No video

EXCLUSIVE: FAIZA ALLY Amwambia Sugu mimi mwenyewe nimechoka Vita, Nimechoka kuwa Maadui/Haina faida

  Рет қаралды 284,924

ZamaradiTV

ZamaradiTV

4 жыл бұрын

Пікірлер: 1 200
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 жыл бұрын
Tunaomuelewa faiza tunainjoy, kweli tumeumbwa tofuti hatuwezi kua sawa, na hii ndo linakamilisha neno ubinadamu...tuchukuliane tulvyo, love you faiza
@r.nock-the-power3826
@r.nock-the-power3826 4 жыл бұрын
Aliegunduwa kuwa faiza siku hizi amekuwrembo kama zari like hapa twende sawa
@elizabethtossy7115
@elizabethtossy7115 4 жыл бұрын
Mkwel san
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 4 жыл бұрын
Zari haingii hapo kaka Faiza is a true meaning of beautiful habebwi na filter pesa wala make up. She is sooo real
@nestageorge8990
@nestageorge8990 4 жыл бұрын
Mbona sasa katuvalia uchi anakushusha heshima yako zama kwani uko vizuri sana katika entv zako so sio poa hayo mavavi
@r.nock-the-power3826
@r.nock-the-power3826 4 жыл бұрын
@@nestageorge8990 Mavazi siyo tabia unajuwa faiza ni mhangaikaji sana na jinsi watu mnavyo mchukulia sivyo alivyo kabisa
@shaniahrachma7767
@shaniahrachma7767 4 жыл бұрын
faiza ni natural beauty, zari ni fake beauty yaani bleaching skin na more surgery
@meredouble9897
@meredouble9897 4 жыл бұрын
Who else cried like me when faiza was giving Baba Sasha a direct message of forgiveness. This woman is so real just like me, I just love her.
@eileengift7836
@eileengift7836 4 жыл бұрын
Kwa haraka haraka huezi muelewa Faiza ila she is a very good person!
@nathanmao159
@nathanmao159 4 жыл бұрын
Good for sex may be
@gracemichael2225
@gracemichael2225 4 жыл бұрын
Kweli na ni mama bora pia
@bermudatriangle8359
@bermudatriangle8359 4 жыл бұрын
eileen gift talk nice english she's a good woman not a person go back to school shaizen
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Kabisa
@grandneo5264
@grandneo5264 4 жыл бұрын
Nitakutafuta faiza
@turlinesuzana4890
@turlinesuzana4890 4 жыл бұрын
Kama unampenda Faiza like apa tujuane
@florachifupa2751
@florachifupa2751 4 жыл бұрын
Nampenda sana
@florachifupa2751
@florachifupa2751 4 жыл бұрын
Me pia
@davidawet3214
@davidawet3214 4 жыл бұрын
Vaeni nguo
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 4 жыл бұрын
Zamaradi tuleteye wema naye
@khadijahassan987
@khadijahassan987 4 жыл бұрын
Jamani mimi naitaji no yake maana nataka tufanye nae kazi
@andrewntezirizaza3831
@andrewntezirizaza3831 4 жыл бұрын
Kusema kweli sijawahi kuona mwanamke mswahili mkweli na mwenye roho nyeupe kama huyu. Zamaradi ukisoma hii msg naomba connection naye. Harafu Zama shukrani sana kwa Interview safi unazosifanya. Uko juu sana dada yangu.
@pendomilinga8574
@pendomilinga8574 4 жыл бұрын
Jinsi walivokua wanamsema huyu Dada na alivo kumbe tofauti Ni muelewa sana,mstaarabu sana ,nimempenda sana
@everinemichael7457
@everinemichael7457 4 жыл бұрын
Faiza uko smart sana, uko real nakupend ww dada kweli maisha aya usitegemee watu ukijikubali ww inatosha.
