siku nicki mbishi akifa ndo watasema alkua mpambanaji ktk hiphop..sio kwamba watu wa media hawajui kama ni mkali wanajua san .lakin kwakua msema kweli huchukiwa basi wanamkataa lakin nicki mbishi ni hiphop artist na hatak kua mnafki au kufuaat matakwa ya media.. a strong man stands alone n he is alone
@furahamoshi89985 жыл бұрын
Ulitaka wamfanyie nn
@hkmeme54374 жыл бұрын
@@furahamoshi8998 wampe michongo
@gthirty5 жыл бұрын
My favorite rapper kwa hewa.. Nakuelewa sana broo.. 🙌🙌🙌🙌
@omaryahmed71005 жыл бұрын
daaahh hili nikki mbishi lina akili kisenge....yupo flexible sana anajib maswali vizuri sana
@jamalally37355 жыл бұрын
Appreciate Brother Nikki mbishi stay Real Daima
@monicajacob66875 жыл бұрын
Ni nomaaa jamaa anaelewa sanaaaa
@kambikashama46195 жыл бұрын
Nakubali Nikki Mbish 🤣🙌🙌🙌🙌 Upindishi Manenoo.!
@badmanno.16505 жыл бұрын
Mimi ni mmoja kati ya wachache wanaokuskiliza...you are so talented my nigga...after Fid unafata ..
@nalamzalendoo5 жыл бұрын
Respect Mkubwa
@adinaniissa69245 жыл бұрын
Genius Nikki mbishi
@jumazinga9412 жыл бұрын
Unju bn upupu washa washa ama nn Genius sn👊🏿
@rammyseykhaleed34814 жыл бұрын
Jamaa ni bonge la genius
@vessobwoy46235 жыл бұрын
I respect u mjomba unju Vessobwouy from #254
@jumaanassib38095 жыл бұрын
Ifike wakati media pamoja na washabki wa Hip hop na Rap tuwe wakweli na wawazi uyu jamaa anajua sana pia media pigeni ngoma za hip hop tumechoshwa na ngoma izo kila siku mapenziii tuu ndio mmeona zinatugusa sana sio kiukweli mnazingua sana media
Interview kal💪💪 Unju nataman angekuwepo na Nash Mc hapo! 🔥 🔥
@ibraimoissiaca60585 жыл бұрын
Unju Nash makanta one
@7mc7945 жыл бұрын
Safi kaka unajua vingi mm pia mshabiki wako pia ni rapper
@yusuphmussa65895 жыл бұрын
We kweli nick mbish nakubar sana
@gambajunior22755 жыл бұрын
Maskini Katika Nchi Tajiri (MaKanTa)🎵🎶🎤🎤🎤
@Commentsplus5 жыл бұрын
Nakubali interview za nikki
@kinglance63655 жыл бұрын
Unju ni genius
@jeremiahmwasapilicharlie29265 жыл бұрын
nice
@nasrikileo5 жыл бұрын
Unjuu, nakubali bro
@monicajacob66875 жыл бұрын
Dahh we jamaa Stewart bora ungemuhoji Nikki hao hawana uwezo wa kufikiri kitu cha kumuhoji jamaa pia maswali yao ni mafupi kimawazo hapo nimemkumbuka Lil omy asee
@frankmabanza83755 жыл бұрын
Kaka umetisha respect sana unju
@martinnkwabi56405 жыл бұрын
Unjuu mzazi soon nakuja kuchukua album
@jimmyx84125 жыл бұрын
MaKaNTa Masikini Katika Nchi Tajiri
@zackypapla55115 жыл бұрын
Tunavaa Machata Tu
@tommytyga44175 жыл бұрын
naomba interview mm pia ni rapper
@mbenamdudu78565 жыл бұрын
Mbona interview Kali tu unju ajawai kuboa madini
@mugadimon35635 жыл бұрын
Huyu jamaa hazina ya Hippop bongo
@mau__fund73225 жыл бұрын
Wa kwanza kucoment
@a2bkennedy6965 жыл бұрын
Unjuuu
@georgemagori21585 жыл бұрын
Unju MTU hatari xnaaa hii ndyo Hadhina y hip hop Bongo
@wazaelykichomory4225 жыл бұрын
Respect M.A.K.A.N.T.A...
