7 LESSONS People Learn Too Late In Life

  Рет қаралды 38,038

Success Path Network

Success Path Network

5 жыл бұрын

Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
• FIKIA MALENGO YAKO KIR... -~-
Kama ukizungumza na wazee wengi utagundua kuwa wanatamani wangefanya vitu fulani kwenye maisha yao laity kama muda ungerudi nyuma.
Sisi kama vijana ni muda muafaka kujifunza mengi toka kwao ili badae tusiwe katika kundi la kulalamika au kuwa na majuto kwa kufanyia kazi mambo haya saba ambayo ni majuto kwa watu wengi kwa vile hawakutumia muda wao vizuri. Somo la leo ni seven (7) LESSONS People Learn Too Late In Life
1. Everything Is temporary - (Kila kitu si chenye kudumu)
2. Life isn't fair - (Maisha hayako sawa)
3. Family matters more than friends - (Familia ni bora kuliko marafiki)
4. Others treat you the way you treat yourself - (Wengi watakuona vile unavyojiona wewe)
5. Happiness is a choice and requires hard work - (Furaha ni chaguo lako na inahitaji uifanyie kazi)
6. A lifetime isn't very long - (Maisha ni mafupi)
7. You played it too safe - (Ulikua woga au umakini uliopitiliza)
#7Lessons #TooLate #EzdenJumanne

Пікірлер: 187
@ukhtynajratgirlismail6009
@ukhtynajratgirlismail6009 5 жыл бұрын
Asante Sana brother Leo umetoa somo Kali Sana yaani nimelipenda mno ambae hatofanyia kazi hili somo kamwe hatoelewa lolote walahi nimechukua daftari na pen nimeandika I dear zote so nazifanyia kazi kuanzia muda huuu siachi hata sekunde ipite shukuraan brother ubarikiwe🙏🙏🙏💪💪
@imanueljohn9253
@imanueljohn9253 5 жыл бұрын
Thanx bro for gud lesson
@kingmswati4802
@kingmswati4802 5 жыл бұрын
kunawatu kama edzen ,joel nawengine wanatakiwawawepo duniani ili wengine tufungue ufaham nakufanya mambo mazuri. Asante sana bro
@francismsangi3244
@francismsangi3244 5 жыл бұрын
Others treat you the way you treat yourself. Unavyojichukilia ww ndivyo jamii yako inakuchukulia hivyo hivyo. Nimepaelewa sana hapa. Mungu akubariki sana bro
@mashaurinelson7106
@mashaurinelson7106 4 жыл бұрын
Thank brother this topic teach me and must Change me
@mariamnahodha2390
@mariamnahodha2390 5 жыл бұрын
Thanks, sauti inanihimiza niwe mtu Fulani hivii nalala na hili neno, (everything is temporaly) and happiness is choice ,promise ..i will do as you do ...kuongea kiinglish nako ni kujifunza kupitia wewe mimi napenda kiinglish Sana brother
@stanokinya8214
@stanokinya8214 4 жыл бұрын
Family matters more than friends that's true big up man👏
@mgallason...5686
@mgallason...5686 5 жыл бұрын
Leo Nimepata madini ya thamani mapema asubuhi, 🙏
@calvinjoseph
@calvinjoseph 4 жыл бұрын
This is my favorite lesson brother, For really you always deliver the great contents
@eliasmaika5464
@eliasmaika5464 5 жыл бұрын
Safi xn Bro kwa somo nzuri ubarikiwe xn
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Shukria brother Edzen.
@yusuphmwaigomole3104
@yusuphmwaigomole3104 5 ай бұрын
Family matters than friends, hilarious!!!
@jumakubobela7474
@jumakubobela7474 5 жыл бұрын
Duh! You are the biggest inspirer in the country. Keep held up Bro.
@annajames6196
@annajames6196 5 жыл бұрын
Thanks,,God bless u
@abdallahkinabo5148
@abdallahkinabo5148 5 жыл бұрын
jazaka Lwahu khairy ,
@tadhimanmsouth288
@tadhimanmsouth288 5 жыл бұрын
Kaka nimejifuza kitu 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️ asante
@dottnatt7110
@dottnatt7110 5 жыл бұрын
Kwel kabsaa family ni bora kuliko marafiki, na wapo wenye kujali marafiki kuliko wazazi. Ya a,rabb nifanyie wepes ya kuwathami family yang.
@abdullaabubakar5528
@abdullaabubakar5528 5 жыл бұрын
Kaka ezden nakukubali snaaaa ww ni kitabu tosha na najiona kama ni ww ninavyofunguka akili na kujifunza vingi kujuwa wengi zaidi niliyokuwa nayaelewa hapa nilipo mungu akubariki moreee blesaa
@simeoandrew942
@simeoandrew942 5 жыл бұрын
kweli kaka nimeona hao wazee wengi wao wanajilaum pind wakiona kijana amefikia hatua flan kimaendeleo na wakati wanatoa honger kwa kijana ambaye ajitambua ingali bado kijana na wanatoa hamasa kuwa tuzid kupambana #Ezden broo nakufutilia xn epsode zako zote I learn something from u God bless u
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 5 жыл бұрын
thanks a lot May brother
@ulimwenguwamitimifupi5113
@ulimwenguwamitimifupi5113 5 жыл бұрын
Asante sana Brother.
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 5 жыл бұрын
Shukran
@jovinhojr774
@jovinhojr774 5 жыл бұрын
Nimekpata fresh
@user-ji6fe4nb3y
@user-ji6fe4nb3y 3 ай бұрын
asante bro
@stephahObimo
@stephahObimo 5 жыл бұрын
Ezden nalia Kwanini sikukufaham toka nikiwa na nywaka mitano Hakika unanigusa,unanifundisha,unanipanua kiakili sijutii kukufaham Samahani Kama Ntakuwa nakosea one Love my brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
hujachelewa bado...fuatilia na kikubwa zaidi fanyia kazi haya mafundisho unayopata
@feristamwakatwila7498
@feristamwakatwila7498 4 жыл бұрын
Wonderful
@rahemahrahemah2719
@rahemahrahemah2719 5 жыл бұрын
Waaleykum salamu ! Shukran Kaka Ezden
@nizigabosco3359
@nizigabosco3359 2 жыл бұрын
I love you because you like to say true in our life
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Thank you. Truth helps and saves a lot of time. Be blessed
@edwardalfred1172
@edwardalfred1172 5 жыл бұрын
Hakika kila ninaposikiliza napata nafasi ya kujifunza na kunipa nguvu ya kufanya zaidi maishani. keep it up brother.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
Best lesson ever, I love the entire content,stay blessed My Brother 🙏🤝
@AaBb-jz9qb
@AaBb-jz9qb 4 жыл бұрын
Shukran sana kaka 😍
@zeynabmohammed445
@zeynabmohammed445 5 жыл бұрын
Thanks so much bro for your motivation may God bless you
@husseinrambo6182
@husseinrambo6182 5 жыл бұрын
Thanks broo, am learning to you everyday am get new things from your Oooooh god long life 2u kaka.
@leilamohamed7445
@leilamohamed7445 5 жыл бұрын
Asante mungu akuete uzindi kutufunza najifunza megi kutoka kwako mungu akubariki
@mohamedkhateeb5098
@mohamedkhateeb5098 5 жыл бұрын
Shukran sana kwa kweli zote zimenigusa.
@ibrahimhumbotv
@ibrahimhumbotv 5 жыл бұрын
realy! thanks for good idea.👏👏
@sandraumulisa239
@sandraumulisa239 2 жыл бұрын
Thanks 🙏
@maubarak9831
@maubarak9831 5 жыл бұрын
shukran
@bonelkana2455
@bonelkana2455 5 жыл бұрын
Thanks Brother Ezden
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 5 жыл бұрын
That's Ezden Jumanne💪💪💪...
@eliazalyemmanuel9478
@eliazalyemmanuel9478 5 жыл бұрын
sana kaka mimi na ww nikama samaki na maji kwa kombi ziko god
@markamwakibete7149
@markamwakibete7149 5 жыл бұрын
Ahsante kwamafundisho Ezd kinachotutesa zaidi nikucmama katika wazo moja mpaka unapogundua haupo sahihi umechelewa sana
@zahrakitchen5880
@zahrakitchen5880 5 жыл бұрын
Wow....Shukran Allah akujalie🙏
@vickchicksvickchiken7406
@vickchicksvickchiken7406 5 жыл бұрын
nabalikiwa sana na masomo yako Ezedn ntajitahidi kwa neema ya Yesu kuixhi kulingana na maxhauli yako then nije kuprove kwa watu wengne kwamb inawezekana thanks so much bro
@caeolinekimaro2571
@caeolinekimaro2571 5 жыл бұрын
wow...am lerng de things lol...
@bryanbyamungu9891
@bryanbyamungu9891 4 жыл бұрын
Thanks man
@wemamuss
@wemamuss 5 жыл бұрын
Shukran kaka kwa somo zuri
@medsonstarlon0805
@medsonstarlon0805 4 жыл бұрын
Dah,, shukrani sana,, darasa huru hili jamani,,, ahsante sana,,,
@phinisonvenas3700
@phinisonvenas3700 5 жыл бұрын
Asante kwa kunikubusha na mungu akubaliki
@emmanuelletinga7159
@emmanuelletinga7159 5 жыл бұрын
Yes you're gifted brother!! brilliant work thumb up!
@sleyoumkhamic9237
@sleyoumkhamic9237 5 жыл бұрын
mashallah allhamdu lillah kufikia😂😂😂😂😂 kukutana na hii video siyo bure for sure mimi legend king.
@mumdecutymariammariammunga7501
@mumdecutymariammariammunga7501 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nzokiramadjaliwa6060
@nzokiramadjaliwa6060 5 жыл бұрын
brother your the best in your Chanel,, vyoye ulivyo zungumza vime nifunza sana, thank you so much.
@hajihemedi5189
@hajihemedi5189 4 жыл бұрын
that is bright ideas
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Bro kila cku unazidi kuwa mahiri somo hili limegusa nyanja nyingi ktk maisha hususani ya vijana na ukweli ni kwamba muda utafika tutajutia mambo ambayo hatukuyafanya kuliko tuliyoyafanya.. Isyaallah Mungu akuzidishie
@annalukindo3199
@annalukindo3199 5 жыл бұрын
Nimefulai sana na najifuza mambo mengi kwako mungu azidi kukupa kibali kukubwa kuliko icho
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Ujumbe makini sanaa nimejifunza kitu kipya pia
@damasprotas4126
@damasprotas4126 5 жыл бұрын
Daaaaaaah I'm the best!!! .....I like my self....you like is extra
@adamally8791
@adamally8791 4 жыл бұрын
Sema broo unamadin sana kaka, kuna vitu vingi sana najifunza kupitia wewe Mungu akubariki sana👏 endelea kutukumbusha, coz tunajisahau sana cc vijana haswa kwenye swala zima la starehe za kupenda wanawake mana mtu anaona ufahari kuwa na wanawake weeeeengi, anapoteza nguvu huko, muda na pesa nyingi kwa hivyo vitu vya temporary
@2nukasim804
@2nukasim804 3 жыл бұрын
Allah akuongoze kaka wanifunza vingi san shukran
@irenembilinyi4628
@irenembilinyi4628 5 жыл бұрын
Asante Ezden umenivusha mahali
@philomenasimon9942
@philomenasimon9942 5 жыл бұрын
nataman kila kipnd chako no sikikose maan saiv najiona nimt wapekee sana nakumbuak kweny kipnd flan chak uliwah kusema ukipend kusoma vitabu Nata ukiwa katikat yawat weng utaongea vitu vya msing nanikwel kwa kiasi flan umenibadilisha japokua me bado ni mdog lakn nashukuru San kwa vipind vyako vinanibadilisha
@rashidamiri4900
@rashidamiri4900 5 жыл бұрын
y done bro
@felixrumisha5132
@felixrumisha5132 5 жыл бұрын
Daa bro hiyo namba 4 yangu kabisa.. hadi nimekuwa mbali na watu coz ya kujishtukia bila sababu za msingi.. naanza na kushughulika na namba 4.. thanks bro @ezden
@sabrinasaid839
@sabrinasaid839 4 жыл бұрын
Ahsante sijutii kukujua...yaani kila nikikusikiliza naongeza kitu
@eliapendakileo4787
@eliapendakileo4787 5 жыл бұрын
Kweli kaka upo right kabisa
@kilengoilaiser931
@kilengoilaiser931 5 жыл бұрын
kwang n mwanga wa maisha.
@halimasaid4977
@halimasaid4977 5 жыл бұрын
Good boy
@angelmkenda4122
@angelmkenda4122 5 жыл бұрын
Najifunza mengi sana kupitia kwako bro much love u
@eliapendakileo4787
@eliapendakileo4787 5 жыл бұрын
Hahahahahahahahabahahahaha kaka umenifurahisha kwenye point number 7.
@worshipertv9968
@worshipertv9968 5 жыл бұрын
Asante bro kwa kuniamsha mapema
@clemenceonesmo5429
@clemenceonesmo5429 5 жыл бұрын
dat is fantastic
@aishamaulidi4679
@aishamaulidi4679 5 жыл бұрын
Waalekumsalam warahamatullah wabarakatuh Shukrani sana kwa somo hili la leo nilichojifunza hapa kwa Kifupi kuwa nifanye leo nisisubir kesho nikaja jutia .muda haumsubir mtu Ubarikiwe sana Na sijutii ku subscribe channel yako.allah akuzidishie zaid maarifa na hekima katika kazi zako hadi mwisho wa maisha yako.
@mussasuleiman7169
@mussasuleiman7169 5 жыл бұрын
Pamoja sana
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 5 жыл бұрын
Thanks so much my Brother....... 😘😘 hujawahi kuniangusha.
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 5 жыл бұрын
Nimeanza kulike comment yangu maana najikubali sanaa........
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 5 жыл бұрын
Kweli huwezi kuzuia taarifa kuja kwako ila unaweza kuchagua taarifa gani ije kwako ..........💪💪
@habibabora3404
@habibabora3404 5 жыл бұрын
Hapo ninakuelewa sana Kaka.nikweli ukiwa nakitu marafiki wengi lakini ukiwa hauna wanaondoka
@sharifahandhara8592
@sharifahandhara8592 4 жыл бұрын
Every thing is temporary Uko good may Allah blessing u
@suleymanomary6694
@suleymanomary6694 5 жыл бұрын
its true that family matter more than friends,we have to like our family truely from our heart its not because we are in bloodrelationship but we have the same family history and actually they have empathy on us
@caeolinekimaro2571
@caeolinekimaro2571 5 жыл бұрын
Suleyman omary well said
@kassimjeuri6031
@kassimjeuri6031 3 жыл бұрын
Napenda sana video sana sina mafunzo
@hamisadodo453
@hamisadodo453 5 жыл бұрын
Santeee sana kaka hiyo point ya 5na 6 kiukweli hii taifanyia kazi nimejifunza kitu hapa santee sana Allah akulipe
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Safi napata Elimu kubwa ya kujitambua na upeo wa kujua vingi
@tatuatut7542
@tatuatut7542 5 жыл бұрын
Kweli sana
@jumandutu2275
@jumandutu2275 5 жыл бұрын
Maneno yananiingia sana asanteee kaka angu
@YudaMatesie80
@YudaMatesie80 5 жыл бұрын
Well done @Ezden
@rashidsango4046
@rashidsango4046 4 жыл бұрын
Ndugu swala la Idea nimelipenda sana manake namimi kidogo ni hairishe lakwangu. Lakini lazima nilifanye. Ubarikiwe sana ndugu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana RASHID Sango kwa kufuatilia. Pamoja!
@osinyoruth2769
@osinyoruth2769 2 жыл бұрын
Dear l have enjoyed your lesson.keep it up its time l need my l dear to work
@albertinemacimu1247
@albertinemacimu1247 5 жыл бұрын
Duuh this is my first time kukusikiliza hongera sana bro nina imani Mungu atatusaidia tu maana wa kufuzi ni wengi
@shylagwadebalima7572
@shylagwadebalima7572 5 жыл бұрын
Very very true
@mocomoco1836
@mocomoco1836 5 жыл бұрын
Safi sna nimejifunza maisha yangu yajayo
@reganpaul8542
@reganpaul8542 5 жыл бұрын
Kaka umenipa somo kubwa sana ubarikiwe sana
@williamkidalo7049
@williamkidalo7049 4 жыл бұрын
Keep it up brother. You are opining the way for many of us,God bless you my home boy,
@husseinitaba8550
@husseinitaba8550 5 жыл бұрын
Safi bro
@bishop_jilangila
@bishop_jilangila 5 жыл бұрын
somo zuri sana
@misskwileka1956
@misskwileka1956 5 жыл бұрын
Unagusa maisha yangu sana kaka.... Napenda na unavyogusia kuhusu dini pia... May Allah grant you blessings bighail hisab, inshaa Allah
@pskitchen8244
@pskitchen8244 5 жыл бұрын
Najifunza vitu ving Sana kupitia wew, mung akubarik sana
@fatumaluze7724
@fatumaluze7724 4 жыл бұрын
Napenda Sanaa mafunzo yako kaka hakika yana elimishaa Sanaa
@medsonstarlon6057
@medsonstarlon6057 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana bro Ezden, ubarikiwe sana
@kashambanange6843
@kashambanange6843 5 жыл бұрын
Ezden hujawai kuniangusha.....happy to follow u brother ...
@user-gq4wm9gj4l
@user-gq4wm9gj4l 8 ай бұрын
Ni kweli kaisa
@mwajumayunus2041
@mwajumayunus2041 5 жыл бұрын
what a good lesson be blessed brother
@brentleycorey3765
@brentleycorey3765 2 жыл бұрын
I know Im asking randomly but does any of you know of a tool to log back into an instagram account?? I was dumb forgot the login password. I appreciate any help you can give me.
@samsonuriah9651
@samsonuriah9651 2 жыл бұрын
@Brentley Corey Instablaster =)
@brentleycorey3765
@brentleycorey3765 2 жыл бұрын
@Samson Uriah thanks so much for your reply. I got to the site on google and Im waiting for the hacking stuff now. Seems to take quite some time so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 5 жыл бұрын
Familia ni Bora kuliko marafiki
MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE
29:50
Success Path Network
Рет қаралды 52 М.
MAPENZI YA MUNGU - PART 1 - APOSTLE ONESMO NDEGI
47:48
Living Water Church Tanzania
Рет қаралды 1,9 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 79 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 41 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
FANYA HAYA UKIWA KWENYE AJIRA UFANIKIWE ZAIDI
12:18
Success Path Network
Рет қаралды 34 М.
JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UTAKACHO MAISHANI
20:05
Success Path Network
Рет қаралды 68 М.
Maeneo Sita (6) Ya Kuzingatia Katika Kujenga Nidhamu - Joel Nanauka
12:01
Weekend Worship May, Pastor Carlos Kirimbai
49:28
Carlos Kirimbai
Рет қаралды 1,2 М.
JINSI YA KUVISHINDA VITA VYAKO - Innocent Morris
25:48
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 3,4 М.
Jinsi ya Kuongeza Kujiamini Zaidi | Ezden Jumanne
20:38
Success Path Network
Рет қаралды 51 М.
3 MOYO WA IBADA MCH TIMOTHY MWITA PHID
1:11:24
POTTER'S HOUSE INTERNATIONAL DAR
Рет қаралды 1 М.
SIO LAZIMA KIPAJI ILI UFANIKIWE, TAZAMA HII
23:47
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
Jinsi Ya Kupata Chochote Unachotaka
10:04
Success Path Network
Рет қаралды 3,1 М.
Головоломка от дедушки🔥
0:31
FERMACHI
Рет қаралды 18 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
0:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
Forming of goal foam || A2Z SKLLS
1:00
A2Z SKILLS
Рет қаралды 22 МЛН