FAIDA 8 ZA MKAA KWA KUKU

  Рет қаралды 222,150

AGALUS  TV

AGALUS TV

Күн бұрын

Maajabu ya mkaa kwa kuku wako ni mengi sana.
#tibazakuku
-Kuzuia kuhara kwa kuku
-Kuzuia Kuhara damu( Coccidiosis)
-kinga ya kideri
-kinga ya mafua
-Kuzuia minyoo
-Usadia ganda la yai kua gumu
👉Kujifunza zaidi kuhusu ufugaji wa kuku
• MBINU 10 ZA KUPUNGUZ...
👉Video zingine ya channel yetu.
/ @agalustv
👉Tangaza biashara yako kwenye channel yetu. Tuwasiliane kupitia wasap pekee +255765467484
, 🙏🙏🙏🙏

Пікірлер: 632
@florarog548
@florarog548 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri. Kwa kweli mmekuwa watu muhimu na WA msaada sana katika ufugaji wangu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏🤝
@magrethchussi386
@magrethchussi386 Жыл бұрын
Asnt sn ubarikiwe kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina ✍️ 🙏🏿 ndugu nawe pia
@BetherinoKiduko
@BetherinoKiduko 4 ай бұрын
Naomba kuuliza kuku ili wawe wanataga sana mayai nifanyaje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Lishe ya kuku wanaotaga Jifunze kupitia Channel hii UTAJIFUNZA kuandaa Chakula icho
@AnithaMwenda-j4f
@AnithaMwenda-j4f 16 күн бұрын
Asante kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 16 күн бұрын
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@NasibuSarumbo
@NasibuSarumbo 3 ай бұрын
Nashukuru Kwa taarifa hizi nzuri Kwa sisi wafugaji endelea KUFANYA UTAFITI uje na dawa ya kideri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Sawa ndugu 🙏🏿 Tuombeane
@peninakilanga1407
@peninakilanga1407 8 ай бұрын
Ahsante sana. Somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@GraçeMseo
@GraçeMseo 7 ай бұрын
Asante sana kwa somo, nimejifunza
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@KahambuAsifiwe
@KahambuAsifiwe 2 ай бұрын
Mungu akupe elimu zaidi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@dainachima
@dainachima 9 ай бұрын
Asante Kwa SoMo hili.swali;je naweza kutumia mkaa hata Kwa kuku wa kisasa au ni kienyeji TU.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Aina zote za kuku
@billian1914
@billian1914 4 ай бұрын
Asante kaka kwa hilo somo lakufuga kuku Bora kienyeji, bila kutumia madawa zamsduka zakuuza Chemie. Endelea kufundisha watu / wafugaji wakuku waache kutumia ama kula kuku zamadawa ya gmo?? Warudi kwa maisha yakienyiji. Mimi napenda, sana hii somo ssna tena nakuunga mkono 1oo PC. Saalamu sana kutoka hapa Ugeremani mungu azidi kukupatie Marifa zaidi. Amina.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿 tupo pamoja. Salimia wote. Endelea kufuatilia kufuatilia tiba asili za kuku by agalus TV zitakuja video nyingi Sana nawe UTAJIFUNZA
@maryaloyce-o9o
@maryaloyce-o9o 2 ай бұрын
Asante ni mejifunza Mambo mengi naomba.kujua sababu Gani kuku wengine wanakula mayai yaani anatoboa na kunyonya kiini Cha ndani na kuacha kaka la yai Hali na kitu ndani asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Video hii apa yaani Sababu na dawa ya kuku kula mayai kzbin.info/www/bejne/nWeTnYejYq6dipI
@GetrudeFrances
@GetrudeFrances 2 ай бұрын
Asante kwa SoMo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa pia
@rajumisomia1841
@rajumisomia1841 Жыл бұрын
Nitoe shukrani za shati kwenu kwa darasa nzuri mnazotuelimisha asanteni sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@InspirationalMusicalScor-id7sh
@InspirationalMusicalScor-id7sh 2 ай бұрын
Tunashukuru kwa mafunzo Mungu awabariki.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk Kaz zako
@ElifridaMsagati-lw4no
@ElifridaMsagati-lw4no 4 ай бұрын
Asante kwa kunisaidia dawa hii nimefurahi sana nitaanza kutumia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Barikiwa sana
@NAUMUMAKAWISHE
@NAUMUMAKAWISHE 4 ай бұрын