@elizalwakatare8070
@elizalwakatare8070 4 жыл бұрын
Faiza tumefanana vitu vingi sana 😘sema umenizidi hela tu ila kwa kuwa sikati tamaa naamini one day yes 🙏maneno ya mama yako alikua akiniambia mama yangu pia 😍
@minahsamiry4459
@minahsamiry4459 4 жыл бұрын
I love faiza.... The way she explain herself.... Yan yupo really.... I love everything about her
@gloriousn6425
@gloriousn6425 4 жыл бұрын
Minah Samiry yuko really ❌=yuko real
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Wachache sana wanaoweza kumuelewa faiza, binafsi nampenda sana, mazuri yake na lifestyle yake inanifunza mengi mno....! MAPUNGUFU yake Ni hali ya ki binadamu hakuna aliye MKAMILIFU
@neemakaluwa2089
@neemakaluwa2089 4 жыл бұрын
Kwel
@ezekielleonard8160
@ezekielleonard8160 4 жыл бұрын
Mwanamke akipenda ujue kapenda KWERIIIIIIIIIIIIIIII
@paikundalema6740
@paikundalema6740 4 жыл бұрын
super women
@aminajuma5664
@aminajuma5664 4 жыл бұрын
Kwel kabisa
@violethabel5548
@violethabel5548 4 жыл бұрын
Kweli kabisa yani
@btylove1870
@btylove1870 4 жыл бұрын
The most realistic women in TZ! Faiza I love you mama. Itawachukua mda mrefu sana tena sana baadhi ya waTanzania kukuelewa! Mimi niko na tabia kadha kama zako, watu wengi nyumbani they can't stand me because I'm lving my life.🤷‍♀️ Wananitaga mzungu sana😂😂
@amour5535
@amour5535 4 жыл бұрын
Yani mm kabsa
@mwalimbinumar7612
@mwalimbinumar7612 4 жыл бұрын
Wachana nao come here dear ahahha
@nmosha90
@nmosha90 4 жыл бұрын
Tuko wengi my dear same as me. I dont give a f.ck maana wa TZ huwawezi.
@mwalimbinumar7612
@mwalimbinumar7612 4 жыл бұрын
@@nmosha90 mbona Tena
@salomemphela878
@salomemphela878 4 жыл бұрын
Watu hawaelewi tu mtu akiwa real
@danielerasto2111
@danielerasto2111 4 жыл бұрын
Kama uma umeielewa ii sound track ya uzuni iliyotumika apa nipeni like zangu
@bigboyben6932
@bigboyben6932 4 жыл бұрын
Moja ya interview kubwa early 2020!Good job Zama
@daniellazaro7506
@daniellazaro7506 4 жыл бұрын
Such an intelligent woman!! ❤❤❤
@glorymushi6174
@glorymushi6174 4 жыл бұрын
This two women's is my roll model nawapenda Sana jmn dada zangu😘😘😘
@esterpromy3183
@esterpromy3183 4 жыл бұрын
These 2 women are my roll models
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 4 жыл бұрын
Faiza kwangu ni kioo,,,najitazama
@maggiechristopher8817
@maggiechristopher8817 4 жыл бұрын
Ester Promy roll❌. Role✅
@rosecruzy6666
@rosecruzy6666 4 жыл бұрын
Me2
@evelyndiana6071
@evelyndiana6071 4 жыл бұрын
@@esterpromy3183 role not "roll"
@Khamis-zf6be
@Khamis-zf6be 4 жыл бұрын
Kutokana na hii interview nimeweza kumjua Faiza kuwa mwanamke mwenye maadili mazuri sana,ela kwenye mavazi tuu ndoo sijapenda.
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 4 жыл бұрын
Jamaniii faiza anaongea point sana,Mimi nimemuelewa sana,na nimejifunza sana kupitia hii interview yake,halafu nampenda yuko really sana,
@antonykomba6020
@antonykomba6020 4 жыл бұрын
Nimempenda Sana FAIZA Ally thru this emotional 'n' very riveting interview, now that things are starting falling into place I can grasp the fact that there was always a method at her madness. Mungu ambariki yeye na mwanae Sasha
@innocentswai9329
@innocentswai9329 4 жыл бұрын
This woman is so real, she is an open book.
