I'm a Kenyan and I love how Millard conduct his interviews so professional and mature. Big up bro
@amanijampion30455 жыл бұрын
True bway
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Trueee
@itsanitasoina5 жыл бұрын
Same here
@gacherulilly64445 жыл бұрын
true he's good
@cinnamonblack45165 жыл бұрын
Yeah.. Millard is so professional..
@ramadhanimustapha75185 жыл бұрын
Kama unamuelewaaa vee gonga like twende sawa big up to broo millard
@zipwangui5 жыл бұрын
Vee makes swahili sound so sweet! Intelligent, smart and talented. Keep flying high!
@dullayunusu86845 жыл бұрын
Nice nice wanaopenda kumuona v money akiwa na happy Kama hivi dondosha like 👇👇👇
@athumanicheche62665 жыл бұрын
Dulla Yunusu ongela San v money co anajuwa anachokifanya big up
@ChrestinerMichael-hk3ec10 ай бұрын
i like it
@johnboscovalentine89335 жыл бұрын
How she talks... the choice of words.....she hasn't betrayed her confidence..... gorgeous kumskiliza.......millard mlete tenaa
@maggymm73025 жыл бұрын
Yaani classic. Hadi nahis ana fanya hvyo knowing rotim is watching...😅
@wasafisongsnow18185 жыл бұрын
Ali kiba mimi ndio nlie muandikia diamond wimbo wa Continue......kzbin.info/www/bejne/d6Cyo6N8Z9emrpY
@Tashanjuki5 жыл бұрын
When we Talk of beauty and brains..this is what we talk about...damn girl!
@fallymetoo1915 жыл бұрын
Yaani nikikuangalia sura na uongeaji wako Vannesa waonekana unabonge la furaha na Amani sana moyoni kama ulieokota kifurushi cha Almas hongera sana na m.mungu akusimamie Inshallah 👏👏👏👏🇧🇪🇧🇪🇧🇪
@subiradalabu66165 жыл бұрын
👍👍👍😁😁😁
@ken47225 жыл бұрын
I love how Tanzanian artists don't shy away from talking about their relationships. Kenyan celebs introduce us to their love lives and suddenly they want privacy in bad times: if you don't want us to talk about your breakups, don't introduce us to your love while it's good.
@hopechidera5 жыл бұрын
Vanessa tangu awe na Rotimi akawa na tabasamu ya amani pia kapendeza zaidi😍😘❤,kiukweli #MillardAyo ww ni professional journalist yaan mwandishi wa habari VIP👌🏽
@Jojo-mc7ku5 жыл бұрын
Am 13 minutes in and I have newfound respect for this lady. Tunakupenda kutoka Nairobi
@nydoreen17325 жыл бұрын
The first thing she said about Rotimi was how he is a God fearing man😭😭😭 aaaah mapens
@marycatherine38575 жыл бұрын
Ameeeeen ohhh
@ilovuguyssandimu65085 жыл бұрын
Millard pia is the only top journalist the rest ni wambeya n noisemakers...gud job
@irenekileo74715 жыл бұрын
Very true,,,Millardi is the best😘😘
@zainahali33725 жыл бұрын
Kabisa
@alidajamal89165 жыл бұрын
True
@deboracharles24335 жыл бұрын
Kweli kabisa is only one in tz wengine manjonjo kibao hata yule wa baby sky yupo poa Nina lake silijui wengine mbwembwe kibao
@hafsamatola64915 жыл бұрын
🙏😘
@evelynebushuru14695 жыл бұрын
Kama umekuwa ukiwatch power weka likes za Rotimi from Nigeria 🤸♀️👍❤❤❤
@ishabbe44895 жыл бұрын
Naipataje nisaidie
@rosemngara45585 жыл бұрын
waooo inapendeza mno mpare mpambanaji hongera tumefurahi kumpata shemeji wa viwango vya juu mungu awalinde na kuwafanya mjenge familia mpare mwenzetu
@brendangwalla14835 жыл бұрын
This girl is very brilliant! Getting paid in music is a lot more than just releasing hit after hit... it is about getting paid for the foreseeable future! Kujisajili Marekani hawatamuibia...she doesn't need to work so hard to get paid and prevent pirating... Alifikiria mbali sana!!!