Asante Kwa SOMO zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@MughunaKisay
@MughunaKisay 3 ай бұрын
Asante Kwa SoMo nimependa kwakweli
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Karibu ktk ufugaji
@EstherKabadi-ly3nu
@EstherKabadi-ly3nu 4 ай бұрын
Asante kwa somo zuri la ufugaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@revestinaalexander4100
@revestinaalexander4100 4 ай бұрын
Mwl. Asante Sana Kwa Somo zuri kuhusiana na mkaa. Natamani kujua njia mbadala ya kuua wadudu wa kwenye mboga mboga. Kuriko kutumia dawa za viwandani.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Sawa ndugu ngoja tuandae video zake
@halimahamidu10
@halimahamidu10 2 ай бұрын
Asante Kwa SoMo lako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@JescaJeremia-ef4ym
@JescaJeremia-ef4ym 3 ай бұрын
Asante kwa some zuri Mungu akubariki mimi nauliza ni chakula gani inamfanya kuku kutaga kwawakati
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Ni Aina gani ya kuku
@JescaJeremia-ef4ym
@JescaJeremia-ef4ym 3 ай бұрын
Kuku wa kienyeji
@DominicMulwa-x5o
@DominicMulwa-x5o 4 ай бұрын
Asante Sana Kwa Taarifa muhimu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@norahazan796
@norahazan796 10 ай бұрын
Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu 🙏🏿
@muthamamaithya8262
@muthamamaithya8262 2 ай бұрын
Asante sana.nilishikwa na ofu kuku wangu walipo maliswa na kideri ata kufunga naongopa lakini Asante naenda kufunga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Pole sana ndugu karibu tena ktk ufugaji
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 9 ай бұрын
Asante jaman uwiii somo zurli
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Tupo PAMOJA NDUGU
@ZiadaHamidu
@ZiadaHamidu 9 ай бұрын
Asante sana kwa kutujuza
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Karibu
@Pascaziamugenga
@Pascaziamugenga 24 күн бұрын
Kwakweli. Umenipa. SoMo. Kubwa. Ubarikiwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 24 күн бұрын
Amina KUBWA
@efgeniashayo8531
@efgeniashayo8531 4 ай бұрын
Huu Ndiyo Uzalendo was kweli Watanzania...tunaweza fanikiwa sana tukishitikishana Maarifa adilia ksma haya❤ Mungu wetu wa Mbinguni azidi kukubariko Dana Kaka yetu🎉
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@GraceKilumanga
@GraceKilumanga Ай бұрын
Asante kwa somo zuri kuku wangu wanasumbuliwa sana na magonda hata nikiwapa chanjo wakitotolewa wengine ugonjwa huu umekuwa kero kwangu mpaka nakata tamaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Pole Sana ndugu
@JacksonSiuhi
@JacksonSiuhi Жыл бұрын
Je pemba ya mahindi ni nzuri kuchanganya na mkaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ni nzuri ila ziwe kavu
@RukiaShabani-s2q
@RukiaShabani-s2q 4 ай бұрын
Ahsante kwa somo zuri tumekuelewa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@GadiLyawene
@GadiLyawene 4 ай бұрын
Asante nimeelewa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@KahambuAsifiwe
@KahambuAsifiwe 2 ай бұрын
Mungu akupe elimu Saidi🎉🎉😮
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@IsakaKipenda
@IsakaKipenda 5 ай бұрын
Thanks kwa dalasa Hilo nielimu bola sana Tena ya asilia inayomwezesha kuku kuwa na afya bora
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿
@johnkiptonuy6934
@johnkiptonuy6934 20 күн бұрын
Miti aina Kani nzuri kwa mkaa kupea kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 20 күн бұрын
Aina yeyote tu ila isiwe yenye sumu yaani mkaa uwe salama usiwe na sumu
@GraceSimtaji
@GraceSimtaji 4 ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@PantaleoBundala-tl2kd
@PantaleoBundala-tl2kd 3 ай бұрын
Nashukuru kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Tupo PAMOJA
@ElizabethJohn-x5t
