaa mbali
@dottomsuya6597 Жыл бұрын
Alafu akishapata DNA ndio nini sasa
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
@@dottomsuya6597 mzee mwenyewe hana mpunga ndiyo maana hasira nyingi anajua majukumu yataongezeka🤣🤣🤣
@nurusaid4698 Жыл бұрын
Kijana Muachie Mungu Ndie Akimu WA Yote Uzima Ndio Muimu Sana Pambana Na Mungu Atakupigania Insha Allah
@lydialidike3029 Жыл бұрын
😭😭😭pole sana kaka yangu hata mimi sina papa nakuelewa sana 😭😭😭😭😭
@rushdamohammedi Жыл бұрын
Achananae nibola mama co baba we w nimtoto wakiume ni babatosha
@YustinaSamson10 ай бұрын
Mdoko wangu potezea mungu ndo baba usijali,wanaume ndo walivyo
@chaurembo9379 Жыл бұрын
Mtoto wake lkn kwa jinsi avomkataa bora kijana afanye maisha yake tuu
@hiddenbway_ Жыл бұрын
Shida watoto wakitoboa wakiwakataa wazee kama hao mnaanza kuwa simanga😢
@nawechi4818 Жыл бұрын
Yani mzee muongo sana na inaelekea anawatoto wengi sana🤣🤣
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
Yeah!!
@nawechi4818 Жыл бұрын
Halafu hataki kisikiliza anajifanya mkali balaaaa anajikuta anakimbilia sheria🤣🤣🤣
@nawechi4818 Жыл бұрын
Mzee utasema anaimba taarabu🤣 hataki kiskiza watu wanaongea nn
@ShadrackSiuh-l3u Жыл бұрын
Kuwa na roho ya chibu mungu ata ku bless😢😢
@Halima-zx4pg Жыл бұрын
Mimi nakushauli tafuta maisha yako silazima umtafute baba wakati ujazaliwa ndani ya ndowa achana nae awezikuku bali mtoto wamnje anakuwa wamama tu
@HappyHiker-nz9vg9 ай бұрын
Subuhanaallah 😢😢😢 mitihani wallahi
@LeahdidasDidas-pq3yq9 ай бұрын
Mzee yusuphu mungu anakuona
@himidmkuya73819 ай бұрын
alitaka iwesiri sasa alihaji mungu anakufedhehesha unachezea laana za mungu
@abdunasiriathumani90119 ай бұрын
Mwanangu ndo Leo unaangalia Kama Mimi?
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Mimi ningekuwa mawe Yusufu,ningekubali mtoto wangu ,maskini thawabu hiyo ,hata siyo wako,mleye thawabu Allah atakupa, it is so sad 😞
@RasulyOthuman-bb6mm Жыл бұрын
Huyu mzee yusuph mshenzi sana kama alienda kuhiji na akaapa kuacha mziki matokeo yake ameludi kwenye mziki, ina maana kamuasi mwenyezi mungu na ashindwi kumkana mtoto
@maidaamie648 Жыл бұрын
Umeonaeeeee
@maryharoun2853 Жыл бұрын
Kwani huyo mwanamke alimtaja Mzee Yusuph maana msilaumu tuu.
@pacchoamasitv Жыл бұрын
Hao wanajuana tuu 😂😂😂 mpaka kamsaidia kumbe😂😂
@mohamedismail2662 Жыл бұрын
Angeenda kupima nae DNA issue ya kufanana haimfanyi mtu kuwa mtoto wake kufanana watu wanafanana na watu ambao hata hawajawahi kuonana nao kabisa wakapime DNA kupata uhakika
@atuganilemsomba3028 Жыл бұрын
Damu ni nzito mno na Mungu hatakuacha ufurahie maisha maana kwa kuikana damu yako
@AishaSaid-yg1ou8 ай бұрын
Huyu si kufanana tu..yeye kaambiwa na mama yake..na mama ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto..