@samirahabdallah1398
@samirahabdallah1398 4 жыл бұрын
Huyu Dada ni mkweli sanaa Mungu ndo maana anambariki Wabongo ni ngumu kumuelewa ila she is very correct
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Samirah Abdallah fact
@sophiakasim5153
@sophiakasim5153 4 жыл бұрын
Kabisa
@dn.n4983
@dn.n4983 4 жыл бұрын
Real clean heart nikija kuona nakupenda bure nikija nitamletea mtoto zawadi anapenda nini be bless
@asiaasia8443
@asiaasia8443 4 жыл бұрын
Mapenzi yanauma sana jamani!faiza alimpenda sana sugu!na bado anampenda sema 2,amechoka kwakuwa tayari sugu kaoa!lakini still bado anampenda sana!na uwezi kumsahau mtu uliyempenda kutoka moyoni, pole sana faiza,
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Yupo kam mm jaman masikini
@niahussein3383
@niahussein3383 4 жыл бұрын
Kabisa mwanamke akipenda anapenda kweli ila kwa maisha ya bongo tunalazimika kuish maisha ya kuigiza
@janembwana3339
@janembwana3339 4 жыл бұрын
Yaani Faiza namwelewa saanaa, yuko vizuri anaishi maishaa yake kama yalivyoo.
@gracemichael2225
@gracemichael2225 4 жыл бұрын
Go faiza umenenepa, umependeza kila la kheri kwenye biashara yako
@lindamulisa8142
@lindamulisa8142 4 жыл бұрын
Wachache ndio hawatakuelewa lkn Mimi nakuelewa sana Mama Sasha! Umenifurahisha pale ulipojua maisha yanatakiwa yaendeleee . Mungu akubariki sana ww na familia yako.😘😘😘😘😘
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 жыл бұрын
Yaan leo ndo nimemjua vizur Faiza she a good woman..ila mamawakwe loooh! 🙌🙌Mjuage pia mwari wako ni mwanao pia kufanya ivo utaona na mazuri yao pia
@masanjamoses493
@masanjamoses493 3 жыл бұрын
Da faizza nimekupenda buree umeongea vizuri sana Mungu akufanyie wepesi zaidi kwenye biashara yako
@devothafredrick3911
@devothafredrick3911 4 жыл бұрын
Pole yaliyokukuta da faiza ila pia Hongera sana kuwa mwanamke anayesimama imara
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 4 жыл бұрын
My Allah protect you ss faiza Ally,,,,,wakati wa mungu ndio wakati sahihi🥀🥀
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 4 жыл бұрын
Kumbe ulikuwa mwanamke Bora kwa baba Sasha ila wanaume ndo hawaeleweki na kuaminika
@najma3268
@najma3268 4 жыл бұрын
Faiza nakupenda sana, kwanza ni mkweli Na hata akiwa Na furaha unaonyesha cyo kukasirika to , Love you so much my dear 😘
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 4 жыл бұрын
Ipo siku faiza utarudiana na baba Sasha ndo kinachoonekana hii comment itakuwa kumbukumbu kwako
@mwanamisimasanga6281
@mwanamisimasanga6281 4 жыл бұрын
Begukule Mosobe ,hata mm naona hivohivo,time will tell.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Yaani huyu Mungu hutenda maajabu kwa wakati wake
@dorcasmejason9808
@dorcasmejason9808 4 жыл бұрын
Wewe unaweza kurudiana na mtu ambaye tayar kazaa na mtu mwingine?
@jennifermsungu5650
@jennifermsungu5650 4 жыл бұрын
Tatzo watanzania tuache kukariri Maisha kuwa mke wa ndoa anatakiwa kuvaa nguo ndefu sjui vp Yani huyu bint anampenda Sana sugu uwiii jmn angepata nafas Ange enjoy Sana nakupenda Sana faiza wangu
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 4 жыл бұрын
Nitafurahi sana
@divine6145
@divine6145 4 жыл бұрын
Du!salute kwako Faiza .....unazidi kuwa mzuri ....nakupenda
@shumycamp8885
@shumycamp8885 4 жыл бұрын
Woww ktk interview zote this one it was the best na mazunguzo yote kasema ukweli yani yanamsisimko , unatamani yasiishe haya ndio mambo sio unatuletea watu unaona kabisa wanatudanga yani hii nimesikiliza mpaka mwisho za wale wengine yani ukiianza hata hujamaliza in few seconds unabadili.jifunze hapa .well done Faiza .sikuingilii kazi yako but mda mwingine kuna watu u don't need kuwahoji .xxx ✌
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 жыл бұрын
Hahahahahaha wale wa nocomment amasiwez kuongelea
@shuusimpson6987
@shuusimpson6987 4 жыл бұрын
Daah nyie mapenzi yanauma😢....nampenda sana huyu dada vile alivyomkweli😘😘
@florahkimbage9571
@florahkimbage9571 4 жыл бұрын
Nampenda sana Faiza ni mkweli ni muwazi hajui kuficha hisia zake!!! Vichwa viwili vimekutana Leo💕💕
@candybenardy3110
@candybenardy3110 4 жыл бұрын
Hii interview katika interview zako zote Zama nimeielewa sana,, Faiza anajieleza vzr sana hata upande wa biashara zake zinaeleweka ❤❤
@rehemafyumagwa8005
@rehemafyumagwa8005 4 жыл бұрын
Sikuwahi kujua kua Faiza uko smart kiasi hicho, nimekupenda ghafla aiseee. Hongera sana Zama hii ni bonge moja la interview!
