Exclusive: Profesa Jay Azungumzia Ugonjwa wa Figo Ulivyotaka Kumuondoa | Kutobolewa Koo

  Рет қаралды 77,194

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Legend wa Bongoflava Profesa Jay akizungumza na Watanzania kwa mara ya kwanza tangu atoke hospitali kupitia Power Breakfast na Clouds 360

Пікірлер: 212
@jaliwakope1949
@jaliwakope1949 11 ай бұрын
Mungu fundi stadi sana. Hebu fikiria namna mifumo mbalimbali ya mwili inavyofanya kazi yenyewe tu pasipo usaidizi wowote. Fikiria mfumo wa utoaji taka mwilini. Kila kitu hufanyika chennyewe tu na ikitokea hitilafu katika figo ndigo hizo gharama tunaambiwa hapa zinatumika kuondoa hizo sumu au taka mwilini. Sifa na heshima ziende kwake tu.
@SadickMadidiga-id9fh
@SadickMadidiga-id9fh 11 ай бұрын
Amen
@imeldangeze9620
@imeldangeze9620 11 ай бұрын
Kweliii Mungu fundi
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
Amen. Sifa na Utukufu ni kwake. Tumshukuru Mungu kila iitwapo leo tukiwa wazima na afya.
@subirahaonga2229
@subirahaonga2229 11 ай бұрын
Hakika ndugu.
@Spirtualperson
@Spirtualperson 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤afya ni utajiri wa kwanza
@catherinekihengu2420
@catherinekihengu2420 11 ай бұрын
Duh Mungu ni mwema pole Sana prof J
@ronaldmwashumbe3071
@ronaldmwashumbe3071 11 ай бұрын
Mungu ni mwema,pole sana kaka Joseph haule aka profesa jay.pia kongole kwa kuanzisha profesa jay foundation hakina itagusa maisha ya watu wengi.mob love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@badmanno.1650
@badmanno.1650 11 ай бұрын
Ugonjwa wa figo ni hatari mnoo .. Allah atuepushe na maradhi tusiyoyweza.. Allah atuepushe na maradhi ya kuleta ufukara.. Allah atuepushe na maradhi yanayofanya watu watususe.. Allah atuepushe na maradhi yanayo fanya tuwe mizigo kwa binadamu wenzetu.. Allah atuepushe na maradhi yanayoumiza.. ameen.
@lucykinabo
@lucykinabo 11 ай бұрын
Ameni tunusuru eeeh Mungu
@subirahaonga2229
@subirahaonga2229 11 ай бұрын
Amina Amina ndugu.
@zubedaramadhani1289
@zubedaramadhani1289 11 ай бұрын
Amin
@christinamkumbo6952
@christinamkumbo6952 11 ай бұрын
Amina amina
@faida6366
@faida6366 11 ай бұрын
Amen
@jemimabakari
@jemimabakari 11 ай бұрын
Pole sana,tujitahidi sana kunywa maji ya kutosha na mazoezi,mengine ni mipango ya Allah
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 11 ай бұрын
Mungu Wangu Nakwamini sana😢❤You Jay 🤍🌹🤲🏾Sikh zote Ambia Mungu Asante (Alhamdullilah)
@hameesnassoro7158
@hameesnassoro7158 11 ай бұрын
Hakuna utajir mkubwa kwa mwanadamu kama afya,Allah atujaalie afya njema kw sote na atukinge n mitihani na atuweke ktk rehma zke.#Ameen
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 11 ай бұрын
Ameen
@jacksonhillary6753
@jacksonhillary6753 11 ай бұрын
Barikiwa sana hameesnassoro
@francomwacha2262
@francomwacha2262 11 ай бұрын
✋️ 🤚 clauds.. Hawa watu ni next level.. wanajua..kaka profesa Jay mungu yupo na ww ubarikiwe kaka uzidi kuimarika amen..
@SylvesterSamwel-t1d
@SylvesterSamwel-t1d 10 ай бұрын
Mungu akujalie upone Kaka watanzania tunakupenda Sana prof...😍😍😍
@KaizerNyeho
@KaizerNyeho 11 ай бұрын
Mungu Tunusulu Sisi Wa Hali ya chin kwahalihii tutakufa tunajiona J foundation ifanikiwe Kwa kiasi kikubwa Mwenyezi Mungu alikupitisha katika jaribu Hilo ili uje kua jibu Musada Kwa wanainchi Wa Hali ya chin. J foundation mkombozi Wa figo 💪💪💪
@grapevinetv800
@grapevinetv800 11 ай бұрын
Kwa kweli Mungu yupo. Sikujua kimiya chake Kisha kaugua. Nimezienzi nyimbo zake sana .. tokw utotoni. Get well King 🤴
@daniel.shao.9028
@daniel.shao.9028 11 ай бұрын
Glory to God! Pole sana Joseph Haule, Hakika Mwenyezi Mungu ana makusudi na wewe Prof.Jay,utaishi na kuyasimulia makuu ya Mwenyezi Mungu.