@AbdoulsudaisSuleiman7 ай бұрын
Dah 😢 nimetoa chozi wallah 😢 Acha tumuachie Allah tu
@fridageorge2809 Жыл бұрын
Jamani ni shida za ulimwengu ndio zinazomzalilisha huyo kijana angekuwa anajiweza asingemtafuta mtu anayemkataa msaidieni huyo kijana anachokitaka ili aishi kwa utulivu! Mwnyezi Mungu amsaidie!
@nasseralrowahi4084 Жыл бұрын
Wewe mzee yusuf m/mungu kakulani
@FloranceLuqman-cg7qm Жыл бұрын
Nimesikia uchungu jaman huyu kaka anadhalilika pasipo na sababu amwachie Mungu tu atamlipia hamna haja ya kudhalilika namna hii 😭😭😭😭😭😭
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Anayedhalilika Ni baba wa mtt,😂😂😂
@AssinaMsafiri-ud5so Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@josephinenkembo2648 Жыл бұрын
Yani dah,😭😭😭
@MwanamasAli Жыл бұрын
😢😢😢
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Kweli vo lkn😢😢😢😢
@alitamale34149 ай бұрын
😊 like that 😊😊😊😊😊
@godlovemahenge7448 Жыл бұрын
Fanya mambo yako ndugu yangu achana naalie kukana mungu hamtupi mja wake
@sechemaguha7262 Жыл бұрын
Mzee yusuph anamkataa mtoto period
@najmasalim-rg6ow Жыл бұрын
Kuna watu wanajiweza hiv baba asinijali utotoni Nije kumtafuta ukubwan wa Kaz gani
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Kwasababu unaye baba
@happymakala72168 ай бұрын
Ubarikiwe sana una mawazo mazuri .
@happymakala72168 ай бұрын
Safi sana
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Watoto ni baraka, mpokee mtt na umuombe Mungu utakuwa na amani, hivihivi hilo litakusumbua maisha yako yote mzee Yusuf
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Wanaume wanapenda kuchepuka mwisho wasiku wanajidai sio wachepukaji wanona fedheha kiukweli nimwanae hata akimkataa lakini nimwanake
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
HUYU MTOTO ANAFANANA SANA NA MZEE YUSUPH.
@RehemaNyela-ps1tn Жыл бұрын
Mbona hao watoto wanAokataliwa ni wengi ila mungu atawalinda na mungu atawaona hao wababa na atawahukum pambana mwanAngu
Ukweli ni kwamba familiar ni tamu na ndo maana huyo mtoto anajaribu kutafuta utamu wa baba jamani, Mzee aYusuph Mwenyezi mungu anatuamlisha tuwarendee wema hao watoto
@LucyElias-vr7wj3 ай бұрын
Kweli
@aminamwivita76903 ай бұрын
Like father like son
@SalamaAkilimali-ly3bu Жыл бұрын
Mzee Yusuf acha unafki una mdogo wako wa kiume yupo kama huyo mwanao unaemkana mdogo wako michenzani pale yupo km huyo tena bora mwanao anaongea naeleweka mdogo hawezi kuongea vzr hat akiongea umuelew muogope Mungu mwanaume ww umeenda maka umekuja kuharbu duniani unamdanganya had Mungu
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Kumbe Kuna ndg yake anaongea Kama dogo huyu
@JoyceJacob-ci2fq9 ай бұрын
Mmmmh mzee yusuph mungu anakuona mbona mmefanana sana
@RidhaaHamisi9 ай бұрын
Mwenyez mung awalahani sana mwanaume wanae wakataa,,damu zao moto unawares
@Riziki-y1r9 ай бұрын
Wallah tena watalaniwa mpaka basi wamenisinyiya jitu nikirango alafu yukana mwanae YA ALLAH waume waina hii walani mpaka siku ya kiama😢😢😢😢😢
@mangoyehusein97603 ай бұрын
Mzee Yusuf, mtoto Yuko mukweli sana. Ulikula vitu vya mke
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Reila inamana humuoni huyo mtoto naukamshauli huyo mzee yusuphu kuwa mtoto ni wake .mh .hii aibu mzee yusuphu mtoto ni wako jamani.mmefanana sana zaidi ya sana
@EdiltrudesMalivata9 ай бұрын
Mzee Yusuph Una dhambi kumkataa huyo mtoto,kama bado hujatengeneza nae tengeneza mapema,kabla hayajakukuta Mambo. Maana mtoto huyo ni wako,duniani hata mbinguni. TENGENEZA 🙏🙏
@theresiamwandara7990 Жыл бұрын
Mzee Yusuf, hivi ulitaka picha yanini wakati mtoto huyu unafanana nae? Wanaume acheni kukataa watoto wenu ni aibu! Ni shida ni kichefu chefu.