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 4 жыл бұрын
Faiza uko real sanaa....nimekupenda sanaaa
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Wangap wamelud hapa baada ya wawil hawa kutokuongea 🤣🤣🤣🤣like zetu hapa
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 4 жыл бұрын
Faiza nakupa big up. Mungu aendelee kukupigania dada. Hongera sana piga kazi.
@dollarshirima1464
@dollarshirima1464 4 жыл бұрын
So smart,,, I like you Faiza for sure...uko poa sana
@sadaalharthi7317
@sadaalharthi7317 4 жыл бұрын
Yani we dada faiza nakupenda unajibu maswali vizur hadi raha na kwa uwazi😘😘
@remiomar7154
@remiomar7154 4 жыл бұрын
#### Faiza Ali #### Giggi money Nawapenda Sana hawana kinyongo n watu wakuongea ukweli mtupu
@judithoyier7100
@judithoyier7100 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa MTU ambae ushampenda toka moyoni hata iweje huwezi kumchukia.. Imenikuta story kama ya faiza kwenye maisha yangu
@jenestermerchades9111
@jenestermerchades9111 4 жыл бұрын
Jata mimi, yaani
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 жыл бұрын
Nikweli my
@dottnatta310
@dottnatta310 4 жыл бұрын
Aswaaaa 💯
@dn.n4983
@dn.n4983 4 жыл бұрын
Faiza unanifuisha kupigwa ngumi au kofi wewe faiza nikija tutaknywa champeni wewe unafurahisha kweli sana sana una haja kwenda kwa mganga dua lako na mama yako linatosha mungu anasikiliza ubarikiwe sana lv sis be bless
@ceciliachiunje11
@ceciliachiunje11 4 жыл бұрын
Nakupenda mno Faiza,ww ni wa kipekee Watz wengi Wana undani c wafungukaji hivyo ndio maana maisha yetu most of us ni mafupi kwaajili ya undani(unafiki)
@luvisa2472
@luvisa2472 4 жыл бұрын
Yes you love him but you need to stop talking about him and swallow your pain. Atakua anajibost kwa wanaume wenzake na kujiona kuwa he is the only man for you and he is going to control you mentally. Enough is enough close the chepter and stop talking as if he a saint.
@sianduminsanya9233
@sianduminsanya9233 4 жыл бұрын
Nakupendeni nyie
@maimsakuzi3518
@maimsakuzi3518 4 жыл бұрын
Sure
@verokasongo9717
@verokasongo9717 4 жыл бұрын
Faiza huge heart
@elenestinakomakoma5116
@elenestinakomakoma5116 4 жыл бұрын
Dah! Its amaizing interview I love her coz she live her real life wherever she go.....
@wakurumanyaki6369
@wakurumanyaki6369 4 жыл бұрын
Kiukwel nikiri nimejifunza kitu kupitia maisha yako umenipa ujasiri na nguvu ya kuendelea 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@neemaberny3598
@neemaberny3598 4 жыл бұрын
Zamaaaaa PLEASEEE weka kimeza with tissues n water!!unao wa interview wote wanaliaa mbona huwafikirii!!
@neemaberny3598
@neemaberny3598 4 жыл бұрын
@Amina Said hiyo tissue kaja nayo aliishika na simu yake hapo pembeni ndio maana anayo mwanzo hadi mwisho..kungekuwa na tissue hapo asingetumia hiyohiyo kufuta kamasi na machozi..