@michaeljacobo269
@michaeljacobo269 9 ай бұрын
Bro, pole sana...ila ushauri wa bure kutoka kwangu...Okoka Mungu anakupenda sana....pia kila unapoanza kushukuru anza na Mungu kwanza...Mungu ndo ameinua watu wa kukusaidia mwambie Ahsante...zaidi Ya yote Acha mziki mtumikie Mungu...
@eliasmlundwa3880
@eliasmlundwa3880 11 ай бұрын
Mungu ni mwema sana, pole sana Profesa Jay, 462, Foundation hakika utagusa wengi na kusaidia wengi sana
@DonataKituli
@DonataKituli 11 ай бұрын
Pole sana baba tunafurah kukuona upo vizur Mungu ni mwema amekupigania
@shedracelia1267
@shedracelia1267 11 ай бұрын
Mara nyingi huwa mungu anagusaga kile kitu ambacho kitakuuma km alivyo fanya kwa PM ila 4the fest time nimeona mungu amerudisha kipenzi cha watu , still strong and one of the best song written
@wilbroadgrarcian1259
@wilbroadgrarcian1259 11 ай бұрын
Mungu ni Mwema kila wakati pole sana profesa
@EzekielsamwelLaizer
@EzekielsamwelLaizer 11 ай бұрын
Dah kweli mungu ni mwema sana
@esaladennisandayi5409
@esaladennisandayi5409 11 ай бұрын
Very sad song prof. Each mungu aitwe mungu. Twakuombea full recovery.
@SmilingDirtBike-ub4bz
@SmilingDirtBike-ub4bz 4 ай бұрын
Mshukuru mungu professor
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 9 ай бұрын
Pole sana prop. JAY: Bwana yu pamoja nawe tunakutakia hali njema kiafya
@nasmamoza6831
@nasmamoza6831 11 ай бұрын
Hakika kabla hujafa hujaumbika.pole sana legend M/Mungu akupe nafuu na kupona kabisa.
@KubraChande-en7ni
@KubraChande-en7ni 9 ай бұрын
Pole sana kaka angu mungu yupo na wewe na usiache kumuomba mungu
@DicksonAbdallah-mf9cx
@DicksonAbdallah-mf9cx 11 ай бұрын
Pole sana kaka! Ila Mungu amejifunua kwako, acha muziki mtumikie Mungu alokulejesha tena duniani. Ushuhuda wako utaokowa watu wengi dhidi uweza wa Mungu. Nenda kanisani ukamuone mtumishi wa Mungu utasaidika ipasavyo (Yohana 3 : 16).
@bakarbakarali-cw3gc
@bakarbakarali-cw3gc 11 ай бұрын
Mama jitande
@millvillage857
@millvillage857 11 ай бұрын
Sasa ndugu unahisia music ndo satan au ?? Au fanya uweke vizur sentens ako
@bainolatino3412
@bainolatino3412 11 ай бұрын
​@@millvillage857hujajua nini anamaanisha mulize kwanza
@Ngundafey
@Ngundafey 11 ай бұрын
Aache muziki kwani muziki unashida gani...mungu amempa kipaji cha kufanya mziki wewe unasema aache......
@bakarbakarali-cw3gc
@bakarbakarali-cw3gc 11 ай бұрын
Rudi kwa.mola wako kaka aliekuumba yesu hajakuumba yy.mwenyewe.kaubwa
@sharontulliy9332
@sharontulliy9332 11 ай бұрын
Pole sana sana mdogo wangu. Kweli mungu yupo. Utazidi kuimalika.
@mwanjaarashidi7402
@mwanjaarashidi7402 11 ай бұрын
Mwenyezi mungu upo kila sehem pole sana
@hellenmunguti6730
@hellenmunguti6730 4 ай бұрын
Ukiamka ambia Mungu Asante
@emmanuelademba7919
@emmanuelademba7919 11 ай бұрын
Poole sana professor J,Mungu akupe ulinzi zaidi, PIA NILISIKIA KUWA WAJINA WAKO JOSE CHAMILIONI aliugua pia,HIVYO ninashauri ukipona umtafute mshikiane mtoe kibao cha kumshukuru Mungu kwa pamoja kama ulivyotoa hicho,ndio USHAURI WANGU.