@ChantalUwimana-k3r6 ай бұрын
Jamani mudogowang soo wenye baba wore wanafaraj anawez kukubari nibaba Yako usipate iyogaraj unayo faraja😢😢😢
@abdulshakurmshindo9040 Жыл бұрын
Kosa ni la Mama ake Mwenyewe kwa kumnyima haki mtoto wake kama angemzaa ndani ya Ndoa leo mtoto asingetanganga na Kwa sheria ya Muumba huyo si mtoto wake hawawezi kurithiana
@shakilabakari6928 Жыл бұрын
Haswaa ni kweli kabisa kaka yangu tuwe makin kwamaana hapo mtoto ni wamama nasiwababa kwahyo makosa ni yamama
@amournassorsaid76948 ай бұрын
Ka msaliti mungu msikiti wa makka na kaburi la mtume madina atakubali mtoto aliezaa nje ya ndoa.
@stelayunami7779 Жыл бұрын
🥲🥲Anavyomkana jamani mbona kafanana nae sana tyuu,,,
@ashahassan2120 Жыл бұрын
Wamefanaa😊
@josephndunguru6290 Жыл бұрын
Kama mm nakiburi changu hichi siwezii kujikomba Kwa baba ambaye Hana upendo na mm, dogo Fanya maishaa yakoo unafeli nn achaa kijazilirishaa,
@beautyibrahim8428 Жыл бұрын
😀😀😀wenye vibur tuko wengi
@jacklineisack133 Жыл бұрын
Wew ni mim kabisa😂😂
@yusuphmatinya85607 ай бұрын
Fatamaishayakodogo mungu yupo wengi hawana baba
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
*Dida weee mmbea sana wallah*
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FatumaBakari-qo6up8 ай бұрын
Mnapozini sheria dini hamuioni kwenye matokeo mnaona maandiko ya mungu
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Aibu kweli mzee yusuph acha ujinga Mungu hawez kukusaodia Wala kukubariki hiyo damu ykoo
@deeruta9894 Жыл бұрын
Its so sad kabsa
@SeveriniTemu9 ай бұрын
Kijana hayo mambo achana nayo tanguliza.mungu pambana kutafuta Dunia pana ukiona yanaharibika sana mazuri yanakuja pambana kutafuta hata walio nacho wengi kujiweka mikononi mwa mungu mungu hamtupaji mjaa wake ila tuu achana na mlumbano na baba kakataa kakubali mpe heshima. 🎉
@ShangweSylus-nf6we Жыл бұрын
dogo achana na huyo mzee yusuph ni mwanaume kama wanaume wengine ila hafai kuwa babako,we kaza tafuta pesa umri bado ipo siku utampata baba hata wa bandia kwani baba kitu gani?baba mwenyewe ana watoto dunia nzima hana jipya kwa sasa unamng,ang,ania wa nini? fanya kama alishakufa tu.Nimesikia uchungu jaman ila wanaumeeee 😢