@veronicalufingo3513
@veronicalufingo3513 4 жыл бұрын
neema berny hili suala analipuuza sana cjui kwanin
@neemaberny3598
@neemaberny3598 4 жыл бұрын
@@veronicalufingo3513 yani nashangaa..
@changanikisesa7021
@changanikisesa7021 4 жыл бұрын
Interview nyingi za bongo hawaweki tissue ma maji they dont learn😏😏😏
@yvonnepeter3487
@yvonnepeter3487 4 жыл бұрын
😄😄😄😄🙏
@maindamakwiro4046
@maindamakwiro4046 4 жыл бұрын
Kama kuna interview umefanya ya ukweli ukweli.... Huyu Dada ni fireee.... Faiza ni muazi but ile interview ya muna love hapana kwa kweli inabidi uifute... Muna kaongea uongo sana.
@glorysechu83
@glorysechu83 4 жыл бұрын
Kumbe na ww uliona hilo
@gracemichael2225
@gracemichael2225 4 жыл бұрын
Hahahaha kweliii
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Alkua haelewek ajifanya mlokole🤣🤣🤣
@mdomani2404
@mdomani2404 4 жыл бұрын
😅😅😅Kwel me hata sikuimaliza
@joycechaz2840
@joycechaz2840 4 жыл бұрын
Muna kila kitu anajifanya et namuachia Mungu anaulizwa uhusiano wake na Joel anafikiriiiia alafu anakataaa muongo sanaa ukimuangalia usoni tu unajua
@korogwetanga810
@korogwetanga810 4 жыл бұрын
Shukran sana zamaradi na faiza nimejifunza mengi kupitia hii interview
@nailengai7057
@nailengai7057 4 жыл бұрын
Unampenda faiza cz yeye ni muwazi ila mbona ww ni public figure na ukiulizwa yako unajibu no comment! Unapendaa kuuliza ya watu ila mambo yako huyaeki wazi! Ujue una mafans na wanahitaji kukujua hizo no comment zako zinaboa!
@rosemaryngowo2327
@rosemaryngowo2327 4 жыл бұрын
Mno
@esterponela1365
@esterponela1365 4 жыл бұрын
Haswaa
@khadijamaryam2274
@khadijamaryam2274 4 жыл бұрын
Kabisaa bora millad ayo
@salvinampagama1811
@salvinampagama1811 4 жыл бұрын
Daaaa faiza Leo nimegundua wewe ni binge LA mwanamke am proud of you cz nimekupenda sana
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
Kabisa huyu dada Ana ego sana yaani in short ni selfish anapenda kujua ya watu lkn yake hataki yajulikane hata hao wanaokubali kufanya nae interview hawajielewi
@jamilaathumani7950
@jamilaathumani7950 4 жыл бұрын
mmmh naona idadi ya masingle mother inazid kuwa kubwa like me#mamakubwa,,,tujuane single maza kama mim jaman
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 жыл бұрын
Hahahahaha mungu yuko tunalea nawanakua vzur tu
@afrigrowers
@afrigrowers 4 жыл бұрын
i luv you faiza na zama Allah awajalie kila kheir nawapenda zaidi ya sana.ila zama one day nawewe tafuta mtu akuhoji au iwe kama Q/A ruhusu watu waulize maswali afu ujibu
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 жыл бұрын
Hahahahahaha
@joycechaz2840
@joycechaz2840 4 жыл бұрын
Mmmh Zama huwa hapendi kujibu maswali
@hadasahqueen4931
@hadasahqueen4931 4 жыл бұрын
Faiza I think u've not healed ,bt trust me one day you will be ok just keep yourself busy
@jamilaathumani7950
@jamilaathumani7950 4 жыл бұрын
nakuelewa sana kuhusu kumpENda Mtu,,u just like me umeadapt tabia za watu weupe,,pole my dear,,love u more
@levinamwaila7847
@levinamwaila7847 4 жыл бұрын
Yes yule ni mbunge nilazima atake mambo yawe sawa na pia anataka heshima....Amani iwe nanyi na baba mtoto wako🙏🏾
@fransiskahaule3343
@fransiskahaule3343 4 жыл бұрын
Maendeleo ya nchi yanaletwa na wananchi wenyewe good faiza..faiza unaakili sana
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 4 жыл бұрын
HII INTERVIEW NILITAMANI ISIISHE , ANDAENI TENA KWA SIKU NYINGINE IWE NA PART 2 .