@ElizabethJohn-x5t 3 ай бұрын
Hongera Kwa kutufundisha
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu na tunashukuru kwa kua nasi
@ESTERMFUGALE-wp5le
@ESTERMFUGALE-wp5le 7 ай бұрын
Mhmm. Agslus TV leo nimewafaisi sana. MUNGU awabariki sana kwa upendo huo wa kushare nasi.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Amina ndugu barikiwa pia
@BovickBolombociMtaelwaMmunga
@BovickBolombociMtaelwaMmunga 3 ай бұрын
Asante sana kwa mahelezo,,,,munge tiya namba zenu hewani ili tupangilie kuhusu mazungumuzo Mazuri ya ufugaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Sawa ndugu 🙏🏿 ✍️ tunashukuru kwa ushauri wako
@castolina2843
@castolina2843 4 ай бұрын
ahsante kwa maarifa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@FransiscaMmari
@FransiscaMmari 4 ай бұрын
Naahukuru sana kwa masomo mazuri ya ufugaji mm swali langu ni hili nn kinacho sababish kuku kula mayai na nitmie nini ili wasiawe wanakula mayai
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Ongeza vyakula vya protini, na madini ya chokaa na mifupa ktk mchanganyiko wa chakula. Fuatilila video sababu ya kuku kula mayai by agalus TV zitakuja
@PaulinaThomasi
@PaulinaThomasi 4 ай бұрын
Asante kwa somo. Nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu
@MajaliwaBunyinyiga
@MajaliwaBunyinyiga 4 ай бұрын
Safi saana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@ThomasIkerra
@ThomasIkerra Жыл бұрын
Somo la mkaa nimelipenda,it is new to me,keep it up.👍
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Thank you and You're welcome
@LucyBrighton
@LucyBrighton 5 ай бұрын
Asante kwa somo nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Barikiwa pia
@evaristomtweve2499
@evaristomtweve2499 2 жыл бұрын
Asante nimekuelewa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pamoja sana
@CarolyneOnsongo
@CarolyneOnsongo 4 ай бұрын
Asante sana tajalibu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Karibu sana ndugu ktk ufugaji
@hassanramadhan2794
@hassanramadhan2794 Жыл бұрын
Habari nashukuru sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@CatherineSweya-h2j
@CatherineSweya-h2j 3 ай бұрын
Asante kwa somo kuku wangu mafua yanasumbua kumbe mkaa utawaza nisaidia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Hakika
@SitiRamadhani-wg7vr
@SitiRamadhani-wg7vr 4 ай бұрын
Asante kwa ushauri wako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@JoyceKamna
@JoyceKamna 3 ай бұрын
Asante kwa somo zuri la kuhusu mkaa. Mimi chakula nawapa pumba mashudu mahandi mtama damu chokaa na mifupa. Je nikichanganya na mkaa nitakuwa sawa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Sawa tu ndugu
@neemapaul6085
@neemapaul6085 6 күн бұрын
Na vifaranga pia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Ndio
@AnnaMonyo-l5m
@AnnaMonyo-l5m 9 ай бұрын
Asante Kwa somo nzuri la kuku mimi tatizo langu nina puppy anatoka manyoya sana Na ninampa dawa ya minyoo karibu kila mwezi Naomba kujua
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Ni kawaida tu hatua ya ukuaji. Ongeza lishe ya protini ktk chakula
@marthandungu5135
@marthandungu5135 5 ай бұрын
Asante sana, unaweza kupea vivaranga wadogo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Angalau mwezi 1++
@zawadimkondo4951
@zawadimkondo4951 4 ай бұрын
Nashukulu Kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Barikiwa pia
@mbokamtafya535
@mbokamtafya535 4 ай бұрын
Nashukuru sana kwa somo. Je, chumvi na tangawizi havifai?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Kwenye matumiz ya nini
@mbokamtafya535
@mbokamtafya535 4 ай бұрын
@@AGALUSTV km dawa za chanjo
@BalumeJean-Claude
@BalumeJean-Claude 3 ай бұрын
Kuku ambaye amefungiwa bandani anatakiwa ale chakula chaina gani?
