FAHYMAH Afunguka RAYVANNY Kubadili DINI/PAULAH/MKE wa PILI niko TAYARI/DINI inaruhusu

  Рет қаралды 351,236

Rick Media

Rick Media

10 ай бұрын

Mpenzi wa Rayvanny Fahymah amefunguka kuhusu Mpenzi wake Rayvanny kubadili Dini (kuwa muislamu, kuoa mke zaidi ya mmoja
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Fahymah #Rayvanny

Пікірлер: 262
@sesiliajoseph211
@sesiliajoseph211 9 ай бұрын
Kama umegundua hiyo nyumba ni Ile anayoigizanayo JB na watoto wake kwenye huba em tugongeni like apa jomonnn
@AbiTech96
@AbiTech96 9 ай бұрын
Kabisa
@natechovee
@natechovee 9 ай бұрын
Bora ametreat mpenzi wake vizuri
@ummullaqsa974
@ummullaqsa974 9 ай бұрын
Nilijua nmeon peke yng😂😂😂
@jenifajosephat1161
@jenifajosephat1161 9 ай бұрын
Hio nyumba ni jiran yangu kabisa kibada
@mwanaidkhamis
@mwanaidkhamis 9 ай бұрын
Hakusema yake hata hivo so relax
@shamilamgata7754
@shamilamgata7754 Ай бұрын
Nimeangalia comments za watu wengi wana wivu mara oh litamkuta jambo mara anajimaliza jaman ukipata nafasi ya kuringa we ringa tu acha nidham za uongo za kufikiria watu watasemaje mnaboa mjue fanyeni kitu mnataka big up fayma love you 💓💓
@mariamkika5652
@mariamkika5652 9 ай бұрын
Nakupenda xan fahima lakn ucjimalize dada atakuja kumuoa mwengine utalia wew
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Kashasema sheria wanne, anajikubal, hapingi uke wenza Sasa anajimaliza vipi
@Vikkikilonzo
@Vikkikilonzo 9 ай бұрын
​@@nahlahassan-fd6leNa mbona aliondoka mara ya kwanza basi after Ray kucheat😂si angekaa tu juu amekubali
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 9 ай бұрын
Mdogo wangu Unajielewa sana,Mungu akulinde ulee mtoto wako na mwenzako,nakupenda utaki drama,nakupenda 🇺🇸🇹🇿
@user-yo3yy7fx1i
@user-yo3yy7fx1i 9 ай бұрын
Congratulations Amazing voice❤❤❤ Media
@EsterLoputu
@EsterLoputu 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@user-eq2nq6os7v
@user-eq2nq6os7v 9 ай бұрын
Congratulations ❤❤
@aminaomari-9573
@aminaomari-9573 9 ай бұрын
Ache wivu fahym ni mzuri ❤
@kadino_jc
@kadino_jc 9 ай бұрын
Hana wuziri wowote😅
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Mzuri sana mashallah❤
@user-zh8gh9qy5i
@user-zh8gh9qy5i 9 ай бұрын
​@@kadino_jcwivu nayo itawaua
@FridaUdoba-iw2jx
@FridaUdoba-iw2jx 9 ай бұрын
Sema mkorogo anaoga
@CelineQ-zy4ex
@CelineQ-zy4ex 6 ай бұрын
Mammy hiyo make up apana ata natural u are very beautiful banaa
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 9 ай бұрын
Kazuri sana❤
@weveeernest9911
@weveeernest9911 9 ай бұрын
Hacheni wivu muache fahma ale raha na mpenzi wake.