@bashobabaraka706
@bashobabaraka706 11 ай бұрын
Pole Sana broo kwa changamoto ulizopitishwa, hayo ni Mapito tuu.
@EmanuelMarseli
@EmanuelMarseli 10 ай бұрын
Pole sana profesa
@laurentmupira1280
@laurentmupira1280 10 ай бұрын
Mungu ni mkubwa. Prof.Jay, jamani!!! Bwana asifiwe!!! Kumeandikwa kwamba si rahisi kubaki na nguvu katika uso wa majaribu. Lakini kinachoweza kututia nguvu sikuzote ni ahadi za Mungu. Mwenyezi Mungu atakulinda. Mungu hutimiza ahadi zake. Hasemi uwongo na hajatubariki kwa hasira au maisha ya taabu. Ikiwa tayari umepokea ahadi kutoka Kwake, uwepo wa magonjwa karibu nawe hauwezi kufuta Neno Lake. Usiogope, kichwa chako hakijafanywa kubeba wasiwasi na usionekane kuwa na wasiwasi kwa sababu Bwana yu pamoja nawe. Amina!!! Amina!!!
@beatricembunda6168
@beatricembunda6168 10 ай бұрын
Pole sana Joseph Haule Mungu Mkubwa,utakaa vzr.
@SylvesterSamwel-t1d
@SylvesterSamwel-t1d 10 ай бұрын
Pole sana
@Burner_Acc
@Burner_Acc 11 ай бұрын
Prof Jay, Mungu akusimamie. Umetubariki sana
@shabanimmbaga1409
@shabanimmbaga1409 11 ай бұрын
Pole sana pr.jay
@fransiskaazizi9329
@fransiskaazizi9329 11 ай бұрын
Duh pole sana kaka aise inauma sana yaani nimempoteza mjomba angu hiyo kitu ya kurudia rudia vipimo kila doctor inachelewesha mtu kuanza matibabu inauma sana ukifikilia😢
@MelkioryKiwango
@MelkioryKiwango 11 ай бұрын
Hakika mungu nimwema Sanaa, mungu azidi kukupigania🙏
@njambikiburio7836
@njambikiburio7836 10 ай бұрын
You will get healed Prof.Our God is still in the business of healing people.
@leoniammasi6634
@leoniammasi6634 11 ай бұрын
Pole sana kaka, Mungu akuimarishe zaidi na zaidi
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 11 ай бұрын
mungu ni mwema jana na leo na hata milele 🙏🙏
@nilmadaudi9358
@nilmadaudi9358 11 ай бұрын
Pole sana Mungu ni mwema
@RahmaMkonongo
@RahmaMkonongo 10 ай бұрын
poresana kwahayo uriyo pitia mungu akuimarishe tunakupenda
@GodfreyMwambwalo-ev9nh
@GodfreyMwambwalo-ev9nh 11 ай бұрын
Pole sana mheshimiwa Mwenyezi Mungu Akujalie afya njema
@westcijosh
@westcijosh 11 ай бұрын
Ila sema mwili wa binadamu ni mashine moja hatari sana ,Dah atukuzwe Mungu asee
@bagayaespoir7361
@bagayaespoir7361 11 ай бұрын
Am very proud of this conversation iyo ni kitu bado Africans tuna fanya mistakes kubwa that's why we have millions of ☠ every single year. Know that the world is running in high speed now., I request for our government Minister of health please think about this issue. Afya tafadhali waigeni ndugu zetu wa damu wazungu namna wanavyo itengezea mazingira health
@RaphaeljMdimi
@RaphaeljMdimi 9 ай бұрын
Glory to God❤❤❤❤
@sadikijani4307
@sadikijani4307 11 ай бұрын
Mungu amekuponya prof.
@saidingailenairoshi3194
@saidingailenairoshi3194 10 ай бұрын
Quick recovery professor Jay
@BarnabasShirima-h3u
@BarnabasShirima-h3u 11 ай бұрын
God bless you kamanda
@nelykaaya6503
@nelykaaya6503 11 ай бұрын
Mungu ni mwema sana kaka Pole sana.mungu akutuze sana kaka
@barakaabel482
@barakaabel482 11 ай бұрын
Pole sana Prof.