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana, unajitoa mpaka kujibu maswali yetu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk ufugaji na Kilimo chako
@agathamvula7129
@agathamvula7129 2 ай бұрын
Asante kwa somo zuri mnaoatikana wapi naweza kupata vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Kwa sasa hatuzalishi vifaranga ila tukiwa sawa tutakujuza
@PaschalinaCasmiry-zs6ow
@PaschalinaCasmiry-zs6ow 2 ай бұрын
Nashukuru sana somo zuri je vip naweza tuia chumvi ya magadi kutibu kideri?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Hapana ila inaweza kuongeza kinga ktk mwili WA kuku
@faidhasaidi4436
@faidhasaidi4436 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana sikujua kutofautisha kati ya vumbi na chenga chenga ss nmeelewa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
🙏🤝🤝
@Peterchipemba
@Peterchipemba 2 ай бұрын
Nimemekuelewa sana mkuu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa sana
@SalomeGabriel-o7w
@SalomeGabriel-o7w 2 ай бұрын
Asante shwali langu glam 1 nisawa kilo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Yaani gram 1 ni sawa na kilo ngapi za nini
@cresensiankwera1776
@cresensiankwera1776 4 ай бұрын
Mungu awabariki
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk mwaka huu
@johnmgonja-iy8tl
@johnmgonja-iy8tl 4 ай бұрын
Asante kwa masomo mazuri,je naweza kuwapa vifaranga wangu mkaa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Kuanzia mwez 1 unaweza wapa AU wape kwenye maji
@getrudemhozya9920
@getrudemhozya9920 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo,mimi nafuga kuku wa kienyeji, Kuna kuku wawili wanaatamia, mmoja ndo anaanza mmoja mzoefu, huyu mzoefu nilichukuwa mayai mawili nikachemsha, Cha ajabu yakatoka maji na jioni tepetepe, nikadhani halijaiva vizuri leo nimechemsha nusu saa lakini nimekuta vilevile,maana Kuna ambayo sijawawekea, mwanzo nilikuwa nikichemsha yanakuwa mzuri tu Sasa nina mashaka watatoka vifaranga kweli,na sijui ni ya yupi maana walikuwa wanataga sehemu moja
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Apo sasa ni mtihani ndugu. Ila siku nyingine uwe unaweka alama mayai. 🙏kwa pensel
@mngwalijuma597
@mngwalijuma597 4 ай бұрын
Ahsant kwa kutupa elimu hyo jamani Mm nafuga kuku wa kienyeji lkn tatizo wao anapotaga kuku mmoja wotee wanataga pahala pmoja pia akitaga mmoja wakati wa kulalia wanakua wanalalia kuku wote km 3 hata ukiwatengua huwa hawkibali ikofika siku ya kutoa vifaranga wanaweza kutoa watoto 2 au 3 na hapo hawatotoi vifaranga wanaanza kugombania vfaranga viiivyoanguliwa Mayai wanayaacha hawatoi tena vifaranga nifanye nn? Mana ni hasara kubwa wananipa wanaa ha massive mengi na mm naharamika kwa kuwalisha
@mngwalijuma597
@mngwalijuma597 4 ай бұрын
Wananipa.hasara kwakuwalisha Hapo nimekosea nilikusudia hyo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Fuatilia video hii apa jinsi ya kuzuia kuku kutaga kiota 1 kzbin.info/www/bejne/qoXIla13dtOLiK8
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Fuatilila video hii apa kzbin.info/www/bejne/qoXIla13dtOLiK8
@adamkanyika5906
@adamkanyika5906 Жыл бұрын
Adam Kanyika nashukuru, ninakuku wa kienyeji lakini mafua na kuvimba macho umekuwa changamoto Sana naomba msada wenu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Apo ni usafi. Kue na hewa nzuri uku uku tumia tiba mbalimbali za asili kuhimarisha afya yao
@VeronicaBayyo
@VeronicaBayyo 4 ай бұрын
Asante kuku wangu wanahara dam na wanatoa minyoo❤
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Pole sana wape dawa minyooo na ya UGONJWA wa coccidiosis
@luitifriediskambanga9242
@luitifriediskambanga9242 4 ай бұрын
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@tatusaid
@tatusaid 4 ай бұрын
Asante sana Kwa somo zuri swali ni kila aina ya kuku wanapewa mkaa?, pia ni kuanzia umri gani unaostahili
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Ndio wanapewa. Angalau wiki 2/3
@JasirBarance
@JasirBarance 2 ай бұрын
Somo Zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Tupo pamoja sana
@SophiaSere
@SophiaSere 4 ай бұрын
Ubarikiwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia
@biffazenobia4699