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
❤❤❤❤
@mwezzireen17
@mwezzireen17 9 ай бұрын
Fayma I love Yu❤️❤️❤️❤️🤣🔥🇰🇪
@veelmng7746
@veelmng7746 9 ай бұрын
very good girl
@nishimwetania9012
@nishimwetania9012 9 ай бұрын
Mimi nilichogundua fayma zamani alikua anajiamini sanaaa Kama rayvanny hawezi muacha ju alikua anampenda sanaaa nakwasasa anajilekebisha anajalibu kua mtu mwema sema tu namuoneya huruma ju moyo wakwanza ukishabadili haubadiliki tena kasha honja inje nakashafanyiw mzuli kabla sasa apo ata achwa tu
@asifiwewisayi8580
@asifiwewisayi8580 9 ай бұрын
Umeongea point
@philipsaidi8614
@philipsaidi8614 9 ай бұрын
Fay loves you so much ❤❤❤❤❤❤
@NairatHassan-nm2dg
@NairatHassan-nm2dg 9 ай бұрын
mwezenu nimeipenda sauti yamtangazaji ipo kama ya strng wngu kibibi👈🏻😘😘😘 😂😂😂
@tumpeernest9690
@tumpeernest9690 9 ай бұрын
Afu kweli
@fellymwaka-sl1vo
@fellymwaka-sl1vo 9 ай бұрын
this girl is amazing ❤❤
@neemajoseph6204
@neemajoseph6204 9 ай бұрын
Waoooooh fayma fayma ilove tooo
@Rahmajohn-ix3lh
@Rahmajohn-ix3lh 8 ай бұрын
Mungu awajaalie
@Mambo-ct7tw
@Mambo-ct7tw 4 ай бұрын
Happy Valentine dada fayvanny
@user-cg6sq4qy5l
@user-cg6sq4qy5l 9 ай бұрын
Mh! Nilijua kavaa papasi mavazi mengine ila juu ngu ipo vizuri ila chini lakini hongera zako mwana❤❤❤
@aishaz1
@aishaz1 9 ай бұрын
Pia mimi nikadhani hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 9 ай бұрын
😂😂😂
@VailetPatrick
@VailetPatrick 9 ай бұрын
🤣😂🤣😂🤣🤣nikajua pampas namim nguo nyingne wazungu tunaomba poo
@DukaDanga
@DukaDanga Ай бұрын
Kí​@@aishaz1
@AishaRamadhan-xg8bo
@AishaRamadhan-xg8bo 9 ай бұрын
Not to worry if I have missed it but I will also send the money to your bank account in person as soon as possible as I am currently on
@sidikassim6759
@sidikassim6759 9 ай бұрын
penden lugha znu za kiswahili sio kujifnya wazungu pndeni lugha ynu
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 9 ай бұрын
Fahima nikwambiye tuuuu utuliye mana matukiyo tunayasubiri mana wewe unajuwa kujimaliza afu unajifanya uko mwenyewe subiri yetu macho
@perisnekesa8117
@perisnekesa8117 9 ай бұрын
Pepoo shtn
@mrsanna7820
@mrsanna7820 9 ай бұрын
​@@perisnekesa8117😂😂
@bettymasitsa9504
@bettymasitsa9504 9 ай бұрын
Anajifanya tu
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 9 ай бұрын
Wewe ni Mungu??
