E bwana eeeh Ngumi mbili tatu 👊👊👊💪💪 ohooo ccm mtaumia
@fubanjenjele5215 жыл бұрын
Bunge tamu Sana, vijana wanawasha moto Hip Hop culture prof jeezy Tume huru, tume huru
@emmanuelmajele58124 жыл бұрын
Kama umemuelewa jamaa analapu gonga like
@bibieabdallah42584 жыл бұрын
Weye uyu mbunge ongereni sana mungu amjaalie kazi njema yuko vizuri sana
@youngramajrtz22155 жыл бұрын
Jamaaa wenye uyu mbunge semeni asantee mungu 🙏🙏🙏
@victornaikara21855 жыл бұрын
Kweli we we msanii umeongea point tupu pia ukiwekabit inakujapia du you did
@hosearwechungura53915 жыл бұрын
Saf sana Profesa Jay
@amaninaupendo.35395 жыл бұрын
Amen Amen. Mungu aturehem na kutupa Amani Amen.
@kidutasuleiman2555 жыл бұрын
Mikumi msikubali kumpoteza huyu pro. J. Atawafikisha sehemu fulani sahihi
@AishaAisha-eb9hh3 жыл бұрын
And imagine they lost him.
@lilianjohn64834 жыл бұрын
Wangemuongezea muda kidogo tuu ange rap😂😂😂 ila mheshimiwa yupo vizurii
@jonesgeorge31525 жыл бұрын
Kweli j,upo kileleni, good
@zakaboy13055 жыл бұрын
sasa umeivaa mzee baba
@revocatusmanyama86215 жыл бұрын
Nakupenda bureeee kamanda!
@alikhamisog34224 жыл бұрын
Professor J asante Nakupa leo 24/2/2020
@ephraimmwano6378 Жыл бұрын
mtu kma mtu😍😍❤
@fintanmkesha95154 жыл бұрын
Big up broh unawakalisha watanzania vzr
@abdulmohd68805 жыл бұрын
uyo nd Joseph haule mbunge wa binaadam na wanyama,,,,, huwa haongeagi pumba yy, zle zle nyayo za Lissu, Sugu, Zitto na Bashe huwa hawapelekeshwi wao ukwl wanausema tu,,,,, may God bless you a lot na hiyi nchi itakomboka tu kw uwezo wa Mungu...
@hamisimussa22285 жыл бұрын
W
@bonfacemutetiwachira19564 жыл бұрын
Nampenda prof jayyy....
@linahlameck79505 жыл бұрын
Jamn wenye wabunge wa upinzani msije poteza MDA kuwa chagua ccm minajuta mbunge wa Jimbo langu ccm cjawahi muona akitoa hoja xx cjuh tulimchagua akapige makofi
@abisolomonuyokachaguliwaac40484 жыл бұрын
Wafuatao nawakubali sugu professor Jay lisu Jon Heche Aya mjembe
@kingtheswaggerdon3 жыл бұрын
umemsahau SUGUUUUUUUUU
@kahemachowdry73465 жыл бұрын
safi sana profesa J. ukweli unauma lakini msemakewli ni mpenzi wa mungu
@sagandamalechampullo6595 жыл бұрын
Big up, Profesa j
@caxkogoty45304 жыл бұрын
Nimejifunza k2 kaka profesa kupitia ndio mzee na co mzee piga kaz mzee
Kwa mujibu wa kangi lugora ,atakwambia wameenda kutafuta maisha
@paschalboniface83194 жыл бұрын
Mbunge kama uyu tungempata chalinze tungefulahi sana
@omarymbalala62245 жыл бұрын
Wapinzani wote wanaakili afu akisimama huyu mtu hata mapoyoyo waccm wanaufyata hawazomei Mana izo nipoint tupu
@jahpeoplebadguy42265 жыл бұрын
Etii Prof J sema Joseph Haule umezeeka hata umesahau majina ya wabunge wako Kweli Mwenyekiti 💺
@turuoleshomi36674 жыл бұрын
Pongez kubwa Mb wangu wa mikumicenter nipo hapa Malolo nakupata sana
@husseinibrahim14734 жыл бұрын
Ndiooo mzeee
@husseinibrahim14734 жыл бұрын
Unaitendea haki hiphop
@pastor.frank.tmwaisemba74015 жыл бұрын
Huyu jamaa,😂😂😂😂. Oya oya oya
@kileoalminiam63755 жыл бұрын
Umeticha sana mkuu waambie kweli wajuwe wasizani tumelala
@steventitus21745 жыл бұрын
Waccm 30
@pascalgodfrey6864 жыл бұрын
Mpela mpela Mzee baba haina kupoteza dakika oya oya tu KAMA POPO KANYEA MBINGU
@tausijuma49914 жыл бұрын
Alikiba
@jimmyleemdemu42425 жыл бұрын
Tume huru ya uchaguzi bado tatizo
@happyfiverickaldo46625 жыл бұрын
Jeiiiiiiiiiiiiiii weeeee ni nooooma watu wetu kumiii
@davidkaguru95115 жыл бұрын
Tume ya ccm siyo ya uchaguzi
@amanismithk3 жыл бұрын
😂😂😂 Na ni kweli kabisa ! Ilitakiwa iitwe tume ya uchaguzi ya "sisiemu" for real! !!
@mgimaabdul10644 жыл бұрын
Hakili unayo kaka
@paulomwashinga28305 жыл бұрын
wewe kweli ni jy
@bennymochiwa48004 жыл бұрын
huu ndio utawala wa msukuma!!!!