@ZippyKazi-Carzy5 жыл бұрын
i love how her eyes sparkle when she talks about her new found love. rooting for you Vanessa and Rotimi. You deserve it all
@louiswilliam61335 жыл бұрын
mambo nicheki 0764855120 plzzz
@shillahmahiri8555 жыл бұрын
Black is beauty Vannese ww ni mrembo sana masha Allah
Rotimi has put a smile on our girl..i can feel it from her face that she's in love.
@catherinenchia80155 жыл бұрын
I'm very happy for her
@rosenamilia41405 жыл бұрын
My Dear Vennessa umedamshi hadi raha. Yaani unaonekana ndani na nje una furaha. Keep it up my dear Vemoney.
@itspatricklucas5 жыл бұрын
She is ahead of time, BIG TIME BIG TIME
@maureenandrew99875 жыл бұрын
She is so so pretty jamani and that body is to die for....wishing you all the happiness mama
@amherstylistug55655 жыл бұрын
So true she is so beautiful Hey Maureen unasemaje?
@maureenandrew99875 жыл бұрын
@@amherstylistug5565 am all good. Mambo?
@amherstylistug55655 жыл бұрын
Poa kabisa karibu Kampala na unaweza checki kazi zangu za beauty on Instagram @Amherstylist_ug
@maureenandrew99875 жыл бұрын
@@amherstylistug5565 ahsante sana..will check ur page out...thank you
@Tashanjuki5 жыл бұрын
You can say that again..it's a hustle to compete with her😅 cause she's my guys crush..wajameni Ni kazi kubwa sana🤦
@Truthfrees935 жыл бұрын
Kwa mara kwanza nimeangalia interview nzima bila kufoward wala kukatisha.. Rotimi usimuumize V money wetu.. I love you Vanessa.❤❤❤ Girl you are happy... ilove this energy..❤❤❤
@huldaization5 жыл бұрын
This lady is so well informed. Beauty with brains.😍😍😍
@mwajumasaidy45495 жыл бұрын
Vanessa ni mcute jmn, nakupenda mpk nashindwa kuelezea upendo Wang kwako we Dada, , km wampenda vee gonga like twende thawaah, love u
@tummkwawa11485 жыл бұрын
I don’t know Vanessa personally but i feel by watching this, I’ve seen a different side of her that hatukuwahi kuona instagram or snapchat. This was so real. SHE LOOKS SO HAPPY! Masha’Allah!😍I hope this is eternal Sis👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 genuinely happy for youuuuuuu
@TeeTianaaa5 жыл бұрын
This is the best interview for me this entire year- positive vibes na wametulia sana So so satisfying, Mola akujalie sana saaana Vee Money na Rotimi! ♥️ 🙏🏾
@nakachwashamim32575 жыл бұрын
King Salma kindly translate for me
@christophermsekena6165 жыл бұрын
Gonga like hapa mimi ndiyo wa kwanza ku-comment, Mama Rotimi anajua, Bongo Fleva inajivunia kuwa naye
@paulinamasanja26585 жыл бұрын
Anajitambua
@saumuhassan63655 жыл бұрын
😀😂😂Kwakweli
@najma32685 жыл бұрын
Tunampenda kwa kweli 😂😂😂
@mediatomen22415 жыл бұрын
Tunamupenda hadi basi
@faridaemmanuel86625 жыл бұрын
Penda sana my vannesa tulia hapohaop na Mwombe Mungu akupe ndoa njema na watoto wema.