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 9 ай бұрын
Wale wali kuwa ni Matapeli 😂😂😂
@Jostany
@Jostany 9 ай бұрын
Nakubari😂
@Bakarirajabu-cg3kn
@Bakarirajabu-cg3kn 14 күн бұрын
❤❤❤ asanteni
@user-fp3ow9jt5h
@user-fp3ow9jt5h 4 ай бұрын
Hongera
@marionowira4912
@marionowira4912 9 ай бұрын
Good job mama jay but io lipstick yakh ijakutokea
@kevinr7552
@kevinr7552 9 ай бұрын
❤❤❤ Happy birthday @rayvnny
@GabbySultana-xu5pi
@GabbySultana-xu5pi 9 ай бұрын
Huyuu dada ni mzurii ilaa make up anazotumiaa ndoo issue😢
@nancyg8664
@nancyg8664 9 ай бұрын
Shida kope ndefu mno,zingepungua kidogo angependeza zaidi
@zulfakibwana2330
@zulfakibwana2330 9 ай бұрын
Fai we love you❤❤❤❤❤❤❤❤
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 9 ай бұрын
hujapendeza ww Albino michubuo nenda huko
@user-de3jj7yz5m
@user-de3jj7yz5m 9 ай бұрын
Mwana dada anapenda baby daddy sana
@natechovee
@natechovee 9 ай бұрын
Kabisa
@DatuDatu-rr4oj
@DatuDatu-rr4oj Ай бұрын
Nakupendagafaivani mwanamme kujiamini
@damianmcba9525
@damianmcba9525 9 ай бұрын
Sura baya alafu unatafuta kumgombanisha abigail chams na rafiki zake
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 9 ай бұрын
Fahyma kwa Paula wa kawaida sanaaa,Paula mrembo sanaaaa hyu angekuwa mweusi angefanana na bi chau😂😂😂😂😂
@EzzyK438
@EzzyK438 9 ай бұрын
Uko sahihi afande 😅
@tatusalumu946
@tatusalumu946 9 ай бұрын
Wivu tu iyo 😏
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 9 ай бұрын
Ndiomana ukaitwa tatu maana akil zko km namb tatu😃😃😃😃😃
@Shuu.A
@Shuu.A 9 ай бұрын
Paula uzuri hana me up tu na kulivuta domo lol
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 9 ай бұрын
Kwan hyo hapak makeup??😃😃😃😃
@user-mf4bc8sf5f
@user-mf4bc8sf5f Ай бұрын
FAHMAH napenda unavyoongea ❤😊
@johanjoha5262
@johanjoha5262 9 ай бұрын
Kafanana na umber Lulu
@user-vn1fq2pz4e
@user-vn1fq2pz4e 8 ай бұрын
Fahyma vizur sana nimependa
@user-rb9og9uh6q
@user-rb9og9uh6q 7 ай бұрын
Faihiyma chui❤❤
@dinaalenga9408
@dinaalenga9408 8 ай бұрын
Faima mrembo❤❤❤❤❤
@hanifahkhan3610
@hanifahkhan3610 9 ай бұрын
🎉🎉
@mrsanna7820
@mrsanna7820 9 ай бұрын
Oooh fay tulia sijui nini nini 😂😂we umetulia kwanza ndiyo umshauri 😂😂😂ukipendwa onesha 😂break up pia onesha😂😂dunia kuna raha na kulia na bado tunaishi😂
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Teeenaa
@user-gk6mr3qc5r
@user-gk6mr3qc5r 8 ай бұрын
Faymaah mrembo sana❤❤❤
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 9 ай бұрын
Mtu kazeeka lakini linavaa chupi njenje
@OfficialMicky-nv4re
@OfficialMicky-nv4re 9 ай бұрын
Apo nani kazeeka mbona una2changanya au ulikua una coment Sehem nyingne
@programtz
@programtz 9 ай бұрын
😅😅😅
@sophymasoud2058
@sophymasoud2058 9 ай бұрын
Nmempenda mtangazaji
@zahraamin2910
@zahraamin2910 9 ай бұрын
Mi piaa❤
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 9 ай бұрын
❤❤❤
@saidaidaprincess
@saidaidaprincess 9 ай бұрын
A we paula ni kiboko mrembo mbele ya huyu dada hata waseme nini aghhhhh❤❤❤
@user-yz9ep1rc5g
@user-yz9ep1rc5g 8 ай бұрын
Lakini ana domo sana
@marynjeri4494
@marynjeri4494 9 ай бұрын
Fayma mrembo natural achane na makeup kabsa
@FlorenceKerubo-xw6lx
@FlorenceKerubo-xw6lx 9 ай бұрын
Fayma❤❤❤❤
@eppiemodest
@eppiemodest 9 ай бұрын
Mbona mdomo wa Faymah umechongoka kwa juu. What's the matter!!