@robertmuiruri550
@robertmuiruri550 10 ай бұрын
Quick recovery
@eliadaniel216
@eliadaniel216 11 ай бұрын
Asante Mungu kwa uponyaji huu
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 11 ай бұрын
Pole Sana kaka j mungu atakuponya utapona mungu nikila kitu
@levinakiluga3023
@levinakiluga3023 11 ай бұрын
Masikini, yesu akutetee
@deboramushi5924
@deboramushi5924 11 ай бұрын
Pole sana kaka yetu. J mungu endelea kukutunze kaka
@ALLIANCEFORWOMENCHILDRENANDYOU
@ALLIANCEFORWOMENCHILDRENANDYOU 11 ай бұрын
We are so grateful and ready to work with you precisely
@wanchara184
@wanchara184 11 ай бұрын
Pole kaka daa
@GodloveKibona
@GodloveKibona 11 ай бұрын
Pole sana brother
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 11 ай бұрын
Daa pole sana kaka angu Allah akuvuxhe hu mtihani
@MRIMIIddy
@MRIMIIddy 10 ай бұрын
alla akufanyie wepesi inshaalla
@jaffarmusafiri5729
@jaffarmusafiri5729 11 ай бұрын
Pole sana Pr. JAY. You will be fine
@chumayaoinvestment1647
@chumayaoinvestment1647 11 ай бұрын
Mungu ni Mwema Sana
@jameswachira6380
@jameswachira6380 11 ай бұрын
Sipendi haya kuona pro. J katika hii hali Mungu akupe uhai zaidi na pole Sana,Kwetu hapa Kenya kuoshwa figo mara moja kwa kawaida ni ksh.9500 si rahisi Pia.
@mreagletz
@mreagletz 11 ай бұрын
Nimetokwa na machozi wakati mdogo wake anaongea 😢, nachojua profesa jay ni moja wasanii wanapendwa sana na watanzania maombi yao Mungu aliyasikia , Mola anatenda kila wakati
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 11 ай бұрын
Pole sana profesa J ,ili tatizo la Figo lilimuondoa mwamba wangu naumia sana 😢😢
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 11 ай бұрын
Pole Sana ndugu
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 11 ай бұрын
@@hyacintagugu7 asant
@mwanaally4972
@mwanaally4972 11 ай бұрын
Mung ashukuliwe xna yaan amekupigania xaan bro m/mung azid kukup afya njema🙏🙏🙏🙏
@ramadhanmaulid4088
@ramadhanmaulid4088 11 ай бұрын
Hali yako ya afya kuwa njema Ni somo tosha brother, ushauri wangu acha muziki. Kama sio muislam fanya uwe muislam Allah Ni mtukufu na ndiye mwenye haki ya kuabudiwa, atakusamehe muziki Ni njia ya upotevu.
@noelyhaule955
@noelyhaule955 11 ай бұрын
Uislam unakuja vp sasa
@dianarosederick7154
@dianarosederick7154 11 ай бұрын
Kwani hawezi kumuabudu Mungu mpaka awe muislam au mpaka apo alipofikia kaponywa na usilam embu acha udini wako buana Mungu ni WA wote sio muislam Wala mkristo mshauri aibiri injiri sio unaniambia abadili dini kwanza dini aimponyi mtu kinachomponya ni Imani yake sawa
@dianarosederick7154
@dianarosederick7154 11 ай бұрын
​@@noelyhaule955si ndo apo analetea udini wake apa profesa ni Romani na kaponywa na Imani yake Wala sio dini Yale Sasa huyu anaemuambia awe muislam sta sijamuelewa ata kidogo
@bagayaespoir7361
@bagayaespoir7361 11 ай бұрын
Au nipeni kitengo 20% chakuongeleya Afya ya wanaichi nakutengeneza suluwisho kwa kasi asilimiya kubwa Asanteni. Naishi Sweden 🇸🇪 ninauchungu na ndgu zsngu wa damu
@shabanimchuka4224
@shabanimchuka4224 11 ай бұрын
Pole sana mkongwe wa music
@Grace-wl5be
@Grace-wl5be 11 ай бұрын
Polesana mungu nimwaminifu
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 11 ай бұрын
ila mwamba bado anaumwa uyu daaa🙏🙏🙏🙏
@AllyJuma-zp9nw
@AllyJuma-zp9nw 11 ай бұрын
Pole sana kaka..achana namusic wakidunia mludyeaie mungu
@AshaNgabangalila
@AshaNgabangalila 11 ай бұрын
😢😢
@raiyaomary1988
@raiyaomary1988 10 ай бұрын
Mungu.akuponye tunakuombea
@anafinnunduma3293
@anafinnunduma3293 11 ай бұрын
Mungu ni mwema sana, azidi kukutunza mja wake.