@janenguru67235 жыл бұрын
It's true what Vanessa said about Davido.. I live in Greece and one day I was walking on the streets and this car drove playing Davido song and singing along like real Nigerians. I was shocked to see them and they stopped there car immediately they say me and started singing along..each and every word, even the little boy who was about five years...it made me so proud. To them all Africans speak the same language and I couldn't start explaining to them that I am not Nigerian..I was super proud.
@sweetmama68855 жыл бұрын
Vanessa anazidi tuu kumiminiwa BARAKA na MUNGU. Ongera saaaaana kwa kila hatua uliyopita hadi kufika hapa. Mungu awatangulie wewe na mpenzi wako muishi hadi uzeeni. Awajalie watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe. 🙏😊😘
@primuluskasaija93845 жыл бұрын
Very intelligent young lady!Watched the whole interview, ningependa Vaneesa to be a role model to my 12 year old daughter!!!!She will watch this later today!Millard your interview very mature!Asante sana u make Tz proud!!!!
@salamaally51925 жыл бұрын
umependeza sana dada kwasasa naiona furaha yako yakweli tangu umekua na ROTIMI tunakuombea dua uzid kupeperusha bendera yetu.
@nicksonfrederick46635 жыл бұрын
She is no. 1 Tanzanian female artist
@suzziejelagatt5 жыл бұрын
😍😘
@salimamalongo88325 жыл бұрын
When i become a star,i will be interviewed by Millard,Maturity is up there sio kama wambea wa kugonganisha wa tz.V mdee,i love u gal,u look happy n so good.Kumbe mwanaume anaweza kuku drain. I now know
@aproniasanga50665 жыл бұрын
Kumbe ukiwa huna stress unarudi utotoni ok Basi Sawa nikwamba tuu nakupenda Sana 🥰🥰🥰
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Umependeza sana Vanessa Mdee we mrembo sana.
@blandinachitallah63115 жыл бұрын
Very well spoken she is so real and I’m happy for her.
@ameniameni6175 жыл бұрын
Nakupenda Vanessa unajiamini pia miladi unajua kuoji vizur
@queenlinda2555 жыл бұрын
Vane ni profession kwakweli anataka kuongea kuchanganya English na kiswaili baadae anakumbuka sio sahii anarudi kwenye kiswaili anapata tabu 😂😂😂 very good darling
@mileyjackson93575 жыл бұрын
Kama unampenda V.Money gonga like hapa
@lisbonkabora71795 жыл бұрын
She is happy,she is good,she is real and humble...sijawahi mfuatilia but from that interview nimeona kweli ni mdada mwenye maono na atafikia ndoto zake. Nimejifunza mengi pia.
@edwinkatunda54295 жыл бұрын
V. She is humble fighter and genius love to you mama Rotimi
@joycebrown475 жыл бұрын
Vanessa mdee this hairstyle suits your face. It is the best so far. You look great.
@fjojoly5 жыл бұрын
kabisa yaani
@happykapinga5 жыл бұрын
💝💝
@naomirobert48675 жыл бұрын
Anapoz fulan ivi la kubinya binya/kupepesa pepesa macho 😊😉 na alafu napenda anavocheka walah she iz such a cute one 😍😘 love from 🇺🇸+🇹🇿 😁😁 like zako plizz 🙈
@erickmkwera27845 жыл бұрын
Sema mambo!
@veronicaLuoga-vl2id5 ай бұрын
V makes others to feel there is another way to pass through.........for just believing in God........ We love ue more and more blessings to ue
@janethchrispin26995 жыл бұрын
She’s soo inlove she keeps blushing all the time when she speaks of her love life 😍😍😍 I bet after this interview she’s gained a lot of fans
@maggymm73025 жыл бұрын
Shheeez in deeep lov.. its ol over her face..i envy herr
@doreenluzuki33805 жыл бұрын
This interview is a “BREATH OF FRESH AIR “ I have learnt a lot Vee Thankyou ♥️
@fionamutuku35885 жыл бұрын
I just love the presenter🤗he knows how to ask questions and he is listening keenly☺️
@ainesmbogo83795 жыл бұрын
Fiona Mutuku u
@supern53025 жыл бұрын
Kama umependa gisi vanessa amehongeya like 6😍😍😍😍🙏🙏
@wairimumaina21755 жыл бұрын
Millard you are one heck of a professional. Bless your heart. Vee Money for the win ❤️❤️
@Reneetzfinest5 жыл бұрын
Who is cutting onions 😭go baby team Vee and Rotimi for life......our queen is soooo inlove♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdallahramadhani40445 жыл бұрын
She is in love kabisa , yani usiombe mwanamke achoke relationship
@carolineantony43915 жыл бұрын
Vanessa amebamba sana smile apart of interview ur speech motivates us as teenagers to work hard and live really I appreciate you dada😘😘😘😘😘
@ricanahjill64785 жыл бұрын
Honestly i love the way Millard ufanya his interviews.... Again i love his eyes..
@joymwiti98535 жыл бұрын
And the smile too❤😍
@paulahezron97855 жыл бұрын
Aghaa🤣
@ricanahjill64785 жыл бұрын
Yeah sure his smile is a killer.... Millard your kiss will wash away my sins i say...🙈
@queenbhatari51715 жыл бұрын
When I know there ar people like u in Tanzania I can feel , I can make it too, v.... Kuna watu wanakutazama behind u kuna watu uwa wa inspire , keep moving maaam , I know now u understand wat I mean!
@missfahimakenya45835 жыл бұрын
Im just in love with vee she is so intelligent
@ernestmassawe49765 жыл бұрын
Natamani hata asitishe saana aje abadilishe vitu kitaifa ... Aise ana high IQ saana
@victorshauri94075 жыл бұрын
You said it all
@allthingdranabeauty5 жыл бұрын
Me too,she is my favourite girl in Tanzania
@comedy_kali5 жыл бұрын
Nice
@Godfrey_bongo5 жыл бұрын
Ubwa ww
@joyjo21155 жыл бұрын
Uuh she's my favourite,you give me energy to keep on fighting, so very proud of you Vanessa
@Gii10395 жыл бұрын
This girl is deeply in love jmn, you can it through her eyes 🥰
@shilamndende39995 жыл бұрын
Kiukweli sio siri uyu dada nampenda mnoo mana anajielewa na anajua nn anafanya nampenda sana jah bless for everything my dear ❤❤❤
@elvisonyango5275 жыл бұрын
I just love how vee lights up when talking about Rotimi💓💓she is in love
@thefurrmily24045 жыл бұрын
She sounds happy and real.. I wish her all the best... (Rotimi is woke)
@mohamedbinfadhil13965 жыл бұрын
Vanessa amechangamka sana and she is happy jamani.. god bless her
@rosemaiko94055 жыл бұрын
Mungu akusimamie ndoto ziww kweli ndoa
@luluamri3705 жыл бұрын
Aangalie tuu huyo mwanaume mnaigeria myoruba ,atengeneze tuu career ,kuolewa hapo mama zao huwa wanawachagulia wake wa kwao
@faridaemmanuel86625 жыл бұрын
Kapata aman ktk mausiano
@rosemaiko94055 жыл бұрын
@@faridaemmanuel8662 kweli mungu ni mwema,aman ya rohoni ni kitu kikubwa sana hata uwe bilionea
@sophyemmanuel51295 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘
@fhmmbuji6335 жыл бұрын
Nimekupenda mdogo wangu big up kwako umefanya vizuri kuusikiliza moyo wako! Kila laheri kwenye mahusiano yako mapya Mungu Awatunze sasa muwe mume na mke! Love u Vanessa! Umetupa heshima wanawake wakipare na wengine waige msimamo wako hasa wasanii wakipare wasituangushe tena!
@rhodamkungu42375 жыл бұрын
Yaan V wewe ni bab kubwa. Waliomsifia mchina leo wanamsagia. Jux alikua anakuzeesha, angalia ulivyo sasa, you are beautiful and am happy for you! God is great.
@beatussamuel94435 жыл бұрын
Rhoda Mkungu aisee kweli
@Aselitha845 жыл бұрын
Jux Hana pressure, yani Jux na mchina wake it’s much better, Vanessa on the other hand she will cry, do you know Hollywood or unadhani ni Tanzania, she’s going to be fighting with him everyday, Wanawake wa marekani ni hatari, wanakunyang’Anya mwanaume unajiona mavi. Yani Vee is in a war dating this guy. I feel like Jux has worn this fight to be honest. Vanessa Hana Roho ya kugombana na hao malaya wa plastic Hollywood. Na Rotimi anasema anavutiwa na Wanawake kama Jennifer Lopez, sasa is Vanessa that hot as J-Lo, haya bwana, yangu macho, Vee abebe mtoto na kusepa.
@Rhenadhis5 жыл бұрын
@@Aselitha84 what do you mean by, "is Vanessa that hot as J-Lo?" Like really? Get out of here. Vanessa holds her own against the likes of J-Lo. She is a real vocal beast and is a true African beauty. You are the type who have bought into the white man's lie that an African is inferior to other races. Let Vanessa enjoy her relationship with Rotimi; is it stands the test of time and lasts, well and good, if it doesn't, we pray that she finds the one.
@fridankirote11415 жыл бұрын
She's so pretty.... A real goddess 💕💕💕💕 Love you Vee 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@valariesang5 жыл бұрын
Aaaaaw.... yaaani Veee just made me feel like I just love someone somewhere❤❤❤ she is soooo happpy
@sheilahamisi85305 жыл бұрын
You glow differently when you're not hurting or hating 💕
@barbiechemmy21375 жыл бұрын
Jman ka vee karembo af et x wang alikuaga ananifananisha nako bas me nafrahii na vile naka pendraaaaaaaa.. Much love for you bebe Vanessa 😘😘😘😘
@lendl25475 жыл бұрын
damn! she is so lovely ...Nice interview..Mad love from kenya
@rosemanumbuTV5 жыл бұрын
I just love the interview. That's all I can I say
@Gloriablessy5 жыл бұрын
Yaani nimewatch hii interview yote without forwarding and I wasn't bored.. I was just smiling and laughing all through out.. Enyewe love is a beautiful thing. ❤ Thank you Rotimi for putting a smile on our girl face. We can see that she's genuinely happy. Take good care of her. ❤
@rahelkiwanga62735 жыл бұрын
She is so real 💞 I love her very much.
@luizpaul61995 жыл бұрын
Am Kenyan and Luv Millard.Hez Very professional and smart.I really Luv u keep it up.Other Tz mediaz need to take lessons from this guy
@ilovuguyssandimu65085 жыл бұрын
V is the only sharp tz chick i know so far..she is on another level
@antybabybintrashid23335 жыл бұрын
True she is diffrnt from others tanzania chicks
@meggilinenur23545 жыл бұрын
This Queen is truely in Love😍 her choice of words, facial expression, her glow can tell it all. Am so happy that you found love n love found you.. Wish you nothing but happiness and long life together.. Don't let the social media World break you up.. Don't give rumours a chance.. Stick to one another.. Lots of love Vee all the way from Kenya💕
@tausimussa29355 жыл бұрын
Nakupenda sana V money ni mkeli sana hujuagi kuongopa wala kufake maisha, pia interviews zako huwa hazichoshi umechangamka na unajiamini sana inshort wewe ni GENIUS
@terrykapinga78195 жыл бұрын
Love is beautiful thing mama, you are growing and glowing. Enjoy the moment
@adamukitwanga30245 жыл бұрын
Millard Ayo nimeanza kujifunza saana Toka kwako.... interview zako Ni very interesting.....Vanessa umeweza... very brilliant girl.
@ansilaulotu71785 жыл бұрын
I love this lady She's just amazing But most of all I'm happy that she's finally truly inlove Congratulations girl Wish you the very best in your new relationship 🙏
@lizwakio5 жыл бұрын
The way she's gushing abt his man, she has changed my life, congrats Vee
@lillykalama12285 жыл бұрын
She's in love.... Love is beautiful thing. No one can predict the future when it comes to matters of the heart, do your thing mama. Just love.
@fatumamcharo39295 жыл бұрын
Hongera mama, nakutakia ndoa njema!! Mungu akusimamie!!
@sherryann88325 жыл бұрын
Woman!!!even if u were to shut your mouth your face tells it all.You are HAPPY and found TRUE LOVE. Mungu alinde penzi lako. SO Transformed,.,.,.am proud of you.
@wambui41795 жыл бұрын
When she started talking about Rotimi😎😎 I was all smiles
@vanessastafford51205 жыл бұрын
Kwa uzuri wako, na uchapaji kazi kwako. Huyo ndio Mwanaume anaekufaa. Congrats girl. ❤️ is everything
@mariamissa58335 жыл бұрын
Waaaaaah this lady, She is a game changer, a go getter and respects herself 💯...
@MagrethMallya-we8ui5 ай бұрын
Nakupenda kipenzi. U mzuri hujui kuringa❤. Unapenda kiswahili na unakiongea vizuri. Hongera ❤❤❤.
@chunanachu25295 жыл бұрын
Mapenzi yanamfanya mtu achangamke na awe na nuru usoni stress za mapenzi zinaharibu kila kitu see vee sura yake all abt love love is power ni 90 % ya maisha yetu
Alafu kuna watu wanadai tz hatuna mabinti wasiojielewa, mlitaka wakielewe vipi zaidi ya hivi! Wenzenu wanachukua madini nyinyi endeleeni kuangalia makalio. Hongera sana Vee Mungu akubariki kufikia malengo yako.
@MASELF8735 жыл бұрын
You'll know when a woman is truly in love and with the right man.
@avelinmalamsha50895 жыл бұрын
This is cool.Lets pray for her
@ZippyKazi-Carzy5 жыл бұрын
yasss you glow different
@maryrajjat4585 жыл бұрын
I love u vanessa
@JamilaAli-z7u2 ай бұрын
Hii interview ni mwaka wa nne shv lkn nimekuja kuaiagali Kuna vitu nahisi nahitaji kujifunza kwa vannesa❤
@noleenchebet83165 жыл бұрын
Beauty with brain..you deserve everything mama😍😘I just love you free free
@emaesthermuchiri79955 жыл бұрын
Vanessa ni mrembo masha Allah hio rangi yake yapendeza kweli..napia anajiamini kwa kazi yake...😁
@aloyceiluminata36505 жыл бұрын
She's very very beautiful...and attractive too
@aizaksuleyman23575 жыл бұрын
She's my favourite girl...I like her💙👌🏻 African Queen👑
@rosekimaro34455 жыл бұрын
Wasanii wa Bongo wajaribu kujifunza kupitia kwa huyu bint Vanessa Mdee,yupo vizuri hana mambo mengi au kuzungusha maneno.
@ennymaphie845 жыл бұрын
Vee money!!my favourite one! I love her She is beautiful than ever!😍😍😍😍😍😍
@zuwaynazuw41055 жыл бұрын
Vee hajawahig kujichubua jomon nampenda et🖤💣
@beatricemariki35895 жыл бұрын
Sauti yako Vee vile unaongea imenikumbusha 'dume challenge' ya mwaka 2012 ukiwa host...And.. "Never ever" isa best song
@mwanahamisimohamed92155 жыл бұрын
This is the first interview that makes mih smile all the time😍😍😍
@rukiaselemani93635 жыл бұрын
Kabisa yani my😂😂😂nacheka had naogopa
@mathiaslyamunda25265 жыл бұрын
Hongera Vanessa, your interview is so inspiring for anybody who is watching. Wish you all the best.