@West-side-lt9nb5 жыл бұрын
Unju bin Upupu.. napendaga kukusikiza tu
@Majuto_shop215 жыл бұрын
Hongera ndio song
@West-side-lt9nb5 жыл бұрын
@@Majuto_shop21 🤙
@Majuto_shop215 жыл бұрын
@@West-side-lt9nb nice
@hkmeme54374 жыл бұрын
Skiza mpaka nyimbo zake kwa youtube, nisupport jamaa
@PAndGMusic5 жыл бұрын
Unju bin Unuq 💪💪💪💪
@maxjofrey705 жыл бұрын
Unju 🙌
@musso2385 жыл бұрын
Baharia mzee
@andersonchibule47615 жыл бұрын
Ugali m'bichi kaa Nikki m'bishi.
@localvocals72065 жыл бұрын
Yan braza Nikki we una akili sana sema watu hawajui tu
@secyponera90175 жыл бұрын
Makanta
@charlesleopold72043 жыл бұрын
nimeipenda iyo maana ya interview
@princemujuni98035 жыл бұрын
Yan huwa cjui jinsi ya kupata nyimbo za hip hop real kama want wakina MBISHI na on e
@CoachHafidh4 жыл бұрын
Kama consciousness yako iko chini huwezi muelewa UNJU
@calvinnicholaus49065 жыл бұрын
Inawezekana wengine awakuelewi unacho kimaanisha mbishi
@johnmmwiburi52614 жыл бұрын
Pia nawatakia biashara njema by John
@kherisaid63744 жыл бұрын
Unju 🔥
@awadhgambus14575 жыл бұрын
The real baba malcom
@rasvegas89915 жыл бұрын
Hawa walikutana vchwaa wote ingekua ngumu kukaaa pamojaa
@muddseuc22405 жыл бұрын
Huyo jamaa lina akila sana ila basis tu
@patrickmtiesa10335 жыл бұрын
Unju bini UPUPU
@saidijuma93864 жыл бұрын
Kaka nakukubal sana ww ni real hip hop
@mochings80125 жыл бұрын
MAKANTA
@rodgersgingila93675 жыл бұрын
MAKANTA..
@esaubakuza32875 жыл бұрын
Hiii ni interview???mbona anaehoji hajulikani na muhojiwa haeleweki
@brightvatta2845 жыл бұрын
Hahhaah kitambi kwa mbali kama Planet Asia...
@malcolmkomba40674 жыл бұрын
Freestyle sio nguzo ya hiphop , hapa ameteleza kidogo
@nehemiahmguluka95053 жыл бұрын
Acha ushamba wewe kama hujui nyamaza,,,,unaskiliza HipHop interview na hujui Kama freestyle Ni nguzo Mojawapo....miii nashauri ukalale tuu mwana show sio zako hizi
@jamalshaha45125 жыл бұрын
Sema twambie unapatikana vipi cause haupatikani mdundo
@frankanold98035 жыл бұрын
nunua album au nenda boom play
@jamalshaha45125 жыл бұрын
@@frankanold9803 shukran kaka siwez nunua album cause sipo bongo
@frankanold98035 жыл бұрын
@@jamalshaha4512 inawezekana mcheck Instagram anaitangaza album yake anakutumia kwa email
@hassansalma7435 жыл бұрын
Maswal yakitoto jipangeni nyie mapimbi
@adamalfred53365 жыл бұрын
Og
@hemednassor45602 жыл бұрын
Unju nakubali nigga ila mie hihop za kina nei upimbavu lkn umemaliza kwenye babu talent
@johnmmwiburi52614 жыл бұрын
John Mongo napatikana kariakoo moja nawapa salaam wana simba wote hapa k/koo pia nampa salaam Marwa na god wote wanapatikana k/koo