@johnsaimon23524 жыл бұрын
Mm nakukubali ata unavyongeaga tu Kama unaimba baba wewe kweli unafaa kuongoza Binadam na wanyama
@fauahamisi10975 жыл бұрын
Ana hataree uyu jamaa
@fredreckmwakalinga34755 жыл бұрын
Hawa ndo wanahitajika Tz mzima wabunge wa aina hii wanaongelea maswala muhimu kwa wananchi sio hao waimba taraabu wakiongozwa na lusinde
@sebastiansalamba82365 жыл бұрын
Professor j atarudi ccm hivi karibuni
@georgeavelin8155 жыл бұрын
hamna Fact anaongea sana Point chache inabidi ujipange kwa heavy details.
@danielrobathi61154 жыл бұрын
kweli nimeamin kutoka getto hadi mjengoni na unahuamsha kweli mjengo
@bongojoonlinetv9774 жыл бұрын
Wengine cjui wabunge wet wak wap?
@davismdula15174 жыл бұрын
Kinywa chenye busar hunena maarifa
@husseinchiaseeds26535 жыл бұрын
Hipap haijawahi kumuacha mtu salamaaa
@sakinaripambila9594 жыл бұрын
Mbunge wa jimbo LA segerea anachojali in segerea tu si kwingineko he haya maeneo mengine hayakukupia kwann hujali kama maeneo ya kisukulu hayatazimiki kutokana na mvua barabara mbovu magari hayapi simu tunakupigia watu zako wanajibu utakuja kimya he kama unajali Basi njoo utupe msaada wako
@frankmarleylegendary72004 жыл бұрын
Zali la mentali
@maombimimi90145 жыл бұрын
Uyu jamaa anawawakilisha kweli wana mikumi maana yote anayoyaongea ni ya wanamikumi,,,ndio mbunge anapaswa kuwa hivo
@paulinasemindu12924 жыл бұрын
mm cjawah kumuona mbunge wetu wa jimbo.la chalinze liziwani akisimaa bungeni na kutetea matatizo.ya jimbo.lake la chalinze😂
@shijamandwa10544 жыл бұрын
Bongo mnaboa Sana na serkar hiii adi kero
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
Marapaap nimerudi tena kumsikiliza Mh #JosephHaule baada kusikiliza “#NdiyoMzee” kzbin.info/www/bejne/poLanGOdn9WGfbc Kweli anastaili nafasi aliyonayo hata zaidi... keep fighting for the benefits of your ppl of Mikumi. Utabaki kuwajuuu kileleni
@daudmajukano94344 жыл бұрын
Analapu nini 😂😂😂😂
@dnaofgodtv48735 жыл бұрын
Ktk hili wenye ushabiki wa vyama badala ya hoja na waseme Sasa!
@georgemashauri46575 жыл бұрын
Hivi shinyanga huwa hatuna mbunge?
@medkisalazo38905 жыл бұрын
Awamu ya 5 sio Mchezo Balaa nuksi ongea Tu wakupoteze Oooh maisha zipu mdomoni Kaa kimya wanausalama maaskari polis Sio wazamani bunduk DOM mchana afu kambi tawala inamshabikia mkuu magufuli
@careenchristian48715 жыл бұрын
F****
@abisolomonuyokachaguliwaac40484 жыл бұрын
Cjawahi kumskia mbunge wa rungwe
@juliascherehani23304 жыл бұрын
walifuata nn mikum
@abisolomonuyokachaguliwaac40484 жыл бұрын
Ata mie cjawahi kumuona akiongea bungeni yani haibu
@samirsalum64745 жыл бұрын
Kumrudisha mpenzi libwata peteya bahati:0658535229 malipo baadaya ya tiba
@musadosa41155 жыл бұрын
wamesafiri unasema wamepotea wengine wapo machimbon
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
Musa Dosa Yeah #MO naye alikua Machimbon. maPOYOYO
@man.lule.5855 жыл бұрын
Watu wanatafuta maisha Mikoani wewe unasema wamepotea.
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
YUSUPH SEGE Yeah #MO naye alikuwa mkoani.. maPOYOYO
@hamadathuman69395 жыл бұрын
Mapoyoyo bado yapo ilii SEGE kweli
@bahatisteven57514 жыл бұрын
Mikumi wana mbunge hadi raha, kibaha sijui kama tuna mbunge
@mwanahawangunama25313 жыл бұрын
Sijafanya makosa kukuchakua mbunge wetu upo sahihi mikumi uyoooooooo
@HassanHassan-sn5cj5 жыл бұрын
HUJASAHAU MAMBO YA "ZAALIILAA MENTAAL LUMETOKEA NAKITIM....!! " ILA HAKI NISAWA NA PEMBE LA NG'OMBE HAILIFIKI IPI SIKU ITAMAMA TUU!!
@georgemashauri46575 жыл бұрын
Maeneo ya katikati
@adiliantvonline45734 жыл бұрын
😎😎😎😎😎
@King_1865 жыл бұрын
Prof J, safi, maana anachangia hoja vzuri, cdm wote waige mfano, sio kupinga kila kitu
@isaacsengunda30995 жыл бұрын
Joe tz ni mpumbavu,kuna m bunge gani wa chadema anaechangia vibaya hata siku1? Au wewe unae ndugu ameotea huko?? Nyie ccm kama mikojo tu.
@ashirujabel60895 жыл бұрын
Ndio mzee
@priscargodwel37944 жыл бұрын
Daaah sijawahi sikia hoja ya ombunge wangu wa mbeya lvijijini