@juliettejasonlymo9911
@juliettejasonlymo9911 4 жыл бұрын
mariamu kajiru even me jamani
@sabrinamustafa8554
@sabrinamustafa8554 4 жыл бұрын
Kweli aisee
@lydiabuyungu5117
@lydiabuyungu5117 4 жыл бұрын
Kabisa
@maryamkhamfar4029
@maryamkhamfar4029 4 жыл бұрын
Aisee Hongera sana Faiza,namie nimejifunza vitu vingi kutokana na hii interviuw👏👏👏👏❤❤❤
@rehemaedson5732
@rehemaedson5732 4 жыл бұрын
Kwa ukweli Faiza ni mdada mpoa sana hakika kwa wale wanaomuelewa Mungu akusaidie katika maisha yako
@chitamawichita4949
@chitamawichita4949 4 жыл бұрын
She's a great inspiration,keep it up Faiza!
@qweenammy7036
@qweenammy7036 Жыл бұрын
Faidha dada angu ni kweli mtu anapumbazwa asimjue mwanae
@husnamkwata7431
@husnamkwata7431 4 жыл бұрын
Daah faiza nimekuskiliza kwa umakini nimekuhurumia ila tu ukweli huwa unaish naamin kuna sku mungu atakufanyieni miujize
@mackynicky8278
@mackynicky8278 4 жыл бұрын
Kuvaa kwingine duuu, Mungu msaidie ndugu huyu a we na hofu yako
@paulinengugi
@paulinengugi 3 жыл бұрын
Matako tupu kwa kiti
@user-zw6ne3qy4s
@user-zw6ne3qy4s 4 жыл бұрын
Majibu yanaendana na maswali vizuri sana nakupenda faiza big up daa zama😚😙😙
@irenengairo8225
@irenengairo8225 4 жыл бұрын
Unavojitoaga fahamu pusi we kumbe una akili tamu hivyo.. Sasa nimeanza kukupenda wifi angu karibu Makete
@namsamson3443
@namsamson3443 4 жыл бұрын
Kids are Angel's sent , safi sana Sasha kwanza mama yako mzuri saaana hata huyo anayemlilia hawaendani naye..Faizza I'm sure you're husband is somewhere tena mzuri kuliko , atakupenda na kukuheshimu keep on praying God atakuonyesha mmeo. Love you . Wewe ni mzuri saaana huwa nashangaaa saaana kwa nini Joseph all the time
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 жыл бұрын
She's good person, anafanya kazi kwa bidii mzuriii, kama ni mapito naamini kila binadam anapitia sio mkamilifu
@annapantaleo5
@annapantaleo5 4 жыл бұрын
Nakupenda sna faiza ulivyokuwa muwazi mpk nimelia na me pia
@violetcyprian7482
@violetcyprian7482 4 жыл бұрын
Faiza nakupenda sana we mwanamke mpambanaji sana keep it up mamyy
@annakiungai3026
@annakiungai3026 4 жыл бұрын
Fai Fai Fai nakuelewa, na asiekulewa so binadamu. Ni kweli Sugu ameoa lakini Mungu wangu uliyesema watu waoane nisamee tu jamani japo Fai unasema humtaki tena lakini mimi natamani siku moja sjui itoke nini jamani niskie mmerudiana. Mungu naomba upokee dua yangu.