@SylvesterSamwel-t1d
@SylvesterSamwel-t1d 10 ай бұрын
Fett vip kuhusu ile nyimbo ya taifa saiv haisikiki kinatatizo au maan zaman ilikua muhim ... Naomba irudishwe tena🙏🙏🙏
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 11 ай бұрын
Yesu anakuita ukatumike kazin kwake karibu .but Mungu ni mkuu sana
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 11 ай бұрын
Umesema vemaaaaaa
@dianarosederick7154
@dianarosederick7154 11 ай бұрын
Kabisaa yaaani
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 9 ай бұрын
Well said
@IddyKawaya
@IddyKawaya 11 ай бұрын
Allah akupee Afya mzee urudii ktk halikatii zko
@MachoMidia
@MachoMidia 11 ай бұрын
Pole Sana kamanda wetu mungu nimwema atakujalia tu
@rukiaahmed1291
@rukiaahmed1291 11 ай бұрын
Jamani kwani wizara ya afya ikitaka inaweza lakini hawaamii kufanya ivyo, Imeamua kuwekeza kwenye cosmetic surgery badala ya kuwekeza kwenye surgery muhimu za kuokoa maisha ya watu, Mtazamo wangu ni kuwa serekali ingewekeza kwanza kwenye kuokoa afya, vipimo imara vyenye kuwapa wagonjwa majibu sahihi
@dorisgao7403
@dorisgao7403 11 ай бұрын
Pole sana kaka Hakika Mungu amekutendea mengi makuu. Hatuna lakusema zaidi ya shukrani kwa Mungu wetu
@beatriceurio8130
@beatriceurio8130 11 ай бұрын
Kaka hapo kawe Kuna Mtumishi Mwamposa chukua hatua ya Imani kaka uombewe na watu wakubwa wa Mungu
@fredrickmakoba628
@fredrickmakoba628 11 ай бұрын
Mungu ni mwema Kila wakati
@WINGOCHIMPAANAMTEMA-i4n
@WINGOCHIMPAANAMTEMA-i4n 11 ай бұрын
Pole ndugu sauti tu inasikika ulikua unaumwa kweli
@MashakaShobo-cs5wj
@MashakaShobo-cs5wj 11 ай бұрын
Pole sana bro mimi ni yule jamaa nilikubeba kwenye gari kutoka kahama mjn submaline hotel kwenda kagongwa
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 11 ай бұрын
Ulijisikia vibaya ukiwa kwetu Mbinga. Pole na Mungu Mkubwa Sana
@kinglusa8284
@kinglusa8284 11 ай бұрын
Mungu mwema xana 🙏
@RichardCharo-zx3sy
@RichardCharo-zx3sy 11 ай бұрын
Pole kamanda
@levinakiluga3023
@levinakiluga3023 11 ай бұрын
Masikini, yesu akutetee na kuzidi kukulinda
@MariamuSaidi-t1q
@MariamuSaidi-t1q 11 ай бұрын
Mungu akurinde kaka
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 11 ай бұрын
Da aisee jamaa bado kabisa ajakaa sawa kweli maisha ni mzunguko
@abibumbota5160
@abibumbota5160 11 ай бұрын
Du pole sana ndugu yangu Mungu ni mkubwa sana
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 11 ай бұрын
Dah mwamba mpka sauti ilipotea aise pole sana jize
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 11 ай бұрын
Pole sana kaka mkubwa
@WashikiMarwa
@WashikiMarwa 11 ай бұрын
Duuuu polee sanaa
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 11 ай бұрын
sema ww kipanya rekebisha code yako ya uvaaji hivi ungeenda kumuhoji waziri au mkuu yyte ungeenda ivo?????
@GeorgeMgesi
@GeorgeMgesi 11 ай бұрын
mungu akuponye umepitia majaribu makubwa sana
@SadaKimomwe-s1q
@SadaKimomwe-s1q 11 ай бұрын
Mungu ni mweeza wa yote,Ila wasio na hela wenye matatizo haya ndo wanapoteza maisha
@saidshukurumalale123
@saidshukurumalale123 11 ай бұрын
Mungu amsaidie aendelee kuimarika
@ZeyliciousSaid
@ZeyliciousSaid 11 ай бұрын
Prof kama bado ayupo saw😢 ila mbaka kufka apa tunamshukuru Mungu azidi kukupa afya njema 🙏
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 11 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 9 ай бұрын
🙏😍😊
Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1
41:30
YahStoneTown
Рет қаралды 118 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 29 МЛН
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 2,5 МЛН
PROFESSOR JAY: DIAMOND tayari, Ningependa kufanya na ALIKIBA
46:00
Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 2
27:13
YahStoneTown
Рет қаралды 49 М.
Mossad's Deadliest Mission: The Hunt for al-Wazir | Real Crime
48:45
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34