@biffazenobia4699 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri kwa dar mnapatikana wapi napenda kuwatembelea.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu mbeya
@shabanibakari9387
@shabanibakari9387 2 жыл бұрын
Asante kwakunitanua mawazo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu🙏🏿
@faridayona9861
@faridayona9861 2 жыл бұрын
Assnte naitajivi faranga na mwslimu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu sana🤝🙏
@redgundaboniface1423
@redgundaboniface1423 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri. Naomba kujua nini kinasababisha kuku kula mayai?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sababu ni nyingi kama vile ukosefu, wa Madini ya CALCIUM. Fuatilia video hii UTAJIFUNZA mengi kzbin.info/www/bejne/nWeTnYejYq6dipI
@revinmlay5031
@revinmlay5031 11 ай бұрын
Asante kwa SoMo zuri. je kwenye Banda lenye kuku 10 wanatakiwa jogoo wangapi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
1/2
@BernadettaMlanji
@BernadettaMlanji 4 ай бұрын
Asante kwa maelekezo mazuri ila nina changamoto kuku wangu wameugua ndani ya siku k.m 6 wamekufa 50 nimetumia dawa nyingi bila mafanikio
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Dalili gani
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 Жыл бұрын
Nashukuru umenifunza mengi kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@JenMockiwa
@JenMockiwa 9 ай бұрын
Asante kwa somo zuri, Mimi nafuga bata je nweza kuwachanganyia mkaa kwenye chakula chao, na hakuta kuwa na shida yoyote?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Sawa tu haina shida
@PeruthEmmanuel
@PeruthEmmanuel 3 ай бұрын
Asante, Mimi nafuga lakin vfaranga vinakufa kila siku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Pole sana ndugu jifunze uleaji wa vifaranga kupitia kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
@christermlewa8471
@christermlewa8471 3 ай бұрын
Je naweza kuitumia kwenye maji ya kuku?au mpaka nichanganye kwenye chakula?msaada tafadhali
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Ata kwenye maji japo isiwe kila cku. Itumike angalau kwa wiki Mara 1
@SalomeSteven-j8n
@SalomeSteven-j8n Ай бұрын
Umesma kwa mwezi wapewe Mara ngapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Angalau mara 4 yaani Kila wiki ukiweza. Kwa ufupi kwa kinga hakuna formula maalumu ni wewe tu kua na utamaduni wakuwapa mara kwa mara
@JudithMsuya-pe1sx
@JudithMsuya-pe1sx 4 ай бұрын
Mwalimu asante kwa somo zuri. Je hakuna wstu wanaotengeneza mkaa huo tayari kwa kuchanganya tu kwenue chakula?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Ngoja tufuatilie zaidi.
@sadiqueabubakam7317
@sadiqueabubakam7317 Жыл бұрын
Asante sana...mkaa unafaa kwa vifaranga?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Hapana tuwape wa kubwa
@masoudkabogota6984
@masoudkabogota6984 4 ай бұрын
Je nyama na mayai ya kuku anaelishwa mkaa hayana madhara yoyote kwa matumizi ya binadamu?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Hapana ndugu hakuna kabisa.
@VennasiaDaniel
@VennasiaDaniel 10 ай бұрын
Nashukuru,kwasomolako,kamaumempa,dawa,yakidelianaweza,kulamkaa 2:15
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Baada ya wiki 1
@Marry-dj6et
@Marry-dj6et 4 ай бұрын
Nimeipenda sana hii tiba ya mkaa. Swali jee siwezi kuchanganya huo mkaa kwenye maji?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Unaweza tu ndugu
@MariamPaul-ds8vw
@MariamPaul-ds8vw 11 ай бұрын
Asante Sana ninakuku wa kienyeji lakin Huwa Wana kuwa na mafua San naomba msaada wenu
@MariamPaul-ds8vw
@MariamPaul-ds8vw 11 ай бұрын
Halafu hawa kuku wangu hawnenepi niwape nn Ili wapendeze zaidi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Apo ni dawa tu za kikohoz na mafua zipo MADUKA ya mifugo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Boresha lishe yako cjui unawapa chakula chenye mchanganyiko upi
@ELISHAALFAXARD-s4t
@ELISHAALFAXARD-s4t 6 ай бұрын
Asante sana kwa somo ila Samahan mimi ndo nimeanzaa kufunga ila napata shida sana kwa maswala ya chakula cha kuwalisha kuku wangu ninaomba mnielekeze chakula bora ambacho kunafaa kuwapa.piah kuku wangu sijawaweka kwenye banda wote wanazangaaa nje je Kuna madhara makubwa kwa kuku wangu naomba mnielekeze