@turlinesuzana4890
@turlinesuzana4890 4 жыл бұрын
Sijawai kupata likes
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
😆👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@michaellagwen8198
@michaellagwen8198 4 жыл бұрын
Kama Hujaelewa make up ya zama weka like twende sawa
@mwalimbinumar7612
@mwalimbinumar7612 4 жыл бұрын
Ahaha jamani
@jenifamasawe6760
@jenifamasawe6760 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@gloriousn6425
@gloriousn6425 4 жыл бұрын
Michael Lagwen khaaaa Mwanaume mpana wewe 🤣🤣🤣🤣
@rachelissacmahenge1348
@rachelissacmahenge1348 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@stellagodfrey2229
@stellagodfrey2229 4 жыл бұрын
😂😂😂 anakuona
@nataliekamaka1298
@nataliekamaka1298 4 жыл бұрын
Mi naona ss tunaopenda bila sababu maybe tuanze kupenda wazungu wabongo hawapendeki
@pascalmruma9136
@pascalmruma9136 4 жыл бұрын
Love u faizal
@LoraraeMmoney
@LoraraeMmoney 4 жыл бұрын
😂 haswaaa
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kabisa
@bernadethalucas4783
@bernadethalucas4783 4 жыл бұрын
Hahahaaa
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Kuna mambo huwa faiza anayafanya huwa siyafurahi,lakini hayaniuhusu ndivyo alivyo na ni maisha yake,ila pia upande mwingine nampenda sana ni mtu ambaye ni mkweli na muwazi kwa lugha ya wenzetu she very open hongera kwa hilo,zamaradi nakupenda kipindi kizuri interview nzuri, hongera 🤝❤
@jocnaonesmo9752
@jocnaonesmo9752 4 жыл бұрын
Yaani watu kama happy wapo tena sio wake tuu hata ndugu wakaribu na mume kuna ndugu wanaweza simama kama wakewenza yaani ndoa mmmh
@salomemphela878
@salomemphela878 4 жыл бұрын
Haswaaaa wanejaa tele
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
Kabisa wapo sana zaidi ya sana.
@afrarugakingira3983
@afrarugakingira3983 4 жыл бұрын
Umenena
@happyobadia5407
@happyobadia5407 4 жыл бұрын
Dah faiza unaupendo wa agape... Nakuelewa sanaaa
@roselyamba
@roselyamba 4 жыл бұрын
Best Interview ever, Faiza umenifunza God bless you
@htwwkha2179
@htwwkha2179 4 жыл бұрын
Sio kila alooa au kuolewa anampenda mwenza wake sana ...na kila aloachana na mwenzie anamchukia x wake sana...ni siri kubwa
@liliangreyson6667
@liliangreyson6667 4 жыл бұрын
Fact
@rehemakatabi8137
@rehemakatabi8137 4 жыл бұрын
Watu wanaofunguka hawaweki mambo vifuani mwao hufanikiwa sana namuona Faidha mbali kwa moyo alionao coz ni mtu move on ....sometimes kuongea kinachokukwaza unapona haraka
@winifridamaduga3623
@winifridamaduga3623 4 жыл бұрын
Rehema Katabi faiza namimi nashida nawewe nakupataje my ajenda kuu bisharaa namba zangu hizo hapa 0744 925554
@rehemakatabi8137
@rehemakatabi8137 4 жыл бұрын
@@winifridamaduga3623 nakuchek no yangu inaishia 25
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Mashallah, ntakutafuta mpenzi unifundishe kufanya Biashara, mtaji ninao ndugu yangu.
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@tynabeny3898
@tynabeny3898 4 жыл бұрын
Njo nkufundshe😀😀😂😂😂
@mariamrashid3252
@mariamrashid3252 4 жыл бұрын
Ooooh umeniliza faiza😭😭wewe ni kweli na muwazi mno yatapita,mtoto atakuwa .
@restutaluoga9826
@restutaluoga9826 4 жыл бұрын
Wakati naanza kumfolow hakika sikumuelewa nikaona birthday yk kavaa Pampers Mara akapost chupi iliyotoboka kiukweli alinivuruga ila nilivyojua ni mwanamke wa aina gani namfatilia nampenda sana ongera sana faiza uwe na afya njema
@leticiambilinyi1708
@leticiambilinyi1708 4 жыл бұрын
Hiyo kupenda bila sababu inatutesaga wengi sana faiza na mimi ni victim wa hilo chaiiiiiiiiiiii
@danielmako4081
@danielmako4081 4 жыл бұрын
Ukikataa interview ya kumzungumzia sugu ndo hakuna interview apo tena, atu wanasikiliza interview zako kwajiri ya sugu ukikataa kumzungumzia ndo umekwisha
@viviancastori2947
@viviancastori2947 4 жыл бұрын
Sana yaan
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Hii kumpenda mtu bila sabb ndio kubwa upend wake huishagi ukimpenda mtu kwa sabb sabb ikiisha unaachana nae
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 жыл бұрын
Wanaume Bana yaani ana pesa ya nauli kutoka marekani mpaka Tanzania lakini matumizi ya mtoto mpaka muchange
@tynabeny3898
@tynabeny3898 4 жыл бұрын
Rahill Hamidu 😂😂😂😂😂😀😀😀shangaa apo
@zubedaselemani6220
@zubedaselemani6220 4 жыл бұрын
I love u dada faiza soo much kupitia hii interview nimejifunza vingi❤❤❤
@jenniejennie2235
@jenniejennie2235 4 жыл бұрын
Hongera sana Faiza Kwa mawaidha yako, usemacho ni kweli kuhusu kujiuza heri uajiriwe na Hela ya Hali kuliko Hela ya haramu.ubaguzi wa Rangi no ukweli
@susanruo8087
@susanruo8087 4 жыл бұрын
Yaani Zama inamaana umeapa hutaskiza mashabiki wako? Meza na tissue umeamua ikuwe issue?