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m 9 ай бұрын
Hapa ndio NAAMINI FAHMA ANATUMIA MKOROGO😂😂MHM ATISHA. PAULA NAMPENDA SANA NI ZILE MAMBO ZAKE. FAHMA ANAJIKWEZA SANA. VIJITU VIFUPI NI SHIDAA😂😂😂
@nipherjoseph8561
@nipherjoseph8561 9 ай бұрын
Daaah ila wabongo sisi😂😂😂
@annievibes8794
@annievibes8794 9 ай бұрын
Fahyma kanenepa❤
@fridhausmeju-gi6po
@fridhausmeju-gi6po 9 ай бұрын
Alafu uyu mbona..ajamzidi..paula .
@aikakessy3229
@aikakessy3229 9 ай бұрын
Mfyuuu Kwa uzur gan lbd mbona wa kawaida sana
@lareineminah1353
@lareineminah1353 9 ай бұрын
Dah huu jmn🥲🥲🥲Mungu amsimamiye...
@missdee6687
@missdee6687 9 ай бұрын
Comment section mna wivu na roho mbaya wachawi nyinyi
@arabicfey-ii6dn
@arabicfey-ii6dn 9 ай бұрын
🤣🤣🤣
@nancyg8664
@nancyg8664 9 ай бұрын
Sio kwa ubaya...fahma ni mzuri ila iyo makeup kawa kama mzee.
@sidikassim6759
@sidikassim6759 9 ай бұрын
subr uolewe ndio uite mume wko kw haki yko pnguza wivu na hasira binti hasra ztkuponza
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 9 ай бұрын
Wivu gani Sasa, nyinyi ndo mna wivu tu, watu huitana mume na mke na wiki mbili Sasa ndo itakua Hawa Wana mtoto
@Vikkikilonzo
@Vikkikilonzo 9 ай бұрын
​@@zenahmugo1974mtoto si kitu kama hajakuoa bado si Mume wako
@joycejackson2320
@joycejackson2320 9 ай бұрын
Nguo hizi mwanangu jitahidi sana wewe ni mama sasa!!
@omytifa6403
@omytifa6403 9 ай бұрын
Mtangazaji anajua
@purityvesh171
@purityvesh171 9 ай бұрын
Huyu hamwezi paula😢ana jisura baya kweli😅😅je akitoa makeup😮😂😂
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 9 ай бұрын
Hilo lisura libaya Lina maisha kulko ww purity wacha wivu msichana 😂😂😂
@purityvesh171
@purityvesh171 9 ай бұрын
@@zenahmugo1974 😂😂😂nimewacha kapsaaa
@MakulaAamaal-uu7eu
@MakulaAamaal-uu7eu 9 ай бұрын
​@@zenahmugo1974asantee beine😂😂😂
@vumi8371
@vumi8371 9 ай бұрын
🙄🙄🙄bora yako ww unasura nzuri
@user-eh6fs8zq1d
@user-eh6fs8zq1d 9 ай бұрын
Ata Paula ukiangalia kishalia wala sio msuri ni wakawaida
@leylamohamed9939
@leylamohamed9939 9 ай бұрын
Yaani Anafanya interview kama Kalewa, Hayuko Sawa.. Kama Kachoka.. Acha kuongea Kiingereza Fahyma unatuchosha achana na Kiingereza mdogo wangu
@happinesskitali164
@happinesskitali164 9 ай бұрын
Fahyma mbona anakua mweupe sana
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 9 ай бұрын
Mkorogo
@dishonibusima6042
@dishonibusima6042 8 ай бұрын
Some kidogo kapendez
@sifauseni6900
@sifauseni6900 9 ай бұрын
Wewe muache ajimalize tu itamkuta yakumkuta 😢😢😢😂😂😂😂😂😅😅😅
@shamilamgata7754
@shamilamgata7754 Ай бұрын
Kashazoea ukipata nafasi ya kuringa ringa bhana sio unaogopa watu watasemaje acheni nidham za uoga
@joycefuraha2218
@joycefuraha2218 9 ай бұрын
Mmmh kama weupe ndioo huo wacha tu nibaki na weusi wangu
@user-kk7ck1ph7c
@user-kk7ck1ph7c 9 ай бұрын
Nawapenda Sana nyie watu nimependa mlivyo ludiana Tena
@user-is3uf8dy3q
@user-is3uf8dy3q 23 күн бұрын
Ila faima inaonesha paula anakutesa sana huwezi ongea midia usimtaje pau
@johanjoha5262
@johanjoha5262 9 ай бұрын
Kama shetani mtuu
@sidikassim6759
@sidikassim6759 9 ай бұрын
mi spndi mswahili kujifnya mzngu kwni hmuezi kuongea kiswahili kwny kaz znu wa wndshi wa hbari w sku hzi kz hpo
@mayasattar8229
@mayasattar8229 9 ай бұрын
Limbukeni mbwa hao
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 9 ай бұрын
Ila nyie zile pic za insta nyie mh 😂 ila haviwez kuendana maana zile edit kibaooo ila hii live no edit mdomo mpana sura pana jaman akaaa
@SALIMTV-vo7es
@SALIMTV-vo7es 9 ай бұрын
Afanya mchezo na dini hawa wameshafanya uzinifu wanazidi kufanya uzinifu tu
@hyvonenyakamba206
@hyvonenyakamba206 9 ай бұрын
Weupe bila mvuto,,hyo sura yke n y makeup natural n wa kawaida
@MakulaAamaal-uu7eu
@MakulaAamaal-uu7eu 9 ай бұрын
Haujui chochote wewe fahyma mzur bila make up
@victoriamatei7757
@victoriamatei7757 9 ай бұрын
Umemuona fyama Leo wewe mtoto mzuri hata mbila makeup mtoto natural 😊
@user-lw1hi9hf3c
@user-lw1hi9hf3c 2 ай бұрын
Umependez
@user-vc4xc7xg7j
@user-vc4xc7xg7j 9 ай бұрын
Ana kithembe dah
@beatricesamwel8951
@beatricesamwel8951 9 ай бұрын
Acha naye atese kwa zamu lake paula hanalake tena
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 9 ай бұрын
Mtt wa JB hiyo
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 9 ай бұрын
Shangazi uzee una karibia
@adelaphilip8089
@adelaphilip8089 9 ай бұрын
Naomba nipokee simhmhmh😅😅😅😅
@leylamohamed9939
@leylamohamed9939 9 ай бұрын
Huyu Mtangazaji naye Kibada napo ni Mbali???? Ushamba tuu wa Makazi ya Nje ya Mji mnashangaa sana.. Fahyma ni wa kawaida tu sema weupe unambeba basi na hvi nguo za uchi na kujiongeza makeup anaonekana kanoga
@aishaz1
@aishaz1 9 ай бұрын
Umejichubua kama kuku wa kizungu halafu hilo lichupi sasa na limdomo unavyo lichezesha kama shumileta😂
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 9 ай бұрын
Punguza ukali wa maneno 😂😂ila kweli hapo Kwa chupi nadhani kavaa la babake JB 😂😂
@sharifakigua735
@sharifakigua735 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@irenepaul3110
@irenepaul3110 9 ай бұрын
​@@mjaweathman6519😂😂😂
@oseabenito5289
@oseabenito5289 9 ай бұрын
Mbon wa kawaid sana mashauz mengi
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 9 ай бұрын
She looks strange. Like a doll
@IbrahShaban-rm2ox
@IbrahShaban-rm2ox 9 ай бұрын
Ila mtangazaji mbaya jmn sulangumu kama yakisukuma khaaa
@lizzymichael8083
@lizzymichael8083 9 ай бұрын
We ukome wasukum ni warembo San kam mm
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 9 ай бұрын
Hamna mty mbya jmn,ameumbwa Kwa sura na mfano wa mungu
@MalaikahMari
@MalaikahMari 9 ай бұрын
Hlf nyie mnaosema watu kama mme waumba mnajua nn kuhusu uumbaji wa Mungu unajua uchungu wa mwana wewe????unasema watoto wa watu as I your perfect...NB kila mtu ni mkamilifu katika ukamilifu wake.....just the way she is she is beautiful...very beautiful ❤acha makasiriko ndugu yangu...Mungu pekee ndo Mkubwa na muumbaji have manners...Hujafa hujaumbika
@user-fo5my5pe3b
@user-fo5my5pe3b 9 ай бұрын
Mbona namuona mbaya leo
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 9 ай бұрын
Pia Mimi nadhani katumia make ya wazungu😂😂😂😂
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 9 ай бұрын
Make up ya wazungu
@MariamMohamed-bw8xf
@MariamMohamed-bw8xf 9 ай бұрын
Nakupenda fahima
@Rejina-tv5iu
@Rejina-tv5iu Ай бұрын
Wewe dada saraha
@franfraaan2325
@franfraaan2325 9 ай бұрын
But faima plz acha kuvaa nusu uchu yaani uchi kabisa vaa kaa nandy
@user-xz3on7fu1r
@user-xz3on7fu1r 5 ай бұрын
penda san❤ fayma
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws 29 күн бұрын
Mavazi jamani ata kama jichunge wemke siokila mtu ahone paja la m'me wako jichunge
@elizabethmwau4386
@elizabethmwau4386 9 ай бұрын
Hii SI Ile nyumba ya JB yawa
@KanyinyiSaid
@KanyinyiSaid 27 күн бұрын
nilicho kiona we maridadi unajipenda mnoo
@user-jd4nw4km6n
@user-jd4nw4km6n 8 ай бұрын
Mh mavazi mengine jaman hii ni chupi au macho yangu 😂😂
@Mellynoela-of5sr
@Mellynoela-of5sr 9 ай бұрын
Fahyma kwenye mavaz umekosea sn daah
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 3 ай бұрын
Hizo nguo unazovaa alafu wewe ndio unaangaika na Rayvan siku ya Valentine Subili na yeye akufanyie
@FridaUdoba-iw2jx
@FridaUdoba-iw2jx 9 ай бұрын
Picha na alivyo tofauti
@rachelmliwa-gj1eh
@rachelmliwa-gj1eh 9 ай бұрын
Paula typing and delete 😂😂😂😂😂😂
@husnabilali3099
@husnabilali3099 9 ай бұрын
Faymah ni mweny busara San lkn some time mavazi yake ndio yanamtoa kweny leli
@azizahmustafa8330
@azizahmustafa8330 9 ай бұрын
Mbona hapa ni kwa jb😂😂😂
@mrsinia3064
@mrsinia3064 9 ай бұрын
🤣🤣 kumbe
@NanaNana-xo2og
@NanaNana-xo2og 9 ай бұрын
Umeona eee anaefatilia huba ataelewa
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 9 ай бұрын
Mikorogo itakuwa
@tunuwarsam1762
@tunuwarsam1762 9 ай бұрын
Kwan iyo nyumba n ya nan khaaaaa jmn
Whyyyy? 😭 #shorts by Leisi Crazy
00:16
Leisi Crazy
Рет қаралды 19 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 15 МЛН
LIST YA WATOTO WA MASTAA WAZURI NA WALIOPENDEZA ZAIDI 2023,UTAWAPENDA
11:38
MARIOO ANAFUNGUKA PENZI LAKE NA PAULAH MUDA HUU / KUFIKISHWA BASATA
45:00
9999 iq guy 😱 @fash
0:11
Tie
Рет қаралды 11 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
0:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 1,2 МЛН
Miroşun siniri 🤣 #springonshorts #özlemlinaöz
0:18
Özlemlina Öz
Рет қаралды 62 МЛН