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Fuatilia video ktk channel hii kuhusu chakula Cha kuku
@neemanyasary1072
@neemanyasary1072 2 жыл бұрын
Asante sana kwa solo hili Je naweza weka mkaa ktk maji Yao ya kunywa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Yaaah unaweza pia
@ClaraKimalila
@ClaraKimalila 2 ай бұрын
Mngu azidi kukupa elimu zaidi na zaidi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk Kaz zako
@rodgersmwakipesile6306
@rodgersmwakipesile6306 4 ай бұрын
Majani ya papayi na tangawizi ni kiasi Gani yanafaida Kwa kuku?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Majani uwa tuna Funga bandani au kuweka ktk maji ya kunywa. Tangawizi uwa tuna saga na kuweka ktk maji pia. Kwa ufupi ni kiasi kidogo. Lakini Ata kama zitazid hazina madhara kwa kuku. Mimea na miti ya asili hata kama zitazid si shida Tena ndio nzuri Sana. Uwe na tamaduni kuwapa kuku wako angalau kwa wiki Mara 2/3
@DofridaPastory
@DofridaPastory 4 ай бұрын
Mm kuku walikufa wote kwakuhara kinyesi cheupe nakijani niritibu ikagoma waliisha wote,ira kwasomo hili uwenda ningejua mapema ingesaidia,asante sana nitaanza tena nione
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Pole sana ndugu kumbuka CHANJO pia
@aminamselem5669
@aminamselem5669 3 ай бұрын
Je unaweza kuchanganya mkaa na unga wa mwembe kwa pamoja
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Apo Sawa ILa isiwe kwenye maji
@janembunda8496
@janembunda8496 4 ай бұрын
Kipindi kinachokuja hiki kuku wengi huwa wanakuwaga wagonjwa na wengine hufa sana watu huita kitoga,je huu mkaa unaweza kuwa tiba?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
'ndio ila pia wape zaidi vitamins toka ktk majani, na dawa za mafua.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
'ndio ila pia wape zaidi vitamins toka ktk majani, na dawa za mafua.
@mwitamgaya5037
@mwitamgaya5037 2 жыл бұрын
Somo zuri.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pamoja ndugu🙏🏿
@IreneAlex-ri3ty
@IreneAlex-ri3ty 5 ай бұрын
Asant kwa somo unapochanganya mkaa na chakula chake unaweza kuwalowanishia na maji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Hapana watu kikavu
@AgnessSalmin-o9w
@AgnessSalmin-o9w 2 ай бұрын
Asnte kw somo zr nimefunza kitu hapo lakini vp kuhusu ugonjwa wa miguu kujikunja ??
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Upungufu WA vitamin na madini
@lucymponera3578
@lucymponera3578 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo je uomkaa unachanganya nanini
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Mkaa pekee kwenye chakula cha kuku
@GresianaMgimba
@GresianaMgimba 3 ай бұрын
Samahani ikiwa unga nikaweka kwenye maji haifai?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Sawa tu waweza
@SillyNjila
@SillyNjila 3 ай бұрын
Huo mkaa unauchanganya kwenye Nini, maji , chakula, au mkaa mtupu?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Kwenye Chakula lakini pia ktk maji ya kunywa
@KulwaJonathan
@KulwaJonathan 4 ай бұрын
Fvitunguu swaumu vina faida gani kwenye kuku???
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Faida za vitunguu saumu kwa kuku kzbin.info/www/bejne/aIappnWofq90Y6M
@MzeeMWINUKA
@MzeeMWINUKA 3 ай бұрын
Nimepata maarifa ya matumizi ya mkaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Hakika ndugu 🙏🏿 ✍️
TIBA ASILI KWA KUKU:  MIMEA. 12 KAMA KINGA NA. TIBA KWA KUKU
14:12
TIBA ASILI YA UTITIRI NA VIROBOTO KWA KUKU
7:35
AGALUS TV
Рет қаралды 50 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 6 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 45 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 57 МЛН
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU WA ASILI BILA MAMA YAO
19:45
AGALUS TV
Рет қаралды 136 М.
IJUE CHANJO YA TATU MOJA
11:38
farmers centre
Рет қаралды 14 М.
Jinsi  ya kupata kuku  wengi wa kienyeji
10:46
AGALUS TV
Рет қаралды 353 М.
KUKU WENYE THAMANI YA KUANZIA SHILINGI LAKI SABA
24:23
Kilimo Kwanza TV
Рет қаралды 55 М.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Changamkia Fursa
Рет қаралды 265 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 6 МЛН