@jacquelinenasaeli1499
@jacquelinenasaeli1499 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂👋🏽
@susanruo8087
@susanruo8087 4 жыл бұрын
@@jacquelinenasaeli1499 yaani Unacheka dada, hawa wanawake wakonde wana jeuri mingi aki. Tangu lini tumeanza kusema meza na tissue jameni. Mimi naenda ku unsubscribe kesho aki
@jamilamwenguvu8567
@jamilamwenguvu8567 4 жыл бұрын
Yaani sijui ndo hasomagi comments au vp
@neemacharles2017
@neemacharles2017 4 жыл бұрын
Akieka tishu inamana anaitangaza kampuni bila malipo campun ya tishu inatakiwa wamlipe ndio azitangaze
@susanruo8087
@susanruo8087 4 жыл бұрын
@@neemacharles2017 Pwahahahaha, na sisi si tumetangazia izo kampuni milele bila malipo 😂😂
@Jc-wl6yf
@Jc-wl6yf 4 жыл бұрын
It's so sad bt kikubwa...mjenge urafiki tu kwaajili ya Mtoto
@jamilaathumani7950
@jamilaathumani7950 4 жыл бұрын
nzuri iadia namim nilikuwa nawazaga ivoivo,,,nikushauli tu apo msingi mkubwa ni uaminifu,,,safi kwakuingia front unajifunza ving sanaa,,mtembea bule si mkaa bule
@zebusdaughter8158
@zebusdaughter8158 4 жыл бұрын
Shukuru sana hapo Muumba anakuonea tu huruma! Yaani kifupi unalilia kwenda ku kufurishwa jamani!! Dada mzuri hivi inakuaje hujielewi unayumba namna hii !! Mwe!!
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 жыл бұрын
Mashaallah faiza. Umenenepa mwenyewe
@sikudhanimohammad4760
@sikudhanimohammad4760 4 жыл бұрын
Ashuuu Aisha kweli amenenepa
@ledasultani1746
@ledasultani1746 4 жыл бұрын
Another bosslady ishallah
@lovncyantony9887
@lovncyantony9887 4 жыл бұрын
I love them 🔥🔥🔥 am inspired kwakweli
@magrethelias8734
@magrethelias8734 4 жыл бұрын
Sijawah ku comment ila Faiza nakupenda uko really sanaa
@jenniferrobartrobart2386
@jenniferrobartrobart2386 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana Faiza ww ni mpambanaji 😍😍
@uwamahoroemanuel4020
@uwamahoroemanuel4020 4 жыл бұрын
Faiza mungu akubaliki faiza
@bianaambrose3169
@bianaambrose3169 4 жыл бұрын
Nakupenda sana dada faiza, umenifanya nijifunze kitu kutoka kwako kwa maisha niliopitia kwa mzazi mwenzangu mungu akufanyie wepesi ktk malezi ya watoto wako.
@remmyfadhil1809
@remmyfadhil1809 4 жыл бұрын
Thats a real soul❤️
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 33 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 37 МЛН
RASMI SASA "SUGU" AFUNGUKA YOTE,FAIZA,SIO MCHOYO,UBUNGE
52:23
RATING EACH OTHERS FASHION STYLE AT MY SHOP 💃 //EMM COLLECTION
14:25
MORIN ACTRESS LIFESTYLE
Рет қаралды 14 М.
مناظرة القرن بين الإسلام والمسيحية
3:38:31
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН