I'm a man of confession first time when I came across your videos I tend to ignore them but today I made a decision to watch them I'm very inspired with your contents. Thank you for sharing such educative information may God bless you and keep on touching many souls
@successpathnetwork Жыл бұрын
I really appreciate to read this my brother. Stay blessed
@NandiBoit9 ай бұрын
❤😅😅😅😅😅
@martinantidius17195 жыл бұрын
Waliomuelewa bro ..gonga likes za kutosha
@frankchuwa17145 жыл бұрын
Xafi
@lightnessjoseph49705 жыл бұрын
Yeap nampata Broo knouma
@godfreyyudamwakalasya4025 жыл бұрын
@@lightnessjoseph4970 good sn
@petromsanga91274 жыл бұрын
Asante kwa somo lako ijapo Mimi ni mzee wa miaka 70 kesho naanza kufuatilia NIMELIELEWA nimelipenda.
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Nashukuru sana mzee wangu...karinbu sana!
@amemeabdulrazak13974 жыл бұрын
Mazungumzo y leo yamenipa moyo wa kuanzisha biashara mpya Shukran jazaa yako kwa Allah
@omarshamte8459 Жыл бұрын
Hongera sana kwa taaluma nzuri sana. Napenda kuchangia zaidi katika hili la kusaidia wengine Katika Quran takatifu Allah anasema kwamba "chochte mtakacho kitoa katika njia ya kheri basi Allah atakupa mbadala wake" katika kanuni ya uisilamu kupitia kwa hadithi za bwana mtume kiwango kidogo kabisa anacho kipata mtu anayetoa kwa misaada ya kheri ni Moja kwa kumi na inaweza kufikia hata Moja kwa mia saba kulingana na nia na ikhlasi ya mtowaji. Katika Que an takatifu Allah mtukufu anasema kwamba: "mfano wa wale wanaotoa mali zao katika njia ya Allah ni mfano wa tembe Moja ya nafaka iliyootesha mashuke saba, Kila shuke moja likatoa tembe mia Moja za nafaka na Allah humuogrza amtakae -. Kutokana nia na ikhlasi yake - na Allah ni mwenye wasaa mkubwa zaidi na ni mjuzi sana. Kiufupi Mimi tangu kusoma maandiko haya na mengine ya mfano wake nimeifuata sana kanuni ya kutoa na kusaidia, na mafanikio makubwa sana nimekuwa nikiyapata Kila uchao.
@JoyceMagesa-k4y10 ай бұрын
Asantee kwa ushauri Mungu akujalie afya njema na moyo wakujitolea zaidi kusaidia wengine kupitia maarifa Yako
@successpathnetwork10 ай бұрын
Amiin... nashukuru sana
@jacksonmchau83245 жыл бұрын
braza upo vzur, aah nimechelewa kukufahamu but ukopoa sana braza nimependa mambo yako nitaifuatilia hii sanaah sanaah
@dryussuf84032 жыл бұрын
Mambo 10 ktk mafanikio: 1.Lala mapema 2.Amka mapema 3.Soma vitabu 4.Fanya mazoezi 5.Tengeneza na fuata Ratiba 6.Usikate tamaa 7.Weka Malengo na yapitie mara kwa mara 8.Jiamini(Confident) 9.Jitume 10.Saidia Wengine
@djbegge_tz Жыл бұрын
Ah...me ata sioni kama ayo mambo kumi yatanisaidia kua tajiri...kunawengine wanafny kaz usiku...Kuna wengine hawajui kusoma....ah ata sijamuelewa
@JailosAbron66 Жыл бұрын
Perfect 👍 nikweli kabisa bro👍👍
@DaudRashid-h9j3 ай бұрын
💯
@chayogasperi97832 ай бұрын
@@djbegge_tz Katika video , kitabu , movie au sinema haiwezi kukugusa wewe Kwa kila kitu . Chukua yale machache yanayofanana na wewe yafanyie kazi yakusaidie kubadilika , Ukipinga kila kitu hautaweza kujifunza na hautaweza kubadilika .
@mariamyoyote81724 жыл бұрын
Upo vizur Sana nami nimejifunza mengi Sana ambayo sikuyajua naamini Kwa kupitia hiki kipindi cha somo lako nitafanya vyema Zaid insha'Allah Kwa uwezo wa Allah balikiwa Sana kaka Allah akupe umri Zaid uzid kutujuza mengi Amin ya'allab
@cristaljohn92885 жыл бұрын
Like your service
@bestwesternpluszanzibar11925 жыл бұрын
keep going
@salemale68304 жыл бұрын
Dahh brother azden god bless nakuelewa sanaa
@jeremiahjames67365 жыл бұрын
I wanna say big up brother EZDEN JUMANNE you tell us a truth moment and teach me many thing am sure your the one for this category. And I just care for those moments you taught us. God bless yo
@SuperKibwana4 жыл бұрын
Ni fikra nzuri sana kwa kweli na kama mtu unazitekeleza lazima maisha yako yabadilike tu. Thanks bro. Stay blessed.
@bownventure81226 жыл бұрын
Wazo zuri kwa kuwa kuwatia watu moyo ila ufupishe utangulizi na mlio wa kinanda uwe chini ili tupate kisikia yale ya msingi zaidi japo si mbay ukiutoa.big up sana bro.Ezden
@deusjohn11074 жыл бұрын
Sawa bro nimekuelewa sana zaidi ya sana asante kwa somo nzuri nimejifunza mengi sana kwanye hii tabia 10 za watu waliofanikiwa
@Mike-yg7pb6 жыл бұрын
I appreciate you my brother, its very clearer and comprehensible
@mafinamaizez25146 жыл бұрын
shukrani sana my dear kwa elimu unayoitoa
@abdulazizismail70474 жыл бұрын
Very nice work Allah help you for All thing good
@mathiaslyamunda25264 жыл бұрын
Thank you, I was in a point where I had to listen to this. God Bless you.
@rosemarybwana76063 жыл бұрын
Powerful lessons. Great speaker
@mrgiftjonathan87035 жыл бұрын
Namshukuru Mungu katika Kristo Yesu aliye nikutanisha na wewe kipitia masomo yako haya hapa. Nileo tu ndo nimekuona na nimeona kiu zaidi kukufuatilia na umeongea mambo mengi ambayo yamegusa ukweli mwingi niliokwisha kuusikia na kuambiwa binafsi. Zidi kubarikiwa na kuzidi kuwa baraka kwa wengine
@SophiaPius-l8g Жыл бұрын
❤
@halvingsehere99395 жыл бұрын
y I'm so late to gat u broooo.... uuuuuh iv change change a lot ov tings in to ma lyfe through this channel...... bug up broder ....I appriciat each and everything from ur factl SMS..... 100%
@yohanakigulu33724 жыл бұрын
asante kaka
@charlesmahongo3925 жыл бұрын
Asante Edzen kwa kutukumbusha mambo muhimu sana katika kuyafikia mafanikio. Mungu azidi kukubariki sana ili uzidi kutuelimisha zaidi na zaidi.
@zulfaabdilah92634 жыл бұрын
Iko poa sana shukurani
@ibrahimushirima30264 жыл бұрын
Nikweli kabisa bother
@nasrakiango72614 жыл бұрын
Nimeipenda inafundisha maisha, Allah akuweke utujuze zaidi.Inshaallah
@ceomeja6706 жыл бұрын
Unaongea ni kweli 💯for real thanks 🙏
@ramadhan1224 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki Ahsantee sana
@mussasongoma95215 жыл бұрын
Dah nimekuelewa sana baba...yaan nahisi kuwa katika dunia nyingine...Asante Ezden
@ELIAWINGAMWASHA-iw9xq7 ай бұрын
Okay
@kaijagenovatus52353 жыл бұрын
Vipindi vyako ni vizuri vinaelimisha. 2.Jitahidi kutumia maneno ya kiswahili zaidi 3.poiti yako ya 10 ni sawia na mawazo ya mwandishi wa kitabu Cha How to get whatever you want. Lakini ni sambamba na mantiki ya sadaka. Yote kwa yote ni ubunifu mzuri na kazi ni nzuri, ongeza utulivu.
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Umesikika...karibu!
@ruthkeshy48436 жыл бұрын
Hi Ezden Apart from my inspirers people like Obama,Bencarson,Joycemayer,Joel Osteen, Robin Sharma,Prophetess Natasha etc you are another additional to my list... Thanks for good work n never give up that's is your greatest gift to the world... You are world changer Am not the same am a better person so far
Shukurani kubwa zaidi Kaka Allah azidi kuinuwa kipaji cenu nakuwafungulia mlango ya kheri na barqa
@madamfatmamsindi20596 жыл бұрын
Ezden, you are Excellent, I think I like you naomba uwe menthor wangu
@joycemartin53065 жыл бұрын
Asanteee Sana Sana kwa huu ushauri Ezden Naamini kwa Sasa ntakua Mtu mpya zaidi kwanzia Sasa na mwenye mafanikio makubwa Sana. kwa sababu nimekua Mtu mwenye kutafuta nifanye nn ili nitoke. hakika Mungu akubariki Sana .
@neemangaga69485 жыл бұрын
Be blessed bro...nakuelewa
@johmeryvitalisi68344 жыл бұрын
Good. Tangu mwaka. Jana mwaka huu ndo ni mecoment lakini nimefanikiwa sana kwa harakati zako.broo!
@isaackashaga32785 жыл бұрын
Edzen brutha i got nothing to add or decrease bruh but just wanna thank you for ur advice and help to me and my lifestyle from now on I'll going trying to change and face a new lifestyle and without forgetting to share this to my friends and family...!!! Thank you so Bro And much appreciate of what u doin bro...!!!
@successpathnetwork5 жыл бұрын
You're welcome brother Isaac. The difference happens when we apply the knowledge we've acquired, so best of luck my brother.
@festombugi585 жыл бұрын
Endelea kutufungua vichwa nice
@modesthenrykitange23976 жыл бұрын
Habari kaka Ezden, asante sana kwa mafunzo yako mazuri. Naomba upate muda uongelee Topic Hii; NAMNA YA KUJIAMINI (HOW TO BE CONFIDENT) ASANTE.
@mashakalonka94075 жыл бұрын
Hoja ya kujiamini ameizungumza ktk dk. ya 20_22.
@kamaratsalimsafari88383 жыл бұрын
Ratiba 👍ha ha ha sijui diamond kaamka na nani🤣Nikweli umenikosha huo ni mfano mzuri, Atlist get 30 minutes without phone before you sleep
@shaabanmbalamula50665 жыл бұрын
a very good message and content. Nashauri uboreshe jinsi ya kupresent maana usela mwingi (thugs).I am sure your smart. I HAVE SUBSCRIBED
@chalamilalicky7335 Жыл бұрын
This is very great, Ezden. God bless you more n more.
@emanuelbrysonshauritv.16386 жыл бұрын
Ningefahamu mapema mafundisho yako ningekuwa mbali mbali hata sasa sija chelewa big up brother
@koreshicyrus37515 жыл бұрын
Its never late
@tumajunior60804 жыл бұрын
Shukran. Akuongeze elmu zaidi
@doreenpantalina84206 жыл бұрын
Thanks for teaching us yhu make ma life different when am listening yhur view be blessed💪💪
Napenda kusoma vitabu tofauti ila vingi vinakuwa vya kingereza
@emmanueldkulwa18244 жыл бұрын
Hakika bro Edzen we siyo MTU wa blaa blaa, ni content tu kila unapojitokeza!!! Nakuelewa sana, na unanitoa upofu mwingi sana katika maisha!
@teclaludovic19206 жыл бұрын
Kaka azden somo nzuri sana nitafanyi kazi barikiwa ukipata kitu kingine kizuri tujuze tuelimike zaidi.
@mussakaembi57065 жыл бұрын
asante kaka mungu akubaliki unatusaidia ata tuliokuwa hatujui kama nini tunakosea katka maisha yetu naamin naenda kufanikiwa
@hamoudcreator63436 жыл бұрын
Daaaahhh!!, Bro, Bro Umenipa Mwanga mkubwa sanaaaaa,.. I should love you Bro
@annahcallixte13216 жыл бұрын
That's nice bro yaani kwa upande wangu nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu akubariki big up
@KelvinHMoras6 жыл бұрын
aisee bro kila ulichosema n ukwl kbx thnk bro 👏👏👏
@mussaruhamba92255 жыл бұрын
Allah akulipe kwa kuwekeza maarifa mazuri Kama haya kwa wanaadam maana mafanikio ya mwanaadam ni moja ya mambo yanayomfanya mja kuwa karibu Na mola wake Nimejifunza vitu msingi kwenye video hii maana imenifungua kwwnye issue ya punctuality with time management Allah akuzidishie elimu Na hekma Amiiin
@keshenimoshi91136 жыл бұрын
Thank you so much brother, nimejifunza Mengi sana. Stay blessed bro.
@frankgabriely92944 жыл бұрын
Asante brother
@irakozejclaude62644 жыл бұрын
kiukweli Kitabo siwezi kukisoma Mimi ni muvivu tena najijuwa.ila kila ninaposikiliza maneno unoyosema huwa na jiona kumaliza kitabo kikubwa tena kizuri yanisichoki kujifunza na kujuwa bro Mungu akupe umri mrefu
@marykahabi25995 жыл бұрын
Hi ezden thax so much for these inspirational speech.have got a lot to learn be bleesed
@omaryommy4045 жыл бұрын
Nmejifunza vingi sana kk toka kwako na naamini wengi wanajifunza lkn au tatizo unatumia lugha ya nje sana na sidhani kama wote tunauelewa na hiyo lugha. OMBI: Jitahidi kutumia kiswahili fasaha ili sote tufaidike na elimu yako. Yote kwa yote upo vzr na tunashukuru kwa elimu unayotupatia mengi tunajifunza asante
@sharonnaliaga7193 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka Naipenda elimu yako. Elimu yko inaguza watu wengi sana haswa sisi wanarika👏👍
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
@ELIAWINGAMWASHA-iw9xq7 ай бұрын
Unanisaidiaje mtu aliyekata tamaa
@edwardgodfrey62836 жыл бұрын
Nafurahi sana kuona walimu wa mafunikio Tanzania ,Tunajifunza mengi sana hakika niwakati wakufanikiwa na kutendea Ideas Mungu alizotupa.Nimeamini kweli pasipo elimu hakuna mafanikio
@simonplatnumz.18776 жыл бұрын
Uko vxr baba
@orastomgaya14156 жыл бұрын
UBARIKIWE SANA NDUGU YANGU NIMEFURASANA NA MAFUNDISHO YAKO HASA KUSAIDIA WENGINE.
@phadhilihussein89375 жыл бұрын
Good sana brother nakuku bari sana kitambo sanaa nakufatilia
@edwardmalima78606 жыл бұрын
sure kusoma vitabu ni safi sana pia kutokata tamaa ni nzuri. kitabu kama the impossible is possible na imitation is limitation cha john mason viko poa.
@reggyvallerin74605 жыл бұрын
Vipi icho kitabu nicha kiswahili au
@dannyelias3824 жыл бұрын
@@reggyvallerin7460 I think it's English
@tumainlizer37942 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri Kaka Ezden Hili tatizo ninalo confidence kipengele no 8 yaani hata nikiwa namarafiki zangu au ata boyfriend wangu kunawakati nakosa confidence kabisaa..Ila kwenye vipengele vingine vyote nipo vizuri.kama unaweza nksaidia Katika hili tafadhali naomba nisaidie.
@abdulrahmanbelle37426 жыл бұрын
Shukran bro ALLAH bless you
@davidissa55545 жыл бұрын
Umetishaa kk
@paschalsamsagala97395 жыл бұрын
Asante sana bro!nakufuatilia sana na nayaona mabadiliko,ubarikiwe sana!
@lovejaphet44375 жыл бұрын
I like it
@laylatsamiry49155 жыл бұрын
I love u broo mungu akuzidishiw
@SalumSaid-e1j7 ай бұрын
Kel
@simonlukumai41496 жыл бұрын
Hongera sana, semina ni nzuri sana with good arrangement of points, i note a strong point of helping others, means if you want to receiving new ideas use the first one to helping others
@tobiasbeda20226 жыл бұрын
Nakubaliana na nawe. Asante kwa maneno na ushauri mzuri sana
@successpathnetwork6 жыл бұрын
Karibu utazame video yangu mpya. Usiache kuniambia mawazo yako kwenye comments. Like and share. Pia ungependa topic gani niongelee. Asante kzbin.info/www/bejne/Z3e9op9ra9hgn9E
@derickjames41546 жыл бұрын
Vizuri broo inapendeza
@sospetermagobo24455 жыл бұрын
Nimekupata vizuri kuhusu tabia kumi za mafanikio ila sijaona maombi katika tabia hizo kumi ni lazima ushukuru Mungu kwa hatua unayosonga mbele Big up songa mbele..!!!
@fatumaabdallah-ui7pj Жыл бұрын
Maombi ni lazima kwa mwanadam hata asiposema.tumeumbwa kwaajili ya kuabudu
@salimsaid69982 жыл бұрын
Asanti saaana kwa maelezo kamili na hakika mwenye kufuata na kukamilisha ndio kufaulu. Mie kakako hapa Mombasa Kenya Very insightful presentation
@salminasalim56306 жыл бұрын
MashaAllah uko vizuri na MMungu azidi kukuinua Amiin
@successpathnetwork6 жыл бұрын
Aamiin allahumma aamin Salmina. Asante
@saeedabdillah71795 жыл бұрын
Big up bro nakukubal San ur world changer
@mosesdaniel6006 жыл бұрын
safi sana brother ubarikiwe kwa fact zako by Dash combo
@kevinwere91385 жыл бұрын
thanks bro
@muimingui53854 жыл бұрын
safi bro
@athumaniyusuph30975 жыл бұрын
Thanks bro nimejufunza kitu god bleess you
@dennismichael64635 жыл бұрын
Honestly I lack the best word to describe how you've touched my life.I Wanna let you know that you're touching people's life .thankyou
@successpathnetwork5 жыл бұрын
Thank you so much. Keep sharing my content to many so they learn...
@MasomeMazigi5 ай бұрын
Hongera kwa some!! Ila ukiweza kuvitafsiri vitabu utasaidia wngi.
@shekhashally91906 жыл бұрын
Thank you The Rocker kwa kushare na sisi binafsi najifunza kitu kipya kila nikikusikiliza
@successpathnetwork6 жыл бұрын
Karibu utazame video yangu Mpya, click hapa kzbin.info/www/bejne/Z3e9op9ra9hgn9E pia Usiache kuniambia mawazo yako kwenye comments. Like and share. Pia ungependa topic gani niongelee. Asante
@bekasaid22796 жыл бұрын
Shekha Shally asamte kwa somo ira biti hipuguze
@edgarchristopher43936 жыл бұрын
Good my son
@alexmasinde24715 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulinde me nashukulu kwa mda wako 🙏🙏🙏🙏
@cosmasandati18966 жыл бұрын
your massege is so helpful that makes me improve my motion change to my success.
@baloziubalozini50746 жыл бұрын
Kuamka mapema Vs alarm ni nondo ambayo sikua naijua in such,6/5 cycles kwa uwiano wa 90 mins/cycle ni sawa na mtu kulala jumla ya saa 9/8 Ndio maana tunasisitizwa zaidi kulala jumla ya saa 8 kwa Siku Thanks a lot kwa hii nondo+nyingine kibao
@robertmatonya18516 жыл бұрын
nashukuru sana kwa elimu yako japo mimi kazi yangu ni ulinzi sasa sijui swala la kupumzika mapema na kuamka mapema inanipa shida kidogo
@successpathnetwork6 жыл бұрын
Karibu utazame video yangu Mpya, click hapa kzbin.info/www/bejne/Z3e9op9ra9hgn9E pia Usiache kuniambia mawazo yako kwenye comments. Like and share. Pia ungependa topic gani niongelee. Asante
@shabanigess67035 жыл бұрын
Kweli
@aminaali79394 жыл бұрын
Waooooo nice bro
@leseriancharles20034 жыл бұрын
Mungu akubariki🙏🙏🙏 kwa elimu yaki nzuri ulioitoa kw jamii.tukiweza fanyia kazi tutabardika
@wilfredidangat7685 жыл бұрын
big up broo. you deserve it and keep it up as well.
@kelvinlukoo51825 жыл бұрын
Nimejifunza sana kaka
@mariamkasekwa66014 жыл бұрын
Allah akulipe kwa hili
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Amiin. Dua njema iwe kwetu sote
@deleali78933 жыл бұрын
Mungu akubaraki bro
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Dele Ali kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@hajisaid22525 жыл бұрын
Kaka nashukulu sana kwa elimu yako najuta aya kwa nn sijakujuwa mapema
@eliamugini61605 жыл бұрын
Nimepata kitu.hongera sana
@ayoubgwanko33066 жыл бұрын
Aiseee much respect bro, coz vijana tulio wengi hatukua na idei hio, blesed~
@birdofpry38976 жыл бұрын
Nimefaidika kwa uwepo wako...shukran zaid
@salehaman22286 жыл бұрын
Blogs kama hizi mimi nazipenda sana zinanipa muamko kiasi kazi nzuri
@kingally78165 жыл бұрын
Nakukubali Sana Kaka good idea. By King Ally from mahembe kigoma.